MTAMBUE 03....... kachara

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 38

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @AhmedAli-xk8cv
    @AhmedAli-xk8cv 4 ปีที่แล้ว +2

    Umetoka mbali san kaka, never give up kachara

  • @abdullsaid8530
    @abdullsaid8530 2 ปีที่แล้ว

    Kachara apo umempatia bi kidude kweli kweli sauti km yy mwenyewe bi kidude

  • @thaurataliy4536
    @thaurataliy4536 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mtangazaji uko vizuri Allah akupe afya njema uzidi kutuhabarisha na Allah akusaidie katika kazi zako

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 2 ปีที่แล้ว

    Mashllah kachara

  • @suleimanmohamed3650
    @suleimanmohamed3650 4 ปีที่แล้ว

    mashallah kaka kachara uko vizuri sna mwenyezi mungu akupe hitaji lako unalo lipigania inshallah

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 4 ปีที่แล้ว

    Napenda kazi za kachara lini itatoka hio baada ya skukuu ipi

  • @binghulaam2685
    @binghulaam2685 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli ndani yake kuna mafunzo na elimu kubwa Wallah, Allah akuhifadhini nyote mliofanikisha segment hii na Allah ndio mlipaji.

  • @munnababygal8460
    @munnababygal8460 4 ปีที่แล้ว +1

    Anajitahidi sana

  • @fabbykhan255
    @fabbykhan255 4 ปีที่แล้ว

    Nakubl kazz bro

  • @mudyaley3297
    @mudyaley3297 4 ปีที่แล้ว

    Mambo mazuri

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana Kachara

  • @nassornassor5277
    @nassornassor5277 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @officialngalangalaso5055
    @officialngalangalaso5055 3 ปีที่แล้ว

    Vp kachara

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 4 ปีที่แล้ว

    Ok.sawa Niko mbali ila nakufuwatilia

  • @ahmedsalim5232
    @ahmedsalim5232 4 ปีที่แล้ว

    eti kachara eeehh !
    eeehh ! hebu kunyweni soda apo nitalipia .

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 ปีที่แล้ว

    Shikamoo bro

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 ปีที่แล้ว

    nimekuelewa kachara

  • @siasaaly6665
    @siasaaly6665 4 ปีที่แล้ว

    Shukurani

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 ปีที่แล้ว

    muandishi unajua kuhoji na umetulia

  • @albait5227
    @albait5227 4 ปีที่แล้ว +1

    sasa hapo ni wapi

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 ปีที่แล้ว

    Tayar naitaka kifo akionjjjjjjjj

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 ปีที่แล้ว

    Fundi nakukubal ila ww ni TISS

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni🙏

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 4 ปีที่แล้ว

    Suala la upande wa kiuchumi vipi sanaa inawalipa limenigusa zaidi. Binafsi nahisi wasanii wetu hawajapata watu wa kuwasimamia kazi zao zikawa zinathaminiwa na hapa nitupe lawama kidogo upande wa wasanii wetu kutojipanga kutafuta ubunifu wa kujitangaza, media za binafsi zipo nyingi wala hawaringi mfano, tayarisha siku ya ufunguzi wa film, alika media tofauti mfano ktv, alfatah, zinjibartv nk.
    Hio ni siku ya kuonekana maalum ama kujitangaza, amini hakuna biashara ambayo inafana bila kujitangaza.
    Kazi ya msanii ni bidhaa kamili pamoja na yeye mwenyewe, ni product kama ilivyo product yeyote bila ubunifu wa kuitangaza hainogi.
    Msanii tokea anaanza kubuni kazi mpaka inatolewa inahitajika kazi hiyo kutayarishwa na kutangazwa vyema ikikosekana hatua za mwanzo basi alau hatua ya mwisho kabla ya kutoka kuwe na kitu kinaitwa film launch ama uzinduzi wa filamu utaodhaminiwa na kampuni fulani. Ni kazi ya media tofauti kuipamba film launch na hapo ndipo fursa za kiuchumi huzaliwa.
    ubunifu ndio unaozaa fursa, hivyo tungetegemea kuona film launch kabla ya kazi zenu kutoka na amini ukiachia video ya sherehe ya ufunguzi wa filamu youtube watu wataangalia na mawazo yatazaliwa zaidi.
    Shukran kwa mwandishi kwa kazi nzuri, Kachara bin Mambofunika ni kipaji adhimu alichonacho.

  • @hakiomar2766
    @hakiomar2766 4 ปีที่แล้ว

    Kachara naomba namba yako please

  • @OmarAli-zi2jg
    @OmarAli-zi2jg 4 ปีที่แล้ว

    Ulituahidi, kutwambia kazi ya Kachara ukiwachilia mbali sanaaa! Nime fatilia sehemu zote tatu. Bali sija sikia Kachara haswa kazi yake ni ipi na anafanya nini?!