TAZAMA DK Slaa alivyokaribishwa CHADEMA, afunguka mazito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • ‘Chadema hatuna adui wa kudumu’ ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chdema Taifa, Freeman Mbowe wakati akimkaribisha aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani, Dk Wilbroad Slaa kwenye chama hicho.
    Dk Slaa alikuwa Katibu Mkuu wa chadema kabla ya kuteuliwa na Hayati John Magufuli kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada, kisha kuvuliwa hadhi ya ubalozi huo, huku swali lililokuwa vichwani kwa wengi ni kujua msimamo wa mwanasiasa huyo mkongwe ni mwanachama wa chama gani nchini.

ความคิดเห็น • 9

  • @kakazkanda
    @kakazkanda 6 หลายเดือนก่อน +1

    👁️👁️

  • @uraiatv8455
    @uraiatv8455 6 หลายเดือนก่อน

    Arejee mara moja CHADEMA

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 6 หลายเดือนก่อน

    Hiki chama kwakweli bado sana

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 6 หลายเดือนก่อน

    Mbowe wewe ni kidume sana

  • @frankezakayo4447
    @frankezakayo4447 6 หลายเดือนก่อน

    Hao msiwaache tunahitaji sana ikiwezekana halima mdee apewe nafasi kama hatojali

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli siasa haina rafiki wala adui wa kudumu lakini mnachofanya sasa sio sahihi. Muda huu ni wa maombolezo ya Hayati Lowasa ambae alikinyanyua sana hiki chama nilitegemea apatiwe heshima japo kwa kuahirisha maandamano kwa wiki moja tu. Kwa kweli Lowasa hamkumpa heshima aliyostahiki. Leo mnamuona Dr. Slaa aliyesaliti chama wakati wa uchaguzi na kupata uteuzi kwa mtesi wenu JPM ni wa maana sana.

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mnafoka sana huyo si Aliwasaliti huyo kisha mukamponda ila hamna wa kumuweka katiaka nafasi ya kugombea Uraisi mumekwisha Chadema porojo nyingi tuuu

    • @hassangasaba4565
      @hassangasaba4565 6 หลายเดือนก่อน +1

      Siasa haina adui wakudumu au rafiki wadumu ,hata ccm huwa kuna vurugu wanatoka wanarudi.

    • @frankezakayo4447
      @frankezakayo4447 6 หลายเดือนก่อน +1

      Brother hawa jamaa kiukweli wanateswa sana achatu wawe kitu kimoja