kachara na uke wenza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Hii ni video ambayo imefanyiwa marekebisho baada ya video ya kwanza kutokua na sauti nzuri

ความคิดเห็น • 147

  • @hamilcharles6830
    @hamilcharles6830 2 ปีที่แล้ว +2

    Napend san kuangalia movies zako kacahra
    Congratulations

  • @shamatibra9190
    @shamatibra9190 3 ปีที่แล้ว +3

    Haya kachara mambo mengine punguza wapenda wake ww mjomba angu hahahaaaaa

  • @saidmohd2575
    @saidmohd2575 5 ปีที่แล้ว +11

    Huyu dda mke wa kachara kiukweli anaweza

  • @SaidNassor-gx3pb
    @SaidNassor-gx3pb 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up kachara so pemba tunaweza

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani hiyo tosi ilivyo ngumu si ulimuumiza mzee wa watu we dada.Shukran sana.

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 ปีที่แล้ว +2

    😁 😁 😁 Wanawake ni shiiiiiida..... Mi sikitakiiiii 😀😀😀😀mi nakutakaaa
    Hapo patamu

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 ปีที่แล้ว

    😄🤣😂😆😄🤣😂kachara anajenga nyumba kwa mdomo

  • @hafsahanif38
    @hafsahanif38 4 ปีที่แล้ว +4

    Kachara njoo uniowe na mimi huku tuwe watatu😂

  • @abdulrahimnassir2158
    @abdulrahimnassir2158 5 ปีที่แล้ว +4

    Kachara ebwana unajua sana kaka

  • @ghanimaaghanimaa181
    @ghanimaaghanimaa181 5 ปีที่แล้ว +5

    Mbona mfupii jamani tutoleeni full move

  • @aliothmanhamad5841
    @aliothmanhamad5841 4 ปีที่แล้ว +2

    Kacharaaaaaaaa bin mambo funika

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 ปีที่แล้ว +4

    Kazi mzuri sana kachara

  • @salumnassor6555
    @salumnassor6555 4 ปีที่แล้ว +2

    Kacharaaaaa bwaana nakukubaliii

  • @laylahashim5988
    @laylahashim5988 5 ปีที่แล้ว +13

    Mwanamme anaengeza mke anasahau alipotoka, anamsamini sana mke wa pili kuliko wa kwanza ✅

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 5 ปีที่แล้ว

      Huwa yanatokezea ila sio maisha yote
      Muhim tuwe na subra tu

    • @fifo262
      @fifo262 5 ปีที่แล้ว +1

      @@omarmhmammed216 hakika lkn subra inamipaka

    • @omarmhmammed216
      @omarmhmammed216 5 ปีที่แล้ว +1

      Naam.... Na ndio maana malipo yake yanakuwa na fadhila kubwa,

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว

      Ndio mana wanawake tunakataaa

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali akili huna ww ndio mungu aliamrisha hivyo??

  • @dalhahassan6098
    @dalhahassan6098 5 ปีที่แล้ว +3

    Hhhhh bwana harusi bwana kupendwa hhhhh

  • @salumnassor6555
    @salumnassor6555 4 ปีที่แล้ว +1

    Hali hio kachara alooo wenda 😂😂😂😂😂😂😂

  • @kizaselepa439
    @kizaselepa439 5 ปีที่แล้ว +9

    Jaman tajiri naona hana hata time yakuoa wake 2 kuhofia mali zake kufirisika sasa ww mwanamke utakaye subilia tajili hadi aje kukuoa utasubili xn hadi ufanane na wazazi wako hpo hme

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 5 ปีที่แล้ว

      Mimi naona ajabu kwa nini mnaharibu lugha nzuri ya Kiswahili?? L na R hamuandiki sawa 🤔🙄

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 4 ปีที่แล้ว

      Unajuwa wanaume wengi wazanzibar huowa wake 2 ama watatu km sifa wakat mtu hn hata kitega uchumi wallah ni shida inasikitisha wallah

  • @is-hakaali5757
    @is-hakaali5757 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwana haruc! Bwana kutakwaaa! hahahahahaha!

  • @khamikhan4805
    @khamikhan4805 3 ปีที่แล้ว +1

    au kushapata mtu akutia vijiti vya mashikio 😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @abdulrahimnassir2158
    @abdulrahimnassir2158 5 ปีที่แล้ว +4

    fanya utuletee short film naamini unaweza sana kaka

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +5

    Hahahaa kachara keshapendwa

  • @fifo262
    @fifo262 5 ปีที่แล้ว +11

    Ukeweza sio masiara hhhhh mm napendekeza ivii pindi mkipendana mke na mume mume usimpe uhakika mkeo yakua hutopenda mwanamke mwengin yyt man nahisi ii promis ya uongo ndo tatz ikawa mke akiskia uke weza maelewano hamna teeen

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว

      Yapo maelewano lakini wanaume hawajui kufuata sunna inavo takiwa kwann wasimuombe mwanamke ruhusa kabla ya uchumba mpyaa lazima uyo mke ataumia atahisi kadharauliwa sana ndio mana ugomvi unatokea

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      @@halimaabdulaziz5143 na wanaume wakisha oa mke mwengine wanabase mke mpya wendi wao ndio hivyo wanawatupa mke wa mwanzo na watoto.

  • @saumumussa3208
    @saumumussa3208 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada anaweza sana

  • @allyothman5677
    @allyothman5677 4 ปีที่แล้ว +3

    Bwana harusi, bwana kutakwa
    Hhhhhhhh

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mama ni noma sana,

  • @jumamohamed1340
    @jumamohamed1340 5 ปีที่แล้ว +3

    Mzuri 👍🏾

  • @khamisjuma3841
    @khamisjuma3841 ปีที่แล้ว

    Kuongeza mke sio kwamba mke ana kasoro laaa . Wala mke usimuulize mume eti anakosa Nini kwako. Laiti mungu angewafikiria nyinyi basi tusingeongeza. Ila alitufikiria si wanaume kwanza je tutaweza kukaa na mke mmoja wakati nje wapo wengi na matamanio yetu

  • @guyoibrahim3100
    @guyoibrahim3100 5 ปีที่แล้ว +3

    Hata kwa dini Mungu akusema umwoe wake wengi Kama huna uwezo

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      wengine wapeleka kijio kule endako zamu huku ana mke na watoto 7 hajui walacho .

  • @suleimansaid1051
    @suleimansaid1051 5 ปีที่แล้ว +18

    Nimependa kwa vile unazipitia comment zetu na unazifanyia kaz saut leo inasikika vzur bado kwaliti ya video tu ila kidogo kidog tutafanikiwa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 5 ปีที่แล้ว +8

    Nyumbani ni nyumbani 🤣🤣💯

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 ปีที่แล้ว

    Kunambiwa nnani Ufisadi huo😅😅

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 5 ปีที่แล้ว +7

    Huyu dada mahiri wa kuigiza , kapandisha pressure utafikiri kweli !

  • @youngleader8656
    @youngleader8656 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaaa kachara wacha mikwala

    • @fakihamad1133
      @fakihamad1133 5 ปีที่แล้ว

      Kachara ww kidume hongera mm niozeshe mwanao niwe mkweoooio

  • @aminambaruku9453
    @aminambaruku9453 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha kachara hashindwi

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwli sisi tunalazimisha kuoa bila ya hekmaa

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 11 หลายเดือนก่อน

    good movie

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah

  • @husnahhhahahausys7810
    @husnahhhahahausys7810 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hii move

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 ปีที่แล้ว

    leamtoto mwenyewe mbona unashindwa kacharaaa

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 5 ปีที่แล้ว +4

    Bwana harusi, bwana kutakwa, bwana kupendwa.

  • @omarkhalfan2985
    @omarkhalfan2985 5 ปีที่แล้ว +4

    Towen full movies

  • @saidmohd2575
    @saidmohd2575 5 ปีที่แล้ว +2

    Kachara hujengi tena saiv

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 2 ปีที่แล้ว

    Kachara😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 ปีที่แล้ว +6

    Mapenzi ya utu uzima kopa kiganjani

  • @ghanimaaghanimaa181
    @ghanimaaghanimaa181 5 ปีที่แล้ว +9

    Bwana harusi bwana kutakwa bwana pupendwa

    • @fatmafatma550
      @fatmafatma550 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AminaAli-oc3pi
    @AminaAli-oc3pi 21 วันที่ผ่านมา

    Hakika

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 ปีที่แล้ว

    Hhh hatr kwelii

  • @jumaali3912
    @jumaali3912 5 ปีที่แล้ว +3

    hiii nimeikubal kwel mana mii mwenyewe nataka kuengeza mke

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      uweze uadilifu tu . maana wengi wenu sunna munayoijua ni kuoa wake wengi tu hakuna sunna nyengine waijuayo . badala yakupata thawabu ni kuchimba dhambi tu

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 ปีที่แล้ว +1

    Kachara bhana......😆

  • @ghanimaaghanimaa181
    @ghanimaaghanimaa181 5 ปีที่แล้ว +10

    Huu mchezo wallah unasisimua naona kama yalonikuta mm

  • @ummunaaleicester4337
    @ummunaaleicester4337 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni mnaweza

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว

    Mke wakachara mkubwa yuko juuu sn.unaweza hasaaa tukupe sifa zko

  • @fatmanasor5899
    @fatmanasor5899 5 ปีที่แล้ว +2

    hahahahaha htr...

  • @rr3247
    @rr3247 5 ปีที่แล้ว +7

    Sabuni ya kufua imekushinda utaweza mke

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว

      Nashanga alafu pesa anazo vo mbona anaenda kulipa kitanda na godoro kwakua kaona vitamsaidia kwenye ile burudani yake haraka haka aenda toa mmh mitihani

    • @aswamsumohd5863
      @aswamsumohd5863 4 ปีที่แล้ว

      @@halimaabdulaziz5143 😅😅 vitamsaidia wp?

  • @ummuzainab2332
    @ummuzainab2332 5 ปีที่แล้ว +2

    We bb punguza presha uke wenza c maradh

  • @damondhamonaizbadowangu4559
    @damondhamonaizbadowangu4559 5 ปีที่แล้ว +7

    Mama simamia msimamo wako kachara asimchukuwe mama waweza

    • @kacharamedia
      @kacharamedia  5 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @saadsalum3253
      @saadsalum3253 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kacharamedia alooo mm naomba jaman yule mrembo kipofu ninashida Naye namjuwa natunajuana ikiwezekana umwambie seif mdg wake mbarouk marehem atakua amenielewa kachara sipo Tanzania kwa sababu pls nijibu kachara media

  • @a.856
    @a.856 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahah kachara visa

  • @hamilcharles6830
    @hamilcharles6830 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeah ndo inavotakiwa hivo mke akija juu ww mtu mume shuka chin ten haimaanish kuwa ww ni dhaifu

  • @massoudjr6146
    @massoudjr6146 3 ปีที่แล้ว +1

    Pemba ndo home

  • @dulaabdalatajanambayasimu7606
    @dulaabdalatajanambayasimu7606 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana kutakwa tmz sunna

  • @ratiphajumapili3492
    @ratiphajumapili3492 5 ปีที่แล้ว +3

    Nihatary jamani

  • @jumammanga83
    @jumammanga83 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha kachara

  • @abdulrahimnassir2158
    @abdulrahimnassir2158 5 ปีที่แล้ว +4

    good job kachara

  • @taalimonlinetvtot2659
    @taalimonlinetvtot2659 5 ปีที่แล้ว +2

    Tukio la mwanzo umeweka kati na la kati umeweka mwanzo mbona

  • @salimmaalim7540
    @salimmaalim7540 5 ปีที่แล้ว +6

    wengine Wenda mwituni

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 5 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥😁😁😁

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaonkosa kopa kiganjani hutii

  • @halimaabdulaziz5143
    @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว +6

    Jamani hii ndio sheria nisaidieni apo allah (sw ) ndivo alivo tuamrisha ivoo

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali sawa ali lakini na ile sheria inayosema kwa mwenye kuweza kuoa wawili na aongeze imemaanishwa nini yaani uwezo ulotajwa pale ndo upi

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali kumbe nishajua nia uloikudia ni nyinyi wanaume kujiridhisha nafsi huku mkiwaacha wanawake wanasononeka mioyo yao huyo wa kachara kaamua kuondoka lakini wengine wanawafikiria sana watoto pia sheria ya mtume kudai talaka dhambi sasa huyu mvumilivu ndio hapo atashika adabu atanyanyasika vibaya allah atunusuru kwakweli ndoa za sasa 💩

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali mimi siogopi lakini kwa hali iyo siutaki ukewenza abadani abadani raha ya ndoa iko wapi apo munawafunza nini wasoingia ndoa bora ni ile yenye mfano mzur kwa wengine habibiy lakini si ivo aibu tupu

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว +1

      @Ali Ali choo chako mwenyewe wenda koga usiku kuhofia watu wasikuone au unakoga mabega na kichwa chaonekana hee stara ya mwanamke iko wapi musivamie mambo tu nyinyi wanaume kama wewe ni maskini kasome sheria zote ndipo uoee halikadhalika tajir mutaona watu watazigombania ndoa watataka waolewe watatuwatatu au wanne

    • @halimaabdulaziz5143
      @halimaabdulaziz5143 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali mie ukewenza si utaki

  • @albait5227
    @albait5227 5 ปีที่แล้ว +6

    IPO poa

  • @salumnassor6555
    @salumnassor6555 4 ปีที่แล้ว

    Maishaa kama halafu wenda ongeza mke abaaa Aloooo

  • @sampatrick9519
    @sampatrick9519 5 ปีที่แล้ว +3

    Wengine waenda nje Wengine waenda mwituni

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว +4

    Haha

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +2

    Antaka owaa!!

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 5 ปีที่แล้ว +3

    Raha ya ukewenza kila mmoja akae peke yake isiyo pamoja

    • @saidali186
      @saidali186 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa huyu nomaaa

  • @mamiyjadidajadida1023
    @mamiyjadidajadida1023 5 ปีที่แล้ว +1

    Nishidaa

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +2

    Heee

  • @jumatoufiq2439
    @jumatoufiq2439 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaaaaaa

  • @azizially1592
    @azizially1592 5 ปีที่แล้ว +1

    Filamu kama kweli duhhh ??!!!!Nyote muko vizuri zaidi yao ni mke wako kachara na ww mwenyewe

    • @fatumamasudi2153
      @fatumamasudi2153 5 ปีที่แล้ว

      Shida waume sio wahadilifu

    • @azizially1917
      @azizially1917 5 ปีที่แล้ว

      Fatuma Masudi Umeelewa iyo aya lkn uadilifu ni nn palivyokusudiwa ??

  • @ratiphajumapili3492
    @ratiphajumapili3492 5 ปีที่แล้ว

    Badala yaraha sasa mambo no faya jamani hatary kuliko

  • @mwashashasaid3700
    @mwashashasaid3700 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani kwa kwel huu ukewenza wakua ata mke mkubwa kumtosheleza maitaji uwezi...si kutafuta kua chizi tu

    • @azizially1917
      @azizially1917 5 ปีที่แล้ว

      Mwashasha Said Kuwa makini na pigs staghfirullah Mara 30

    • @azizially1917
      @azizially1917 5 ปีที่แล้ว

      Mwashasha Said Unapinga hadithi ya Mtume

    • @thureyaalkindy9373
      @thureyaalkindy9373 3 ปีที่แล้ว

      @@azizially1917 kwani kasem anapinga ? C katoa mawazo yake

    • @thureyaalkindy9373
      @thureyaalkindy9373 3 ปีที่แล้ว

      @@azizially1917 kwani kasem anapinga ? C katoa mawazo yake

  • @khamissalehe2467
    @khamissalehe2467 5 ปีที่แล้ว +1

    kitatage,midam

  • @salimmaalim7540
    @salimmaalim7540 5 ปีที่แล้ว +4

    kama kunkuja nacho kashakula

  • @abdulrahimnassir2158
    @abdulrahimnassir2158 5 ปีที่แล้ว +4

    Kachara ebwana unajua sana kaka

  • @sakeenakenya6110
    @sakeenakenya6110 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha

  • @abdulrahimnassir2158
    @abdulrahimnassir2158 5 ปีที่แล้ว +2

    Kachara ebwana unajua sana kaka