Kuku wa kisasa ni hatari sasa tunakuja na hii nashauri kama mtu huna shida usijaribu na Bora ukose kabisa kwa matakwa ya mungu ukubali kutokana na mapenzi ya mungu . Kutakuwa na shida baadae
Kupandikiza sio vibaya bora zile mbegu ziwe za mumeo halali , yaani mkee na mume wanadoa wanaweza kufanya hivyo. Lakini sio mwanamke kwenda kununua mbegu za mwanaume ambaye sio mumewe na kupandikiza.
Ukiwa una shida na hakuna namna itabidi tu upandikize, Jamani tusidanganyane umeolewa na hujapata mtoto utaishi kwa tabu sn ukweni, nyie yasikufike, mpaka mtu anatoa pesa chungu nzima hizo anapandikiza ujue yamemsibu acheni tu watu wapandikize

Mi napandikiza tu kama nina shida nitafanyaje

Allah akbar