Ongera sana joti na.mkeo kwa.kutuletea watoto wazuri wow joti napenda sana vichekesho vako Mungu awabariki na abariki hao watoto nipo Kenya nawapenda sna
Joti that baby girl is your photocopy,may God cover them with blood of Jesus. Mtoto wa nyoka ni nyoka bro concentrate on their talent na wekeza ktk hilo.
ALA KUMBE JOTI ANAMENO ZOTE ZA MBELE, ILE PENGO IMEENDA WAPIIII?????, KUMBE JOTI HANDSAM , HONGERA KWA WATOTO👭 MR BOB SOSY A,K,A, KATIA WA FAYA SINON ARUSHA
Heshima kwako Joti na mapacha wako, na mke wako mzuri Mungu azidi kuwabariki Sana nawapenda
Kumbe kitombangile kitwango ako na wife poa
Ongera sana joti na.mkeo kwa.kutuletea watoto wazuri wow joti napenda sana vichekesho vako Mungu awabariki na abariki hao watoto nipo Kenya nawapenda sna
😂😂aliecheka kama mimi alipomuona Joti akiwa kwenye mavazi haya na akavuta picha ile anapokuwa na mavazi ya kazini gonga like wadau😂😂
Mungu akubariki joti my legend na familia yako❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera joti baba wawili upo serious ukiwa mpole unapendeza
Dah mungu akutangulie joti na familia yako
Joti kumbe akiwa serious yuko poa alafu ni handsome mashallah 👌👌👌👌
Ana amininmapacha Wana bahat agonge like hapa kwapacha aake
Da kiboga hongera...from kenya
Mungu Naomba unirehem baba wambingun,,Naomba uje unipe na Mimi mapacha,,, Amen
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aameen ..In sha Allah 🙏
Achage kusuka mke asuke nae kusukwa jmn
I
Amen
Mashaallah nguo ninzuri sana zinaonekanatu shukran
Waoh .Heshima Kwako Joti..iam Your Huge Fan
Taarfa ya habari itv
Hongera mmy joti kwawatt wazuri sana
Yaani joti! Yupo kawaida tuuu! Utafikiri anachekesha yaani kakaa ki comedy! Comedy tuuuu!
Ahahaah ety tupo kiinternational zaid🤙yeah yeah😂😂😂
I thought joti is single nitume cv... Now lemme focus on sopa🤣🤣tuzae pacha nne
Mashaallah
Hongereni GSM kwa bidhaa bora,mi ni moja wapo wa mteja wenu wa misumali hapa Mbeya,big up kweni
Nice
Sio kwa kufanana uko na babaao mungu awatunze mapacha wa taifa
Mashaallah joti
Siku hizi joti unajua kujieleza zamani ulikuwa huwezi.Hongera
Joti that baby girl is your photocopy,may God cover them with blood of Jesus. Mtoto wa nyoka ni nyoka bro concentrate on their talent na wekeza ktk hilo.
Joti hunifuraisha sana na video zake zaniacha hoi 😂😂😂
Mimi nampenda akiigiza kama mzeee😃😃😃 anapendeza😅😅😅
Nakupenda bureeeee
Bg up sana Nishai
Eee mwenyezi Mungu tubaliki nasi tupate mapacha
Aameen...in sha Allah
afu uwapeleke wapi?
Amiin nataman mapacha
Waoooh
Beautiful kids
Walah jot utasema sii yeye hahahahaaa
Ana wife mzuri sanaaa
Alivyo serious sasa😂😂kama sio yeye vile anavyofanyaga ujinga😂😂😂😂joti bhna
Yaan acha tu😂😂
Kabisa
😀😀😀
Hahahaha
Huwa yuko job🤣🤣🤣🤣
Love
Joti bhana😄 et yupo serious 😀😀😀😃
Good
Mke Wa jot mpole sana tena mzuri
Cute
🔥🔥🔥🔥🔥joti
Muda wowote joti anayazua hapo hachelewi huyo akili zake anazijua mwenyewe🤣🤣🤣
Bro u made it
Nguo za bbyy shop naziaminia sna.. Zipo quality snaaa na unique... Nimeshawahi Kumnunulia mwanangu utapenda kwa kwel
Mashallah nguo za watoto kuanzia umri gani
Jamaan nawapenda mapacha eee mwnyz mungu nawaomba hata wanne
Aameen ..In sha Allah
Na Mimi pia anipe 3
Na mimi pia anipe 2
Maa shaa Allah
Nice
Such a sweet kids
Ican't wait to visit baby shop
Hongera jot nakupenda sana
Kumbe kiboga hana mwanya zameni kam kuko mwengin ambaye alikuwa akifahamu hilo naomba l'aile zeyu apa jamen
Hahahaha joti Jembe langu aiseee
Joti vinywele😂😂😂
Yaan jot bana we kiboko alaf namuona huyo baby boy Ni we kabisa Mambo yake
Nishai😃😃
Kweli nguo zao ZIKO vzr
Angalau
Hongera joti
yaan alivyotulia kama sio yeye vile alivyo na vituko😂😂
Fungueni na Zanzibar pia tuache kwenda Dubai na China
Kazi ipo
Duh! Kumbe joti ni handsome kiasi hiki sijaamini 😅
Hata mimi nimeshangaa
Kumbe tumeshangaa wengi
Macho yako yanaona kama mimi hahaahha
Joti umeniroga... kila nikiona video yako na like.. mbona?
Joti kammaindi mkewe ajampa mtoto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ww melete mtoto mana uyu anakalibia kuliaaaa mke kakaushaaa
Nawapenda bure
Yani Joti katulia tuli😁hata kile kicheko chako.hucheki tukakosikia🤣🤣🤣🤣anyway hongera lwa twins na mkeo ni.musupuu😃😃
Babyshop duka kubwa sana Dubai
Make me mwanza mfungue baby shop
UKIRUDIA TENA UTATOA WATATU UKIJUMLISHA DU TAKE CARE, MR BOB SOSY A,K,A, KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI NA MH, GAMBO
yani joti hapo kama sio yeye akianza kuweka maziwa na matako hahahahaha
Joti wangu... Ungekua na ile trouser yako
🙄🙆😂😂😂😂
Kumbe unakua mpole hivyo hahahah
Hahahaaa kwakweli uno ndio linalegeza kitandaa😂😂😂😂yani hawezi kujishika na masihara yake
Mtoto wakike anafanana sana nababa yake
Sana yani adi raha
Joti na suit😂😂😂
Nakukubalisana mpogolo $lukasi mhuvile
Hatari mmependeza
Dah Jotiiii
Joti kumbe huwa uko serious hivyo😜😜😜🤣🤣🤣
Big up baba wawili na mama wawili
Muombe Mungu akupe mapacha na uwezo wa kuwatuza na Afya njema Kwa maana nao wanakazi
Amin
Amin
Akili zangu mimi nikajuaga joti hana jino moja kumbe hahahahahaha
Joti poah xana aisee na ni baba Wa kuigwa aisee
Haaaa joti ona ulivo serous jamn kama so ww
Jori bana huko nywele
Kaa kike sula ya baba safi ongela bro
Sura ya mama
Mmmmmm😘
Mtoto wa nyoka ni nyoka, watoto hao wanaonekana watundu Kama baba yao 😀😀
hapo umesema dear 😂😂😂
ALA KUMBE JOTI ANAMENO ZOTE ZA MBELE, ILE PENGO IMEENDA WAPIIII?????, KUMBE JOTI HANDSAM , HONGERA KWA WATOTO👭 MR BOB SOSY A,K,A, KATIA WA FAYA SINON ARUSHA
huwa anaweka black colour ndio maana anaonekana hana meno
50/50 kwa joti na mkwewe somo limeeleweka
Kea m
Kabisa
Hu jamaaa hawezi kuturia anafaa kua bodigadi
Hongera joti vipacha jamn wazur
Fungueni huku Kenya pia jameni
Yani utazan sio wewe Kiboga 😂😂😂😂😂😂
Hahahaaa
,😂😂😂😂
😆😆😆......mbavu zangu!!
🤣 🤣 🤣 🤣 Kiboga duh
Yan hako kakike kanaonekana katundu kama baba yake
😆😆😆😆😆😆
Jot aaaa!
Hi to log
Bwana nishai
Imekaa poa
Wamekupatia kiboga Leo unageuza macho tuu mbona nacheka peke yangu
MashaaAllah mke mzuri sijui anajisikiaje akimuona mumewe akifanya vituko
da cool kiba mko powa
@@bilalmussa4533 tuko poa
Sema joti umetulia sana
Joti hongera
Dah najikutaa nachekaa tuu....napenda sn vitukoo vyakee joti aisee🤣🤣🤣
jott tumuogope mungu unamshukuru mungu naminyoosho kichwani turudii kwamungu