TAZAMA : NDUGAI AMPIGIA SIMU LEMA SIMU KUMUOMBA MSAMAHA KIMYA KIMYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 159

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu ปีที่แล้ว +13

    Oya Lema, ningekua walau nina confidence robo ya uliyonayo ningekua mbali. Keep on going bro

  • @mwanabucheyeki226
    @mwanabucheyeki226 ปีที่แล้ว +18

    Sasa hivi yuko Vizuri ki fikra tofauti na zamani! Yote anayoongea yana uhalisia katika maisha!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว +4

    Vikoba mlaaniwe na mzidi Kulaaniwa tena hasa hao wahesabu pesa mnakula pesa za wamama wasiojua hesabu vizuri 🙋🙋

  • @Broken_Beats__23
    @Broken_Beats__23 ปีที่แล้ว

    Lema unatumiwa na jo Davie

  • @raphaelwegesa1664
    @raphaelwegesa1664 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa tokea aje amekua kama chizi

  • @Rodelite11
    @Rodelite11 ปีที่แล้ว +8

    I have a lot of respect in Mh. Lema. He’s a great man.

  • @mirajilimited8563
    @mirajilimited8563 ปีที่แล้ว +5

    ..Kabla haujajinyonga nenda kwanza kwenye ibada mshilikishe Mungu kwa Maombi then kumbuka kujinyonga au kitendo cha kuua ni dhambi kubwa sana 🔥 unamjua aliekuumba kwanini ujiue au umpoteze binadamu mwenzako wakati unaamini ukimwomba anakupatia..... TOKOMEZA SHETANI USIJIPOTEZE EWE NI SHUJAA WA MUNGU!....BALOZI MIRAJI TZ

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 ปีที่แล้ว +3

    Tungepeta watatu kama hawa nafikiri watu masikio yangezibuka

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 ปีที่แล้ว +8

    Huyu Lema ni mtu wa Mungu kwelikweli na Mungu atazidi kumbariki

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius ปีที่แล้ว +11

    This guy is genious ila usipokuwa makin..Hutaelewa

    • @alfredmarti3131
      @alfredmarti3131 ปีที่แล้ว +1

      Siyo wengi wanaona hiyo. Yupo mbele hata huu utata wa boda boda

    • @zanarttz4335
      @zanarttz4335 ปีที่แล้ว

      kwa kuongea sawa si kutenda na tunahitaji matokeo si kashifa

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 ปีที่แล้ว

      Walio aminishwa no ni yes na yes no, hawawezi mwelewa kabisa. Na faida kubwa kwa tawala zote za ccm Nchi hii ni kuendelea kutawala wajinga na sio kuongoza welevu wa mambo.

  • @verasikawa6382
    @verasikawa6382 ปีที่แล้ว +10

    Umesema kweli muheshimiwa lema

  • @festoasanga5572
    @festoasanga5572 ปีที่แล้ว +4

    Kweli huyu jamaa nimtam saana daaaa wana Arusha mlimpata huyu mwamba hadi natamani kuhamia uko

  • @tanescocompany-gy2th
    @tanescocompany-gy2th ปีที่แล้ว +7

    Very Very Broght Brother Lema God Bless You Umeongea Vitu Flaani Hivi Kuhusu Hao Manabiii Aiseeeh

  • @innocentmsoka7805
    @innocentmsoka7805 ปีที่แล้ว +3

    Amina lema barikiwa sana Utukufu wa Mungu Mkuu Ukafunuliwe kwako umesema vema nabii yule ni tapeli tu

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว +8

    Minakuerewa Sana nabii wamungu anakututumia aamina

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana baba ukweli ni mzuri

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 ปีที่แล้ว

    Kwani wewe ni mbunge? Wewe si mbunge na yeye ni spika na hautaupata tena ubunge. Hakuna utumishi wowote ulionao tofauti na kuwa kibaraka wa mashoga.

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu ปีที่แล้ว +5

    Points sana hapo kwenye kukopesheka, dhamana zinakera sana

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 ปีที่แล้ว +4

    Huwa simuelewi mtu ambae anamchukia na alikuwa anamchukia magufuli Kwa kweli MUNGU anisaidie Sana wenda ufahamu wangu ni mdogo🤔🇹🇿🙏🏿

    • @suleymanjuma4309
      @suleymanjuma4309 ปีที่แล้ว +1

      Kwa vile unaejielewa nimekupenda

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 ปีที่แล้ว +1

      Ulikua basi humfahamu magufuli halisi , huyu ndie katili aliyewahi kutokea, labda kama unapenda dhuluma huyo atakua mtu sahihi kqako kumoenda,

    • @GoodluckMushy
      @GoodluckMushy 3 หลายเดือนก่อน

      Ww c mwehu

  • @josphatmwandele8860
    @josphatmwandele8860 ปีที่แล้ว +3

    Nakuelewa sana kaka

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว

    WEWE USILIMU UMESHAONA UKAFIRI SIO DINI KUVUA NGUO WAKE ZA WATU NA KUDHUMU MASKINI MOTO UNAWASUBIRI MAKAFIRI

  • @christophermwanjoka7406
    @christophermwanjoka7406 ปีที่แล้ว +14

    Nimekuelewa vizuri sana.Msimamo wako mzuri sana

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 7 วันที่ผ่านมา

    Lema hebu kidogo kama unaomba Mungu akusaidie akuondolee hiyo weekness ya kuongea sana kuna vitu ni siri

  • @Joh-j9s
    @Joh-j9s ปีที่แล้ว

    Yani unayongea ni ukweli mtupu.😂😂

  • @rudiaeliakim2172
    @rudiaeliakim2172 ปีที่แล้ว +2

    wanaoguwa utawajua tu comments zao
    lazima watukane au wawe kinyume ata kwenye ukweli

  • @christophertarimo3044
    @christophertarimo3044 ปีที่แล้ว +6

    Lema nabii

  • @FaustineKingu-w8d
    @FaustineKingu-w8d ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri bado tunakuhitaji bungeni

  • @alfrediaugustino1026
    @alfrediaugustino1026 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mtupu waambie hao wachungaji mchwara

  • @bibitwinsbibidd7677
    @bibitwinsbibidd7677 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana na Mungu azidi kukuhekimisha

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 ปีที่แล้ว +19

    God bless Lema, The true Man in the society of Tz

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 ปีที่แล้ว

      Yeah, that's for sure.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Malipo ni hapa hapa duniani

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Mungu yupo hai na anafanya kazi usiku na mchana na huyo gugu hapo arusha lazima atatoka mwenyewe

    • @adamamani8816
      @adamamani8816 ปีที่แล้ว

      Umejaaliwa sana kuongea ila unayoyaongea sio kweli ni sifa tu unatafuta

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      @@adamamani8816 ulitaka anyamaze kisa nyiye mnajaza hayo matumbo na hela za watoto wa masikini mlaaniwa wewe acha kabisa kujibu commenti za watu endelea kuchumia hilo litumbo lisiloja

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up Brother

  • @meddymushmaz551
    @meddymushmaz551 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo hatukuelewi,,tunaona kazi unayofanya nikudsifia Kikwete my friend

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว +1

      Kikwete pamoja na udhaifu wa ki binadamu zama zake kulikua na unafuu wa maisha mzunguko wa shilingi ulikuwepo

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +3

    Umesema ukweli lema

  • @mtumishiendwell-sd2pp
    @mtumishiendwell-sd2pp ปีที่แล้ว +9

    Sauti ya mtu aliaye nyikani

  • @mihayoandrew
    @mihayoandrew ปีที่แล้ว

    Unasema.kqeli.nayaona

  • @mihamboseleli2877
    @mihamboseleli2877 ปีที่แล้ว +2

    kweli kabisa nibora ucheze mchezo kuliko kikoba

  • @osianjaphet9072
    @osianjaphet9072 ปีที่แล้ว

    Kuna kipande mmekata

  • @MgabeMsalaba
    @MgabeMsalaba หลายเดือนก่อน

    we lema unacho taka ni nìni

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 5 หลายเดือนก่อน

    AKILI KUBWA HII JAMANANI

  • @pureleathershoes8066
    @pureleathershoes8066 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwamba anatema point sana. Viva Lema.

  • @selinatogolai3314
    @selinatogolai3314 ปีที่แล้ว +1

    Wewe toka urudi unat engeneza uadui kwak ila mtu kwanini usirudi kwa amani tu unafany a uadui nakila mtu kw anini mwenzio tundu lisu karudi kwa amani tu wewe maneno men giiiiiiiiiiiiiiii acha bwana tunataka amani bwana

  • @elibarikkiakyoo
    @elibarikkiakyoo ปีที่แล้ว

    Tuungane tumfanye awe next president 🤔nilimwana toka zaman

  • @florafumbuka434
    @florafumbuka434 ปีที่แล้ว +1

    Fanya siasa za kistaarabu kuimarisha chama siyo kuendeleza chukki na malumbano ya kutafuta watu kulipa kisasi mwambie rais atawasamehe kama uluvyosamehe×a kesi zako onesha upendo umekujà kulipa kisasi?

    • @ferdinand1880
      @ferdinand1880 ปีที่แล้ว

      Hujui unachozungumza,anachosema n ukweli usipokosolewa huwez kujua madhaifu yako,ruhusu watu wakukosoe ufike mbali

  • @bashobabaraka706
    @bashobabaraka706 ปีที่แล้ว +3

    Big up broo

  • @selekiwande3386
    @selekiwande3386 11 หลายเดือนก่อน

    Akiri kubwa

  • @israelnjohn8070
    @israelnjohn8070 ปีที่แล้ว +2

    Lema kaongea Mambo ya maana kabisa asante bradhar huo ni ukweli usiopingika

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว +1

    Lema yuko vizuri

  • @sizaadolph2287
    @sizaadolph2287 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah huyu lema anasema ukweli mtupu

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 ปีที่แล้ว +1

    Duuh!kuna watu wenye vipaji vya kuongea!!!

  • @joshuakazimoto2607
    @joshuakazimoto2607 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal akili kubwa

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

    Kuwa Spika Tanzania kustaafu ukala "good time" ni bora kuliko kubaki madarakani.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

    Naomba tuusikie na upande wa pili. Story nzuri ni ile yenye balancing

  • @fredyshirima8594
    @fredyshirima8594 ปีที่แล้ว +1

    Much respect commander ✌

  • @yawepetro2049
    @yawepetro2049 ปีที่แล้ว

    Hakuna mungu apo sili unapewa navigogo wa ccm unajifanya umeoteshwa

  • @nesphorycharles9371
    @nesphorycharles9371 ปีที่แล้ว +2

    Dah big up broo u'a bright man!!

  • @sizaadolph2287
    @sizaadolph2287 ปีที่แล้ว +1

    Nmependa maneno yq mheshmiwa

  • @hamisinyanga4579
    @hamisinyanga4579 ปีที่แล้ว

    Wewe ni kibalaka tu.usiwatukane waafrika wenzio .nyama we

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 ปีที่แล้ว +2

    Lema nakuelewa sana sana

  • @florafilbert3288
    @florafilbert3288 9 หลายเดือนก่อน

    Lema nlikuwa namwelewaga tokea zamani mtu wa Mungu sana God bless you

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว

    Wachungaji matajiri waumini masikini hii imekaa vibaya sana.

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli tupu unazungumza

  • @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
    @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 ปีที่แล้ว

    Mbona amuogelei ng,ombe kuuzwa naselekari zawatu watoa

  • @usalamaedward1189
    @usalamaedward1189 ปีที่แล้ว

    Utamuelewa Lema ukiwa na akiri kubwa ya kufikili sio mihemko

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 ปีที่แล้ว +3

    Lema is a nice person in arusha

  • @sadiqkumbata4144
    @sadiqkumbata4144 ปีที่แล้ว

    Mungu atakufanyia wepesi mdogo wangu utaenda mbali.rangi ya kijani tunaiaga kabisa na nyumba walizogawana zitarudi tu

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 ปีที่แล้ว +2

    Kichwa chako kimeyumba

    • @GoodluckMushy
      @GoodluckMushy 3 หลายเดือนก่อน

      Kma cha mamako

  • @fridalazaro3208
    @fridalazaro3208 ปีที่แล้ว

    Wewe kweli unatakiwa kuwatoa walio ingia huko maana ukiwa na shida wewe mchungaji anakuombea kutatua shida zako lakini mchungaji akiwa na shida wanamchangia hawamuombei hivi kweli hapo Pako sawa!!!!?

    • @elibarikkiakyoo
      @elibarikkiakyoo ปีที่แล้ว

      Jiulize break-down ikiingia mtaron inatokaje

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 ปีที่แล้ว

    Huyu anafikiri yeye ni Mtoto wa Mungu. Alisema alimuombea MAGUFULI kufa na akafa utafikiri yeye ataishi milele. . Alisema Samia atakufa na bado hajafa. Ndungai Kama ameomba musamaha kwa huyu fisi basi hana maana. Huyu anabidi kuomba musamaha kwa watanzania, kwa lugha yake mbaya kwa huyu mwizi amekosea sana. Ni mtu muchafu mwenye lugha mbaya.

    • @zakayomasingoti9238
      @zakayomasingoti9238 ปีที่แล้ว

      Una macho lakin huon..una masikio lakn husikii una ubongo mkubwa akiri kijiko

  • @hussainmaulatz6758
    @hussainmaulatz6758 ปีที่แล้ว

    Lema endelea kuipelekea serikali pumzi yamoto ili maendeleo yaende kwa haraka pia tunampongeza RAISI SAMIA kuruhusu haki ya kikatiba inayofanya wapinzani kuzungumza mazaifu ya serikali ili kusogeza maendeleo.

  • @chiriccmabobo8746
    @chiriccmabobo8746 ปีที่แล้ว

    😅

  • @sirbabu169
    @sirbabu169 ปีที่แล้ว

    Unaongea vitu gani sasa?? Sijaelewa chochote kabisaa

  • @msauzbusiness558
    @msauzbusiness558 ปีที่แล้ว +1

    We lema nawe uwaga kaongo kaongo xn

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว

    Hakuna nabii hao ni wapiga pesa TU.

  • @zachariahariohay359
    @zachariahariohay359 ปีที่แล้ว +2

    Chizi

  • @stevenkomba5692
    @stevenkomba5692 ปีที่แล้ว +5

    Inaniingia akilini kwa mbali.....ngoja niendelee kutafakar

  • @nejamsalo9287
    @nejamsalo9287 ปีที่แล้ว

    Acha kutuzingua bana mbona hukusema hayo siku zote

  • @bethuelkonyuniofficial7930
    @bethuelkonyuniofficial7930 ปีที่แล้ว

    Lema for Arusha and arusha for lema
    Temepwaya sana kwa miaka mitano

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 ปีที่แล้ว

    Acha kumsema magufuri arusha hatukutaki

  • @rudiaeliakim2172
    @rudiaeliakim2172 ปีที่แล้ว

    kwanini watumishi wa mungu wengi wanaishi mjini tu
    hawapeleki huduma vijiji na huko kuna kondoo wa bwana

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 ปีที่แล้ว

    Tuambie uliahidiwa Shilingi ngapi ili uwe mbunge??? Tujue walikuwa wanawanunua kwa bei gani Pesa za walipa kodi

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว

    Mungu anamuonyesha anaaibika job ndugai

  • @maxmedia8506
    @maxmedia8506 ปีที่แล้ว

    Kikundi cha watu kumi kinakopeshwa laki tano

  • @priscairene4605
    @priscairene4605 ปีที่แล้ว

    Huu.ndo.ungwana.amefanya.vzr.ndugai.kuomba.msamaha

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 ปีที่แล้ว

    Hiyo michezo ya kubahitisha.ndo laana.

  • @godsgiftgreat4752
    @godsgiftgreat4752 ปีที่แล้ว

    LEMA UKO VIZURI SANA

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 ปีที่แล้ว +1

    omba msamaha kwa wale waliopoteza maisha yao kwa kuvamiwa kwa ujambazi wako kisha uwe mtu safi

    • @emmanuellaston5446
      @emmanuellaston5446 ปีที่แล้ว

      Alikuteka wewe?Acha huo umama

    • @pennygibson4542
      @pennygibson4542 ปีที่แล้ว

      Yy ndo aliwauwa

    • @pennygibson4542
      @pennygibson4542 ปีที่แล้ว

      ????

    • @RestutaLeo-xq7rf
      @RestutaLeo-xq7rf 21 วันที่ผ่านมา

      Yeye ndo aliwaua au na yy alikuwemo kwny wauliwao mungu akamuokoa, waambie hao ccm wenzako huo ujinga

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 ปีที่แล้ว

    Muongo huyo anaporoja tuuu

  • @mihayoandrew
    @mihayoandrew ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa.lema

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 ปีที่แล้ว +1

    Huyu umbwa akili zimemruka...kwanza sioni tishio lake kwa tanzania hii...kibwengo Fulani tu

    • @denishaule6314
      @denishaule6314 ปีที่แล้ว

      kaongea vema mbona?

    • @josephmugala1970
      @josephmugala1970 ปีที่แล้ว

      Kamuulize gambo Anajambajamba huko

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 ปีที่แล้ว +2

      Kama huwezi hat a kumuelewa huyu mwamba,basi tuna mashaka na akili yako itakuwa mbovu mno

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 ปีที่แล้ว

      Umemsikiliza vizuri?

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 ปีที่แล้ว +2

      KAMA HUJAMWELEWA WEWE UTAKUWA ULIANDIKIWA KWENYE FUNGU LA KUKOSA, MAANA YAKE AKILI , MWILI NA NAFSI HAVINA USHIRIKIANO. WENZIO TUNAMWELEWA NA TUNAMPONGEZA ANATUELEKEZA NJIA NJEMA, TUSIKOPE VIKOBA, TUSIDANGANYWE NA MANABII WA UONGO NK. WAPI HUJAELEWA?

  • @zanarttz4335
    @zanarttz4335 ปีที่แล้ว

    shida ni mawazo mbadala kwa mfano hata kwa jamii ndogo isaidie TUONE

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 ปีที่แล้ว

    wewe ni tapeli tena kibaka kweli

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 ปีที่แล้ว

    Lema nakukubali

  • @kamugishakaroti2569
    @kamugishakaroti2569 ปีที่แล้ว

    Ya uakika

  • @wanyamadan7105
    @wanyamadan7105 ปีที่แล้ว +2

    Financial institutions must have taken a point from Lema, very noble advice

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب ปีที่แล้ว

    Ngoja niendelee kutazama ntaelewa tuu kwa lazima

  • @daudibuyanza-sv8qz
    @daudibuyanza-sv8qz ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mr lema

  • @robertmwagala8280
    @robertmwagala8280 ปีที่แล้ว

    Good vision Mr Lema.

  • @rosemaryngowo2327
    @rosemaryngowo2327 ปีที่แล้ว

    Eti nina makandokando mengi mm sio mkamilifu

  • @mohamedwwnurumasagcom8171
    @mohamedwwnurumasagcom8171 ปีที่แล้ว +2

    Naona mkimbizi anazidi kuchanganyikiwa hau kafundishwa kuvuta bangi

    • @jackytingatinga2799
      @jackytingatinga2799 ปีที่แล้ว

      Watanzania mtapakia hapo changamsheni akili zetu Lema yupo sahii