Rais Ruto atoa ONYO kali kwa Waandamanaji, awaita 'Wahalifu' na 'Wahaini' watakaoshughulikiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 488

  • @katamamiltonchivatsi9627
    @katamamiltonchivatsi9627 3 หลายเดือนก่อน +9

    You will go at any cost...!!

  • @Shakazulu1
    @Shakazulu1 3 หลายเดือนก่อน +27

    It is very painful for Kenya to have you has the president.period

  • @ZaidiShabani-q6y
    @ZaidiShabani-q6y 3 หลายเดือนก่อน +38

    Acha kuua wananchi wao ndio wenye nchi kumbuka wakat unaomba kula uliwaambia nini

  • @Mimi.Official
    @Mimi.Official 3 หลายเดือนก่อน +41

    Ruto niasikize wakena wanataka nini na ajibu majibu yao. Badala aseme hoja zenu nazishuhulikia watu watulie. Yeye na mahasira zake anatishia watu .haya wacha tuone hiyo hasara atakayo ipata hii week. Hao policy wake pia wamemchoka. Huku nyuma ya pazia wanatwambia mengi😢

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน +1

      WANAWAMBIA KAA GANII?

    • @godfreymbevi2879
      @godfreymbevi2879 3 หลายเดือนก่อน

      Anacho takiwa ni kuwaua wote waandaaji maandamano yasiyo ya kidemokrasia yaliyo jaa wizi, uvunjifu wa sheria na kufanya mapambano na vyombo vya dora. lakini pia arudishe nguvu ya polisi mikononi mwao, Wakenya ni LGBT-Promax, hivyo mbele ya polisi wenye meno hawawezi sogea

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@godfreymbevi2879mashoga sio Kenya tu peke ake marekani Israel ufaransa uingereza Ukraine Italia ujeruman wote mashoga

    • @Mimi.Official
      @Mimi.Official 3 หลายเดือนก่อน

      @@godfreymbevi2879 hujielewi wewe. Hata hujui hata hiyo katiba ya kenya .kadri wanavyo kufa ndio wanapandisha hasira hao police si ni hiyo bunduki tu. Kama hana tuko sawa tu. Na hao vijana hawawezi kosa bunduki. Unahonga police 20k anakupa unaenda kufanyia kazi kisha unarudisha. Usifanye watu hawana akili.....

    • @ChillianMasinde
      @ChillianMasinde 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuja ukatae naweni mmoja

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 3 หลายเดือนก่อน +37

    Napeda kusikiliza habari zahapa na huyu mtangazaji nikimsikiliza namuelewa anaeleza vizuri ❤

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kibaraka wa Mashoga wa Ulaya🎉🎉🎉🎉 Waandamanaji wataingia Mpaka Ikulu🎉🎉🎉Utawafunga wangapi na kuuwa Wangapi!!! Sikiliza kero zao!!!!

    • @billmkushi849
      @billmkushi849 3 หลายเดือนก่อน

      Emotional mind can never used to provide solution. Poor Mr small Biden

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 หลายเดือนก่อน

      Ikulu tafadhali😅😅😅

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 3 หลายเดือนก่อน +18

    Marekani wanaongea nini wakati hata huko walikuwa wakiwakamata watu wanaopinga vita ya gaza

  • @millymack1370
    @millymack1370 3 หลายเดือนก่อน +67

    Hio kiburi tutamaliza tu.

    • @AishaHaji-jn7sg
      @AishaHaji-jn7sg 3 หลายเดือนก่อน +6

      Wakenya mmeamua 🙌

    • @boasliberath5798
      @boasliberath5798 3 หลายเดือนก่อน +6

      Viva kenya

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 3 หลายเดือนก่อน

      Tunawaunga mkono Vijana WA Kenya mmeamka

    • @diyembarak5506
      @diyembarak5506 3 หลายเดือนก่อน

      Ruto must go

    • @mkambotv5418
      @mkambotv5418 3 หลายเดือนก่อน +1

      Next time tunakuja statehouse kula lunch

  • @timebakar
    @timebakar 3 หลายเดือนก่อน +15

    Mukiona watu wamefanya maadamano wanataka kuzungumza na viongozi wao kwaiyo mukizuiya fujo kwa mabom ndo munazidisha maafa watukufa na majeruh majengo kuchomwa nakupomolewa

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo Rais kibaraka WA Wazungu

    • @timebakar
      @timebakar 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@abdullahmanalex2306

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 3 หลายเดือนก่อน +26

    Aende zake huko huna lolote umepata aibu mpka kwenu wamekupinga😏💪

  • @emmanuelopiyo6408
    @emmanuelopiyo6408 3 หลายเดือนก่อน +22

    Very soon we'll occupy the state house,watch and see

    • @najar825
      @najar825 3 หลายเดือนก่อน

      hatuogopi

    • @najar825
      @najar825 3 หลายเดือนก่อน

      hatuogopi

  • @ZaidiShabani-q6y
    @ZaidiShabani-q6y 3 หลายเดือนก่อน +31

    Anasema Nini yeye aelewe wananchi wanataka Nini maisha ni magumu jmn

    • @Esquire266
      @Esquire266 3 หลายเดือนก่อน +5

      Uharibifu wa Mali unahusiana nini na ugumu wa Maisha?

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Esquire266ujui kitu

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 3 หลายเดือนก่อน

      ​​@@Esquire266 Mm siungi mkono uharibifu wa mali, lakini aliechangia kufanyika uharibifu ni Ruto na wabunge wake, ni kwa nini wasisikilize matakwa ya wananchi?

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 3 หลายเดือนก่อน +14

    Nothing he can do infact on Thursday we will occupie State House

    • @mohdchuma78
      @mohdchuma78 3 หลายเดือนก่อน

      Hongeren sn

    • @abdulrazack9577
      @abdulrazack9577 3 หลายเดือนก่อน

      Nooma.sana​@@mohdchuma78

    • @LucienMulirimbuto-eo7nb
      @LucienMulirimbuto-eo7nb 3 หลายเดือนก่อน

      Work up 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.........from south Africa 🇿🇦 but I'm a 🇨🇩

    • @Esquire266
      @Esquire266 3 หลายเดือนก่อน +1

      Utakufa vibaya my friend

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 3 หลายเดือนก่อน +19

    Uharibifu wa mali na roho za watu ipi ni muhimu ?..GOD IS WOCHING YOU.😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 3 หลายเดือนก่อน

      Anaetolewa roho kaenda kwenye ugomvi,, maandamano gani ya Kihalifu?

    • @sultanaswaleh7813
      @sultanaswaleh7813 3 หลายเดือนก่อน

      @@ameirzapy1318 Ame tuuliya watoto wetu wengi na wengine majiruhu. Amepitisha mswada kimabavu kwakuwahonga wabunge. Kama alivo chukua nchi kimabavu. Lkn. Damu itamsumbuwa . 😭😭😭Asione Ameshinda.! Kipenzi chetu UHURU . Ali twamba nawapatia miezi mitatu TU ! . Mutalia. Nanikweli !,. Walo mpigia Sasa Wana juta !. Mimi sikumpa kura yangu. Lkn ! Awaita watoto Ma CRIMINAL. Wakati yeye ndie CRIMINAL MKUBWA !.. MU'NGU ! ATA MPANISH ! 😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 INSHA-ALLAH !🙏🙏🙏

    • @walowemkanjala2525
      @walowemkanjala2525 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ameirzapy1318sio uongo. Kuna tofauti ya maandamano na uporaji

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 3 หลายเดือนก่อน +9

    Apinduliwe huyu mbwa

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mm ni mkenya nakuunga mkono maoni yako

    • @HajiHaji-v9f
      @HajiHaji-v9f 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@abuuaisha6110 poleni san

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kaka fredrick bundala tuletee kauli ya uhuru kenyatta na Raila Odinga kuhusu maandamano

  • @ghhj-ij7xs
    @ghhj-ij7xs 3 หลายเดือนก่อน +12

    Ruto must gooo..no dialogue..corruptions everywhere

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 3 หลายเดือนก่อน +19

    Nilikua namuamini sana Ruto kuwa angewavusha Wakenya na kuwafikisha Nchi ya Ahadi ila naona amefeli

    • @brysonmalongoza5422
      @brysonmalongoza5422 3 หลายเดือนก่อน

      Me too! He failed us big time!!

    • @ce-08
      @ce-08 3 หลายเดือนก่อน

      Tena mapema

    • @walowemkanjala2525
      @walowemkanjala2525 3 หลายเดือนก่อน

      Mtazamo wako huo... Kenya tuna uhuru wa kujieleza,,, sio kama nchi zingine

  • @ZaidiShabani-q6y
    @ZaidiShabani-q6y 3 หลายเดือนก่อน +5

    Thanks!❤❤❤❤

    • @Gody360
      @Gody360 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio nini?

    • @ZaidiShabani-q6y
      @ZaidiShabani-q6y 3 หลายเดือนก่อน

      @@Gody360 nimejichanganya nimelipa pesa google bila hata kuelewa

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 3 หลายเดือนก่อน +7

    Towen kbsa huyo madarakani hafai kwanza kigeugeu anatumika vibaya na wazungu

  • @drcharlestz
    @drcharlestz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto must go, we don't need him 🇰🇪

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tuna mis aur beloved president UHURU MWIGAI KENYATTA . KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 TUMEKUA MAYATIMA😭😭😭😭

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 3 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢😢 subhanallah subhanallah which president of this he don't care about poor people of Kenya, stupid ruto,

    • @sultanaswaleh7813
      @sultanaswaleh7813 3 หลายเดือนก่อน

      @@aminakasim1198 Ana kiburi sana !.Jeuri ! Roho mbayaa ! . Lakini....... WACHATU !. You keep and woching !

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 3 หลายเดือนก่อน

      @@sultanaswaleh7813 my God protect our sister and brother Kenya people, because is not good President to talk like that ya Allah ya Allah ya Allah,

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 3 หลายเดือนก่อน

      @@sultanaswaleh7813 ya Allah ya Allah protect Kenya

    • @sultanaswaleh7813
      @sultanaswaleh7813 3 หลายเดือนก่อน

      @@aminakasim1198 AMEEEN ! 🙏🙏🙏MY LOVELY SIZ .EVEN IF I DON'T NO YOU. BUT . I LOVE YOU 🫶

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ruto kauza nchi Kwa mashoga ndio maana wanamsapporti

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli huyu jamaa wa hovyo aisee 🤔 kesho tu anapeleka mswada wa ndoa ya jinsia moja bungeni.. pole sana kenya kwakupata kiongozi kibaraka dooh masikini weee🤔 Zakayo must goo🤗 wewe ni adui wabara la afrika kwa sasa

  • @IsaacJuma-pt9bd
    @IsaacJuma-pt9bd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks

  • @TinahFrank
    @TinahFrank 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto nakupenda Sana 💋💋💋💋💋

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 หลายเดือนก่อน

    In Tanzania people are protesting na hakuna mtu kafa hakuna biashara imevunjwa wala majengo kuchomwa. PEACEFUL PROTEST IS THE BEST WAY TO GO.

  • @najar825
    @najar825 3 หลายเดือนก่อน

    HATUOGOPI....WE FEAR NONE💯💪WE KENYANS WE GEN Z💪

  • @SamwelKakwaya
    @SamwelKakwaya 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wanasiasa wa Africa wote ni wahuni, yaani wanazurura kwenye mataifa ya magharibi kukopa pesa, kisha wanaziiba halafu mzigo wa madeni hayo wanawatwisha wananchi, wakenya wasikubali hadi kibaraka Ruto aondoke, inakera sana kuongeza kodi hadi kwenye pedi, hiyo inakera

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuri alionesha mfano wa marais wa kiafrika kwamba nchi zetu ni tajiri lkn wapi viongozi

  • @michaelMuiru-iq4ke
    @michaelMuiru-iq4ke 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto must go

  • @abuuvanlampard2564
    @abuuvanlampard2564 3 หลายเดือนก่อน +5

    Utatuua sote uongoze wanyama sjui huo mswada utatekelezwa na nani

  • @EverlineNgige
    @EverlineNgige 3 หลายเดือนก่อน +1

    umelaaniwa hdi kizazi chako cha mwisho na ulaaniwe

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yuafikiria kenya n yake Ama babake😅😅😅 sis tuko tayr ruto unajifnya kiburi sio

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sns❤❤❤

  • @ramlifeofficial6568
    @ramlifeofficial6568 3 หลายเดือนก่อน

    Noma sana

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kosa kubwa analofanya ni kuralibu kuzima moto kwa kutumia moto. Rutto amechelewa badala ya kuzima moto wa Gen-Z wakati ule kabla haujawaka yeye akatoa vitisho na kulazimisha bajeti yake ipite bila hata kuilainisha kidogo japo kwa kuahirisha isijadiliwe akidai serikali inaifanyia revisions ili vijana wajione wanasikilizwa..

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hustler anafeli wp na ma hustlers wenzakeee....

    • @Gody360
      @Gody360 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kazi ipo

    • @nusramunini9650
      @nusramunini9650 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hustler hana neno wezake ndio hawataki bottom up,,🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zenajustus5731
    @zenajustus5731 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani Ruto una adress nchi gani?kama ni hii yenye tumekataa bill usitulazimishe.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ruto achia nchi wananchi wachague kiongozi wanaomtaka wewe muda wako umesha kwisha hata ukiwatisha haisaidi

  • @mohammedganyuma3445
    @mohammedganyuma3445 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 jamani huyu mtu yuko sawa kweli,? Ss badala ya kuzima moto ruto unauchochea kuni ili uzidi kuwaka.😢... tusikilize ss kama wakenya tulio kuajiri wacha kutubeba ufala, wacha ikulu tutafika adi kwako nyumbani😮, GEZ Z viva........tumeamua kufa dereva kufa conder......adi ukubali tunavyo taka.......yani una ata huruma unatoza ushuru adi mtt ambae ajazaliwa😅😅😅😅 Ruto gerareeee

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 หลายเดือนก่อน

    Inchi jirani na Kenya amkeni,,
    Hii ROHO inaambukiza taratibu,,
    Viongozi tawaleni kwa matakwa ya wanainchi

  • @mercyserem1821
    @mercyserem1821 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye mwenyewe lijimwizi likubwa.

  • @fatmaZakiya
    @fatmaZakiya 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ajishughulikie mwenyewe yeye pia ni muuwaji muandaaji wa maandamano akwende hukoo!!

  • @zenajustus5731
    @zenajustus5731 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uki isolate crime Anza na ufisadi ndani ya serikali umevunja record

  • @KampangaKampanga
    @KampangaKampanga 3 หลายเดือนก่อน +5

    hivi wale snipe wa kufyatuwa risasi waliishia wapi ?

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂Hela Yako Tu ..Watu Wanasign Contract 😂😂😂

    • @ce-08
      @ce-08 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

    • @KampangaKampanga
      @KampangaKampanga 3 หลายเดือนก่อน

      @@NgaizaKimbeNgaizakimbe 😄😄

  • @albertmbise2670
    @albertmbise2670 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu Ruto kiburi imemjaa maana naona kama ndyo anatia petrol

  • @DAVIDMMASSY
    @DAVIDMMASSY 3 หลายเดือนก่อน

    I think someone is shaking the jar from outside

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ruto is out of his mind, he can’t even prepare a meaningful speech. He is just reading trash prepared for him.

  • @saidkhamismasai1204
    @saidkhamismasai1204 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto must go ww ni zakayo

  • @SusanNeymar
    @SusanNeymar 3 หลายเดือนก่อน

    Wameiba nn wewe ndio umetuma kufanyike hivo so lipa hao😢😢😢

  • @okindovictor586
    @okindovictor586 3 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni vitisho baridi bwana. Hutakujiwa hadi state house hiyo milango inajifungua itabomolewa mjinga hii.

  • @JoshuaKioko-vg6le
    @JoshuaKioko-vg6le 3 หลายเดือนก่อน

    UDA leadership should be accountable for the chaos.If they could have listened to the protesters before this mess could have happened.

  • @hasani565
    @hasani565 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ruto ni nyoka ... Africa haito kuwa na amani Tena mmesha iba sana hawa wezi wote watolewe .

  • @saleheabdallah5461
    @saleheabdallah5461 3 หลายเดือนก่อน

    Hyo nchi ni ya wananchi na sio ya kwako

  • @SelemanKainda
    @SelemanKainda 3 หลายเดือนก่อน

    Huenda Ruto akawa ana matatizo kwenye Uongozi wake, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye kufanya maamuzi na kuzingatia stahiki za wananchi wake kwa mujibu wa taarifa za waandamanaji wamedai kuwa hajazingatia maamuzi yao na uchungu wa wanachi hivyo alipaswa kuwazingatia maombi yao na kuomba kukutana na watu hao ili kupunguza ghasia iliyopo kwa wananchi.

  • @KarisaJomba
    @KarisaJomba 3 หลายเดือนก่อน

    Usitishie watu hatuachi kufanya maandamano mpaka uache kupandisha maisha

  • @ClintonAward-y3u
    @ClintonAward-y3u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naona urusi wanacheka tyuh

  • @hasani565
    @hasani565 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wanachaguliwaga na nani ndio hawa wezi wa kura

  • @IRENEIRENE871
    @IRENEIRENE871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu sio binafamu jamani aki hana hata hofu

  • @JoshuaKioko-vg6le
    @JoshuaKioko-vg6le 3 หลายเดือนก่อน

    UDA leadership should be accountable for the chaos.

  • @FredrickOhonjo
    @FredrickOhonjo 3 หลายเดือนก่อน

    How dare he call us criminals and call those rogues in parliament innocent Kenyans.

  • @kunjerajab9097
    @kunjerajab9097 3 หลายเดือนก่อน

    Kibaraka wa USA

  • @HasanKisome
    @HasanKisome 3 หลายเดือนก่อน

    Sns is the best of the bestest

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 3 หลายเดือนก่อน

    Alitoa onyo Ambalo halinamaana, mwishowe wandamanaji wameshinda.

  • @elvisandago
    @elvisandago 3 หลายเดือนก่อน

    You spoke rubish zakayo sarrender the office to GEN Z

  • @alexismwinyi8472
    @alexismwinyi8472 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kibaraka wa mashoga

  • @LucyAnyango-sy9wd
    @LucyAnyango-sy9wd 3 หลายเดือนก่อน

    Kiburi itakuua ww ruto😢😢😢

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 3 หลายเดือนก่อน +3

    Anamkemea nani huyu zakayo

  • @joshuamweta5550
    @joshuamweta5550 3 หลายเดือนก่อน +4

    This is not Gud speach why ruto people imeingia hadi bungeni zen unasema they are climinal?

    • @mememmeme7939
      @mememmeme7939 3 หลายเดือนก่อน

      Ruto must goooooo

  • @RoyKabaisa
    @RoyKabaisa 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanz ku comment from Burundi

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 3 หลายเดือนก่อน +8

    Paka atoke ndio kenya ituliyr

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 3 หลายเดือนก่อน

    Sikiliza wananchi wanataka nini vitisho havito saidia. Ndo fujo zitazidi kwa hayo mavitisho

  • @dullahabdallah-nu1py
    @dullahabdallah-nu1py 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi raisi kwanini asionge na wananchi wake kwasababu hata afanyeje wananchi ndo wenye nchi

  • @LukasKipkorir-ug7ne
    @LukasKipkorir-ug7ne 3 หลายเดือนก่อน

    😮ruto mwana wa shakahola

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto kaingia mkenge wa marekan, umesain mkataba wa ulinzi kumbe ni mkataba wa NATO kukalia inchi Yako.

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 3 หลายเดือนก่อน

    Raisi mbaya kuwahi kutokea kenya

  • @krisantmwaipungu1434
    @krisantmwaipungu1434 3 หลายเดือนก่อน +2

    You out of your mind. Leave the office, no longer president of Kenya

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 หลายเดือนก่อน

    Bora waendeleee mpaka wananchi watapo jirizisha madamano yaoo

  • @lawrenceobwoto4506
    @lawrenceobwoto4506 3 หลายเดือนก่อน

    So sad to have you has our president

  • @J74251
    @J74251 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo tumekua criminal sisi sindio haya wacha tukuonyeshe 😢😢😢

    • @sultanaswaleh7813
      @sultanaswaleh7813 3 หลายเดือนก่อน

      Siku zote ane Anza haonekani . Ila anae maliza NDI ana bandikiwa malawaa

  • @willymauki7426
    @willymauki7426 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kabla ya kupeleka polisi wa kuleta Amani Haiti angeanza Amani nyumban

  • @ThomasLucas-rh7wf
    @ThomasLucas-rh7wf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ruto wewe huna busara tatizo lako na wezako wote hasira haizuii kitu kaka

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza leo 😂

    • @Gody360
      @Gody360 3 หลายเดือนก่อน

      Ok

  • @ygtvonline2104
    @ygtvonline2104 3 หลายเดือนก่อน

    5:43 uyu jamaa anaweza kugeuza kenya ikawa kama sudan soon

  • @MoyoniHaji
    @MoyoniHaji 3 หลายเดือนก่อน

    Muungu kila siku yupo kw wnaodhulumiwa,,muungu yupo karibu sna wanyonge,,Ruto ata bdo hujakiona utaona mengi kuliko hayo kwza laana ya kuingilia mambo yasio khs itakuandama kw kufanya mambo kw amri ya amerika na kuilaumu urusi wezako walistaaf ww utastafishwa

  • @gabrielngugi3553
    @gabrielngugi3553 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto. Must go

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 3 หลายเดือนก่อน

    Kam hajali kuhusu wnanchi alitaka wafanye nin wamepitisha mswada wenye kuwaumiza wnanchi wa chini wakat wao wanaishi maisha mazur hawajal chochote

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 3 หลายเดือนก่อน +3

    Please snS better muweke cartoon thn this speech

  • @helenkaimenyi5703
    @helenkaimenyi5703 3 หลายเดือนก่อน

    Mr president listen to people these criminals put you into power

  • @hasani565
    @hasani565 3 หลายเดือนก่อน

    Kibaraka ..calling people criminal wakati wanadai haki ...msitishike wakenya ...mwendo huo huo .....badala ya kuongea national language anaonge kizungu ...huyu ruto na Kagame ni vibaraka .wapi acha uongo wandamanaji hawaja kwenda kwenye shelter za watu

  • @JoshuaKioko-vg6le
    @JoshuaKioko-vg6le 3 หลายเดือนก่อน

    We don't want to listen to nonsense . Innocent Kenyans fighting for their rights you can afford to call them criminals.Kenyans are not criminals.

  • @GilmansKwanja
    @GilmansKwanja 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto pambana na waujumu uchumi hawa wanainchi wanatumika tu vibaya usiuwe wanyonge hawa kamata viongozi walio usika kulinda bunge siku hiyo hawa wote wasaliti walio kuwa kwenye lindo siku hii

  • @VictorMuliro
    @VictorMuliro 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa naona Kdf watapiga watu marungu mwisho wachoke wachukue Government . Juu president anajipiga kifua wanainchi wanajipiga kifua. 😂😂😂😂hapa nani atawin? Am just asking? Sawa mko kwa mizani mjipime

  • @zaumukasiayaamisi4392
    @zaumukasiayaamisi4392 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata heri mlevi wetu mara mia,huyu n mwizi kabisa,

  • @MordenMachines
    @MordenMachines 3 หลายเดือนก่อน

    He will regret his actions. But by then, it will be too late for him to fix things.
    Pride and arrogance has blinded both his eyes and mind of reasoning. Ruto is a disgrace to Africa not only Kenya

  • @OmegaChurch-t5g
    @OmegaChurch-t5g 3 หลายเดือนก่อน

    Huo ni ujinga huweziacha mashetani waingie bungeni

  • @jfabbyhussein6861
    @jfabbyhussein6861 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna uhalifu tumechoka na wewe,utupeleki vizuri teachie nchi yetu mbona uwe kinganizi Dunia nzima inaona😊

  • @mercynjeri6275
    @mercynjeri6275 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe diyo maana alikubaliza ushoga kenye yy ni Moja wa mashoga

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkimbizeni marekani au Ukraine uko akotolee hutuba yke huko hatutaki vibaraka wamashoga na utawala wa shetani unaokandamiza watu katika umasikini hapa africa