HUYU MZEE NI BALAA, BILA WOGA AWACHANA RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI | "PESA WANAZIIBA WAO KWANZA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 182

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน +10

    Maashallah tabarrak allah nimependa kuipa nafasi adhana

    • @Winford-f4l
      @Winford-f4l หลายเดือนก่อน +1

      Hakika

    • @Mauya23
      @Mauya23 หลายเดือนก่อน +1

      Umemsikiza ktk salam zake alivyoanza? Hajitambui kwa ufupi...

    • @hamdincatalonia3272
      @hamdincatalonia3272 หลายเดือนก่อน

      @@Mauya23sio ajitambui ni mnafiki katika dini

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 หลายเดือนก่อน +19

    Mamma ana kopa mabioni nje ya nchi fedha nyingi zinaibwa na wajanja yeye anakodoa macho na deni la Taifa linaongezeka halafu yeye mwenyewe Mamma ana sema kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake watu wanajenga Apatement wanakodisha kwa dola mommy ana kodoa macho tu. AIBU 😂😂😂😂 WIZI UMEZIDI AWAMU HII YA 6 WANAJENGA VIGOROFA VYA FASTER FASTER

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน +14

    Mimi ni ccm lakin naipenda chadema kwa misimamo yao na kupendana na kishirikiana kupaza sait kwa pamoja hongeleni chadema

    • @saulimmbaga.safisana9556
      @saulimmbaga.safisana9556 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe nimzalendo

    • @neemanziku5403
      @neemanziku5403 หลายเดือนก่อน

      Hata mm Ni ccm lakini naipenda Sana chadema

    • @MngwaliAllykizangwa
      @MngwaliAllykizangwa หลายเดือนก่อน +1

      Mm sina chama lakini chadema siwapendi kabisa.

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Bc haina shida mmegawana mapenzi 😂

    • @chezariboy
      @chezariboy หลายเดือนก่อน

      Good man.

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 หลายเดือนก่อน

    24:50 MashaAllah Azaan ❤

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 27 วันที่ผ่านมา

    Perfect baba huna baya ww 🎉🎉🎉

  • @chezariboy
    @chezariboy หลายเดือนก่อน

    Asnte mzeee,, kweli aliewafunga maashehe hakua mkristo bali mwislam,,, asntemi chadema mnao majembe babu kubwa, kweli lisu tundu mkristo ndie aliewatetea waislamu mzee inshalah. CHADEMA NAWAPA MAUA YENU.🎉🎉🎉🎉🎉

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 หลายเดือนก่อน +3

    Perfect 🎉

  • @AzizMangara
    @AzizMangara หลายเดือนก่อน +1

    Kwani, mnavyo shangaa O.I.C, Inashida gani?! Au fitna tu,. Si kama muunganiko wa dini flani, wanamuunganiko wa VATCAN. Ila wanaoleta misaada ya ushoga, na kugombanisha, vita sawa, ila misaada ya O.I.C mnasema ya kigaidi.
    Haya mungu yupo.

  • @chezariboy
    @chezariboy หลายเดือนก่อน

    IMO vizuri Sana mzee safi sana

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 หลายเดือนก่อน +9

    hivi serikali inayoua wazee halafu eti mdhanie Nchi itabarikiwa??!!

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g หลายเดือนก่อน +5

    Ameanza vizuri...Amemaliza vibaya sentesi kusema Waunde dola ya Kislamu.

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud หลายเดือนก่อน +1

      Kama kunavigezo hovyo kwann isiundwe

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Kwani kuna Shida gani kukiunda Uislam si kasema Ukweli tu au ndio ktk wasiopenda Uislam??

  • @FelixMbore-wq7ho
    @FelixMbore-wq7ho หลายเดือนก่อน +1

    Mapato ya hii nchi yatosha kumpatia kila mzee TSh 600,000.

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah... 20:40 "Mbunge hana Lolote Analolifanya analipwa zaidi ya Million 18, Walimu wetu wanateseka wanalipwa laki 5, laki 7.." Huruma😢😢😢

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera หลายเดือนก่อน +3

    Nampendaa uyuu Mzee anaongeagaa kwelii 🎉🎉

  • @dorothymbuere5236
    @dorothymbuere5236 หลายเดือนก่อน +3

    DUH Mzee Unatisha Sana, unahubili Udini mtupu Sasa tumekuelewa. DUH Unbelievable. Ulianza vizuri unamalizia Kimwili. Kila mtu amesikia. Siri zote zilizo fichwa zimefumuka.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน +5

    Samia hana dini ni mchawa wa CCM ili aweze kutawala miaka kumi. Kwahiyo ni mchawa hana dini. Kwa kuwa ni mchawa Kwahiyo anakumbatia CCM ambayo ni wachawa wakubwa sana.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน +16

    Wanayemjua Samia hata kuolewa alishindwa. Kwa sababu ya ukaidi wake. Samia hawezi kitu cho chote kama unashindwa kazi yako ya msingi. Kazi za kutawala utaweza?

    • @BakariMakame-j5f
      @BakariMakame-j5f หลายเดือนก่อน +5

      Mbona huna adabu ww raisi wako wa nchi unamsema kama mshikaji au kwa sababu Samia suluhu hasani angebadilishwa jina jee kama Veronika NATO jenifa halafu anatoka Kagera cijui ingekuaje wenye A 3 wameshaelewa

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 หลายเดือนก่อน

      @@BakariMakame-j5f❤

    • @KiringoMtemi
      @KiringoMtemi หลายเดือนก่อน

      Mhh samia matata sana hataki kukaa na mume

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน

      ACHA USHENZI, YULE MUME ALIYEKUWA NAE NI NANI? NA WALE WATOTO WAO ULIWAPA WEWE?!

  • @saulimmbaga.safisana9556
    @saulimmbaga.safisana9556 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Asante sana chadema kwa kua na hazina kama mzee huyu

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli tokea moyoni ilo neno hazina kubwa hana Unafiki uyo 👍

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja หลายเดือนก่อน +14

    Mwanamke aliyeshindwa Hata kuolewa muogope,umbeya Kama wote

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk หลายเดือนก่อน +6

    UOVU HUU WA KUTEKA TAASISI NDIO HIYO INAFANYA NCHI INAKUWA HAKUNA WA KUSEMA
    WAMETEKA VYUO VIKUU
    WAMETEKA VYAMA VYA WAFANYAKAZI
    WAMETEKA TAALUMA
    KILA TAASISI WAMEWEKA MABAVU YAO

    • @suleomar7226
      @suleomar7226 หลายเดือนก่อน

      Saw mzee maneno yote mazu yakitekelezw yataleta maendeleo kwa wazanzibar na watanganyika Nk , kama hio serikali ya muunano ni lazima kuweo basi Lisu awe raisu awe rais wewe uwe waziri mkuu

  • @NoelKomba-s9d
    @NoelKomba-s9d หลายเดือนก่อน +1

    Magu namkumbuka sana wizi ulikuwa hakuna kabisa

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja หลายเดือนก่อน +4

    Mchengerwa,baada ya kuoa.kwa samia,kwako.imekuwa umelioa taifa zima,kuwa nastaha ww ni kiongozi acha kauli za kichawa.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน +3

    Ona huyu baba alivomuungwana ansema hivi: "tukishinda hatutakubali kunyanganywa ushindi wetu na CCM wakishinda tutamkumbatia na kushirikiana nae" baba mzuri sana huyu mpenda haki..ndo mtu wa Mungu mtu huyu 7:33-8:17

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Sahihi kabisaa 💯👍😊

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 หลายเดือนก่อน +1

    Mtajuana wenyewe

  • @propKibali
    @propKibali หลายเดือนก่อน +2

    SI ni huyu huyu anayesema Nyerere hayupo nchi wapewe WAISLAM?

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Shida ipo wapi kwani?

  • @AnteloSanga
    @AnteloSanga หลายเดือนก่อน +4

    Amina wazee kama wewe ni hazina

  • @mtukwao5775
    @mtukwao5775 หลายเดือนก่อน +4

    Wambie baba umeuweka wazi ukweli wote msiba mkubwa wezi wakubwa

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli tokea zianze Siasa sijawahi kusikia Maneno km ya uyu Mzee maana kiukweli anayoyaongea yana Ukweli Mtupu hana Unafiki ila tena wapo watakaomsema na kumfikiria Utofauti lkn mie nampa 💯 👍😊

  • @peterkijanga3354
    @peterkijanga3354 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Mzee wangu wewe unajielewe na unaelewe "binadamu wote ni sawa".

  • @ElieshPoul
    @ElieshPoul หลายเดือนก่อน +5

    SEMA baba!

  • @rahimhassan6722
    @rahimhassan6722 หลายเดือนก่อน +1

    Well said mzee wangu

  • @Mahirwazanzibar
    @Mahirwazanzibar หลายเดือนก่อน +1

    Mzee kanena

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Wewe umetumiwa vibaya na Chadema unawashutumu Wazanzibar wenzio Mama Samia na Hussein Mwinyi pole sanaaaa sasa ndiyo wanakungoa mchana kweupe

  • @avelynngowi1979
    @avelynngowi1979 หลายเดือนก่อน +5

    We kiboko mzee

    • @TatuKhatib-f1u
      @TatuKhatib-f1u หลายเดือนก่อน

      Hana kiboko moja njaa tuu inamsumbua chadema ndio wauwaji wanataka kumchafulia rais samia asiungwe mkono na waislam wenziwe hapo ni mchexo wa udini tu uñaotumika .Chengine rais ndio muuwaji kina lema walipokuwa hawapo mbona mambo haya hayakuwepo acheni ujinga wenu wa kumtukana samia washenzi nyie

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Mashaa'lLah tabarak al rahman 🤲 JazzakalLah khairan

  • @salimukimwaga-fu8cc
    @salimukimwaga-fu8cc หลายเดือนก่อน +6

    Wazee hawathaminiwi kabisa taifa hili ati taifa limetenga mabilion ya fedha kujenga makumbusho ya viongozi wa kitaifa waliokufa ila hawa wazee waliohai hawathamini hata kupewa utaratibu wamatibabu tu na hawa wazee ndio waliotafuta uhuru ndioleo mnastarehe

  • @AbuuKhardal
    @AbuuKhardal 29 วันที่ผ่านมา

  • @AthmanKhalfan
    @AthmanKhalfan หลายเดือนก่อน +2

    Mzee mungu akuweke inshaallah.mpaka uchaguz mkuu upitwe.nimekukubar sana kua chadema si chama Cha kikirsto.ukwer utatuweka salama.mmbowe.tundu wanajua matundu ya cm.daina tuwe wamoja tutafanikiw kushika Dola inshaallah.

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      🤲💯❤️👍

  • @JohnKafugugu
    @JohnKafugugu หลายเดือนก่อน +4

    Nina wakubali Sana wazee wa chadema

  • @KokufelicianLushongolwa-z4l
    @KokufelicianLushongolwa-z4l หลายเดือนก่อน

    Uko sawa! Mzee wapepe! Ccm! Makodi yamezidi

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 หลายเดือนก่อน

    Aisee

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน +7

    CCM ni makafiri wakubwa kwa sababu wamesema serikali yao haina dini CCM hawana dini. Inchi isiyo na dini ni tatizo kubwa.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa CHADEMA ni Dini gani? Usipotoshe tafadhali Tanzania haina Dini rasmi lakini Watanzania kila mmoja anayo na hata ukiwa huna sio issue. Zipo nchi zina Dini rasmi

    • @Winford-f4l
      @Winford-f4l หลายเดือนก่อน

      ​@@hajihassan5433Point

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh mzee.unataka kujiunga na OIC watakuelewa kweli hao,ungesubili baraza la idi ukahutubia hayo

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Kaongea Ukweli maana Chadema wanasema Wao hawana ubaguzi wa Asili wala Dini na Wao wanaambiwa km ni Chama cha Wakristo kwa hio Mzee kayachambua Vizuri sasa ndio itajulikana km wanayoyasema yana Ukweli au ni Unafiki Mtupu tutayaona😅😅!😅😅😅

  • @Geogina-a
    @Geogina-a หลายเดือนก่อน

    Babu bwana yesu asife, tumsifu yesu christo, salama allium. Yesu asifiwe sana.

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp หลายเดือนก่อน +1

    Watu kama hawa bungeni wanafaaa kwa kaz ya upelelezi na kuyasema hadhrani

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe uko vizuri kwa pande zote mbili za muungano🤔🤔 na pia pande mbili za dini.....pande zote mpo?😳😳

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Vizuri Sana naunga Mkono 👍💯

  • @zuwenahumoudy3198
    @zuwenahumoudy3198 หลายเดือนก่อน +1

    Wemzee njaa hy inakusumbua unajua ukiniingiza hyunapata ulaji

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Sio Vizuri ata ivyo ni Mtu mzima uyo!

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 หลายเดือนก่อน +1

    Respecting to the call from Allah ( adhana)

  • @swalehramadhan-b9g
    @swalehramadhan-b9g หลายเดือนก่อน +1

    😢❤😮

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 หลายเดือนก่อน

    Mungu huona mpaka kilichoko kwenye mioyo na akili zetu kabla hata haujasema. Moyo mzuri huleta fikara mazuri. Amri kuu ni upendo na hii hutoka miyoni mwetu, umoja, amani na fikara za maendeleo endelevu hutoka kwenye mioyo mizuri. Wazee wamejaa akili za busara na hekima za Mungu, vipi mzee mwenzetu unahubiri mgawanyiko kati yetu, tathmini moyo na akili zako. Mungu hatakubali hila kwa kisingizio chochote kile, hila ni mbinu za shetani

  • @chezariboy
    @chezariboy หลายเดือนก่อน

    Mzee kwenye OIC mimekuona uko na udhaifu japo hilo litawekwa sawa na vichwa vingine wataalamu umeanza poa Sana ila mwishoni Mzee umeniaguaha kiasi.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 หลายเดือนก่อน

    Mama yetu Samia Suluh Hassan nakuomba umsamehe huyu mzee kwa sababu mtu anapo zeeka akili yake anakuwa kama mtoto kiukweli hapo wala hajuwi atendalo msamehe mama tetu .

  • @DaudisangaSanga
    @DaudisangaSanga หลายเดือนก่อน +3

    Mweshimiwa nakombea aendelee kukuimarisha maana uwoga sio mzuri na ukweli unajenga taifa

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Tena Sana 💯👍

  • @fabianmahenge301
    @fabianmahenge301 หลายเดือนก่อน

    Bazecha Kanda ya Victoria inatoa shukrani na pongezi nyingi kwa Bazecha Taifa kufanya maadhimisho haya kwa niaba ya wazee wote wa Chadema nchi nzima.

  • @faykasalum9725
    @faykasalum9725 หลายเดือนก่อน +2

    Lakini mpaka Leo dhulma inaendelea watasamehewa vipi?

  • @Mahirwazanzibar
    @Mahirwazanzibar หลายเดือนก่อน

    Mzee yuko sahihi kabisa

  • @NafuuTaib-u8q
    @NafuuTaib-u8q หลายเดือนก่อน +1

    Mzee hujielewi ungejielewa ungetafuta mswala na tasbihi ukastaghafiru unapwaga tu au umelewa au kibaraka zanziber hakuna wazee hivyo km wewe hebu msema kwenye wapi?

  • @JohnMacha-j8b
    @JohnMacha-j8b หลายเดือนก่อน +2

    Siku si nyingi tutaanzisha hashtag ya kumtafuta huyu, Mungu akulinde

  • @EmmanuelSwedi-n2r
    @EmmanuelSwedi-n2r หลายเดือนก่อน

    Unaona Sasa umesha zidiwa kakla ya kusema sana mweeeeeee

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 หลายเดือนก่อน

    Muda hautoshagi, mengine yataandikwa kwa reference , kuishi leo kuona ya kesho kwa uweza wa mu gu. Tumuogope yy mwenye uhai akiundoa ghafla ametekaaaa. Omg.😊

  • @jobharry9009
    @jobharry9009 หลายเดือนก่อน +2

    Aliye muua Aly kibao kwa maneno anayonenewa atakuwa tayar chiz

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni หลายเดือนก่อน

    Apo Kwenye bwana yesu asifiwe umekosea sana

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 หลายเดือนก่อน +1

      Amekosea nini ?... Hebu tuambie

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Yeah namie napenda utufanulie nini kakosea?

  • @ClementJohnson-j9y
    @ClementJohnson-j9y หลายเดือนก่อน

    Lissu ajuwi point kama uyu mzee

    • @chezariboy
      @chezariboy หลายเดือนก่อน

      We we ndo ujuwi kitu,, huyu mzee ni mzuri kwa kiwango chake pia ni tunda la Chadema ambalo ndio akina tundu lisu ndani yake katika umoja wa wanachadema lao ni wamoja na akina Lisu.

  • @MudyBakari-ky2dr
    @MudyBakari-ky2dr หลายเดือนก่อน

    Tumashaka sana na baadhi ya watu wa. Hadema kuhusu mauaji ya watu. Serikali au ccm wanaua watu ili nini?

  • @111dudi
    @111dudi หลายเดือนก่อน

    Wana siasa watasema chochote ili wapate kura.

  • @EmmanuelSwedi-n2r
    @EmmanuelSwedi-n2r หลายเดือนก่อน

    Siasa za mbowe na vichwa vyake vibovu nivyo Mzee wangu kula samaki utulie kwanza uwenda ukaisha mihaka mingi kwenye siasa ni njoto Kali mno uwenzi kuvumilia

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali หลายเดือนก่อน

    Ulianza vizuri kbs, tukakuelewa, sasa waanza leta ubaguzi na kutaka kujitenga. Kama siye ni wamoja, vipi tena waleta Uzanzibari na Ubara? Vipi tena wataka kuwapendelea Waislam pekee! Acha kbs ubaguzi. Mie ni Muislam, sipendi ubaguzi kbs. 😔😔😔

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli nimemuelewa Sana uyu mzee anajielewa na kujitambua 💯 right 👍
      Sababu nakwambia hakuna mwana Siasa mmoja akiongelea Ukweli usiojificha km uyu Mzee nimemkubali sana hana Unafiki kaongea Ukweli Mtupu!
      Wenye akili zao watapima wenyewao tena!

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b หลายเดือนก่อน

    Hao Sio Mashekhe Ni Vilaza Wanaikumbatia Bakwata Ambayo Ni CCM (B) Baraza Lililoasisiwa Na Makafiri

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 หลายเดือนก่อน

    Lazima bibi atoke kwenye kiti

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk หลายเดือนก่อน +2

    Huyu baba ndio anafaa kwenye kampeni
    Wengine wanaongelea magufuli magufuli

  • @YusuphIddy-h2d
    @YusuphIddy-h2d หลายเดือนก่อน

    Utumbo ulio ongea hapo nikuingilia muungano tu Sawa we mzee kuhusu muungano usiseme pia bara waislamu tupo Sema unaubinafsi

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Ubinafsi wake upi kwani aliyoongea si Sawa?
      Sasa wewe umesema Waislam bara mupo kwa iyo Shida ni nini?
      Kwani kusemea Zanzibar kuna Ubaya si kila Mmoja ana Mlango wake wa nyumba au vipi?
      Na kila mmoja ana kitanda chake au vipi?
      Kwa Ukweli ikiwa unamchukulia ana ubaguzi kwanza jitafakari wewe ni vipi na una Shida ipi?

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg หลายเดือนก่อน +1

    Siasa ni laana, hapo angeambiwa aseme yesu ni mungu angesema ili awafurahishe watu, na qmuaudhi Allah

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli mnapenda kuwapaka Watu matope tu!

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi chadema. Mkitaka ushindi ..ni rahisi kabisa. Ifanyeni zanzibar ishinde kulle. Zanzibar..ikishinda tanganyika itakuja wenyewe

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 หลายเดือนก่อน

    Nchihii itateketea kamababiloni wamiaka ile kwasababu yaunafiki na ubinafusi

  • @ibrahimnyabwa8088
    @ibrahimnyabwa8088 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni mengi mazuri umeyaongelea, isipokuwa unashangaza pale unapopinga muungano wa TANZANIA.!!!!!!.
    Nawaombeni viongozi wa CHADEMA kutambua lengo la muungano ni kuhitimisha umoja wa AFRIKA; iwe na rais mmoja, ndani ya serikali moja. Vinginevyo tunacheza vidumbwendumbwe vya kisiasa. Pia hoja ya kujifanya michawa wa Waarabu (O I C), halituimarishi kimaendeleo!. Ni bora tupaishe elimu katika kilimo na maarifa ya sayansi. Imani pia iwe jambo huru.

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Wewe una Shida na Uarabu imekujaje iyo topic ya Uarabu?
      Kwa taarifa yako (O.I.C) jumuiya ya Ki Islam ila kwa vile una Shida ya ubaguzi moyoni mwako hutoelewa kitu kwa mantik iyo ni mwana wa Kufeli tu!

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 หลายเดือนก่อน

    Mzee mzima fatani mkubwa badala ya kuhangaikia maisha na dini yako wakua fatani mkubwa na muongo mkubwa muogope mungu wako bac hata cku moja badala ya kuhangaikia na ufatani

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Nini Shida yako na uyo mzee wa Watu? Wacha Chuki na Roho mbaya JoJo!

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 หลายเดือนก่อน

      @@jaysullman3697 jays. Sina chuki ila namsikitikia muislam mzima fatani mkubwa na muongo mkubwa haoni hata aibu. Uzee wake ataishia pabaya bora arejee kwa mola wake atubu madhambi yake

  • @KokufelicianLushongolwa-z4l
    @KokufelicianLushongolwa-z4l หลายเดือนก่อน

    Hamsini kwa hamsini mnatuua wa bara tuko wengi

  • @Batam2022-hu1ph
    @Batam2022-hu1ph หลายเดือนก่อน

    Maiki unaijaza mate mzee ccm amueiwezi

  • @jumamnemo8383
    @jumamnemo8383 หลายเดือนก่อน

    Huyu akipimwa atakutwa anaumwa na akili.haiwezekani unataka kuiba mke wa mtu aje mtu atangaze kwenye redio akuambie leo mumewe hayupo hivyo nenda kamchukue mkewe,huyo atakua anakukataza usifanye jambo hilo kwa lugha ya kificho.

  • @RamaKimbeu-tw4po
    @RamaKimbeu-tw4po หลายเดือนก่อน

    Sio kweri muungano umewanufaisha wazanzibar.leo wanatamba bara

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli kabisa nakataa!

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 หลายเดือนก่อน

    Kikwete jizi na muuaji msaliti mkbwa hatuna hamu nae iko siku atavaa suti ya chuma

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน +1

    Tangu 2015 hawajawahi kuongeza mishahara kwa mfanya kazi. Kazi ni wizi tu.wanaiba na kufanya mambo ya hajabu, CCM ni jama kilicho kufa kimebaki kuwafurahisha wana CCM. WANAINCHI WA TANZANIA WAMEBAKI KUWA MACHAWA.

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 หลายเดือนก่อน

    Cd m nichama makini tunakiamini eemungu tusaidiye

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 หลายเดือนก่อน

    Uoga mnao😅😮

  • @zuwenahumoudy3198
    @zuwenahumoudy3198 หลายเดือนก่อน

    Ukikuwepo ukashuhudia wqnapoua basi nawe mshirika

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x หลายเดือนก่อน

    Mzee Kama Ulishindwa Kuvuta Bangi Ujana ni Ss Unalivuta Uzeeni Linakudhuru Wacha Hata Wewe Unakopa Madukani Na Unadaiwa Hujalipa Mpaka Hii Leo Kukopa Si Ajabu

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe katika hizi dini za kuletwa kuna watu wanajitambua hivi aisee huyu mzee kanifanya hadi nikachukue card ya chadema

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u หลายเดือนก่อน

    Ndio mzeee wambie

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk หลายเดือนก่อน

    Anakopa na inaenda kuishia kwenye mifuko ya viongozi na mabenki
    Hawezi kufuatilia wajanja wanajikusanyia
    Wakulipa ni mwananchi

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 หลายเดือนก่อน

      Tena wako kujenga magorofa kila kona

  • @Rehema-b6d
    @Rehema-b6d หลายเดือนก่อน

    Mumeshindwa
    Mikuchu ya Znz nyamafu.
    Muna Ubaguzi wa znz
    Musituchanganye. Nyooooo

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 หลายเดือนก่อน

    Mzee zungumzia pia upande wa bahasha(rushwa)zinazotolewa na baadhi ya viongozi wenu wa vyama viwili yaani chadema na ccm kuelekea 2024-2025😴😴zimetoka oic au kwa shoga...🏦🏦

  • @HuaweiMate-i4s
    @HuaweiMate-i4s หลายเดือนก่อน

    Mbona mwandishi Hao yeshi mkusanyiko

  • @HussenSamwel
    @HussenSamwel หลายเดือนก่อน

    Mama anajuatu kukopa

  • @JohnMacha-j8b
    @JohnMacha-j8b หลายเดือนก่อน

    Huyo hapo nyuma ndio mlinzi?

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 หลายเดือนก่อน

    Mzee are you serious ?

  • @RichardAssey-pw9ns
    @RichardAssey-pw9ns หลายเดือนก่อน

    Hao wanao kupigia makofi ndio wanafki wakoo ,pole ujitambui wewe deni haliwezi punguwa kama unataka maendeleo ,sio razima upate faida wewe wachie vitukuu vije kula bata wewe ujitambui.

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 หลายเดือนก่อน

    Siasa mbaya kwani unatetemeka na nini mzee pumzika huna jipya hakuna chama zaidi ya ccm

    • @armanibrave99
      @armanibrave99 หลายเดือนก่อน

      Kakojoe ulale 😂

  • @emmykassim4132
    @emmykassim4132 หลายเดือนก่อน

    ACHA UONGO WEWE MZEEE ALIKUWEPO DR. SILAA, ALIONGEAAAA WEEE AKAPONDA WEE LEO YUKO WAPI ITAKUA NA WEWE CHAMA CHA KIHUNI MUISLAM MZIMA UNATETEA UOZO TUNAJUA KILA KITU.

  • @JuliusNdodsa
    @JuliusNdodsa หลายเดือนก่อน

    Wanaisikiliza? Somo kamili.

  • @emmykassim4132
    @emmykassim4132 หลายเดือนก่อน

    ACHENI KUWAAMINISHA WATANZANIA UWOZO WENU HAMNA SERA KAZI YENU NI KUROPOKA MANENO YA KISHENZI TUU HATUDANGANYIKI CHADEMA CHAMA CHA WAHUMI, WEWE MZEE UMETESWA NA NANI WEWE UNAJUA MATESO WEWE??

  • @NoelKomba-s9d
    @NoelKomba-s9d หลายเดือนก่อน

    Ete anajenga shule

  • @MohamediSuleimani
    @MohamediSuleimani หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee hajitambui msamehe bure

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 หลายเดือนก่อน

      Jina lako na unavyosema haikubaliani nami pole Sana umeumia!!