Jinsia ya mtoto haiwio determined na siku ya tendo, never! Mbegu za kiume ndo zina determine jinsia. Haya maneno mengine ni mambo ya kubahatisha. Otherwise tungekuwa na uwezo mkubwa wa kupangilia watoto.
Inawezakana kuplan kupata mtoto wa jinsia moja au ingine hii ni kwasabb mbegu za kiume zimetofautiana katika issue ya life span ambapo gamette x inaishi masaa 72 lakn gamette y inaishi masaa 48 kwahiyo ukishiriki tendo three days b4 siku za hatr kwa mwanamke probably atapatikana wa kiume lkn 4 the case wameshiriki tendo wakat yupo cku hatar basi gamette itakayo arrive mapema ndy itadetermine mtoto wa kiume au wa kike
Hii fafanuzi ndio nilikuwa naitaka,, Docter anajua sana angekuwa mwl wangu wa mathe aaaah lzima ningefahuru❤❤❤
Mpaji ni mungu shukru na jinsia ya watoto ulioajaliwa nayo....cox kunawengine hawajaajaliwa hata na 1 ...mm na wakike Nampa mungu asante 🙏 🙏
Nimekuelewa sana ❤❤
Mungu ndie anapeana mapacha wala sikutengeshea😂😂😂hapo sielewani na nyinyi.
Well understood
Jinsia ya mtoto haiwio determined na siku ya tendo, never! Mbegu za kiume ndo zina determine jinsia. Haya maneno mengine ni mambo ya kubahatisha. Otherwise tungekuwa na uwezo mkubwa wa kupangilia watoto.
Inawezakana kuplan kupata mtoto wa jinsia moja au ingine hii ni kwasabb mbegu za kiume zimetofautiana katika issue ya life span ambapo gamette x inaishi masaa 72 lakn gamette y inaishi masaa 48 kwahiyo ukishiriki tendo three days b4 siku za hatr kwa mwanamke probably atapatikana wa kiume lkn 4 the case wameshiriki tendo wakat yupo cku hatar basi gamette itakayo arrive mapema ndy itadetermine mtoto wa kiume au wa kike
Kwakwel upo sawa
@@Msonjojrhata mm najua ivyo
Hivi ukifanya mapenz siku ya mwisho ya hatari unaweza ukapata mimba??
Mm tokeanianze kupata hedhi mpakasahii sina date moja nashindwa naanzia wapi kuesabu😢😢
Hiyo ni kwa wenye mzunguko wa siku 28
Ata mimi nilifuata masharti aya nikapata wakike kweli maana nilikua na wakike wawili
Ahsatee sana mungu akubariki
Mnazingua bwana.
Bi idhini llah
Siku ya kutoka yai siku inne utahesabu aje upate mtoto wa kiume
😮😮
🙏🙏🙏🙏
Wangapi wanabeba mimba kwa siku ya saba? Yaani baada tu ya kuisha hedhi
docta nimemaliza hedhi leo siku ya saba na mimi nataka mapacha je nifanyaje?
Mbegu ya kiume inakaa suku 5 mbegu ya x na ya y ni masaa 24 siku Moja.
sidhan kama nimeelewa ulichoandika mzee
Uongo
Mnazingua
Doctor wife ameona hethi 24 je siku hatari kishika mimba tarehe ngp
Tarehe 7
Nimemaliza mzunguko tarehe 24 je siku ya kushika mimba ya mtoto wa kiume ni ipi
Siku ya 20 unaweza kupata mimba?
Hapana
Dokta nitumie dawa gani kuongeza homoni na kurutubisha mayai
Una umri gan
Miaka 36 nina watoto 2 nataka kuongeza
Hivi siku ya mwisho ya hatari unaweza ukapata mimba??
Mnazingua
na nini
How