MTAMBUE 02...............Kachara

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Tafadhali usiache kushare na kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata video zangu mpya

ความคิดเห็น • 44

  • @abdullamasoud7324
    @abdullamasoud7324 ปีที่แล้ว

    Lahaja ya kipemba ndio kivutio cha maigizo yako, kwa sababu kipemba unachozungumza ni chenyewe sio cha kutengeneza. Unakitendea haki kwa kweli, hongera sana.

  • @rasheedsaeed5241
    @rasheedsaeed5241 4 ปีที่แล้ว +6

    Ina pendeza, kazi nzuri

  • @binghulaam2685
    @binghulaam2685 4 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli kabisa Kachara kuna baadhi ya mambo huwezi kuyasahau ktk uhai wako na kila ukiyakumbuka ni lazima moyo uhuzunike hata km umewasamehe waliokufanyia ubaya.

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 4 ปีที่แล้ว +5

    Iko vizuri sana, tukienda na mwendo huu wa kujali, kuvienzi na kuvikumbuka vipaji vilivyopo na vilivyotangulia katika jamii, katika tasnia tofauti, basi tutafika mbali na kwa meendo wa haraka.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ndio maisha

  • @anipaesleiman6135
    @anipaesleiman6135 4 ปีที่แล้ว +2

    Inapendeza mm binafsi nakukubali unajua kuuvaa uhusika

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +1

    Manayeke hapo mlipo kaa .kinyumbani nyumbani haswa . Kichakani

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kachara Mungu atakusaidia kila mahali, maisha Ni kupambana

  • @ZahraZahra-cx9xw
    @ZahraZahra-cx9xw 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah interview nzuri huchoki kuskiliza

  • @officialngalangalaso5055
    @officialngalangalaso5055 3 ปีที่แล้ว +1

    Kachara vipi

  • @qasimal-abri5999
    @qasimal-abri5999 4 ปีที่แล้ว +1

    Kachara panga Hilo na mtangazaji

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 4 ปีที่แล้ว +1

    daaaa karichuwalaa mbavu sinaa 😄😄😄😄😄
    Assante kaka salmin burdan toshaa

  • @akhisule8236
    @akhisule8236 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuh kachara upo juu sana nakukubal sana

  • @ahmedsalim5232
    @ahmedsalim5232 4 ปีที่แล้ว +4

    Alhabiib siku nikiambiwa nitaje sehemu uliyoigiza ukaitendea haki katika tasnia ya uigizaji nitataja ile sehemu uliyoigiza ukiwa mganga alipokuja mzee Mwinyi kumtafutia mume mwanawe . Kiukweli hile sehemu hadi leo nikiiangalia huwa nacheka sana .
    Mwaka 2014 wakati niko Bariadi kikazi niliiona filamu yako ya mwizi wa futari kiukweli nilikua kila wekeend lazima niiangalie na nilitamani nikutunze chochote nakumbuka ila nilipiga simu nikawapata watu wawili ambao sijui ilikuaje hatimaye lile zowez langu lisifanikiwe .

  • @amademaufuso7594
    @amademaufuso7594 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema umsehau ulisema ww ni muajiriwa na utatuambia ila hukusena ten

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 ปีที่แล้ว +2

    nawakubali sana 👍

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 4 ปีที่แล้ว +1

    Kachara nakukubali sana sauti mtaji wangu

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana kachara chapa kazi kaka nakukubali shabiki wango nguli nipo kongoo

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nikupe pole kwa mitiha uliopitia lakini nikupe kongole Kwa ulipofikia hakuna jambo lisilokuwa na changamoto vumilia mwisho wasiku unafanikiwa subra ndio nguzo pekee ya kushikilia shukran kachara bin mambo funika

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 ปีที่แล้ว +1

    Fundi ww ni TISS

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 4 ปีที่แล้ว +2

    KACHARA NAKUSHAURI HIOO HISTORIAn YAKO YA MAISHA TUANDALIE FILAMent KUANZIA TANGIA UTOTON WAKAT WA MASOMO MPAKA LEO HIII

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +4

    Mazingira mazur sana asanteni KM👍🏽

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🤗🤗🤗👏👏👏

  • @is-mailmshipa4549
    @is-mailmshipa4549 4 ปีที่แล้ว +3

    Kachara hilo panga vp huyo muandish atakimbia

    • @kacharamedia
      @kacharamedia  4 ปีที่แล้ว +1

      Hakimbii huyu😁

    • @abulqadirellajmy431
      @abulqadirellajmy431 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kacharamedia Hee! Mzee Mohammad Hakim uliwahi kuafanya nae Kazi Mm alikua Mjomba wangu Baba mmoja na Mamaangu Mzazi ila kwao Cio Muambe ni Kiwani ya Mkoani,

  • @rayaalraqady6400
    @rayaalraqady6400 4 ปีที่แล้ว +3

    Panga linatisha

  • @MohdAli-mq3wm
    @MohdAli-mq3wm 2 ปีที่แล้ว

    Salmin vp

  • @fahdizahor8792
    @fahdizahor8792 4 ปีที่แล้ว

    Kinachowarudisha nyuma ni hawa wanaowasimamia wanawaacha mginbanr na kutengana kwa sibabu za kijinga wakati wewe na mwinyi mmngeungana mkafnya kazi mngrkuwa mbali sana shv.

    • @abdulwahidsaid5506
      @abdulwahidsaid5506 4 ปีที่แล้ว

      Ktk maisha ni lazima ukumbane na challenges nyingi sana mpaka kufikia mafanikio iwe ndani ya familia au nje ya familia lkn kitu cha muhimu na kuzingatia ni kujielewa nini dhamira yako nini lengo lako ktk hiyo safari ya maisha Ktk kuelekea ktk mafanikio,lakini pia jambo la pili ni subra tunatakiwa tuwe na subra ktk mfumo mzima wa maisha lkn jambo la tatu tunatakiwa kusamehe tujifunze kusamehe hata kama utaumizwa kiasi gani kwani pamoja na challenges zote,tunaemtegemea ni Allah kwa kila kitu ni kwani ni Msikivu, ni Mwenye kupokea maombi yetu pia ni Mwenye kusamehe pia.Lkn jambo la mwisho ni kutokata tamaa .Hatutakiwi kukata tamaa hata kidogo .kwaiyo Mr Kachara mm nimefatilia kwa kina historia yako na kwakweli ina mafundisho mengi hasa ktk nyanja za maisha yetu kiasi ambacho unaweza kuondika kitabu au kutunga filamu ambayo ikawa ni fundisho ktk Jamii.Mwisho kabisa Nakushukuru sana wewe Mr Salmin Juma Salmin kwa upeo wako huo mkubwa ulionao juu kuweza kuwafatilia wasanii na kuifahamisha jamii juu ya historia zao na kuweza kufahamika.Lkn pia nakushukuru sana Mr Kachara bin Mambo funika piga kazi kaka unakubalika na hongera sana tena sana wewe ni Msanii.#👊#👍#✌#☝️.

  • @khamisfaki4640
    @khamisfaki4640 4 ปีที่แล้ว +1

    Histor yke inaumiza sehemu gn? 1:48

  • @seifjuma6073
    @seifjuma6073 4 ปีที่แล้ว +1

    Yuko poa

    • @abulqadirellajmy431
      @abulqadirellajmy431 4 ปีที่แล้ว +1

      Hee! Mohammad Hakim uliwahi kufanya nae Kazi? Ila kwao C,Muambe Ni Kiwani ya Mkoani, Mana mm ni Mjomba wangu Baba mmoja na Mamaangu Mzazi

  • @binomar9912
    @binomar9912 4 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @seifjuma6073
    @seifjuma6073 4 ปีที่แล้ว +1

    Kachara