Doctor mm nimeandikia juzi kua niende nikafanyiwe iko kipimo niesabu siku kumi alafu niende nikafanyiwe lakini nimesoma coment nimeogopa sana na niko n hamu n mtoto sana ata nimekata tamaa ya kuitwa mama acha nibaki tu😢
Naam Bi Amina tiba ipo yake kwa miezi mitatu pekee, japo siyo mara zote mirija kuota Myoma labda Cysts na Endometrioma ambayo hii ni common sana ikiwa mgonjwa anasumbuliwa na endometriosis. Waweza kuwasiliana nasi kwa +255 712 286 686 au whatsap kwa taratibu zaidi
@sarahcheyo9619 nilipima nikakuta mrija wangu umeziba ila nilitumia dawa za kienyeji sasa iv na ka mimba kama una ndugu mwenye tatizo kama ili mwambie anitafute nimsaidie dawa nilitumia kwa miezi miwili tu
Naam kinauma kiasi chake, ila hatari yake nyingine ni rahisi kupasuka kwa mirija japo ni mara chache kutokea, lakini piainaweza kuziba kiurahisi tena kwa mara nyingine
😭😭😭😭nimeandikiwa hicho kipimo mungu nisaidie
I appreciate your work doctor ,
Thanks in advance @kambi online TV
Kipimo hiki kunauma sio kawaida
Got it Dr 👍
Feel free to share them to your loved
jman me nataka kijua hicho kipimo cha mayai kinapomwaje na jee kimauma?
Jaman watatuuwa walah nishafanyiwa mnazi 1dah
Poleeeh mpendwa... vp lakini now naamini ulishakuwa sawa mpendwa
jamn hat mim nilishafanyiw nikaambiwa washanizibulia jamn na nilitoa pesa ya hiyo daw na mpak Leo sijashika mimba@@ramonawatoto
Unapona eh
@@ramonawatoto
Dokta unapatikana wapi
Hiki kipimo hiki kinanuma sana nakijuwa
Zaid ya kuuuuma dear
Umh dr nimekupenda bure maelezo wako yanatia msisimko wa mtu kukufata ulipo
Jamani Inauma sanaaa
Ni kweli kinama sana
Kweli Leo nimejua kinauma kweli kweli
sanaa mamy kinaumaa kwel..!!!
Subhnallah mm naogop
Dr mahitaji no yako
Kipimo icho shi ngap
Elf 80, na kinauma kwel..
9400
Naomba unijibu Dr plsss!!
Tayar nmeshakujibu mpendwa
Asante sana
Doctor mm nimeandikia juzi kua niende nikafanyiwe iko kipimo niesabu siku kumi alafu niende nikafanyiwe lakini nimesoma coment nimeogopa sana na niko n hamu n mtoto sana ata nimekata tamaa ya kuitwa mama acha nibaki tu😢
Nenda dear kina uma lakini sio sana
Kafanye tu dear
Nenda mpendwa usikate tamaa
Dr wapi upo
Dr kama mirija imekatwa upo uwezekano wakuurudishiwa na kubeba ujauzito?
Uwezekano upo kwa njia za IUI ama IVF
Na vipi ukikutwa kama mirija yako imekunjana na inamayoma je Kuna dawa ili ya kuondoa shida ili update ujauzito??
Naam Bi Amina tiba ipo yake kwa miezi mitatu pekee, japo siyo mara zote mirija kuota Myoma labda Cysts na Endometrioma ambayo hii ni common sana ikiwa mgonjwa anasumbuliwa na endometriosis. Waweza kuwasiliana nasi kwa +255 712 286 686 au whatsap kwa taratibu zaidi
Shukrn sana
Yaan nilivoona mbaka mwil umshituka
Doctors nahitaji namba yako
+255 712 286 686
Vp
Hello Dr hivi ni kwel kuna dawa za kuzibua mirija ya uzazi?maana naona hatari ya kipimo ni nyingi kuliko faida😒 naomba ushaur pls
Naam dawa zipo na tatizo linapona bila kufanyiwa uzibuaji kwa kutumia dawa miezi miwili pekee
Wa.me+25571286686
Dawa unazo nikupigie unitumie au hata huku zinauzwa@@ramonawatoto
Duh kipimo hki baraa kinauma hatar
Kinauma kama uchungu mbona naogopa
Mm naomba dawa ya ovarian cyst pls
Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba zilizopo kwenye Bio yetu au kwa namba +255 712 286 686
Hiki kipimo kwani shingapi
Na kipimo hicho ni bei gani
Laki moja
Mliofanya hichi kipimo mmefanikisha kupata ujauzito
Hongera sana me nilifanyia lakin mbaka leo bado
Ata mm nilikuwa utasema nimejificha na inauma
Wana fanyia beigani iki kipimo maana na mie nimeshauliwa nikafanyiwe
Niliambiwa et ni75 huku bukoba
Me nilifanyiwa operation.uliziba wa kushoto
Ulipimwa kwanza hiki kipimo ndipo ukaenda fanyiwa opareshen et
Ndio@@AgrethRemijus
Unapona kwa muda gani oparetion yke
Vp opadation yake bei gan na matokeo imeyapata
Tarh21 naenda kupima sijui itakuwaj kuna mtu kanitisha et kinauma
Ata mie naenda tar 19
Vp dada ulipima?
@sarahcheyo9619 nilipima nikakuta mrija wangu umeziba ila nilitumia dawa za kienyeji sasa iv na ka mimba kama una ndugu mwenye tatizo kama ili mwambie anitafute nimsaidie dawa nilitumia kwa miezi miwili tu
Iki kipimo bei yake ikoje jamani
Ni 80
Mimi nimefanyiwa hakiumi km nilivokua nasikia sifa Kwa watu
Bora umentia moyo😢
Kweli ndugu maana mie tae 19 ndio naenda
@@KylaCleophasyani jamani mungu atusaidie
Eti eeh haya
Kinauma hatar haya
Naskia kinauma jmn hk kipimo
Naam kinauma kiasi chake, ila hatari yake nyingine ni rahisi kupasuka kwa mirija japo ni mara chache kutokea, lakini piainaweza kuziba kiurahisi tena kwa mara nyingine
Duh ahsante doc
Nina ushuhuda jamana kinauma kweli
@@provianapaul6634 lakini kilikusaidia?? Na kinauma sana au mfano wa nn aaah Mungu mm muoga mm
Dr. Ramo habr pole na majukumu, jee naweza pata mawasiliano yako au namba ya watsup
Nimepitiya hiyo mara mbili jamani inauma uwiiiii asikwambie mtu ,ila mimi nimeishia kupata
Kweli dada
Unanitisha mm naenda kufanya tarehe 21
Inauma sana asikwambue mtu duuuuh
Vp
kinauma mno mim nilipiga ukunga Kam najifungua hivi niliisi nakufa