Achen kujiaibisha jamani.... Ivi hamjajua wanaume nyie.... Anaweza sema anakupenda adi akalia mbele za watu million na kumbe anakung'onga..... 😂 Mabint tafuteni pesa pendezeni muwalize hawa wapuuzi achen kujiaibisha
Jmn nyie haya mapenzi mm acheni nitafute hela mm nilikua na mahusiano km haya mm nikaamua kujitoa huu ni upuuuz watt wakike tunavofanyiwa dada tafuta hela
Team Jackie Tujuane 😅 I CAN’T WAIT 😹
Achen kujiaibisha jamani.... Ivi hamjajua wanaume nyie.... Anaweza sema anakupenda adi akalia mbele za watu million na kumbe anakung'onga..... 😂 Mabint tafuteni pesa pendezeni muwalize hawa wapuuzi achen kujiaibisha
Umeonaeeee 😂😂😂😂😂
Kwakweli
Kweli kabisa 😆😆😆ulicho sema mi binafsi siwezi kugombana na mwanamke kisa mwanaume
Jmn nyie haya mapenzi mm acheni nitafute hela mm nilikua na mahusiano km haya mm nikaamua kujitoa huu ni upuuuz watt wakike tunavofanyiwa dada tafuta hela
Bora itafutwr hela tu
Na utuoneshe uso safari hiii usitufichie tena huyo Ned
Mr uk pole aiseee unaumiza kichwa sana bro
This so sad tambueni thamani yenu nyinyi wanawake nyinyi wote mpigeni chini huyo nedi yani mmekarili mahusiano ni wingi wa miaka 😢😢😢
Hawa wanamgombania nedi,, kumbe nedi yupo kwangu😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiii wee nawe muongo na wakati ned ninae mimi hapa tumelala🤸♀🤸♀🤸♀🤸♀🤸♀
Chizi kalogwa tena 🤣🤣🤣 mume wetu ameleta balaa
Kumbe lisa wa rapcha🤣🤣
Nedi anaupiga mwingiiii😂😂
@@nuruabraham3769 aweee hahaaaa kwahiyo nedi chawote😂😂😂 tutafte hela
Akinipenda baba inatosha
Lisa Hamna kitu mwezio hamgandi ila nedy ndo changanoto wew na jackie wote mainnoncent
Hv nyie hamna wazazi au walezi mbona mnajishusha thaman hvy jmn
Kwa haraka haraka Jack anadanganywa mbona kwa Lisa mwanaume kashindwa kuongea na kusema tutakuja kuyaongea picha halisi anampenda neli
Umeonaeee
Nyie wadada hamna akili... Wazazi wenu wanajisikiaje mnagombania mwanaume.. Acheni ujinga tafuteni pesa mpendeze kama ipo ipo tu hao mwanaume watakuja mnamgombania huyo mmoja hamuoni hata haya... 😮
Alafu mwanaume anaoa anaetakaaaa😂😂😂😂
@@user-qh5tr9qc9x 😀😀 wanaume hawa kama kinyonga...utakuta wanaemgombania anamtu mwingine kabisa 😁😁
Munakosa byakugombania bashenzi nyi
mapenz shikamoo 🙌🙌🙌
Lil Ømmÿ Cräzÿ Øffïciål seen it
Kubababakeeh? 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Yani mi nkishaona mwanaume anamtu mwngne cwezi Kuanz kumtafta cjui uyo Ex nmfahamu na move on sitaki maelezo mengi 😃
ILa ivi viumbe Atar shikam wanaume
Mmmh wanaume aisee
Wacha niendelee kusota oman mapezi kubabakoo viumbe kama wanaume sitaki kuwasikia😢😢😢
Useme hivyo jamn ni nitakuwa royal kwakk
Uuuuiiiii kudadeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Akinipenda Mungu Mwenyezi inanitosha kabisaaa
Mapenziiiiii🙌🙌🙌
Kahaa tutafute hela mapenzi hakuna
Wanawake waking kabisa hawa.
Sasa huyo Chistina au Jack si angerudiana na ex wake aliyemfuata kwenye kipindi cha Mr Right anaitwa Chriss
Jamani tunaomba pati 2 plz
Lissa anamuona mwezie kituko yey ajafikia levo ya x duh nauyo ned kimchakua jack lisa atazima 😂😂
Ukifatilia sana,wanaume hua wanachagua wanawake wanaofananiana
Hatarii
au wafanye both team to scole
Mr uk usiachi iyikazi hata ufanyiwe nini maana unatusaidia sana sisi wanawake🤣🤣🤣
Mwenye t,shet ht akichaguliwa bado ataachwa tu kashachokwa ye ndo kigaga
ila wanaume Mmmhhh
Aibu naona mimi😂
Yaani,huu ujinga sijawahi fanya
Huyo mwenye nguo ya mistari si Christina alikuwa kwenye season 5 ya Hello Mr Right iliyoisha wiki tatu zilizopita mbona maigizo haya.🙄
Chapekeako kaburi jamani pray part yako
Mr uk mm nakupenda ww I love you🇰🇪
Huyo mwingine si ndo anaitwa Christian yuko Mr right 😳😳 mbona sielewi hizi game 😮 huyo dada mweusi yupo pale Mr right
Ni kwel uyu mr uky mbona hatumuelewi
Kule anaitwa christina vp uku anaitwa Jack Lynn
Awa wahuni tu wanaigiza
Wanaigiza washenz hawa😂😂😂😂
Yann hz content za kutengeneza na huyo lisa ni happy nmesoma nae secondary dar sec😂
Leta next hiyo kaka, una chelewa sana kupost story.... Tunashauku huku, uwe km wakenya wanafanya kazi mpk usiku.
Do that bro
muwe wawili tu
Duh 😢
Yani huyo mwanaume hashtuk tu!!😢😢😢
Daah,ila wadada Kuna mahali tunafeli
Kama.majinga hv
Nyie wanaume 😢😢😢
Ila lissah anaforce na akiitwa akija mm naamin atamchagua ex
😂😂😂😂 ila wanaume sisi 🔥😊😊😊
Jamnii uyo Nedy hajapatikana tu @mr uky
Wote mnachezewa
I love you Mr uk 🇰🇪
Mbona huwaleti sasa
Aaaah wanaume apana kwakweli
Embu tusubir kumuona huyo kaka mwenyewe kwamana ni vituko😅😅😅
Alafu mbona manpenda kutafta wasanii
😂😂 ivi tukitafuta ela wanawake tutapitia haya
kwani ned ndo mwanaume pekeakee 😂😂😂
Oooo o
Nedy anavyo wachanganya mtajua hamjuy😂😂😂
Ila lisah nakuonea huruma
Mi hainikuti ya kugombea.
Mapenzi haya jmn 😂😂😂
Ila lissa bn 😂😂😂 daah
YANI HUYU WANGU ASIJARIBU ATAONDOKA NA BOKSA TU😅😅😅WAKAISHI HUKO😅
Kila video location hiyo hiyo,badilisha location kaka
Wadada wenzangu nendeni taratibu jamaniiii wanaume ndo walivyoooo
😊😊😊😊😊
Duh
Mm siwezi pigana kisa mwanaume
Wanaume shikamooo
Wanaumeeeeee wanaumemeeee
Mwendelezo 😂😂😂
Mmh makubwa
Wanaume bn nishd
Wote ni bby , umu tu💔😂😂🙌🏾
Hicho chenye nguo ya mistar Mr right kimeshndwa kinarud kwa ex
😂😂tafuteni pesa nyiye wana wake acheni ujiga
Yaan wanawake wa skuhz sjui wapoje...badala mwanamke ndo ugombaniwe et ww ndo unagombania😂😂😂n ajabu sana hii
Kabsaa😂😂😂
Sensa imeonesha wanaume wako wachache😂
Wallah nawashangaa sana mm Sina mda uwo ila nashukur Allah mm ndio nagombaniwa wallah alfu mm nawaona kama mafala vile watoto wa Mama mkwe
@@AminaBakari-pf6up yan alaf tukiambiwa hatujielewi tunasema tunatukanwa
Hawa vijana wenye magari wana vuluga mademu balaa mademu wana towana roho hovyo kabisa
Hahaha hahaha 😂😂😂 jmn dah kimeumana
Hata hao unao waona wengi wanajirudia rudia
Nyote vinganga
Sasa ned akiona hii atakuja Tena kweli🤣🤣
Duh wanaume na hapo ukute kuna wengine zaidi ya lisa na jack na kuna mpenz wakeee wa kumuoa
Yaaaani,Wanaoa wanaemtakaaa😂😂😂😂😂
Hawa jamaa wanatunga story hawana Cha kufanya
Hiv nkiamzisha ufugaji wa mende unalipa,, maana mapenzi siyaelewi kabisa😂😂😂😂 nishauliwe
Hao wadada wote niwarembo
Wanaume nyokoo😂😂😂😂😂😂
Nyie wadada mtapumzika mkifa😂
Hui umri huo mnagombania mapenz khe
Wanaitaka yao,😅😂😂😂
Wazazi Huwa hawazionii hizi interview jamanii
my best reaction kutoka Lisa ni dakika ya 1:20 mpaka 1:30 hahaha aliposikia ned wamerudiana na huyo mwingine na wana kama mwezi
Hyo nguvu ya kugombania mwanaume naitoa wap kwanza khaaa😅😅😅😅😅
Hivi hii inakuaga kwel au maigizo😅
Mje mnifanyie challenge mim na hela kwann inanisalitii😢😢😢
Nedy anapiga miguu yote kwaio
jamn mwanaume ndo walivyo jmn hivo ni kujidhakilisha mi huo upuzi sifanyi kikubwa ananihudumiaa sihangaiki
Tunataka tuone sura za hao wanaume visiran uky
Jack anaforce kupendwa aisee
Ex ndio anapendwa hvyo jack atulize komwe 😂
Jamni Mimi naimani mwanaume huwa wanamis vitu fulni iv kwa wapenzi wao wakwanza wakwanza niwakwanza to
Yaani huyo Nelly ndio huyu wangu mi nimeamua kujitoa mchezo huohuo
Yan sku hawa wadada wakijitambua watajionea aibu akii