Hahaaaa Walwah kachara unachekesha sanaaa,sana tna sana.Mke anajamba tu imekuwa kesi ndowa kweli ina yake mambo.. Lkn tabiya ya ufisadi si nzuri...mwisho wa aibu fedheha....akaaa ukamfundishe kwa kumpeleka skuli tena...akaaaa! Kachara weeeeeee
Kidundo:kufusa wee😂, kujamba hakuna ukungwi, 😂ajamba kama mabomu ya Iraki😂😃hakuna koo la tumbiri lisiloliwa ni mbwa😂kama mumeyasikia na mkacheka niwajue
Kiswahili cha pemba nakipenda sana, hasa kikikutana na kachara na mwinyi mpeku, manake kitatiliwa madoido hadi raha. Pongezi zenu wapemba.
wapemba uta wajua tu ✌💝👍naipenda fahari yangu
Aloskia mabomu ya iraki mkono juu
hahaha safi Sana mkuu Hakuna kongwe la tumbiri lisiloliwa ni mmbwa wengie hugeuzwa jina Ali akaitwa azizi nnaifahamu iyo mkuu
Kufusa weee 😂😂 nishatamani nyumbani wallah
Kaaakeee 😁😂🤣😂😂😂Ati kanfusa nanrudisha kwao🤣
hhahahahahaha.....kachara unazinguw mama watot umemp viaz....hebu mpige jasmin uone kama atafusaaaaa....
Hahahahhahahahhahahah, kake kachara kufusa tu wapeleka mke kwao!
In sha allah natamani sana ni visit Pemba juu wanavyo zungumza Kiswahili chao I love it wallahi love from Somalia
Karibu sana
Kiukweli tembelea kojani,likoni,mkoani na mwane wanaongea hvyo ila utakuweza?
Poah Man karibu sana pemba...
Karib Pemb
Kizee akaitwa bwana japo si yake saizi .ww kachara nakupenda wallah rohoni mwanguu
Hahaaaa Walwah kachara unachekesha sanaaa,sana tna sana.Mke anajamba tu imekuwa kesi ndowa kweli ina yake mambo.. Lkn tabiya ya ufisadi si nzuri...mwisho wa aibu fedheha....akaaa ukamfundishe kwa kumpeleka skuli tena...akaaaa! Kachara weeeeeee
😂😂😂 mtihani kweli nyie.
Hahahahahaaaaa eti kufusa weeeeee
😀😀😀😀jambaa tuuu
Uyo kungwiii kklkkkk
Hahahaaaaa kufusa hahahaaaaa hatareeeee
Kachara tafuta watoto wa kishamba,uyo mrembo ni mtoto wa mjini hajui kutongoa kikwetu abaa😘😘👍👍
Mashallah wtu wakwetu mnajitahid😂😂
Kwetu Asa Raha maana kipemba kimepamba moto😅😅😅
Et ajamba htr😀😀😀😀😀😀
Hahahahaaa! Kidundo mpeni dawa Uyo mdgo wenu asifuse tna
Daaaah kazi
Jiachie dadaangu utoe maradhi mwilini na kama kakushinda kachara niletee mm nimfunze
Hahahaa
jamani kiswahili hiyo sijaelewa kabisa mashuzi mimi najua kunyapa
Kidundo nakupenda sana pmj na kachara
Duh hatar kwel kachara
Hahaaa mbavu zang
Kidundo:kufusa wee😂, kujamba hakuna ukungwi, 😂ajamba kama mabomu ya Iraki😂😃hakuna koo la tumbiri lisiloliwa ni mbwa😂kama mumeyasikia na mkacheka niwajue
Hahahaaa
Binti said nawe ni mpemba mwenzangu aloo
@@yussufsuleiman5843 duuuh Ata
@@bintysaid7177 ok
wapemba oyeeeeee😆😆😆😆😅😅😄😍😇😗😘😍😚😙
Kachalawe
Kachara weeee
Mke wa makachara anahitaji mafunzo
Fresh
namis kipemba
Mm namtaka mm uyuu
Kumuowaa
Hapo Penye Fenesi Tu Ndo Natamani kwetu
Hahaaaaaaeeee amakwetu nnrahaaa kaaa wapemba oyeee
Oyeeeeee
Ngoma mbich😂😂😂😂
Mbavu zangu mie jamani 🤣🤣🤣🤣 mwanangu Jamba kachara simume
Asha Lol hahahaha
Hahahahahaha kachara kiboko
Nakubali
Nice
Hahahahahaah
Mke wa kachara jitahid bado kidod uwe sirias
Haha mtu mke kajamba kachara noma from saudi Arabia
Asante kachara
Hahahaha " kitu chaliwa ni moyo..." asante
Mh
@@zubermbalawazuber9019 mh vp
HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA ATAJUA NA YEYE MUHIM BIDII NA ANAWEZA
Kachara niachie mm
😁😁😁😁😁
Kkkkkkkkkkkkkk
hahahahaahaaa
Dada hawezi kuekti
Mtoto apiga mashuzi kama mabomu ya IRAKI
Nimejikuta nacheka kwa nguvu
Ebu ondoka kufusa weee
Etii Kufusa Kufusa ndo nn Aiseee
Kwan Huo bata anaepita hapo nyuma yenu hajambi Mbona lakn akichinjwa mtamu
Mm mwenyewe najikuta nafusa huk naiangalia HAHAHA
Hahahahaha
Hahahahaha haha
Kufusa Kwani. Shida cniraha
Haahaaa
😁😁😁😁😁😁
😁😁😁😁😁
😃😃😃😃😃
Huko serious mke wa kachara
Harar San kachar ni fundii
Sanaa lugha 100% ✔
😂 😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂
Hahaha
Hahahahahah
Nami nefusa cku 1 kachara kwan weye hufusi jamaaa😂
Hahahaaaa
😂😂😂😂😂 Mabomu ya lraq,Afusha bila break 😂😂😂😂 Jamani nyinyi.
@@jumadarimwinyi4424 Vizuri, Maisha ni Kutafuta.
Hahha
Kake kachara naye mfusie wee
😄😄😄
😂😂😂😂 eti kufusa weee
Rubby Saleh hahahaha wacha mambo yako
😂😂😂😂😂eh mwar wangu fusa weee
🤣🤣🤣🤣😍😍😍
😀🤣🤣
Hahhahha hvi mukiambiwa makungwi wengne mumafsad
😁😂😁😃😂😂😃 jamanii
Hahahahaha hahahahaha hahahahaha eti mabomu ya Iraq
😅😅😅
Kufusa lafudhii ya kipemba tamu yakhe najiproud kuwa mpemba
😂😂😂😂
😆
Kachara tafuta mwanamke mwengine huyu hawezi ni wamjini
Najamba popote ila yusuf noo ni privacy wepon 😀😀😀na wewe na yusuf wako kuwa nae privacy, rusha nje sio ndani ukauwa watoto😀😀😀
yusufu ananuka kweli
Sanaa ya lugha 💯 ✔
Vp
Kachara unahatari
Bicu
hahahahahaha
🤣🤣🤣duhhh noma bwana
Mambo
Poa
Pande zipi
Kujamba tena
🤣🤣😃😃😃😃😃
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
So mkojanituu Bali hata kichati anaweza
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
😂😂😂
Kachara hunamaowaji kunkalibika nia kwa fuso hebumuache ntu nke atowe maradhi
Sio maradhi ni marazii😁
@@salimkhamis3638 lkn si umefahamu au unataka faida
haha
Mabomu ya Iraq 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtoto mzr lkn anajamba
Nleteeni mie nimuoe
Apiga mashuzi kama magumu ya IRAQ