MTAMBUE 01.....kachara

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 75

  • @hasnuuomar8080
    @hasnuuomar8080 4 ปีที่แล้ว +19

    Km unamkbl kchara gong like yak hapa by haomy jeylan

  • @salummohd6895
    @salummohd6895 3 ปีที่แล้ว +2

    Historiya yako tunafanana Kaka Mimi naitwa Salim kwetu nipandani nikomkoani pwani mkuranga mahasidi ndiokazi yao kuwarudisha watunyuma lakini ikosiku mungu anajua

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashallahu kaka kachara mungu akupe wepes ktk maisha yako nakupenda sana mpemba nwezangu

  • @salumjuma1962
    @salumjuma1962 3 ปีที่แล้ว +2

    Jomba weeeeee

  • @saidalkiyumi9270
    @saidalkiyumi9270 4 ปีที่แล้ว +13

    Pemba ni pepo ya Dunia lakini utawala siwo.

  • @akhisule8236
    @akhisule8236 4 ปีที่แล้ว +4

    Kachara upo vzr sana nisalimie Bi Sada wa pemben

  • @shemsahumood4262
    @shemsahumood4262 4 ปีที่แล้ว +5

    Jmn 😭 rafiki ako seif darwesh mm mjomba angu 😭😭😭 Mungu amrehemu kaburini aliko

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi niko komoro nakukubali sanaa mzee wanguu kazi mzurii
    Hongera salmin chapa kazii kaka

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah pole sana kwa maradhi

  • @issamohamed7079
    @issamohamed7079 4 ปีที่แล้ว +2

    Am a Kenyan watching from Saudi Arabia. Am a big fan of Kachara.

  • @bindawood978
    @bindawood978 4 ปีที่แล้ว +1

    Barabara ni SKULI hongera Kachara Bin Mambofunika

  • @aboubakarynassor7965
    @aboubakarynassor7965 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni mtu ambae nakukubali sana from DRC🇨🇩

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndugu yako kutoka Konde. Tupo pamoja sana. Siye twaita Skuli hilo la shule sio asili yetu kaka. Mashallah kaka, ninakukubali mno. Kuna tofauti kati ya kupenda kusoma na kupenda kwenda skuli. Pole sana kaka kwa kupata mtihani wa maradhi. Pole kwa elimu kukatika ingawa ulikuwa unapenda kusoma. Hongera kwa elimu za amali ulizojaaliwa pia ubunifu mkubwa ulionao.

    • @teefahbaby2811
      @teefahbaby2811 4 ปีที่แล้ว +1

      Mm nlkua npenda kwnda skuli co kusom saiv waswahil wnasema majuto n mjukuu najuta

    • @jkizondoswahilibites434
      @jkizondoswahilibites434 3 ปีที่แล้ว

      @@teefahbaby2811 usijute ndugu yangu yote majaaliwa 😔 Alhamdollah kwa kila tukio Alhamdollah

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shukran kaka mtangazaji na shukran za dhati zende kwa kaka etu Salim Abdallah leo nimemjua jina lake sahihi Allah akufanyie wepesi katika shughuli zako

  • @aswamsumohd5863
    @aswamsumohd5863 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah nmeipenda interview hongera mtngazaj na kachara pia

  • @amourabdallanassor7978
    @amourabdallanassor7978 4 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatouh Pole Sana Baba Salim Seif Salim ndio Dunia ni Matatizo

  • @ahmedsalim5232
    @ahmedsalim5232 4 ปีที่แล้ว +3

    Kachara bin mambo Funika

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpenda mm kachara Allah amuhifadhi

  • @allghulamkanzucenter7692
    @allghulamkanzucenter7692 4 ปีที่แล้ว +2

    We very happy to know your story

  • @shehebukhesh6795
    @shehebukhesh6795 4 ปีที่แล้ว +2

    Kacharaaaa limenenepa iloo

  • @salumothman5277
    @salumothman5277 4 ปีที่แล้ว +2

    Waoo!!Amazing!! Go ahead epsd 2

  • @hajjikhalifa7265
    @hajjikhalifa7265 4 ปีที่แล้ว +2

    Unapoteza mda sana

  • @Mjingafaki
    @Mjingafaki 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo ndo nimekujua vizur sana😁😁😁

  • @mahmoudmohdally7227
    @mahmoudmohdally7227 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana hata kwembe hao wanaburudisha

  • @salehvuai5461
    @salehvuai5461 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzurii bin Mamboooo

  • @kassimfundi8690
    @kassimfundi8690 4 ปีที่แล้ว +1

    Salim uko juu

  • @thierryt7689
    @thierryt7689 4 ปีที่แล้ว

    Nami pia Naja Pemba kuntafuta Salim Abdallah...Eid Mubarak In Shaa Allah

  • @salumsuleima1845
    @salumsuleima1845 3 ปีที่แล้ว

    Ni wajna wangu kumbee hahaha na Sefu na babu yangu hahaha na abdalla na binamu yangu haha kachara hongera Ila ukienda chake chake maeneo ya muemben ktk ofis moja ivi ya idara ya ujenz nais nais Kuna mtu c mgen machon mwako anaitwa suleiman seif khalfan nisalimie kachara chonde chonde

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 4 ปีที่แล้ว +2

    Vipindi kama hivi vinahitajika sana, tusisubiri hadi washatutoka ndio tutafute picha za kumbukumbu zao kutengezea vipindi.
    Kipindi kimetengenezwa vizuri na sauti ya kuatilizia ya muziki inayoendana na maudhui.

  • @hemedmuhammed163
    @hemedmuhammed163 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana kachara kwa mitihani yote iliyokukuta Mimi nimefurahi kuisikia story yako imeniskitisha kiasi fulani nipo pamoja Na wewe mpaka mwishoo!!!!!!

  • @allyabdallah1776
    @allyabdallah1776 4 ปีที่แล้ว +2

    good

  • @salumkhator8897
    @salumkhator8897 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah! Soud Abdallah Toum alikuwa ni mwalim wangu CCK

    • @ujenzizone3075
      @ujenzizone3075 4 ปีที่แล้ว

      Pemba ama Cck unguja?

    • @SaidSaid-ot4uk
      @SaidSaid-ot4uk 4 ปีที่แล้ว

      @@ujenzizone3075 pemba mzee baba maana huyo mwalim sudi anaishi konde wilaya micheweni pba

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 4 ปีที่แล้ว +1

    Dunia ina mambo

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +2

    WASHAKUPIGA MPAKA KWENYE MAZIWA

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 ปีที่แล้ว +1

    very good

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +1

    🤗🤗🤗👏👏👏

  • @salumseif1005
    @salumseif1005 4 ปีที่แล้ว

    Pole tupu haingii kidondani..

  • @mwanaisha522
    @mwanaisha522 4 ปีที่แล้ว

    Kachara umenikumbusha huwooo ubebaji ulokuwa ukibwebwa hapo shingon na mama etuu😆😆😆😆

  • @omarmakame2737
    @omarmakame2737 4 ปีที่แล้ว +3

    chuchuli, mwiku, jivulini, yani wazungunza kipemba Cha ndani nakukubali mie kwetu kengeja Kama wakujua endelea kupiga kazi mkuu

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +2

    🙏

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum jman me hamu yangu nje Pemba ntafte mke me npo unguja Huku ila ndo Sina connection yyte ya uko Pemba mtansaidiaje ndgu zangu wa pemba

  • @yushalforever7216
    @yushalforever7216 4 ปีที่แล้ว +2

    Salmini una kitumbo Kama Cha Jusba😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @saumuhasanhasn1388
    @saumuhasanhasn1388 4 ปีที่แล้ว +1

    Kachara ulikua mtundu kokea uko mdogo

  • @nabil_abbaady
    @nabil_abbaady 4 ปีที่แล้ว +3

    uko vzr salim abdallah mungu akueke

  • @tanzaniasongslyrics7832
    @tanzaniasongslyrics7832 4 ปีที่แล้ว

    ifuate ya mwinyi mpeku

  • @maqboulal-barwani2506
    @maqboulal-barwani2506 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana usichoke Allah swt kwa uwezo wake atazidi kukunyanyuwa na kukulinda zaid . Amiyn amiyn thumma amiyn yaarabbal aalamiyna

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 ปีที่แล้ว

    Kachara mwambie ukweli huyo mwandishi km ww ni TISS

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 4 ปีที่แล้ว +1

    Sina comement leo nasalimia tu asalaamghalaykum kachara

  • @binghulaam2685
    @binghulaam2685 4 ปีที่แล้ว +4

    Episode 2 please loading...

  • @Ajumbotalent1
    @Ajumbotalent1 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice

    • @rahmamusa9627
      @rahmamusa9627 4 ปีที่แล้ว

      mungu amrehemu bimaryam alikumuhodar

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

    Unachekesha sana na mwinyi mpeku lkn sipendi acting ya kama sijakosea jina kiswabi na kitatange. Kwa nn mnawaektisha kibwegebwege mpaka mwendo?

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Nawapenda nyote kwa ajili ya Allah mana michezo yenu inazingatia maadili km ya kiunguja. Mnafurahisha haswa na napenda kuwaangalieni mana sipendi kuangalia michezo ya kusikitisha.

  • @ashamohammed5593
    @ashamohammed5593 4 ปีที่แล้ว +2

    Pemba na unguja Kuba tafauti
    Gani???

    • @ahmedsaidi850
      @ahmedsaidi850 4 ปีที่แล้ว

      Unguja uzungu ushakuwa mwingi

    • @salumseif1005
      @salumseif1005 4 ปีที่แล้ว

      Ndizi na kuku unguja hakuna kama pemba

    • @fifo262
      @fifo262 4 ปีที่แล้ว

      Pemba hatupendi urojo

    • @aswamsumohd5863
      @aswamsumohd5863 4 ปีที่แล้ว

      @@fifo262 😂😂

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      @@salumseif1005, Mh kakwambia nani sema labda Unguja si kwenu so huna shamba