Hapo ndo nimejua Kwanini hapa Marekani police wenye mitutu hurinda Hospitals na kuweka vifaa vya kukagua vyuma. Marekani uwe na Pesa au usiwe na pesa unatibiwa. 70% ya wamarekani wanadaiwa na Hospital DENI za matibabu na mimi nikiwemo
Nakumbuka kipind cha magufuri nilizidiwa nikaenda hospital sikuwa hata na shilingi wakaniudumia siku 2 baadae ya siku 2 ndugu wakalipa. Ila sasa huna kitu usaidiwi.
Shida sio wauguz bali serikal ndyo imeweka sheria hzo kwao ndy mana usipokuwa na ela utibiw ndy man wauguz wanakataa il wasipate madeni yakuwalipa serikal
Haikua nayo hapo yawezekana alienda kukopa Sasa apo huoni muda unaenda na ukizingatia hapo kang'atwa na nyoka sumu yake ni sawa na mutu aliyekunywa sumu
Ila kuna mtu anatoa milion 700 kwaajili ya mpira..😢
Wakamatwe Wote....Awana Ubinaadam
Ww hupo kwnye hyo kada ....hujui changamoto za hao raia.....tunatoa pole kwa ndugu ....ila hawa jamaa wanazingua sana sana
Hao wahudumu ni washenzi kabisaa hivyo wanaroho gani?
Jamani kwetu kuna nyoka kila siku wanauwa wa3 au wa4 nauliza km kuna mtu anajuw daw anijuze
Nina jiwe la nyoka
@Chettymlambalipsi-lb9km seriously unaweza nipa uko wapi
daa inauma sana
Hapo ndo nimejua Kwanini hapa Marekani police wenye mitutu hurinda Hospitals na kuweka vifaa vya kukagua vyuma. Marekani uwe na Pesa au usiwe na pesa unatibiwa. 70% ya wamarekani wanadaiwa na Hospital DENI za matibabu na mimi nikiwemo
Me mwenyew mama yangu alifariki hospital kisankukosa hela..😢😢
Pole sana ndugu yangu.
Hawafai kuwa hospital
Ndo tanzania yetu hiyo!!!!
mama yangu alihudumiwa mwezi mzima hospitali na ikalipwa baadae laki 4 kasoro ni vile tu wahudumu wa hiyo zamu walikuwa na roho mbaya😥😥
iyo hospital wanaua wagonjwa makusudi
Wakamatwe wote kwanza na pili ndio shida yakuchagua hayo majamaa ya nguo za njano na kijana blalifakeni 😢😢😢😢😢
Nakumbuka nilikuwa na miaka 14 mama yangu alirudi nyumbani akilia, hosp ya kribu ilikataa kumhudumia. RIP mama yangu mpenzi
Madokta wakamatwe
Wewe ukahudumie
Nakumbuka kipind cha magufuri nilizidiwa nikaenda hospital sikuwa hata na shilingi wakaniudumia siku 2 baadae ya siku 2 ndugu wakalipa. Ila sasa huna kitu usaidiwi.
Mishahara Yao ya mwak a mzima apewee huyoo broo
😭😭😭😭
Kwani pesa hupatikana wapi..!???
Serikali lazima ichukue hatua Kwa watumishi hawa inauma sana hizi kazi waliziapia na viapo alafu wanafanya unyama namna hii!!
Serekali gani wewe
Shida sio wauguz bali serikal ndyo imeweka sheria hzo kwao ndy mana usipokuwa na ela utibiw ndy man wauguz wanakataa il wasipate madeni yakuwalipa serikal
😮😢😢😢
😢😢😢😢😢
hyo pesa inabidi wairudishe
Ebnanaae 😢
Sasa kama hela alikuwa nayo laki na 30 alitaka kuibana kwanza
Haikua nayo hapo yawezekana alienda kukopa Sasa apo huoni muda unaenda na ukizingatia hapo kang'atwa na nyoka sumu yake ni sawa na mutu aliyekunywa sumu
Tafuteni hela ndio itakuokoa vinginevyo makabur yatajaaa kwenye ukoo wenu
Sijaielewa comment yako unazani huyo alipenda kukosa hela
Hawafai kuwa hospital
Ndo tanzania yetu hiyo!!!!!