Dr Ramo
Dr Ramo
  • 26
  • 423 420
NAMNA YA KUBEBA MIMBA NA MWENZA WAKO ANAISHI MBALI @ramonawatoto ​⁠ #fertilityjourney #uzazi
Njia rahisi ya kubeba ujauzito ikiwa mwenza wako anaishi mbali na hamuwezi karibia Kila mwezi ni kuhakikisha
1: unakuja vizuri mzunguko wako wa hedhi ili kubaini siku ya hatari kwenye mzunguko wako
2: kufanya vipimo vya uzazi kwa Wote Wenza ili kuhakikisha hakuna kikwazo kinachoweza kuwa Kuwakwamisha kubeba ujauzito
3: Pangani kukutana Walau siku 4 kabla ya siku ya ovulation (siku ya upevushwaji)
4: kurudiarudia Mara nyingi na kutokukata TAMAA mapema kwani siyo kila mwanamke hubeba ujauzito mara ya kwanza wanapojaribu kutafuta ujauzito
Mawasiliano kwaajili ya matibabu ya uzazi na changamoto za ugumba wasiliana na Dr Ramo kawaida au WhatsApp +255 712 286 686
#fertility #uzazi #love #longdistancerelationship #womenempowerment
มุมมอง: 7 400

วีดีโอ

𝐍𝐉𝐈𝐀 𝐙𝐀 𝐔𝐇𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐌𝐀𝐏𝐀𝐂𝐇𝐀
มุมมอง 36K11 หลายเดือนก่อน
𝐷𝑜𝑐𝑡𝑜𝑟 𝑛𝑎𝑤𝑒𝑧𝑎𝑗𝑒 𝑘𝑢𝑝𝑎𝑡𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑚𝑎𝑝𝑎𝑐ℎ𝑎? 𝑎𝑢 𝑛 𝑑𝑎𝑤𝑎 𝑔𝑎𝑛 𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑘𝑢𝑏𝑒𝑏𝑎 𝑢𝑗𝑎𝑢𝑧𝑖𝑡𝑜 𝑤𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑚𝑎𝑝𝑎𝑐ℎ𝑎. 𝐻𝑖𝑧 ℎ𝑎𝑝𝑎 𝑛 𝑡ℎ𝑒𝑜𝑟𝑦 𝑛𝑎 𝑓𝑎𝑐𝑡𝑠 𝑧𝑎 𝑘𝑖𝑠𝑎𝑦𝑎𝑛𝑠 𝑧𝑖𝑡𝑎𝑘𝑎𝑧𝑜𝑘𝑢𝑠𝑎𝑖𝑑𝑖𝑎 𝑘𝑢𝑏𝑒𝑏𝑎 𝑚𝑖𝑘𝑏𝑎 𝑛𝑎 𝑢𝑘𝑎𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑤𝑎𝑤𝑖𝑙 𝑎𝑢 𝑧𝑎𝑖𝑑 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑚𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑦𝑎𝑘𝑜 𝑈𝑠𝑖𝑎𝑠𝑎ℎ𝑎𝑢 𝑘𝑢𝑠𝑢𝑏𝑠𝑐𝑟𝑖𝑏𝑒 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑐ℎ𝑎𝑛𝑒𝑙 𝑦𝑎 @𝑅𝑎𝑚𝑜𝑛𝑎𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑘𝑢𝑗𝑖𝑓𝑢𝑛𝑧𝑎 𝑚𝑒𝑛𝑔 𝑘𝑢ℎ𝑢𝑠𝑢 𝑢𝑧𝑎𝑧 𝑛𝑎 𝑎𝑓𝑦𝑎 𝑘𝑖𝑢𝑗𝑢𝑗𝑎𝑢𝑧𝑖𝑡𝑜 𝑘𝑖𝑢𝑗𝑢𝑚𝑙𝑎 #𝑅𝑎𝑚𝑜𝑛𝑎𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 #𝑑𝑟𝑅𝑎𝑚𝑜 #𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜𝑚𝑎𝑝𝑎𝑐ℎ𝑎 #𝑚𝑖𝑚𝑏𝑎 #𝑢𝑧𝑎𝑧 #genderreveal
mambo haya hayapelekei mimba kuharibika
มุมมอง 636ปีที่แล้ว
✍RAMO NA WATOTO tunatoa huduma ya matibabu na utatuzi wa changamoto za uzazi kwa wake na waume, sambamba na afya ya watoto. 💊maudhi ya kukoma hedhi 💊maudhi ya ujauzito 💊maudhi yatokanayo na hormonal imbalances 💊ushauri na maelekezo juu ya vipimo na utatuzi wa Afya kiujumla 🌬TUNAPATIKANA ILALA Uhuru road MNF house ghorofa ya kwanza Jumatatu hadi Jumamosi saa 3 asbuh hadi saa 11 jion ⚪ 255 712 28...
UNAPATA HEDHI YENYE MABONGE MABONGE (njia ya kuondokana na tatizo hilo ukiwa nyumbani)
มุมมอง 7K2 ปีที่แล้ว
@ramonawatoto @drissambashumd531 @Khattafya
UPUNGUFU WA HORMONES ZA KIUME NA ZA KIKE NI CHANZO CHA UGUMBA
มุมมอง 1.9K2 ปีที่แล้ว
UPUNGUFU WA HORMONES ZA KIUME NA ZA KIKE NI CHANZO CHA UGUMBA
MZUNGUKO USIYOELEWEKA (CALENDAR ) Irregular Menses @ramonawatoto @ammarruwehy @afyatips
มุมมอง 124K2 ปีที่แล้ว
MZUNGUKO USIYOELEWEKA (CALENDAR ) Irregular Menses @ramonawatoto @ammarruwehy @afyatips
SIKU SALAMA NA SIKU ZA HATARI KWENYE MZUNGUKO WAKO @ramonawatoto @millardayoTZA @afyatips
มุมมอง 223K2 ปีที่แล้ว
SIKU SALAMA NA SIKU ZA HATARI KWENYE MZUNGUKO WAKO @ramonawatoto @millardayoTZA @afyatips
KWANINI HAUTAKIWI KUTUMIA VIDONGE VYA P2 @ramonawatoto @millardayoTZA @muhimbiliuniversity980
มุมมอง 6092 ปีที่แล้ว
KWANINI HAUTAKIWI KUTUMIA VIDONGE VYA P2 @ramonawatoto @millardayoTZA @muhimbiliuniversity980
UKWELI KUHUSU (H. S. G) KIPIMO CHA MIRIJA
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
UKWELI KUHUSU (H. S. G) KIPIMO CHA MIRIJA
Endometriosis" moja ya maradhi yanayosababisha ugumba
มุมมอง 1.5K2 ปีที่แล้ว
Endometriosis" moja ya maradhi yanayosababisha ugumba
CHAKULA CHA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA UZAZI
มุมมอง 2.1K2 ปีที่แล้ว
CHAKULA CHA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA UZAZI
KABLA YA KUTUMIA VIDONGE VYA P2 TIZAMA HII
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
KABLA YA KUTUMIA VIDONGE VYA P2 TIZAMA HII
UGUMBA UNAVYOWEZA KUPONA KWA NJIA YA IVF
มุมมอง 3832 ปีที่แล้ว
UGUMBA UNAVYOWEZA KUPONA KWA NJIA YA IVF
Wema wangu ..... short film story ya kusikitisha by wazee wa connection
มุมมอง 7134 ปีที่แล้ว
Wema wangu ..... short film story ya kusikitisha by wazee wa connection

ความคิดเห็น

  • @OthmanSaleh-x5m
    @OthmanSaleh-x5m 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nashukru kaka nimeerewa

  • @NasturaMbululo
    @NasturaMbululo 3 วันที่ผ่านมา

    Naomba kuongea na wewe

  • @OmarMnambilo
    @OmarMnambilo 4 วันที่ผ่านมา

    Habar Samahan doctor kwa mweny mzunguko huu w 21 mwisho w hatari n 12 sas 12 hiyo hiyo ndiyo miongon mw siku z hatari z mwanzo kw mzunguko w siku 28 je - ikitokea uliosh ni w siku 21 af unaofuat n 28 itakuwje.?

  • @Mubalaksalumu
    @Mubalaksalumu 6 วันที่ผ่านมา

    Doctor mm nilikuwa natumia uzazi wampango ilaniliacha toka mwezi wa7 mpaka leo sijabeba mimba naomba unisaidie hap

  • @AbelMisano-vx3os
    @AbelMisano-vx3os 6 วันที่ผ่านมา

    Asante doctor nimekuelewa

  • @VailethMmari-yo8el
    @VailethMmari-yo8el 7 วันที่ผ่านมา

    Mimi naomba unisaidie mzunguko wangu hauweleweki mwez uliopita niliingia tr 4 mwezi huhuo nikapata tr 30 sielewi tr gani ya kupata mtoto wa kiume mwezi huu naomba msaada

  • @ElizabethMroki
    @ElizabethMroki 9 วันที่ผ่านมา

    Mfano hedhi inatoka mwezi mzima tatizo linakuwa mini? Inakata siku mbili ya tatu inatoka hivyo hivyo had I mwezi unaisha.

  • @JenipherFulola
    @JenipherFulola 9 วันที่ผ่านมา

    Kaka angu naomba unisaidie na Mimi nina tatizo la mzunguko wangu Mimi naingiaga badala ya miezi mitano kuja kuona mzunguko wangu tena naomba ushaur wako kaka angu

  • @Sharirer
    @Sharirer 9 วันที่ผ่านมา

    Mimi nimeona hedhi talehe 24 za mwezi wakumi na 11 nikaja kumaliza mwezi 12 /4 nahivi nisaona tena sikuzangu yani sijuwi kama nimechelea ua laa

  • @GodfreyKaMukala-zs8lc
    @GodfreyKaMukala-zs8lc 10 วันที่ผ่านมา

    Je kwetu tunao ingia mwisho wa mwez

  • @SmamyYousouph
    @SmamyYousouph 10 วันที่ผ่านมา

    Je ukikutana nae siku ya mwisho baada ya ovulation?

  • @VeronicaMichael-w5t
    @VeronicaMichael-w5t 10 วันที่ผ่านมา

    Doctr naomb kuuliz mm nanda prd siku Tatu tu siku mbili naend kdg tu je nikiongez siku nne Alf nikafny mapnz naweza kept mimba

  • @LightnessKwilasa
    @LightnessKwilasa 11 วันที่ผ่านมา

    Clomiphene dr wangu ila jinsi ya kutumia hujaeleza

  • @ukhtyshery8970
    @ukhtyshery8970 11 วันที่ผ่านมา

    Yaani hii process Kila siku nilikuwa nafundishwa Ila sijawahi kuilewa. Ila leo ndio nimeielewa vizur sanna. Ahsante sanna Dr

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 12 วันที่ผ่านมา

    Je ukianza tare 28 siku ya hatar hpo nitare ngapi

  • @ManenoDaniel-c2j
    @ManenoDaniel-c2j 12 วันที่ผ่านมา

    Usitumue kingeleza wengine ha tuelewi

  • @GoziiPendwa
    @GoziiPendwa 13 วันที่ผ่านมา

    Dokta unapatikana wapi

  • @Aliy-m1c
    @Aliy-m1c 14 วันที่ผ่านมา

    Hiki kipimo kwani shingapi

  • @AnethByabato
    @AnethByabato 16 วันที่ผ่านมา

    Sijaelewa hizo no. 18 umeitoa wap

  • @SizzoSela29-sh8nz
    @SizzoSela29-sh8nz 16 วันที่ผ่านมา

    Doctor mimi nilikutana na mwanaume mchana jioni nikaingia piliodi je naweza kupata mimba

  • @EshaAlly-w4s
    @EshaAlly-w4s 17 วันที่ผ่านมา

    Dr .nimekuelewa sana asante sana kwa elimu hii🙏

  • @theplaceofredeemedtanzania2650
    @theplaceofredeemedtanzania2650 17 วันที่ผ่านมา

    Samahani kaka mim kila nikiingia hedhi uwa tareh zinarudi nyuma mpak inakuja moja sasa naomba nisaidie nikiingia tareh 28 had 31 je siku yangu ya hatar ni ipi

  • @WitnessMtonyole-s2x
    @WitnessMtonyole-s2x 19 วันที่ผ่านมา

    Napitia changamoto nilikua natokwa na hedhi kidogo ikabadilika yakaanza mabonge makubwa nimepata wikimbili saivi yanatoka maji yenye mchanganyiko na damu naomba ushauri

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 19 วันที่ผ่านมา

    Hiki kipimo hiki kinanuma sana nakijuwa

    • @MwadiTony
      @MwadiTony 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Zaid ya kuuuuma dear

  • @miriamkivava8153
    @miriamkivava8153 21 วันที่ผ่านมา

    Mimi nataka mapacha

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd 22 วันที่ผ่านมา

    Nashida na ww watsup doctor

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v 23 วันที่ผ่านมา

    Nikiwa ndani ya hezi tumbo inauma sana pia natapika sijui shida nini

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v 23 วันที่ผ่านมา

    Munambie Niki onana na mwanaume naumiya pia maji yanakauka naumiya sana shida nini😢

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v 23 วันที่ผ่านมา

    Mimi damu zinakwisha siku 5

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v 23 วันที่ผ่านมา

    Mimi talehe zinabidirika ,

  • @sirajirashid329
    @sirajirashid329 24 วันที่ผ่านมา

    Namna ya kutipata dawa

  • @sirajirashid329
    @sirajirashid329 24 วันที่ผ่านมา

    Namna ya kuzipa dawa

  • @AlexBahati-ti4vq
    @AlexBahati-ti4vq 24 วันที่ผ่านมา

    Hi

  • @NyauloVeronikca
    @NyauloVeronikca 24 วันที่ผ่านมา

    Jaman nataman mtoto awe wa kike au wakiume kikubwa mtoto tu, na hedhi yangu iko shabalabagala ni kuanzia 30 mpaka 35

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 25 วันที่ผ่านมา

    Ivyovidonge navipataje sasa docter

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 25 วันที่ผ่านมา

    Japokuwa siku elewa ila unajitahidi kuelewesha mtu ni kichwa changu tu ndo imegoma

  • @MaryMushi-w5h
    @MaryMushi-w5h 25 วันที่ผ่านมา

    Naomba ushaiur

  • @MaryMushi-w5h
    @MaryMushi-w5h 25 วันที่ผ่านมา

    Dr habar mim nimeingia hedhi tarehe 10 siku nzur za kubeba mimba ni zip

  • @AnitaApolinary
    @AnitaApolinary 26 วันที่ผ่านมา

    Duh!!hapo kwny siku kama tatu nyuma 😂😂😂 ngoja nicheke kama mazuri lkn ni hatar,asante dr

  • @WaLuiche
    @WaLuiche 26 วันที่ผ่านมา

    Mzunguko wangu wa hethi unabadilika badilika naweza kubeba mimba

  • @WaLuiche
    @WaLuiche 26 วันที่ผ่านมา

    Mm naitwa zainab

  • @WaLuiche
    @WaLuiche 26 วันที่ผ่านมา

    Mm naitwa zainab

  • @WaLuiche
    @WaLuiche 26 วันที่ผ่านมา

    Mm zunguko wangu hauwelewek

  • @LeahSospeter-p7e
    @LeahSospeter-p7e 27 วันที่ผ่านมา

    Asanteh kaka nimeelewa

  • @nadiaseif
    @nadiaseif 28 วันที่ผ่านมา

    Natamani mapacha wawili wa kike asante Dr kwa darasa

  • @DeborahMwanadampapa
    @DeborahMwanadampapa 28 วันที่ผ่านมา

    Dr mahitaji no yako

  • @DeborahMwanadampapa
    @DeborahMwanadampapa 28 วันที่ผ่านมา

    Kipimo hiki kunauma sio kawaida

  • @husseinkondo7746
    @husseinkondo7746 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa darasa Dr

  • @EllyKalage
    @EllyKalage หลายเดือนก่อน

    Mimi June 27,July,29,agast 31 , Sept 28,October 30, November 30 hapo kwenye somo nimekuelewa

  • @FilohiMohamed
    @FilohiMohamed หลายเดือนก่อน

    Mm mwezi Wa Kumi Na moja liingia period tarehe Kumi Huu mwezi Wa Kumi Na mbili nimeingia tarehe nne ss mzunguko Wangu uko vipi, Na tarehe Saba mwezi Huu nimelala Na mume wangu kwahivo Na tarehe Leo tarehe nane nimelala Nae Nae kwahivo nitakuwa nimeshabeba mimba????