Dokta apo amesema mjamzito anaeza pata Hilo Tatizo ndani ya miezi mitatu je mimba unaweza kuonekana kirahisi Kama ukipima kwa kipimo Cha mkojo Mana najiskia dalili za mimba maana nimepitiliza siku zangu Leo Ni siku ya 15 lakin nilipima mimba asuhuh ya Leo mimba haioneshi na sijawah kupitiliza mwezi bila kupata hedhi japo huwa tarehe zinabadilika lakini sijahi pitisha mwezi bila kupata hedhi
Kweli Doctor Mwenyezi Mungu akubariki ila umekosea kitu kimoj ungelitoa tiba
Barikiwa sana nimejifunza kitu kikubwa
Naomba kupata naombaa zenuu
Mm sio kabisa Yani na Luka Luka sana mama
Jamani tiba yake nin mbona hamjatueleza
Mimi napata maumivu nikifanya mapenz yan maumivu makali chini ya kitovu
Asante Kwa maelezo mazur je Tiba yk ni ipi ?
Asant kwa kutusaidia
Asante doctor kwa maelezo mazuri, je naweza kupata mawasiliano yenu?
Kwann mimba kuharibika
Dokt Mm na weza kaa miez miwil adi mitatu bila kuingia period
Doctar samahan mm naenda blide mala mbili kwamwez nitumie dawa gani
Mi Hadi nachoka achwa ninywe mitishamba tu😢
Tatizo langu viung vya nje havilingani kam kifua kimzd upnd mmoj na mkon na tmbo 😂😂 msaada plz
Naomba namba ya huyu dokta
Dr nimetumia vindonge,haitaji nafanyje,please dr
wapi naweza kupima?
Unapatikana wapi ?
Docta naomba niulze
Asante,mpo wapi?
Namba ya dokta jamani naombaa
Dr nzuri huyu jamani Umenufanya nikautwa mama
Namba yake jamn
nasikia anabei sana
Naomba no.zake
Namba yake naomba plzz
Dada ni kweli
tiba ni ipi sasa juu mm naitaji hiyo tawa
Jaman naomben namba za huyu docter
Et docta xahan vidonge vya duphasto doz vinakuw vingp,,?
Docta naomba nixaidie xwali langu
Doctor naomba nisaidie nina mvurugiko wa homone then nahitaji mtoto
Nisaidieni mie nilishawi kuzaa lkn mpaka sasa inafika mwaka wa 9 sipati mimba
Doctor nisaidie mwaka wa 10 toka nimezaa mpaka leo sipati mimba,nasiku zangu za hedhi napata siku 2 tu na kidogo sana
@@swadahamningo1948wewe kama mimi tu dear naomba ukipata sms hii naomba unitafute na km ulitibiwa nisaidie
Jaman mm natumia kijit naend bleed ad week mbil nataman kutoa naogop mimb
Ata mimi jamani sijui nifanyaje.
@@ChristinaExavery-oj1hmkitoe kimegoma hicho
Naitaji kupata mtoto lakini mzunguko hauko sawa
Anza kubadilisha lishe yako.
Dr unapatikana wapi na naomba mawasiliano ya hsp yako
Tupeni no pleas
Dk Mimi ninahisi nimjamzito na pia nimepitiluza siku zangu sizioni napata maumivu chini ya kitovu
Namba yako docta Nina hitaji ushaur
Doctor wangu huyu yupo vzr
Naeza pata namba ake
@@hawakazumari8282 anapatikana chanika mpz ukishuka buyuni ulizia kwa dr kapona au Tikaya unapelekwa
Kweli sakina
Hii hospital ipo wapi
Unanamba zakee
mie nimepunguza mwili ,ila prolactin homon iko juu tu
Kaz nzur doctor naomba namba yAko kuna jambo unishaur
Chanika buyuni ukifika pale unauliza boda boda dokta kapona
Nipatie namba
Dokta apo amesema mjamzito anaeza pata Hilo Tatizo ndani ya miezi mitatu je mimba unaweza kuonekana kirahisi Kama ukipima kwa kipimo Cha mkojo Mana najiskia dalili za mimba maana nimepitiliza siku zangu Leo Ni siku ya 15 lakin nilipima mimba asuhuh ya Leo mimba haioneshi na sijawah kupitiliza mwezi bila kupata hedhi japo huwa tarehe zinabadilika lakini sijahi pitisha mwezi bila kupata hedhi
Ulifanikiwa kupata hedhi yako au ulikua mjamzito maana na mimi nimepata tatizo kama lako na bado sijapata p
Hat mm nasumbuka na hil
hi je nikiwa kwenye piriod naruhusiwa kumeza vidonge vya majira kubalance hormon
Mbonaa docter ujibuu hiilo swalii
Tupe namba za huyu dokta wako jaman
@@linahmsacky4566 doktar tunaomba namba zako
tunaomba namba yako doctor
Hapana