#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • #EXCLUSIVE: TUNDU LISSU AVUNJA UKIMYA DK SLAA KURUDI CHADEMA - "LITAAMULIWA AKIOMBA, HAKUFUKUZWA"...
    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza kuhusu tetesi zinazoendelea katika mitandao ya kijamii kuhusu kurudi kwa Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Willibrod Peter Slaa...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 21

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +1

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

    • @edgermwankuga8294
      @edgermwankuga8294 ปีที่แล้ว

      Hakuna waandishi wa habari hapo.Maswali yote hayana mantiki

  • @EliaMbise-el7hl
    @EliaMbise-el7hl ปีที่แล้ว

    Lisu upo vizuri kweli

  • @yusuphraphael6142
    @yusuphraphael6142 ปีที่แล้ว

    Waandishi weng jamna weled wa kazi zenu maswali ya kuboya kw mtu ayewazidi upeo😮

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 ปีที่แล้ว

    we mwandishi Veep mbona haupo organised!!

  • @samuelmakara1475
    @samuelmakara1475 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji anataka kuhamisha agenda iliyopo kwa sasa

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 4 หลายเดือนก่อน

    hawa waandishi wapumbavu sana maana wanauliza swali ilo ilo moja mpka wanaboa

  • @emmanuelbayi4640
    @emmanuelbayi4640 ปีที่แล้ว

    Mhhhh slaa tunakutaka karatu bado,na uchukuee for ya ubunge krt mzee wetu

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 ปีที่แล้ว

    Yaani katika maswali yooote mnayobwabwaja, ni Moja TU ndio la maana

  • @siminijohnmwakipesile3904
    @siminijohnmwakipesile3904 ปีที่แล้ว

    Nawewe mmbeya sana huna swali lamaana kaa kinwa sio lazima

  • @lilianvitus2488
    @lilianvitus2488 ปีที่แล้ว

    Wewe mwandishi achana na ujinga wa kurudi au kwenda agenda kuu ni bandari wacha waungane kama unataka kuzibaziba umebugi watu wapo serious fyuuuuuuu

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

    CHADEMA DESPERATE WANAJUWANA MAJIZI HALAFU WANAGOMBANA MADILI. MIAKA 30 WANAKULA RUZUKU WANAKULA SASA WAMPE SLAA KITI HAHAHAHA MUNAHITAJI NEW LEADERSHIP AMBAWO SI MAJIZI😇😇😇😇😇

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 ปีที่แล้ว

    Masuali yote hayana afya na niyakisenge kabisa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว

    Huyu silah kaishiwa sasa a anajichqfuwa bora angebaki tu kukaa pembeni akakaa na heshima

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +1

    NO MORE EXEMPTIONS KWENYE BANDARI YETU NO MAJIZI BANDARINI TUNATAKA DP SASA HIVI WAJE TUMEIBIWA SANA CHADEMA HATA MUFANYE PROPAGANDA NYIE NA KANISA LA KIKATOLIKI KUPOTOSHA WATU WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA ITS OVER GAME YENU 😀😀NAKINGIZA CHUKI NA WIVU

  • @siminijohnmwakipesile3904
    @siminijohnmwakipesile3904 ปีที่แล้ว

    Mwandichi huyo katumwa kz umbea

  • @Ayubumatiasi
    @Ayubumatiasi ปีที่แล้ว

    Wachukuehatua

  • @DannySanga-gh1oj
    @DannySanga-gh1oj ปีที่แล้ว

    Wandishi wapumbavu hawa sijapata ona

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว

    NO MORE EXEMPTIONS KWENYE BANDARI YETU MAJIZI YOTE YANAFANYA PROPAGANDA NA CHADEMA NA KANISA LA KATOLIKI LIKO BEHIND KUKATAA UWEKEZAJI NDIO MAANA WANAFANYA AGENDA YA SIRI NA PROPAGANDA NYINGI MPAKA WANASHERIA UCHWARA NA WAKABILA NA UDINI 😢😢😢😢STOP YOUR DIRTY GAMES