HATIMAYE LISSU AWATAJA WATESI WAKE/ NILIWAONA WAKIPIGA RISASI/ SIO MAGUFULI/ ILIPANGWA MAKUSUDI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2023
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#magufuli #tundulissu
Pole sana kamanda wangu
big unahoji vizuri sana
Polesana kaka yatatimia tuu ya Mungu.
Pg
Pamoja na kutangulia mbele za mungu bado magufuri anakuzidi naamini hata leo wakishindanisha ww na magufuri najuwa magufuri atashinda
Tatzo la magu ni kiongoz mzur ila alikua hana Democratic kwa wapinzani
Hawezi Kumshinda Lissu Maana Lisu ni Bora Kuliko Huyo Magufuli Maana Uhai watu ni Bora Kuliko Kitu Chochote na Amani ya Mtu Nibora Kuliko Chochote na Watu Wengi Walipotezwa Unafikilia Family ya Lissu na Wale Walio Potezwa Watajiskiaje Hata Kama Sio Mwana Family Utaguswa na Hili Kama Mwanadam Mwenye Utu Lazima Uguswe Nani Anamsapoti Lissu Kwa Ukweli Anao Zungumza na Mama Kawakimbiza Wapotezaji na Wa amizi Kama Walivyo Mvamia Lisuu
@@magomakabanja480 katk hii dunia na hasa afrika usimuamini mwana siasa yyte wanafki tu ao magu alikua ni kiongoz bora lkn upande wa pili hakua na Democratic maan hakukua na uhuru wa vyombo vya habar na uwongoz wake haukufuaata katiba alikua anatumia mabavu serikali alikua anaifanya km yake na si ya watu wte ukibisha anakutumia wasio juulikana 😂,jiulize tangu afe magu wale watu wasiojuulikana wamepotelea wap
Ndio Kaka Mkubwa Yule Kafa na Laana za Dam za Watu na Walio Fukuzwa vyet feki
Wewe Kenge mweusi Ndio maana Makufuli akaiba uchaguzi wote mpaka Pemba? KAMA ANASHINDA KWA NINI AKAIBA UCHAGUZI WOTE WA SERIKALI ZA MTAA wewe ni kisyesi kilicholala kinyes mnuko zaidi
Pole sana pole sana kiumbe cha Allaah huu ni mtihani sana safisha na utafika kwa mema maneno punguza vitendo vyema vifanye kazi miaka mitatu ni uhai usikatae mama aliokupa mahala paendeleze ili ukubalike ndugu yangu
THIS IS TOP G IN TZ
Bwabwa hili.
Kwel choko hili la wazungu
Tako lako manyoko
Sema Kweli Wajue Kama Huku tendewa Haki na Tuliumia Sana Sisi Wenye Utu na tulizibwa Mdomo Tusiseme na Kumkosoa Mama Katoa Uhuru wa Kuongea Sema Mzee Tunakusikiliza Maana Tulikua Hatupumui Vizuri Kwa Utawala Uliokatishwa na Mungu na Mungu Aliona Amtoe Ili tie Salama Vinginevyo Watu Wengi Wangekufa na Wengine Wangebaki Mayatima na Wajane
Pongezi Kwa Mama Kuwafukuza Wasiojulikana
Yani ww ni malaya nadhani aujielewi babisa navo kuita malaya sijakosea nadhani siasa auijui wewe
Interviewer is very intelligent
Magufuli hakua mungu waka c mungu na hawezi kua mungu, Ila alikua kiongozi mwema mpenda watu, watu nao wakampenda kwa mazuri yke
Ulijaribiwa kwa brankoo subili za moto kama utaongea siku nyingine.
Mijitu inayounga mkono mauaji ni ya kuogopwa kama ukoma.
Huyu Lisu Bora Angeolewa tuu Huko Belgium
Kaolewe wewe, maana nahisi ni shoga
Jamaa kanusurika kifo badala kusema Mungu ni mwema amemtendea au wew c mtanzania au ukickia ripoti yke
Huyu ni Mpenzi wa Dictator Makufuli
Mutapata tabu sana watu musiojuilikana nyinyi mlitaka kumuua lakin mungu bado hajataka sasa vipi bado unaweka chuki kwalissu lissu nimipango yamungu,acha chuki mzee baba usishindane namipango yamungu kubwa lenu limeenda naww nawenzako mtaenda wanakwend wauaji wakubwa kwauezo wa mungu lissu bado yupo..
Kwel kabisaa
Siipendi chadema kwaajili ya mbowe mpiga dili ila nakupenda lisu
Hapo umeongea point👏👏 waliokukosea wasamehe ili Mungu akufungulie njia ilio nzuri
Mungu alifanya maajabu kutuoondolea hilo jitu linyonyaji
Kwani ww hutakufa linyonyaji ww alikunyonya nn mshenzi ww
We thanks god
Tumshukuru muungu sana kiongoz jasiri Kama ww na yote upitiayo kaza butu mkuu safar iyelendelee Tundu oyeeeeee
Humu ndani kuna majitu yana roho ya kutu,ni mauaji,matahira,ni maibilisi hivi imagine baba yako,au ww mwenyewe unaesapot uuaji umgepigwa hizo risasi....Lisu ni mwana Siasa aliewekwa na Mungu ili kuinyoosha serikali,...Kuna watu hawana akili wanafurahia kabisa aliyopitia Tundu Lisu.....
Dah! we ni teja kbx nkueleweshe tu kidogo kuma ww, maendeleo ya nchi ayaletwi na siasa shetani km uyu ni wakurudi kuzimu wewe ukiongoza msafara msenge ww
Mwandishi acha ujinga unahoji chadema kutekana wao kwa wao wanauwezo gani kwenye nchi hii kufanya mamba mazito kama Yale ya kutoa walinzi wote kwenye eneo la tukio
Yani huyo hamna lolote kabxa unaongea pumba tu linahamasisha ukoloni mambo Leo lione huna ata points za kushawishi kuhusu maendeleo ukiwezekana uzibe Domo lako bhana
Mnyapaa orea ❤
Tundu rissu ACHA mambo mengi hakuna haja ya kuendelea kumuongerea mtu aliyekwisha pita kama mbaya wako,chakufanya piga moyo konde muombe mungu atujalie uweke mambo ya siasa sawa nchini ujiandae KUCHUKUA NCHI 2025 KWASABABU WEWE TAYARI UNAWEZA KWA UWEZO WA MUNGU.
USIPO GOMBEA MSIMAMISHENI MHESHIMIWA ,DOCTOR JOHN ECHE.CHADEMA MBELE DAIMA NYUMA MWIKO.
Dhamira yao ya Kukuua Mungu Amewalipa Wao na Kufa gafla
Mshukuru Mungu Sana Lissu Mungu Alikuokoa na Kukupa Ulinzi wake
Magu kafanya mengi sana dunia hii😱
Kuliko wengine et eeh
Yapi hayo?
Duu mungu yupamoja nawe
Lisu hasira hasara bro
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Kwahiyo unamaanisha nin marizia
ukiua kwa upanga na ww utauawa kwa upanga neno la mungu lasema
Nakuelewa Mzee Lissu
Hakuna nchi yeyote yenye misingi ya kidemocrasia Africa mashariki wacha Africa!
Nyinyi mnao comments umu ndani juu ya kumsapoti lissu yote n wajinga, lissu n adui wa hayati doctor jhn p magufuli, magufuli alikua kiongozi mwema, Ila uyu lissu n mjanja ataka urais ili awanyanyase nyinyi Wana inch wa tz, uyu lissu hafai n msaliti na n fisadi, Yuko pamoja na wazungu, n fisadi km kikweye.
Kwel kabisaaaaa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
Siku zote hata kwa maitaifa yaliyoendelea makubwa ubabe na nguvu kubwa ilitumika ili mataifa yao yaendelee mfano Marekani mpaka leo kuna watu wanauliwa kimya kimya na hao majasusi wa Kimarekani CIA, China nao, Urusi, n.k ndio maana kuna wakt hutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe kwahiyo msishangae sana hilo yote ni katika kuimarisha na kujenga nchi
MUNGU ni mwema sana kaka, pole sana
Dah aisee ngoja niwemkimyatuu😮
Mungu mkubwa ila tuna ngoja sirro na makonda tuone kaburi zao kama mweao makufuli
Wewe kadanganye watoto raisi hawezi kutuma watu wajinga kiasi kikubwa hivyo raisi anawatu hatari sana ungepigwa risasi moja tu.
Rais gani mjinga amtume mtu asiojua kutumia bunduki apoteze risasi 30 mtu akimbii, Wala gari haikimbii apoteze risasi 30 huyo Askari anapaswa kuuawa yeye (Kuna sniper au hawapo)
we'we mjinga pamoja namwendazake
@@zakayoyohana1736 sawa2 utakavyo wewe
Danieli alitupwa kwenye tundu la simba wenye njaaa majibu kasome historia hiyo mungu ni mwema kila wakati
@@zakayoyohana1736 jamaa yako leo anasema vitu vingine kuhusu mwendazake, kama alitakiwa kuuwawa basi hao hitman siyo wajuzi🤣🤣🤣🤣risasi 30🥲
Hapo nimekuekewa kiukweli atume maaskali kwendea kumuua huyu mtu Wala asinge bakia kiukweli
munguatalipa
Kangi Lugola huenda atakuwa anazo tetesi kufuatia shambulio la Lissu.
Kwahiyo magufuli alikuambia kuwa walio kupiga risasi aliwatuma yeye au
Kwanza hujui ata kuongea
No comment
Hata Mimi niliumia sana swala lako
Watesi wa watu wamo ndani ya nchi humu humu tu😊
Mangu ni kipenzi cha watu ata useme nini
kipenzichako niwewe
Mangu ni nani? Ama unamaanisha Mungu ama Magu (Magufuli)?
Kipenzi cha wewe usituchanganye na muaji
Wewe na Family yako Ndio Mlikua Mnampenda Huyo Magufuli Wako Mnyonyaji Mtu Alikua Jeuri
Mtu Asio Shaurika Huaga ni Jeuri
Kipenzi Cha watu kweli
God aki akulipe 2
CCTV
Sema,kweli,walichokfanya,si,sawa,ingekuwa,wao
Wakina nani
@@winifridakasibu2900 🤣🤣🤣
MKAMATENI HUYO , MPELEKENI AKAPIMWE AKILI KWANZA. MAMBO MENGINE BADAYE.
WEWE LISSU NI MUONGO SANA MBONA UNASEMA UNAWAJUA SASA MBONA HAUWAPELEKI MAHAKAMANI?
NAWEWE NI BINGWA WASHERIA UCHWARA FUNGUA KESI BASI TUMECHOKA NA MASTORI YAKO YAHOVYO KILA SIKU UNATUCHOSHA HATUTAKI STORI ZAKO
Ameona lakini hawatambui kisura sasa uongo wake ni nini?
Tatz ulilonalo huna unachojua wala unachoelewa
@@leokamil6284 Msikilize vizuri amesema anawafahamu vzr na serikali inawalinda hao wasijulikana.
Mambo ya zamani yashapita
Lakini mheshimiwa Lissu ebu jikite kwenye kuijenga nchi na kuikomboa hii nchi kuwe na sera Bora za kuweza kuwakomboa wananchi na sio malumbano tena najua inaumiza lakini hatuna jinsi ndio Tanzania yetu naomba tuwe wazalendo na nchi yetu
Tundu usiwe muongo unawajia waliokuumiza na ukalipwa ili msibitishe kuwa Magu ni dictator haiwezekani risasi itoke kushoto ikupige kulia
Waliwezaje kuondoa walinzi wa serikali kwenye Lindo, unajua Huna akili unaropoka tu
@@hassanosman8910 Hapa kila mtu anatoa comment kwa ajili ya upeo wake, siyo vzr kumwambia mtu huna akili au anaropoka? hii ni social media kila mtu anapoint view yake. Toka hajapigwa risasi alikuwa anamlaumu Magu. Ila anajua kabisa ktka nafsi yake aliyewatuma hao wasiojulikana kumpiga risasi. Ben Sanane alipotea mara mwisho alikuwa na nani? Ukipata jibu utawajua watu wasiojulikana.
@@naimamoddy Naomba Nisamehwe ndugu kwa kwel, ni ile hamak kwa kwel, na yote kwa yote nadhan lililotokea halwez kurudshwa nyuma no mda wa kusonga mbele, Nisamehe
Samahanini sana Kama hii itawakwaza hivi muheshimiwa tangia amerudi tz tena salama hakukutokea vurugu yoyote mbona Kama vile anafanya vitu ili kutokee vurugu ivi au ni mawazo yangu tu Mana naona vijiashiri ni vingi kikweli
Ebu nitajie Japo 2 Ulivyo Viona Wwe
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 unajua ndugu yangu mwenye macho huwa haambiwi tazama machoyake ndio humjulusha lakini na mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo bye bye
Umeona eee na mm naona hivyo
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Mbona kaondoka TZ kimyakimya au bado yupo?
@@naimamoddy yupo
Nini ulchomkosea Mpaka ukapigwa lisas mbna husemi kosa lako
Chizi hili lilikuwa linatoa sir za nchi
Naona wakati umefika wakujulikana wasiojulikana.
Una akili nyingi sana hongera
jafe
Huyu lissu ni mwongo saana....
Anaona ana kitambi kama mjamzito. Jaza tumbo mafuta
Huyu jamaa hamna kitu chochote ni mbinu tu za kisiasa tu
Exactly 💯
Hii Dunia me siielewi, Magufuli alimtuma wamuue Tundulisu, Haya Tundulisu mzima, Magu kafariki😆😆😆😆
Acha kabisa kumsemea magufuli wew mchawi mkubwa huna ishu na kuwa rais kasome kwanza mnafik mkubwa
Tunammiss Magu wetu
Mkundu wa mama yako
At! 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🙈
Ukimsema magufuli wanakerwa kwasababu niwauaji kamayeye, vilevile wanarohombaya zakishetani zakudhulum haki zawatu kupigarisa raia kubambikwamakesi yaani maccm nimagaidi waliyo vaasuit wakoserikalini,
We tundu huna lolote we ndio hufai hufai
Ni watu wasiojulikana, wenye uwezo wa kuwarubuni walinzi waondoke katika lindo,na kuondoa CCTV camera,na kufyatua risasi watakavyo wakiwa huru,na bado wakairubuni mamlaka isifanye,wala kutoa taarifa za uchunguzi yote,lakini zaidi wana uwezo wa kumnyima mhanga fedha ya matibabu,na kumfuta ubunge!!? Kwa mazingira hayo ni haki ya walionusurika kuuliza muda wote mpaka wajulikane,na sio kuleta viashiria vyovyote vibaya kama baadhi wanavyodhani!
Unasema
Kura yangu nitakupa tena
Magufuli amekufa na akafe tena mbwa sana
Naomba matukio yaleo
Risasi 32 ci ungekuwa kama chujio
Hi😢
ukiona mtu anapambana na marehemu... ujue akili yake haipo sawa.
Ndiyo maana ya historia au labda uiambie dunia ifute somo la historia! Hadi leo watu wanasoma na kukumbushia ukatili wa watu watawala kama Mapharao,musolin,hitra,nebkadeneza,idiamin,mabutu nk , na pia watu wema kama Yesu,martin ,mandela nk . Utake usitake Magu atasemwa tu kwa Mema yake na pia zaidi kwa mabaya yake ili watawala wajao na jamii nzima tujifunze
@@kaegemagafu7828 sasa ww unazungumzia historia. Mimi nimesema
"ukiona mtu anapambana na marehemu ujue hayupo sawa"
Sijapinga mtu kufatilia historia ya marehemu.
Mtu anayesema kuuana si ajabu HAYAJAMKUTA YEYE!
Yona anton
drkta silaha ni mjinga msaka tonge
Lisu hana jipya na hawezi kuwa rais na kama akiwa rais basi Tanzania mtakuwa hamna akili 😅
Hii zambi limekaa peupe tenajuu panapoonekana nakilamtuyoyote hata mtoto mdogo anajuwa mipango yakinyama yakishetani yamwendazake magufuli, hakunasiritena tz, lazima tubadrishe mfumo wautawala unaotoa hakisawa kwakila mtz,
Huyu ni muongo ajichunguze mwenyewe
Shele ya. Wilaya tanu. Bora
BIG BRAIN
Ushahidi wa matukio hayo mbaka tukio litokee huo ndo ukweli utapata wapi ushahidi pasipo tukio na snapper hawezi lenga eneo ambalo mtu hawezi kufa mara nyingi ukiona umelengwa na usife ujue basi hao walitaka kukujeruhi tena shahidi kwenye tukio akakimbia aisee mm binafsi nakupa pole ila hao hawakuwa wamelenga kukuua bali kukujeruhi tu dereva wangemuua pia
Upande waliolengea inaonyesha sio upande aliokuwa Dereva
Hakuna mwanadamu anaye WEZA KUTOA roho Yako bila ruhusa ya Mungu hâta akitaka kukuondoa Mungu atakulinda na yéyé atabaki anashangaa sana na inawezekana akapatwa na ugonjwa WA Moyo.
So unataka kusema nini? Kwamba apotezee tu au sio?
Waliokuja kumshambulia hawakuw sniper! Usidanganye watu. Na risasi hazijamdhuru sana kwa vile zilipozwa na vizuizi kadhaa kable ya kumkuta, walikosa clear target kupitia dirishani, walisimama ubavuni nyuma ya gari kwa vile gari alilokuwemo lilipak katikati ya magari, lisu aliweka kiwiwili kwenye siti ya dereva na sehem ya kiuno na miguu ndiyo iliyobak upande wa walipokuweko washambulizi hivyo sehemu yake ya juu ikawa off target.
Mazingira ya shambulio inaonesha hayakuwa rafiki sana kwa wakati ule kwa washambuliaji na hivyo yaweza kuta walikua na hofu ya kukutwa hivyo wakawa na papara lakini sina shaka walitaka kumua.
Idadi ya risasi zilizopigwa ni dalili ya kwamba hawakuwa na uhakika wa target hivyo waliona ni kheri wamimine nyingi ili afe kwa maheraja makubwa hata kama wakimkosa sehemu nyeti.
TUACHE MAHABA.
huu ni wakati wake.. mpeni muda yatapita.
Hata kama hampendezwi na mnayoyasikia msijitoe ufahamu kujibu bila kufikiri.
@@l.h.l2254 Nakubaliana na wewe pia hata wao waliotenda nadhani walitenda wakiwa na hofu kwa kuwa walitumwa pia hawakutaka kuonekana hivyo haraka uoga ndio ilimsaidia Lisu nashukuru Mungu hawakufanikiwa kumuua Mungu ni mwema sana. Lakini wataishi kwa kukosa amani maisha yao yote .Kuua au kutaka kuua ni dhambi kubwa sana
Kumbe hata mtu mzima anaweza kuwa muwongo du
Huyu jamaa ni mwongo kama watu wanamtetea ila mungu ipo siku atakulipa kwa uongo unaoufitinisha
Hivi hajapigwa Risasi??? au uongo gani??? Au kajipiga mwenyewe??? Kuweni na huruma na ubiniadamu. Ila hawezi kumnyoshea mtu kidole hajaui ni nani aliyempiga.
Wewe upo sawa na wale watu wanaoingia kwenye makanisa ya wachungaji wanaambiwa laleni nikawakanyage matakoni ndo dhambi zinafutika.
Mtu amepigwa risasi kazimia masiku kadhaa kalazwa miezi kadhaa unadiriki kumuita muongo.
Hakika wewe ni kipofu na kiziwi kwa mahaba ya chama chako.
Ukute wewe ushahisi watu wamekuloga ulipowahi ugua lakini unamuona huyu hayawani anapohisi fulani kamdhuru.
TUSIFIKIE MAHILI TUNAJIZIMA DATA
@@rosemarytikiti1514 KWELI
Watajulikana tuu nakuajibishwa kishelia Mungu mkubwa
Ulivyo kuwa unamwita ni dicteta uchwara, nadhani hilo neno lilimjeruhi
Jee Ben SaavNane,Axory Gwamba kawauwa Magu jee wao makosa yao ni nini?Muuwaji ni muuwaji tu huwa hana sababu.
Rais àtake kukuua aondoe askari lindo?,,kaka unauhakika waliondolewa au watoa tarifa walikudanganya ,,maana umesema masaa 24 mageti huwa yamefungwa?.huoni kama hisia zako za rais kuhusika ulipunguza uwanja wa wapelelezi kuendelea na uchunguzi?,,
huy kihelehere hawez ongoza avae vikuku😂
Nafikiri huu ni muda a kufanya siasa zitakazojenga nchi, Tz pamoja na nchi nyingine za kiafrika bado ni maskini na zinahitaji maendeleo ya watu wake. Nafikiri ingekuwa vizuri ukaelekeza nguvu kupambana na walio hai na wenye madaraka wanaoyatumia vibaya kuliko kupambana na mtu ambae hawezi kujitetea kisha ukaona kama ni ushindi kwa sababu hawezi kujibu tuhuma yoyote ile kwa sasa. Angekua hai, na kwa ushahidi ulio basi angeweza kufunguliwa mashtaka ya kula njama. Kwa sasa hivi tupambane na wanaoharibu ustawi wa nchi, watu wanataka kusikia sera mpya zitakazonyanyua elimu na kuondoa umasikini.
Ni kwa sababu wewe hujafanyiwa hicho kitu
Kweli kabisa si muda wa kumtuhumu mtu ambaye hawezi kujitetea na Kwa ujumla ukiwa kiongozi kila baya litakuangukia. Kwa mtazamo wangu huyu Lissu hana sifa ya uongozi. Kwanza kabisa hana sifa ya UZALENDO ni MBINAFSI. Kwa hiyo asipige kelele sana hiyo ni kama ajali tu, atulie tujenge nchi yetu kwa pamoja.
acha ujinga Kama we'we ulimpenda mwendazaka nawewe kazikwe chato
Analindwa na katiba ya nchi hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote atakalotenda akiwa madarakani jeuri na kujikweza kunaanzia hapo
Nimuda Muafaka wa Kusemwa Alie Mtenda Lissu na Wale Waliopotezwa Mnataka Kuficha Mabaya ya Mtu wa Chato Aliofanya Niwakati Wenu Nanyie Kuumia Maana Sisi Tuliumia Lissu na Watu Wetu Kupotezwa na Wengine Kukimbia Nchi yao na Kutelekeza Family yao na Watu Tulikua Mabubu Tz Nzima Nasiasa ya Demokrasia Ikazikwa Yaani Mwana Kwenda Zake Atalaumika na Mtu Mwenye Akili Timam
Tunamshukuru Sana Mungu Kutupa Rais Mama Yetu Mh Samia Suluhu Hassani
Maana Katupa Uhuru w Kuongea na Kuikosoa Serikali na Kurudisha Vyama Vingi
Tundu lis acha uchochez ww ni mwana siasa mkumbwa nchin unapotosha wa tanzania leta hoja za msingi tushindane
Uzalendo ni 0
Muongo kabisa hata urais unaongombea utaanguka tu mwishowe utakufa
Kfo knapangwa na mungu
Jamaa lipuuzi..Sana
Lilijitahid sana kupiga jitihada za Magufuli...
Linatetea mabeberu...
Issue ya makinikina uliwatetea Sana
Ndo chanzo ulipigwa..
Mataifa yote yanayotetea mali za Nchi...
Utokee mtanzania 1 upinge.
Uliyataka Mwenyewe.
Zungimzia trillioni moja na nusu hela nyingi sana alizoiba Makufuli ikulu kupotea kwa Ben Saa nane Jee angelikua kafanyiwa baba yako umgekejeli kama hivyo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ameshasahau hayo😅
Muvi ya mazombi
Pg
yaaan nimemsikiliza sna kupitia clip mbali lakin ana oja ata kidogo ni namna yakutafuta chokochoko lakin awazi kuwa kama zaman vle
Fanya lingekuwa kwako halafu tukuone kama na wewe huna hoja yyte , nadhan italeta maana sana kwako au kwa mzazi wako na kusema ujinga huu
Haha simoni haha
Angekuwa baba yako ndo ungejua pointi ni zipi
😂😂😂
Hakuna mtu mnafki kama DR Slaa
dah huyu Jamaa nimuongo aijawahi tokea aisee yaan magufuri muache kabisa cyo levo yako
Sawa na magufur huko aliko hana levo yake. Mim mwenyewe nilimlenda magu ila kwa hili hapana
Nilikuwa nasapoti maendeleo aliyokuwa akifanya sio ujinga huo
Una haki ya kusema haya,kwa sababu hawajUkiwa baba zako,kaka zako,wajomba zako,ndugu zako.wako wapi Ben Saa Nane,Azory Gambo,Watu kila siku wakiokotwa pwani bichi wakiwa wameshauliwa na kutiwa ndani ya viroba.Wewe una roho ya kichawi.
Huyu kumlaumu marehemu yupo sahihi kwa kilicho mtokea alafu hakuna uchunguzi
Hana hoja nyingine ni kupigwa risasi tuuuuu.....Ile hoja ya bei mahalagwe na nyama hoja ya hovyo kabisa.
Kajifunze kuandika kwanza then ukapigwe risasi kama yeye
@@evaristmbuya6220 😂😂😂😂😂
@@eaglecrown6470 🤣🤣🤣🤣🙌🏼
Unayemwona Lissu Muongo! Basi Mungu asimame! Vipofu bado ni wengi
@@mustaphamasobe8343 Na yeye MUNGU asimame ijulikane wale acacia alikuwa anawatetea Kwa maslai ya taifa au maslai yake kama mwanashelia.🇹🇿🙏🏿😊