Yani michepuko sijui kwann Huwa wanajiamini sana😅😅😅 imagine mchepuko mwezi mmoja tu kashamuamini mwanaume na unasema mwanaume wangu hawezi kunicheat Yuko straight forward 😅😅😅 we unawajua wanaume vizuri kweli
Baby B nimekaaelewa mstaarabu sana Ana tabia kama zangu hiyo ndo busara sasa kwa mwanamke 😊❤ ila ki sara kama kinataka kuleta ubabe fulani kwa mbali 😮 ila wote wastaarabu
Wanawake oyeeeeeeeeeeee penz jipya Lina mbwenbwe kudadeki saiv kila mwanaume ana Mtu wake alafu akienda kutongoza na mwanamke unavimba kichwa ety Beb Wangu nyooooooo
Mwanangu unashoo nzuri... sema inachosha kufuatilia vitu nusu nusu. Embu weka full package at once
Upo saii
Sahihi
Kabisaa yani anapost kitu kimoja anakuja kupost kingine mwezi mwingine woiiiiiii
Kweli kabisa hadi anaboa yan
Unazingua san
Mwenye mume Hana shid hongera San dada
Bibi ni mrembo kuliko sidechick 🤪🤪🤣😂,wanaume hawana maisha walai 🤣🤣🤣
Uyi butheina yup charming sana 😂😂😂
Butheina hongera wewe ni Super women ❤❤❤❤❤❤❤
So genius dada yupo makini sana hadi raha 👏👏
Huyuu dadaaa anaakiliii ..... butheeeeeina nakupenda buree😂😂😂
Yani michepuko sijui kwann Huwa wanajiamini sana😅😅😅 imagine mchepuko mwezi mmoja tu kashamuamini mwanaume na unasema mwanaume wangu hawezi kunicheat Yuko straight forward 😅😅😅 we unawajua wanaume vizuri kweli
Erick tunapenda 🤣🤣😂 Ningekwambiaaa ila nikikwambia utayazagazaaaaa🙈🤭
B, uko vizur sana my, yani umenifurahisha sana kipenz❤😊
B unakiti chako mbinguni😇😇
Nani mwingine kao mtangazaji kavaa sale na dada wa wigi?😂😂 maua tu lakin.
😂😂😂nilikua natafuta hii comment
😂😂😂 ww mbea ila usikute wameambiana
😂😂mimi naona kama izi show zipo scripted kabisa
Sara weee nimechekaa sana ila wanaume 😂😂😂
Daaah we dad nimekupenda
Mdada mwenye mume wake yupo comfortable, no panic, i like
Wadada wote wapo cool tu hawana mapepe ila mmiliki yupo social sana 🔥🔥
Hy dada nimempenda bule anakili sanaa ❤❤ busyna
Miezi me 2 ndo kanyooka ata hujuw kma penzi jipya😂 huwa ni tamu dada kuwa na akili😂😂😂😂😂😂
Huyu sidechick anawajua vizuri kina Erick kweli??😂😂😂….aje inbox nimpe kiti nimwambie ukweli hakuna Erick aliyenyooka💔💔😆
Miezi Miwili Very straight ya nyoko😅
😂😂😂😂🎉
𝐖𝐞𝐞 𝐝𝐚𝐝𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
More love kwa buthainer
Ila buthaina mnyamwezi sana nimekubal ❤😢
Sasa kiswahil tuna haribu kutokan lbda kina makabila kbao Tz na kingereza jmn et vely straight😎 eneweii @mr uky tuekee full bhna
Mr uk weka full bhc tunakufuatlia sana bt unakatisha tamaa broh
Kabisaaaa
Buthainer kapoa ❤
Nzr sana tunaomba muendelezo
Baby B nimekaaelewa mstaarabu sana Ana tabia kama zangu hiyo ndo busara sasa kwa mwanamke 😊❤ ila ki sara kama kinataka kuleta ubabe fulani kwa mbali 😮 ila wote wastaarabu
Nani kaona km mr uky kavaa sare na uyo sara different colours😂😂😂
Na mimi nilitaka kusema hvyo hvyo😂😂
😂😂😂😂
Labda wanatangaza biashara😂
We dada nmekupenda sana
Butheiner mzur sio poa
Sanaa shoo nzuri ila inakera vipande vifupi kama vya tiktok 😢
Uyu Eric anakaupepo watoto wakali sana😂
Kawahio huyo dada katoka alipo toka amevaa sare na mtangazaji 😅😅
Wanaume tuna tamaa za kisenge sana, Butheina amemzidi huyo dada hapa na Mbinguni
Nusu nusu sana mwanangu
Wallah misnamed sijuwi tupoje😅😅 eti hawezi chit 😂😂😂jinga kweli hili dada
Jaman Mr uky part two
kaacha wa kizungu kafata wakienyeji😅
Shoo zako nzur ila mambo ya nusunusu yanaboa
Am single forever 😂😂😂
😂😂😂😂
Mbona mmevaa sare, mbona hii kama imetengenezwa
Ngojeni niwaulize wanaume huwaga mnataka nini jmn khaaaa😢😢😢
Erick na kucheat kikombe wamebeba asubui na mapema
Unazingua bro unaleta video nusunusu
Upo saii
Anaboa sana yan
Buthainer naomba namba Ako tuanze maisha
Wanawake oyeeeeeeeeeeee penz jipya Lina mbwenbwe kudadeki saiv kila mwanaume ana Mtu wake alafu akienda kutongoza na mwanamke unavimba kichwa ety Beb Wangu nyooooooo
Nipenii likes nikianza na mr urky😂
Much love from kenya
Mr uk iwe endelevu basi jaman
Mlivyo bhn 😂😂usijitoe Mr UK
Nakukubali kinoma lafk ang
Shida yako umalizii vipande 😢😢😢😢
Eric anajua sana kuchagua vyumaaaaa Big up bro
Mbn kimya mwendelezo jmn
The Erick guy is not lucky to lose Butheina😢
Wakwanza ku comment 😊
Ujifunze kwa wakenya, uwe unamaliza package, mfano ile ya lisah na jackline ex wa Ned mpk leo hatujui iliishia vip.
Mbona nguo mlizovaa zimefanana rangi tofaut
Mwendelezo 😊
Buthayna km Tom boy😂😂
Wekaaaaaa full unaboa sasa ,c uwekeeee full jmn mbn hvy
Mbon miendelezo akuna Mzee tunachoka sasa
Yani uko vizuri unakera unalizii video zako km unakuwa hauko tayar usiwe unapost
Wekaga full bro daaah
Maliza full kazi , acha kazi za nusu nusu
Anakeraaaa
Saaaaanaaaa
Hapo ndo anapo zingua😅😅
Men men men mapenz mapenz mapenzi
anyways tunaomba uwe unatupostia full jmn sisi singularity tuwetunaangalia
Pambana kazi wanaume eti nigombane
Buthaina jina zuri la kiarabu.
Eric sio Elik
Erick anabahati ya kukutana na mapis jaman alafu wote ni wastaraabu
Kweli hizi ni muv kilasiku wanaigiza maduka ya nguwo
Miezi miwili tu ushamwamin 😂😂 leo yamekuramba
dad mwenyew mme ajengewe sanam yake , na huo ndo ukubwa
Wakina saràh sio haba tuna ɓig nyashi
Mi top five guys
Mr uky na huyo Sarah mmevaa sale
Unaweka vitu nusu nusu sana
Unaleta vitu nusu nusu Tuelewe nini sasa Unazingua sanaa
Anaboa...😅
Sa mbona vitu nusu sana . Yan story nzury main chick mstaarabu balafu mzuri mno.
Kafanana na Lulu❤😂
Sasa mr Uk ndio uvae sare na saraa😂
Umeona eh
Letee mwendelezoo
Wanaume 🙌
Hawa sndo ticktock tumeapigia kura za picha za AI
Mr uky..ubaya wako wapenda kuleta video nusunusu😮😢
Yn ad inaboa😒
Mbona humalizii shoo????? Unachosha kufuatilia
Awa madem wanazingua
Unaweka nusu nusu jamn
Actually nyingi😂
Mtangazaji na sarah nguo zenu zinaendana😂😂
Mbn nusu nusu Mr uky?
Mr uk na huyo sarah mmematch😂😂tshirt nyeupe na chini hayo maua😂😂🎉❤🙈
Mr Uk kama hutuwekei full kuanzia leo ctakufwatilia unaboa yn vitu roborobo mpk ln
Mwanangu me natani kujua demu wa laki tano aliishia wapi
We need full conversation pliz 🥺🥺🥺🥺🥺
Hii Bado mpya ndo ya Leo,😢😂
Sasa Mr UK ukavaa sare na Sarah 😂
Tunaomba part 2 haraka iwezekanavyo 😎🥱
Tumalizie bhana😅
Yaani demu peace Sana buthain Kenda kuchiti n Sara kichuchunde ila eric😂😂😂😂😂