Mapacha wa Huba: Watoto, Wachumba wetu wanatuchanganya, tunabadilishana nafasi na watu HAWAJUI - PT2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
  • Christina na Regina Mroni ni mapacha wanaofanana sana (identical twins) na maisha yao tangu wakiwa watoto yamekuwa ni kuchanganya watu wengi. Wanasimulia maisha yao na jinsi ambavyo maisha yao yapo tofauti na watu wengine. Wanasimulia pia maisha yao ya sanaa ya uigizaji na pia urembo hasa kwa Regina aliyeshiriki Miss Tanzania 2006
    #ChillnaSky #Part2

ความคิดเห็น • 451

  • @cristerthomasy4978
    @cristerthomasy4978 3 ปีที่แล้ว +8

    Mapacha raha jaman... Mungu katujalia na ss tupo Pacha.... Kama unatamani pacha gonga like hapa twende pamoja

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 ปีที่แล้ว +77

    E Mwenyezi Mungu Nami naomba siku nikiolewa uje unijalie mapacha 🙏🙏

    • @fatmamohamed1240
      @fatmamohamed1240 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameen thumma Ameen

    • @latriciah01augustino67
      @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameeen

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว +1

      ucombe best sema upate kizazi chema mie nilikua nasema km ww nikambiwa km ivyo nilivyokwambia mn ucone pacha wako apo wanaongea saiv sio kazi rahic best wng mwanamke mwenzetu yaani mama kapambana sana haswaaa

    • @kahoribonga9280
      @kahoribonga9280 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @shakylahamad8326
      @shakylahamad8326 4 ปีที่แล้ว +1

      Aamiin

  • @eilinli7846
    @eilinli7846 4 ปีที่แล้ว +24

    Poleni kwakufiwa na mzazi wenu😭ivi angeona raha yenu ManshaAllah

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 4 ปีที่แล้ว +56

    Wamebarikiwa hekima,Busara na kujielewa..ustaharabu Kama woote..daah nataman niwe Kama hawa

    • @simonhaule4076
      @simonhaule4076 4 ปีที่แล้ว +2

      Ma'am Lissa acha kutamani sas afu anza kuwa

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 4 ปีที่แล้ว +22

    Muko vzr mashaAllah ruki na rani naomba Allah anijaalie na mm mapacha hata wa3 na wafanane wana raha sanaa

  • @mackmillan2803
    @mackmillan2803 4 ปีที่แล้ว +52

    Eeeeeh mwenyenz mungu Naomba unipe Twice jaman,,,Amen

    • @francoisecharlotte119
      @francoisecharlotte119 3 ปีที่แล้ว

      Samaani nadhani kama ulimanisha twins 👯‍♀️ Apana twice right?

    • @josephkomba64
      @josephkomba64 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe ww ni kama mm jaman nawapenda hatari

    • @manasadunia3458
      @manasadunia3458 3 ปีที่แล้ว

      Ameen nami pia nawatamani twins

  • @esthermarco8525
    @esthermarco8525 4 ปีที่แล้ว +2

    I love u guys. .natamani nami Mungu anibariki siku moja nipate twins maana napenda sana watoto mapacha

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +15

    Poleni sana kwa kufiwa na mama yenu mpendwa.R.I.P Mama yetu.

  • @jasminiddy8734
    @jasminiddy8734 4 ปีที่แล้ว +4

    Eee mwenyezi mungu nijalie nami kizazi changu nipate mapacha wakike kama hawa yaraab

  • @jumasaganka8479
    @jumasaganka8479 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah na mm pia namwomba Allah anijalie nije kupata mapacha wanaofanan

    • @mamaikram9612
      @mamaikram9612 4 ปีที่แล้ว

      Amiin insha allah

    • @simonmollel4167
      @simonmollel4167 4 ปีที่แล้ว

      Mungu azidi kuwabariki Sana.nimewapendeza jinsi mnavyoishi Kwa upendo,furaha na amani, nyie ni mfano kwa jamii

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 5 หลายเดือนก่อน

    adi raha na wanakipaji cha kufanana ,wote mafundi na ngozi yawo ninzuri na hawana mambo mengi❤❤❤❤

  • @hapinesphilimon8127
    @hapinesphilimon8127 4 ปีที่แล้ว +5

    EE MWENYEZ MUNGU NAOMB UNIPATIE KIZAZI CHA MAPACHA AMEN

    • @nancyonduru6186
      @nancyonduru6186 4 ปีที่แล้ว

      Hata mimi Mungu anibariki na mapacha wasichana kama nyinyi.

  • @brigithernkinga8160
    @brigithernkinga8160 4 ปีที่แล้ว +10

    Kumbe kila mtu Ana watoto wa wili wa wili hongereni sana my twins

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 ปีที่แล้ว +30

    Watoto mapacha wanaraha yake km Mungu nijalie na mm nipate km hawa 🤲🙏 nimewapenda buree

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +1

      Sana

    • @advocatekarama4917
      @advocatekarama4917 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen mi pia

    • @faithM828
      @faithM828 4 ปีที่แล้ว

      Atujalie sote. I love twins so much.
      th-cam.com/channels/Iei0c0l73F8pmbT4IbrC-g.html

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +4

    Napenda kweli kiswahili chetu mawapenda sn❤❤❤😍❤❤

  • @munynasser365
    @munynasser365 4 ปีที่แล้ว +3

    I just love them😘😘

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana, naomba Mungu nipate pacha kama nyie yani wanichanganye mpk nichanganyike

  • @annamsingi2829
    @annamsingi2829 4 ปีที่แล้ว +1

    Mapacha wazuri kama watoto wangu GRESY na Regina mungu awalinde wote

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +5

    Aiseee ahsante sky sikuwah kujua kama kweli hawa ni mapacha siku zote nilikuwa nadhani mtu mmoja anacheza part mbili

    • @hildakazige1637
      @hildakazige1637 4 ปีที่แล้ว +1

      Nawapenda sana hawa wadada twins mungu anijaalie namimi nipate twins kama wao😍😘😘🙏

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante pacha wangu

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapendaaaa😙

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 5 หลายเดือนก่อน

    Wacheshi Sana muda wote wanafuraha ❤❤❤💕🌺🌺

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +1

    Mapacha wangu ❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥asanteni sns family

  • @nganahesandra2293
    @nganahesandra2293 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana ❤❤😘😘

  • @seciliakilala7921
    @seciliakilala7921 4 ปีที่แล้ว +4

    So beautiful

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 ปีที่แล้ว +3

    Most adorable identical twins , black beauty 🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 4 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda sana

  • @winkitkendi9730
    @winkitkendi9730 3 ปีที่แล้ว +1

    So beautiful ❤️💕

  • @devothaphidelis3010
    @devothaphidelis3010 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana jamani, mungu awape wepesi ktk kila hitaji la moyo wenu.

  • @kulwasaid1750
    @kulwasaid1750 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sanaa

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mapaca❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮

  • @kellykelly7901
    @kellykelly7901 4 ปีที่แล้ว

    Wow ..! This is very interesting story 🤗🤝

  • @officialpriscillakiloko9811
    @officialpriscillakiloko9811 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow ♥️❤️

  • @godriverjackson5
    @godriverjackson5 4 ปีที่แล้ว

    Ongeleni mungu mzuri Sana.amewaimba vizuri nawapenda San as a na😘😘

  • @maggymm7302
    @maggymm7302 4 ปีที่แล้ว +2

    Ooh they are so cute 😁😁

  • @nyamunakisuda6333
    @nyamunakisuda6333 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana haswa kwa wa jina wangu

  • @fransiskaazizi9329
    @fransiskaazizi9329 4 ปีที่แล้ว

    Waooh nice interview I like it big up Rani and Ruki wa hubaaaa!!!

  • @veronicahungwi5718
    @veronicahungwi5718 4 ปีที่แล้ว

    Wooow their are charming😍😘😘😘😘

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nia pacha wangu namwomba mungu anijalie mume Bora na baba Bora then mungu ndipo aruhusu mapacha wa kufanana kila kitu

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwatangulia jaman, nimewapenda bule mnavopendana, Regina na Tina

  • @sabinaBatholomeo-th5wt
    @sabinaBatholomeo-th5wt 3 หลายเดือนก่อน

    Wadada wazuuuri Sana na wanafanana Sana.Hongereni

  • @sophiapendaeli2801
    @sophiapendaeli2801 3 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda mno jamani uwiiiii nyie niwarembo mno mpo vizuri sana

  • @kabateimelda9689
    @kabateimelda9689 4 ปีที่แล้ว +15

    Jameni warembo nawapenda sana 💋♥️🇹🇿

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri mnapendeza sana

  • @elcasamwel8204
    @elcasamwel8204 4 ปีที่แล้ว

    Eee Mwenyezi Mungu naomba nijahalie nipate mapacha

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah nawapenda sana mungu awape maisha marefu

  • @taupenisanshimirimana3384
    @taupenisanshimirimana3384 4 ปีที่แล้ว +6

    Wow

  • @ashuraaomar925
    @ashuraaomar925 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda ngozi zetu zinavutia kwa kweli hongereni

  • @alinemukakalisa2224
    @alinemukakalisa2224 4 ปีที่แล้ว +1

    Munafurahisha sanaa

  • @salimaomari6602
    @salimaomari6602 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sn jmn Mungu azidi kuwatunza napenda sn scene zenu kwenye filam ya huba...nawapenda💖💖💖

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awalinde jamani wazuri mno adiraha mungu ni jalie mapaca 🙏

  • @alawiyaramadhan6932
    @alawiyaramadhan6932 4 ปีที่แล้ว +1

    I love you guys so cute girl 😘❤

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanamuchanganya Sky adi anakosa maswali yakuwahuliza😂😂😂nimewapenda

  • @elizabethmruma6373
    @elizabethmruma6373 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana mko vizuri

  • @asinatjuma8088
    @asinatjuma8088 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana leo 💃🤗🤗🤗🤗

  • @kayesuloice
    @kayesuloice 4 ปีที่แล้ว

    Amaizing

  • @inathimid9979
    @inathimid9979 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana Hawa wadada

  • @saraharon3053
    @saraharon3053 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 ปีที่แล้ว +7

    Sky amechanganyikiwa aki.....there life is funny🤣🤣🤣🤣

  • @shukurugerald5941
    @shukurugerald5941 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 ปีที่แล้ว

    Na wapenda bure wadada...wazuri mungu awa bariki sana tu

  • @linetphoebe1513
    @linetphoebe1513 4 ปีที่แล้ว

    So lovely

  • @user-dz7ej5jc1s
    @user-dz7ej5jc1s 4 ปีที่แล้ว +9

    Nawapenda bur 💗💗maa sha allah

  • @oman7710
    @oman7710 4 ปีที่แล้ว

    Polen sana kwa kuondokewa na mama Mungu awapeni furaha.

  • @jamesimakindi453
    @jamesimakindi453 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji bwana uko wa baridi sana

  • @maryamjilo7318
    @maryamjilo7318 3 ปีที่แล้ว

    MashAllah mumefanana sanaa

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 2 ปีที่แล้ว

    Ongereni sana kwa kazi hiyo

  • @angelmgeni4347
    @angelmgeni4347 4 ปีที่แล้ว

    Wao safi Sana mungu anipe nami

  • @husnaefraim2983
    @husnaefraim2983 4 ปีที่แล้ว

    nawapendaa hawa sanaa wadada wako vyemaa sana

  • @lilhomies2541
    @lilhomies2541 4 ปีที่แล้ว +4

    Nlikua naangali huba nikawaza kama washafanyiwa interviews Hawa madada.. Kushika simu tu nakutana na hii interview. Big up sky nikama ulikua kichwani mwangu vile ukanipa chenye nilikisubiria kwa mda

    • @annamwakibinga3190
      @annamwakibinga3190 4 ปีที่แล้ว

      Sky huwa hukosei napenda maswali yako sana Mungu akubariki sana

  • @ivonnassary1377
    @ivonnassary1377 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki muendelee kupendana mpaka mwisho wa maisha ye

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah wamefanana sana adi raha

  • @UwepoTv
    @UwepoTv 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki napenda mapacha sana

  • @stevelawrence1944
    @stevelawrence1944 4 ปีที่แล้ว +3

    Poleni Sana kwa kufiwa na Mama mzazi RIP

  • @masudjuma5917
    @masudjuma5917 3 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana hawa mapacha

  • @philomenamakonge227
    @philomenamakonge227 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Kwa kumpoteza mama yenu kipenzi Mungu baba awasaidie sana.

    • @almasymsabah4858
      @almasymsabah4858 3 ปีที่แล้ว +1

      Poleni sana kwa kumpoteza mama duuh poleni sana

  • @pamelanaini7807
    @pamelanaini7807 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow you are looking so beautiful nina pacha pia lakini sidhani kama tuko this copy right big love for both you from Kenya💝💝

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 4 ปีที่แล้ว

    Noma mazee

  • @faidhabyabato5853
    @faidhabyabato5853 3 ปีที่แล้ว

    Pendeza saana mungu azidi kuwatunza

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 4 ปีที่แล้ว +13

    Penda sana nyie twins Gina na Tina...mnatupa raha sana kwenye huba... 😘

  • @evankya1955
    @evankya1955 4 ปีที่แล้ว +1

    very interesting

  • @fatumaalharthiy32
    @fatumaalharthiy32 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @ngombalengombale4528
    @ngombalengombale4528 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana mungu awalinde

  • @trizahnjoki3663
    @trizahnjoki3663 2 ปีที่แล้ว

    Wako sawa kabisa

  • @mercymwanika9467
    @mercymwanika9467 4 ปีที่แล้ว +26

    Hata mamangu walizaliwa watatu wakiwa pamoja huwezi jua yupi ni yupi

    • @calvinruben2013
      @calvinruben2013 3 ปีที่แล้ว

      A trick: you can watch movies on Flixzone. Been using them for watching lots of of movies recently.

    • @zaynfrancis3507
      @zaynfrancis3507 3 ปีที่แล้ว

      @Calvin Ruben Definitely, I have been using flixzone} for since december myself :D

    • @elijaheli8632
      @elijaheli8632 3 ปีที่แล้ว

      @Calvin Ruben yup, I've been watching on Flixzone} for since november myself =)

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda na ninawakubali sana mapacha wenzangu

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว +1

    Raha sana maisha kwakweli na upendo wao walionao

  • @angeljohn9307
    @angeljohn9307 4 ปีที่แล้ว +1

    Poleni kwa kufiwa na MAMA chacha Mm MAMA bocko

  • @joycekimaya3593
    @joycekimaya3593 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda bure MUNGU nijalie nami nipate mapacha

  • @neemamwaisela6448
    @neemamwaisela6448 4 ปีที่แล้ว +1

    Waoo mpaka raha eee mungu nami nikuzie wakwangu

  • @emk9458
    @emk9458 4 ปีที่แล้ว

    KWANINI ULIKUFA KWA HUBA JAMANI? HADI NIKAACHA KUWATCH HUBA. I LOVED THE BOTH OF YOU. MUCH LOVE FROM KENYA.

    • @mariumpius9014
      @mariumpius9014 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe nawe uliacha jm!! Yan imewakumba weng😒.pole

  • @susanmerengo7823
    @susanmerengo7823 4 ปีที่แล้ว

    I like your spirit

  • @gracelameck7013
    @gracelameck7013 3 ปีที่แล้ว

    Mungu nibariki nipate pacha kama hawa

  • @suzyjames3511
    @suzyjames3511 4 ปีที่แล้ว

    Mnapendeza mapacha

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnapendeza

  • @selinalaban9677
    @selinalaban9677 3 ปีที่แล้ว

    Lovely twins😘

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 4 ปีที่แล้ว +22

    Beautiful gals!!! Black is Beautiful kwa kweli... Yani wakati naanza kuwaona kwenye Huba nilijuwa ni mtu mmoja...😅

  • @subirachrispin9209
    @subirachrispin9209 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana twices

  • @frankmagesa2998
    @frankmagesa2998 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mung awape maisha maref

  • @marymwita4521
    @marymwita4521 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kwa msiba wapendwa