BALAA! MPINA AWAKUMBUKA SPIKA SITTA NA MAKINDA KWA KUSIMAMIA MALI ZA UMMA, "TULIA AMENIONEA SANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • #TANZANIA: MPINA AUKUMBUKA UONGOZI WA SPKA SITTA NA MAKINDA KWA KUSIMAMIA VIZURI MALI ZA UMMA
    Balaa! Luhaga Mpina awakumbuka Spika Samwel Sitta na Anna Makinda kwa kusimamia vizuri mali za Umma, amvaa Spika Tulia Ackson, "kulikoni jazba kwa Mpina?, Mwigulu aliwahi kulikashifu Mbunge ndani ya bunge kwa kuwaamba wakafanye kazi ya uganga lakini hakchukulia hatua yoyote"
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 47

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hapo ndo mtajuwa kwa nn sakata la bandari lilipitishwa kibabe bili kujali hisia za wananchi kuonyesha kutopendezwa nalo na bado!!

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu tupo pabaya sana kiimani ngozi ya kondoo ndani mbwa mwiti wa kali. Ndani ya moyo yetu tumwogope sana mungu. Kuna maisha yajayo ambayo hatutaondoka na kitu. Tutaambatana na matendo yetu mema. Mwe. Mama maria mlinzi wa taifa letu. Utuombee kwa mungu atujalie kutenda haki ili mioyo yetu iwe na amani. Ndaga Kyara.

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 3 หลายเดือนก่อน +2

    CCM WAGUMU SANA KUUKUBALI UKWELI UKIWA MKWELI CCM KWAO NI TATIZO

  • @cletusmathew9415
    @cletusmathew9415 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tunaiona kazi yako huko sahihi kabisa

  • @YonaRajabu
    @YonaRajabu 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana

  • @dr.topmanyotasundayrutasho5205
    @dr.topmanyotasundayrutasho5205 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri

  • @JacobLucas-d2f
    @JacobLucas-d2f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sielewi vizuri kosa la Mpina, Na bado sielewi vizuri uhalali wa hotuba ya Bashe

  • @thobiaslikiliwike7144
    @thobiaslikiliwike7144 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa Sanaa Mpina

  • @GeorgeHoja-v3o
    @GeorgeHoja-v3o หลายเดือนก่อน

    Je aliagiza mda gani na wakati gani bashe alikuwa anaasaidia kuepuka kupanda kwa bei na kukosekana kabisa mda mwingine bei gali sukari haikuwepo bashe alikuwa anatimiza majukumu yake kuhakikisha watu wake wawe na sukari msikilize vizuri waziri aliagiza kipindi gani miez ambayo tanzania viwanda havizalishi , % Tanzania 🇹🇿 uzalendo kwanza, waziri amefanya kazi yake ipasavyo; Bashe,

  • @HAMIDUMKWEPU-vr9dq
    @HAMIDUMKWEPU-vr9dq 2 หลายเดือนก่อน

    Usi lalamike sana, Mpina, mbona,alipo teuliwa kuwa naibu spika, awakati Tulia huyo, alikuwa , mbunge wa kuteliwa, mbona aukusema, wkt ilikuwa ni kosa,

  • @CharlesMabruk
    @CharlesMabruk 2 หลายเดือนก่อน

    18:56 Mpina tulia anayo maslahi mapana na serikali ni lazima aegemee serikali tunaposema tunahitaji katiba mpya kutokana na hayo bunge inaisapoti serikali bunge haliko na wananchi iyo inatokana na katiba tuliyonayo spika ni lazima ujipendekeze Kwa Rais tofauti ya hapo ni baraha uwezi ukawa spika watanzania tunahitaji katiba mpya Rasimu ya mzee wariomba tofauti ya hapo Kila mtu ni kujipendekeza Kwa Rais Leo Kuna wabunge wanalipwa Kodi ya watanzania hawako kwenye utaratibu wa katiba maadamu Rais aliamua na wamekaa na spika linatekerezwa bila kuhojiwa na wabunge Kwa katiba ya kenya sizani hao wabunge wanaolipwa tofauti na katiba sizani kama wagekuwapi kwanza wananchi wenyewe ni waerewa huwenzi ukareta vitu ambavyo haviko kwenye utaratibu wa katiba maadamu Rais na spika wameamua

  • @CharlesMabruk
    @CharlesMabruk 2 หลายเดือนก่อน

    Mpina tulia anayo maslahi mapana na serikali ni lazima aegemee serikali tunaposema tunahitaji katiba mpya kutokana na hayo bunge inaisapoti serikali bunge haliko na wananchi iyo inatokana na katiba tuliyonayo spika ni lazima ujipendekeze Kwa Rais tofauti ya hapo ni baraha uwezi ukawa spika watanzania tunahitaji katiba mpya Rasimu ya mzee wariomba tofauti ya hapo Kila mtu ni kujipendekeza Kwa Rais Leo Kuna wabunge wanalipwa Kodi ya watanzania hawako kwenye utaratibu wa katiba maadamu Rais aliamua na wamekaa na spika linatekerezwa bila kuhojiwa na wabunge Kwa katiba ya kenya sizani hao wabunge wanaolipwa tofauti na katiba sizani kama wagekuwapi kwanza wananchi wenyewe ni waerewa huwenzi ukareta vitu ambavyo haviko kwenye utaratibu wa katiba maadamu Rais na spika wameamua

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo spika cndo wemeuza bandariii?

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema si chama cha kuhamia ina wenyewe

  • @abdallahngoe
    @abdallahngoe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukisimama na wananchi lazima wakuone wewe ni mpinzani

  • @djfaraji
    @djfaraji หลายเดือนก่อน

    Mimi ndio mana napenda kuangalia vita urusii

  • @amosmerama3680
    @amosmerama3680 2 หลายเดือนก่อน

    Kamati ya maadili inaitishwa na SPika, huku akisema amemkosea heshima SPika!!! Najiuliza TU SPika yeye akimkosea heshima mbunge wa kawaida anapelekwa wapi???
    Elimu yetu ipo TU ni basi tu

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf 2 หลายเดือนก่อน

    One ruling party system never change let's wait and see listening from Malawi

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 3 หลายเดือนก่อน

    Hamia CHADEMA upate uhalali wa kuikosoa vizuri serikali,using'ang'anie chama ambacho hukiamini.
    Huku kulalamika mtandaoni haisaidii.

  • @MustaphaKassimu-i5n
    @MustaphaKassimu-i5n 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mbunge imara na unaejitambua . Haki haiji bila kujitosa baba. Tuko pamoja Sana.

  • @JumaRamadhani-hf3cm
    @JumaRamadhani-hf3cm 2 หลายเดือนก่อน

    Shamba la bwana kheri mbuzi wa bwana kheri wewe unafikili Nini kitatokea

  • @EzraBagushi
    @EzraBagushi 2 หลายเดือนก่อน

    Mh uko vizuri Mungu akulinde tu watanzania tunakuona tuhuma za waziri wa kilimo zilikuwa sahihi.

  • @chezariboy
    @chezariboy 2 หลายเดือนก่อน

    Nenda kea akina tundu lisu na mbowe uko vizuri wewe jamaaa

  • @djfaraji
    @djfaraji หลายเดือนก่อน

    Mkojo mdogo mdogo ndio unao lowesha chupi.awa twendeni

  • @RamadhanMasali
    @RamadhanMasali 2 หลายเดือนก่อน

    pambana mpina hata yesu walichelewa kumuelewa ujumbe wataelewa tu

  • @chezariboy
    @chezariboy 2 หลายเดือนก่อน

    Good man of people ubarikiwe sana.🎉🎉🎉

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo 3 หลายเดือนก่อน

    Ukubwa wote huo ujui ccm wanataka watu wajinga

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimegundua kua wabunge wa ccm wao kwao ccm kwanza nchi badae utamfukuzaje mbunge anaehoji mambo ya msingi kama haya?sasa kama nilitaka vipitishwe sasa ya nini mnaptexa pesa za wananchi bure kukaa bungeni da inauma sana

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 3 หลายเดือนก่อน

    Mungo tushike mkono peke yetu hatuwezi.

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUONGOZE MPINA NJOO CHADEMA MAANA MUNGU YUPO NA WANA CHADEMA TUU NDIO KWENYE UKWELI NAA SIKU ZOTE MSEMA UKWELI NDIO MPENZI WA MUNGU NJOO CHADEMA

    • @jairosjulius9447
      @jairosjulius9447 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu anakupandisha cheo hilo ni take la chela usijali mungu anafanya jambo kwa ajili yako

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 หลายเดือนก่อน

    Samweli sita ana makinda into ccm as the palament speaker were right peaple to run palament not acson tulia

  • @frbm1729
    @frbm1729 3 หลายเดือนก่อน

    Kispika Cha hovyooo sana hiki.

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 3 หลายเดือนก่อน

    IYO NDIO CCM MPINA

  • @KILINDONI_ONLINE
    @KILINDONI_ONLINE 3 หลายเดือนก่อน

    Ase

  • @joramjoram3285
    @joramjoram3285 3 หลายเดือนก่อน

    Skutegemea msukuma kumsonga na maneno mpina

    • @mashimbazephania3511
      @mashimbazephania3511 3 หลายเดือนก่อน

      Msukuma ni MTU wa dili ukiona anaunga mkono kapata ukiona haungi mkono juwa bado hajapata

  • @adamhashayro3133
    @adamhashayro3133 3 หลายเดือนก่อน

    Usijal mungu yupo mwisho wa ubaya aibu

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 3 หลายเดือนก่อน

      Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawé.

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 3 หลายเดือนก่อน

    Soon watu watachoka"kutakuwa kama kenya

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 หลายเดือนก่อน

      Unatamani maafa siyo?endelea kuomba yatokee

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 หลายเดือนก่อน

      @@kashiririrkaasongwisye9487 Mushamba Acha kujichekesha, kazi hufanyi unasubiri huruma ya serikali.

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 3 หลายเดือนก่อน

      @@kashiririrkaasongwisye9487halijitambui hili jamaaa

    • @kashiririrkaasongwisye9487
      @kashiririrkaasongwisye9487 3 หลายเดือนก่อน

      Ahahhahahaaa maafa yatokee mara ngapi?

    • @bazilmateru915
      @bazilmateru915 2 หลายเดือนก่อน

      Wew unatamqn nin😂 ufisad au😂​@@walidmgonja3644