PART 2: TUNDU LISSU AMUWASHIA MOTO MAKONDA/ ASHUGHULIKIWE/ WASITUTISHE/ NANI MACHAWA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #TUNDULISSU #MAKONDA #RAISSAMIA

ความคิดเห็น • 545

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md ปีที่แล้ว +42

    One of the best interview, muuliza maswali katulia akirusha maswali ya akili yenye mabomu ya ukweli, tundulisu anayapooza kidogo na ye anarusha mabomu yake, safi sana I really in joy the best interview,

    • @johnshirima7069
      @johnshirima7069 ปีที่แล้ว +1

      Huyu anayehoji anaitwa nani....yuko well composed and confident. Atafika mbali professionally

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +10

    Lissu ni mmoja tu,,,nakupenda sana mzee wang Mungu alikuacha kwa sababu muheshimiwa💪😍😍

  • @habibakowa
    @habibakowa ปีที่แล้ว +21

    Daaah huyu mwamba ni hatari sana, anashusha nondo za hatari sana💪💪💪

  • @jeremiahmushi2093
    @jeremiahmushi2093 ปีที่แล้ว +47

    Hii sasa ndio maana halisi ya maswali na majibu sio ujanja ujanja kila swali lina jibu lake ✊✊

  • @selemanishabani126
    @selemanishabani126 ปีที่แล้ว +28

    Mwandishi ni Genius sana

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว +3

      Hata mjibu maswali ni mwerevu nadhani

  • @fadhilirashidi7350
    @fadhilirashidi7350 ปีที่แล้ว +32

    Jamaa hujutii kufatilia interviews zake he’s bright kweli kweli!! Mungu amtunze

  • @joycekalembo2225
    @joycekalembo2225 ปีที่แล้ว +19

    Dah nguo za chadema nzuri sana🔥🙏.

    • @ngwananchambi2403
      @ngwananchambi2403 ปีที่แล้ว

      safi sana risasi kutetea nchi yetu kwani cc wanyonge hatutaweza kusomesha elimu ya kisasa!!

    • @masubukopita7201
      @masubukopita7201 7 หลายเดือนก่อน

      Nguo Kali sana

  • @katunzijasson5410
    @katunzijasson5410 ปีที่แล้ว +5

    Akili nyingi sana T.A.L huyumbi ktk misimamo bado ni mtu yuleyule kwenye hoja hata baada ya mengi kutokea....una misimamo ya msingi kufata hoja husika.....hakika Namshukuru Mungu kwa maisha aliyokupa na akili alizoweka ndani yako....kuna mahali umelisaidia Taifa hili pakubwa mno.......Heshima kwake comrade mbowe the mastermind of the game...

  • @mbwanashabani5637
    @mbwanashabani5637 ปีที่แล้ว +7

    Dar 24 Media ina waandishi makini sana, sio michezo hata siasa! Bravo

  • @salomemunishi1695
    @salomemunishi1695 ปีที่แล้ว +12

    Mr. Journalist You've earned my respect BIG UP...

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone182 ปีที่แล้ว +26

    Tundu Lissu anajielewa..anajitambua Yaani Daah Jamaa Anatisha sana..Long life Mkuu uzidi na kutufungua akili.

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 ปีที่แล้ว +17

    Mwandishi uko vizuri, maswali ni ya msingi na una nidhamu na taaluma yako.

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 ปีที่แล้ว +1

      Anachofeli ni kidgoo sana kabla hajamaliza kuelezea anataka kuuliza swali lingine

  • @andronicomkuyu1862
    @andronicomkuyu1862 ปีที่แล้ว +8

    Hakuna swali halijajibiwa, hoja kwa hoja, asante sana mnyampaa kwakweli Mungu amekubariki kwa hekima tele.

  • @grace-neemabuninange-bujik9117
    @grace-neemabuninange-bujik9117 ปีที่แล้ว +12

    Siku uliyopigwa risasi nililia sana. Nidhani hii akili kubwa tumeipoteza. But God is God he is here again

    • @mustaphamasobe8343
      @mustaphamasobe8343 ปีที่แล้ว

      Hata Mimi niliumia sana,maana angepotea huyu jamaa,tungepoteza mengi sana! Nampenda bila hiana!

    • @innocentmtashobya1257
      @innocentmtashobya1257 ปีที่แล้ว

      Nakumbuka nilikuwa nakula nilishindwa kuendelea..niliumia sana tena sana

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 ปีที่แล้ว +32

    Ukimhoji lissu usiwe na degree moja.

  • @kenedrocky5964
    @kenedrocky5964 ปีที่แล้ว +10

    Mwandishi wa habari uliye mhoji Mh Lissu, umenikosha Sana mtuwangu kwa maswali hevi, maswali yenye kuonyesha uhodari na uwezo wako wa kumfanyia mtu interview. Kongole Mzee Baba.

  • @hamzangwele1267
    @hamzangwele1267 ปีที่แล้ว +16

    Uyu muandishi anauliza maswali point na is My no 1 muandishi kwangu

  • @victorgogadi55
    @victorgogadi55 ปีที่แล้ว +6

    An interview,Best ever !

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +40

    Napenda sana Tundu Lissu anavyojibu maswali. Yaani unakuta anahamu sana ya kujibu maswali, anavyoelezea kama alikuwa kaandaa maswali yeye na majibu mapema. Lakini mtangazaji na yeye kasomea taaluma yake nimempenda sana.

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 ปีที่แล้ว +13

    TL 💪💪
    Brilliant!

  • @aigidiusandrea1915
    @aigidiusandrea1915 ปีที่แล้ว +22

    You've earned my respect Mr. Journalist

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 ปีที่แล้ว +8

    NIMEIPENDA HIYO ETI MIMI NAZEEKEA KWENYE MAPAMBANO😅😅😅😅 SAFI KABISA.

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว +6

    Umenifurahisha sana mheshimiwa....

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 ปีที่แล้ว +3

    Kama movie vile! Mwandishi uko vizuri.

  • @dinosmack
    @dinosmack ปีที่แล้ว +3

    Host uko vizuri

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว +13

    Nimefurahishwa na hii interview, Mwandishi yuko vizuri,na Kamanda Lissu yuko vizuri. Watuhumiwa wote waliotenda jinai awamu ya 5, iweje Sabaya peke yake ndio amefikishwa mahakamani?! Awamu hii ya sita inaacha maswali na mshangao juu ya watuhumiwa wengine ambao bado wanafumbiwa macho kana kwamba hawana tuhuma wakati wananchi tumeumizwa!

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

      Sebaya alikuwa more expose 😳 kuliko makonda

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว +11

    Daaa! Ku-appreciate mambo anayofanya mtu ni njema sana. Dr. Slaa alifanya kazi sana

    • @albertkamala6843
      @albertkamala6843 ปีที่แล้ว

      Ni kweli alifanya kazi kubwa sana..lkn kama kamanda aliyetegemewa na wengi akiwajibika kuongoza mapambano akiwa msitari wa mbele, ghafla alichomoka na kurudi nyuma na kuwaachia wenzake msala, suruba, mateso nk! Matokeo ni kama yanavyoshuhudiwa sasa...kuganga athari za hasara zilizotokea (damage control), yeye akiwa upande salama wa watesi aliokuwa anakabiliana nao! Ni majanga!

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe uzima tuuu we ni kiongoz makin san

  • @olaismollel7162
    @olaismollel7162 ปีที่แล้ว +7

    Hapa tu ndo namaliziaga MB zangu pia amepata mtu anaejua kuuliza maswali naamini iposiku fisiem itatupwa mbali

  • @husseynzooh1979
    @husseynzooh1979 ปีที่แล้ว +5

    Rais wangu big🧠✌️

    • @ngwananchambi2403
      @ngwananchambi2403 ปีที่แล้ว

      Mwandishi uliza maswali ya maana siyo ya kina sillaa na lowassa

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว +17

    Lissu kiboko. Hajutii yaliyomkuta,wala hapiganii cheo au maslahi binafsi Bali mstakbali mzuri wa maisha ya watoto wake,na watanzania wa kesho, Heri usiogope kufa, kuliko kuogopa kufa alafu ufe! Lumbert naye, acha kabisa!

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni kampeni akisha shika madaraka. Yotehayo anayaongea hutayaona.

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

      @@merckmdamu2942 umejuaje ??? Mbona anaongea kubadilisha mfumo wautawala, unaotoa hakisawa kwakila mtz, Wala huelewi hayayote

  • @samuelkayola8427
    @samuelkayola8427 ปีที่แล้ว +2

    Asante mkuu wetu lisu mngu azido kuwa nawe na zaidi nazaidi

  • @victoravelin575
    @victoravelin575 ปีที่แล้ว

    Dar 24 naomba namba ya ac niwawekee ela kidogoo yakula
    Mta gazaji pendwa huyu Asante sana kwa interview safi

  • @solomonmwenda2666
    @solomonmwenda2666 ปีที่แล้ว +6

    Sahihi kabisa Tindu Lisu. Viongozo wetu wanaishi Kifalme mno......

  • @lonyorilaizer8159
    @lonyorilaizer8159 ปีที่แล้ว +3

    Mmekutana kweli,Muuliza Maswali na Anayejibu wote vichwa, Techniques questions and Techniques answers!!

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 ปีที่แล้ว +4

    Waoo Nice interview ever ( 24) 👍👌❤🇨🇭

  • @pascalmanene413
    @pascalmanene413 ปีที่แล้ว +2

    For the first time I understand and I will start following you

  • @robertmodestmushema1297
    @robertmodestmushema1297 ปีที่แล้ว +18

    Ushabiki pembeni... Uzi wa Chadema ni mkali sana. Hiyo shati nimeielewa sana.
    Mwandishi huyu huwa ana akili. Fuatilia interview zake na Kasesela na hata watu wengine. He is clever and composed. THE BEST INTERVIEW WITH LISSU

    • @albertkamala6843
      @albertkamala6843 ปีที่แล้ว

      Anajitahidi lkn weledi bado sana! Viwango vya wanataaluma fani ya hbr bado...hilo liko wazi ktk mahojiano haya..kakutana na mbobezi wa sheria!

    • @sharifuamuri4638
      @sharifuamuri4638 ปีที่แล้ว

      Yupo kama salimu kikeke wa BBC

  • @maimunaabdullabi
    @maimunaabdullabi 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa Tundu unaakili sana

  • @hendrycomonsiwenga1128
    @hendrycomonsiwenga1128 ปีที่แล้ว +3

    Nchi masiki inatakiwa kuishi kimasikini! Point ☝️

  • @sofiamsuya2254
    @sofiamsuya2254 ปีที่แล้ว +2

    Bigup mwandishi ,i see you far

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 ปีที่แล้ว +3

    Journalist very impressive

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 ปีที่แล้ว +6

    This man is Very smart

  • @sethny112
    @sethny112 ปีที่แล้ว +4

    Lissu is a very wise person hasa hasa kwenye swala la uraia pacha.

  • @barakahiluka166
    @barakahiluka166 ปีที่แล้ว +6

    Dah mwandishi uko unakosha Santa💯💯💯

  • @husseynzooh1979
    @husseynzooh1979 ปีที่แล้ว +5

    SHKAMOO Mhe Lissu

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 ปีที่แล้ว +25

    Moja ya watu wakihojiwa na nakuwa na utayari wa kuangalia na kusikiliza mahojiano nao nchini kwangu ni Tundu Lissu

  • @harrywarren61
    @harrywarren61 ปีที่แล้ว

    Asante Sana nimekuelewa mweshimiwa

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 ปีที่แล้ว +7

    Waandishi bora wanapowahoji mtu kama Tundu Lissu na Fatma Karume basi hiyo interview itakuwa bora sana” Maana hao wawili wanajua mengi sana kupitiliza”

  • @jofreypinga5885
    @jofreypinga5885 ปีที่แล้ว +5

    Lissu ni mtu makini sanaaaaa

  • @SimonAbel-u4o
    @SimonAbel-u4o 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe jamaa ni bonge la interviewer. TAL ni Super Genious

  • @samweljames8947
    @samweljames8947 ปีที่แล้ว +7

    Nukimsikiliza tundu lisu najiona kama najua sheria.

    • @mbembelatv
      @mbembelatv ปีที่แล้ว

      Jichanganye ss ujipime km nikwel unaijua iyo sheria😂😂

  • @burhantvtzonline5417
    @burhantvtzonline5417 ปีที่แล้ว +19

    Good work Journalist 👏

  • @tounymsomoka7896
    @tounymsomoka7896 ปีที่แล้ว +2

    Kila cku huwa namshukulu Mungu Kwa kuniwezesha kumshuhudia huyu kiumbe huw wanatokeaga Mara Moja ndani Miaka milioni Kama Taifa tunapaswa kujivunia na kumshukuru Mungu Mungu ampe Maisha marefu azidi kumlinda

  • @danielalexd2272
    @danielalexd2272 ปีที่แล้ว +4

    Kwa Lissu Huwa sijuti kuweka Bando hata Kama itagharimu Gb 20

    • @lemausontz3513
      @lemausontz3513 ปีที่แล้ว

      Nakubali najua unamkubali kama mm ✌️✌️✌️✌️

    • @amansalim8518
      @amansalim8518 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa jamaa Yuko more focus sana

  • @muyajuma6278
    @muyajuma6278 ปีที่แล้ว +2

    Huyu lisu ni kichwa na nusu ,, mungu akujaalie maisha marefu mpaka ufanikishe ndoto zako za kuiacha Tanzania yenye katiba mpya amin

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +3

    Ndo hapo unajiuliza hadi. Unachoka. Zambia. Burundi uganda rwanda hawana bandari Lakini mafuta yao yako chini. .Sisi tuna bandari lakini mafuta yako. Juu.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว +1

      Viongozi wetu hawatujali wanajali wao kuendesha ma vi8 na maisha yao mazuri na familia zao. Hawawazi wananchi wananchi tupo kuwatumikia wao waishi vizuri na wapambe wao

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 ปีที่แล้ว +7

    Kuwa na mtoto mwenye uraia wa marekani au nchi nyingine sio kukosa uzalendo. Ni mambo ya kawaida sana. Tunawajua watanzania wa kawaida kabisa waliopata fursa ya kuishi marekani, kufanya kazi kule na kuzaa watoto wao kule na wabongo hao hao wamerudi nchini kuendelea na maisha

  • @burhantvtzonline5417
    @burhantvtzonline5417 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH AKUHIFADHI

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 ปีที่แล้ว +2

    Tundu lissu my alltime role model

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaj uko vizur saf sana

  • @wilsonmaduhu4921
    @wilsonmaduhu4921 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana

  • @godwinmawanjatz
    @godwinmawanjatz ปีที่แล้ว +1

    Thank you Mr.Jornalist....

  • @danielalexd2272
    @danielalexd2272 ปีที่แล้ว +4

    Huyu anatakiwa kuwa raisi aisee

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 ปีที่แล้ว +1

    Chawa ni mdudu mchafu,😁😁😂,maswali konki na majibu konkiiiii🤗💯👍🏾💪🏿👍🏾Tundu Lissu 🙏🏿💪🏿

  • @octavianbarnabas4527
    @octavianbarnabas4527 ปีที่แล้ว +4

    Jaman tumpe lissu nchi kama kweli tunahtaji future za watoto wetu wenye IQ kubwa mtanielewa mapema sana hata wakuu mpeni nchi kama kweli mnapenda nchi na vizazi vyenu pindi mtapokuwa hampo dunian

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 ปีที่แล้ว +4

    Tundu Antipas Lissu ni rais ajaye wa nchi hii tukipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.?
    Na ikitokea akawa RAIS,nchi hii itapata haki na uhuru wa kweli kwa watu wake , Kwani Lissu siku zote toka ujana wake anapigania Haki Haki Haki. Na kwa ajili ya haki hiyo,Mungu alimnusuru na kipigo cha risasi 16.mwiilini mwake. Huku akimbakizia Afya,Hekima na Busara za kupigiwa upatu

  • @expert5898
    @expert5898 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa... katiba mpya ndio kila kitu. Hilo linafahamika wazi wazi.

  • @davidheche839
    @davidheche839 ปีที่แล้ว +5

    Lissu unaakili sana, tangia umerudi umefanya interview nyingi na zote nikizisikiliza ni darasa huru

    • @deusmbuge5740
      @deusmbuge5740 ปีที่แล้ว

      Kwakua huna AKILI iliyojisimamia

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaaa ni kichwa kweli kweli yaani ni kichwa ni mtu na Nusu! Hii Nchi anaimudu Sana!

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว +4

    Lissu upo vizuri mna watu wasiojua ndo wanapata shida

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu6780 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mtu alitushughulikia saana!!!Kwa miaka takriban sita.Alituua,tujeruhi,alitufunga,AMETANGULIA.wasititishe??!!!!ASEEE HAPA MH TUNDULISSU umeongea kwa hisia saana.Any way kama kweli Magu Alishiriki wewe upigwe Risasi Hakika alikosea saana

  • @alekrugabire153
    @alekrugabire153 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa nihatari kabisa anajuwa kuongea . Magufuli alitaka ku muuwa shujaa alafu yeye aka tangulia . Lissu ni mwana siasa bora Africa

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 ปีที่แล้ว +6

    BIG BRAIN MR LISSU

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwandishi ni hodari sana.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 ปีที่แล้ว

    Big up sn Mr.Stanslaus ur good journalist

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 7 หลายเดือนก่อน

    Iv kuna watu walitaka kumuua huyu mtumishi wa Mungu iseeh😢

  • @brunoh_bx
    @brunoh_bx ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anajua kuhoji aisee, kongole kwake👏👏👏

  • @key.one_tz2767
    @key.one_tz2767 ปีที่แล้ว +9

    Nampenda sana huyu mzee natamani ange kuwa baba angu

    • @kbmsouth
      @kbmsouth ปีที่แล้ว +5

      Anza kumpenda baba ako kwanza.. 😎

    • @lovesallu5292
      @lovesallu5292 ปีที่แล้ว

      @@kbmsouth 🙌😂

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +3

      @@kbmsouth Umejua kunichekesha Sana 🤣🤣🤣 je Kma Baba Ake Ni Kilaza Kuna makosa hpo Kusema ivyoo 😂😂😂 Ila Ungeuliza kwann Unasema ivyo nadhani Angekupa jibu 😂😂😂

    • @barakawabuge5285
      @barakawabuge5285 ปีที่แล้ว

      @@kbmsouth 🤣🤣🤣🤣

    • @chegebukoli1914
      @chegebukoli1914 ปีที่แล้ว +1

      Hata hivyo Ni baba yako maana mtu yeyote anaelingana na baba yako Ni baba yako

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 ปีที่แล้ว +6

    Kweli tundulisu kunawatu watoto wao wamezaliwa humu lakini siyo wazalendo kweli kabisa wewe unauzalendo mpaka wanataka kukutoa uhai wako lakini umo tu

  • @geoffreynghumba1029
    @geoffreynghumba1029 ปีที่แล้ว

    Maongezi murua sana. Anayehoji anahoji vizuri na Tundu Lissu anajibu vizuri sana 👏👏👏

  • @geey7893
    @geey7893 ปีที่แล้ว

    Nachojua 2020 hakukuwa na uwezekano wa Mbunge wa Chadema kushinda ubunge popote Tanzania. Hata yule mmoja sjui alipataje

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha3733 ปีที่แล้ว +2

    Lisu Ni mkweli sana

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +32

    Hate him or love him, Tanzania needs this man

    • @johngibson3089
      @johngibson3089 ปีที่แล้ว +3

      Sure. I totally agree with you

    • @johngibson3089
      @johngibson3089 ปีที่แล้ว

      Kwa nchi ilivyo na kwa siasa za rafu za nchi hii zilivyo, MBOWE bado anastahili kuwa mwenyekiti mze

    • @alfredmarti3131
      @alfredmarti3131 ปีที่แล้ว +1

      @@johngibson3089 Sana. Na ndiyo maana hapendwi. Ni great strategist.

    • @macknonkibona2401
      @macknonkibona2401 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣🤣nishida hiki kifaa

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 ปีที่แล้ว +2

      Mostly needed

  • @nestoryegidius9816
    @nestoryegidius9816 ปีที่แล้ว +2

    Excellent

  • @ellyrenalda5883
    @ellyrenalda5883 ปีที่แล้ว +1

    Big brain, hazina ya nchi.

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 ปีที่แล้ว +1

    Lisu Baba naomba ukawe mwenyekiti wa kuipata katiba mpya.... Katibu God bless lema.....
    Tanzania itakuwa Kama urusi....

  • @omarycheyo5534
    @omarycheyo5534 ปีที่แล้ว

    Kusemwa Kama umekosea is good,kwa sisi WAISLAM Kuna usemi unasema ukumbusho unamfaa mwenye kuamini na mtu anaekueleza ukweli jua anakupenda,rais Samia ni MUISLAM na Uislam hauruhusu MWANAMKE KUA KIONGOZI Kama ni Muislam aachie ngazi la anapanda dunia Basi aendelee,Ila namshauri asiape kwa msahafu hiki kitabu NI kwaajiri ya wachamungu.

  • @danielalexd2272
    @danielalexd2272 ปีที่แล้ว +3

    Kaka ukiuliza swali tulia huyo Ni wakili msomi hawezi kujibu juu juu lazima udadavuliwe

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 ปีที่แล้ว +1

    18 V.A.T it's not fear,,wanatumiza sana,,

  • @davidmwangama6130
    @davidmwangama6130 ปีที่แล้ว

    Best journalist ever

  • @michaelsylvestre8475
    @michaelsylvestre8475 ปีที่แล้ว +10

    Nimefikiria mbali saana , wazazi wa huyu jamaa siku ya kushiriki sakaramenti takatifu walikuwa wamejipanga kweli kweli akatokea kiumbe mtu na nusu tundu lissu

  • @championtop2
    @championtop2 ปีที่แล้ว

    Mwanasiasa mahiri kbisa sijawahi kuona! Hongera mwandishi!

  • @rashidyrashidy3923
    @rashidyrashidy3923 ปีที่แล้ว +1

    Classic interview

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi ปีที่แล้ว +10

    Lisu ni kichwa,mitego yote ya maongezi anahisia nayo kabla,BIG UP!👍🏿

  • @ikramalmas7039
    @ikramalmas7039 ปีที่แล้ว +1

    Lisu ameni kumbusha mambo ya history ya A'level ( European history)....

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 ปีที่แล้ว +1

    Lissu ni hazina ya nchi. Watanzania wasiokubali hili- wataelewa tu hapo baadae

  • @sabinasimfukwe8647
    @sabinasimfukwe8647 ปีที่แล้ว

    Unajuwa sana lisu ixee, u deserve 2be our president indeed...

  • @jubilantkimaro3607
    @jubilantkimaro3607 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana Lisu. Heri watanzania wangekujua

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 ปีที่แล้ว +2

    Lisu ni top 10 CCM wapende wasipende