HOTUBA NZITO YA MWENYEKITI WA CPCT MBELE YA WAZIRI MKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri Bishop, nakutakia utumishi mwema , Taifa letu tutalilinda kwa maombi na Dua,

  • @michaelmwedimage5515
    @michaelmwedimage5515 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana Baba👏👏👏

  • @danielcharles7673
    @danielcharles7673 2 หลายเดือนก่อน

    Mweshimiwa bila Bwana Yesu asifiwe hiyo haikuenda Sawa ungeanza na Bwana Yesu asifiwe

  • @PeterMsuka
    @PeterMsuka 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awabariki sana

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkovizuli Sana mungu awatienguvu naumojawenu YESU awepamojananyi achahao wamchanga mafuta vitamba nk

  • @ThomasNghwani-nw6rx
    @ThomasNghwani-nw6rx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hotuba njema sana. Mungu awabariki.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyekiti wa baraza changa la CPCT kwa niaba ya Kanisa, tunamshukuru sana Mungu kwa hotuba yako nzuri sana uliyoitoa yenye ujumbe mahususi wa kusisitiza haki,na uchaguzi huru kwa serikali,na wajibu wetu wananchi wote tukaboreshe daftari la wapiga kura tukahakiki na kuhuisha ili tukapige kura wote. Mungu akubariki sana katika utumishi wako. Kujiandikisha ndio alama na wajibu wa mpiga kura yeyote ili akafanye maamuzi badala ya kuacha kupiga kura,alafu uanze kulalamika juu ya kiongozi ambaye hukumchagua! Mungu libariki Kanisa, ibariki Tanzania, Ibariki Afrika.

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema!

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 2 หลายเดือนก่อน

    Selikali Haina Dini isipokuwa inatawaliwa na Mungu , selikali ina Mungu haidi Dini ,naiombea selikali Yetu Ya Tanzania Idumu katika amani

  • @PauloMerura
    @PauloMerura 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amina baba zetu

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 2 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @benedictormagembe6483
    @benedictormagembe6483 2 หลายเดือนก่อน

    Great!

  • @evaristkobelo3936
    @evaristkobelo3936 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Baba

  • @sifaelkikoti3141
    @sifaelkikoti3141 3 หลายเดือนก่อน +2

    PALIPO NA UMOJA BWANA HUAMURU BARAKA

  • @AlfanIssaya-k8v
    @AlfanIssaya-k8v 3 หลายเดือนก่อน

    Baba mwambie waziri mkuu Mbona selikali ina kataza mikesha usiku bila kuwasha vyombo

  • @kennedysiyame4087
    @kennedysiyame4087 3 หลายเดือนก่อน

    Tunakua Chumvi vipi na ulinzi uko wapi kama watu wanatekwa, wanauawa, wanapotezwa halafu viongozi hamkemei. Waziri amekiri kwamba ushindi haupatikani kwenye Sanduku la kura na viongozi hamjakemea hilo. Tunaelekea wapi?. Mbona mnaleta Siasa kwenye Kanisa?. Hii sio sawa.

  • @mathewmbukwa9731
    @mathewmbukwa9731 3 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @victormbaga5772
    @victormbaga5772 2 หลายเดือนก่อน

    Nawe umemuogopa huyo wazir na kubwabwanya hakuna uchaguz uliowahi kuwa huru na haki .watu wameuwawa sana .huyo waziri kimoyomoyo anakucheka !

  • @victormbaga5772
    @victormbaga5772 2 หลายเดือนก่อน

    Unajipendekeza nini nyakati za uchaguz unasafiri nje ya nchi nini

  • @radhialmasi9383
    @radhialmasi9383 3 หลายเดือนก่อน

  • @deniskimario9288
    @deniskimario9288 3 หลายเดือนก่อน

    Kulizungumza hili jambo mbele ya viongozi wa kisiasa ni uchawi mwingine.

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 3 หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi bila katiba mpya tume huru ya uchaguzi, na CCM kuacha kuwa chama Dola,,, mengine yote ni porojo,utalindaje Taifa ,unahubirije Amani bila kuhubiri haki,,,,

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 2 หลายเดือนก่อน

    Mnajaribu kujenga babeli mnaenda kuongea ujinga ujinga mbele ya waziri mkuu ambaye hata si wa iman yenu kama mna mambo yenu kijinga kijinga si mukaongea wenyewe

  • @GervasiMwacha
    @GervasiMwacha 3 หลายเดือนก่อน

    Maadhimisho ya miaka 85 tangu kuanzishwa kwa kanisa la T.A.G hapa nchini Tanzania yalifanyika mwaka upi??

    • @GraceNicolas-tr8sk
      @GraceNicolas-tr8sk 3 หลายเดือนก่อน

      Yalifanyika kitaifa hapa dar es salaam trh 14/7 pale uwanja wa taifa

    • @GervasiMwacha
      @GervasiMwacha 3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa jibu zuri mungu wa mbinguni akubari sana mpendwa.

    • @noelstambuli447
      @noelstambuli447 3 หลายเดือนก่อน

      Mwaka huu

    • @eliudndadeba6193
      @eliudndadeba6193 3 หลายเดือนก่อน

      yanahusiana na nini haya ya TAG mna nini nyinyi