SAKATA LA DR.SLAA LAWAIBUA VIONGOZI WA DINI WATOA TAMKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • #ShkWalidAlhad #Zvponlinetv #Daressalaam

ความคิดเห็น • 292

  • @allywaziri7639
    @allywaziri7639 ปีที่แล้ว +4

    Muogope mungu shehe acha unafiki

  • @NubiClement-hq6ol
    @NubiClement-hq6ol ปีที่แล้ว +15

    Wewe unasisitiza amani lakini haki usemi na mbona rushwa auongelei unaongelea amani,amani inakuja Kwa kutenda haki,ni maneno Gani yaliyochochêwa

  • @gabrielkitia6808
    @gabrielkitia6808 ปีที่แล้ว +4

    Acheni mzaa na bandari zetu

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 ปีที่แล้ว +5

    Mh, Sheik ukimaliza kuzungumza soma comments ndo utajua uloongea yanaingia kwa hawa viumbe Watanzania😂😂

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 ปีที่แล้ว

      Duuuh! Ebwwanaeee!!. UMEONGEA ANDIKA HOMI BOI

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว +14

    Aman bila haki huwezekani nyinyi ni wachumia tumbo mkishiba nyinyi basi wengine watanzania huko chini shauri yao huu ndio mawazo ya mtu mweusi huangali maisha yake tuu na familiar yake wAkati watanzania wengi watumwa ktk nchi yao wamasai doctor silaa mwabukusi mdude nyangale madereka alafu wewe unasima unatangaza amani umeshiba wengine kuongea ukweli ktk taifa lao wako ktk ulinzi mkali Hawa watu wanaelewa watanzania wangapi wamepoteza maisha yao ktk arizi yao kwa sababu ya wageni ktk taifa lao wewe muogope mungu mzee bora vita kuliko utumwa wenye kukandimiza haki za watu ilitushimiane hao i watakao baki huwezi tangaza amani watanzania wanafunga maduka yao biashara ngumu Kodi wengine wanaishi km wako peponi masikimi ktk taifa lao wamefanywa punda
    Wewe usitufanye hatuna akili ktk taifa letu wakati tayari sisi shamba la wampumbavu

    • @MnubiMm
      @MnubiMm ปีที่แล้ว

      Kila mtu Ana haki na anastahili haki yake yake ilindwe na haki Hawa uliowataja haki yao ndio iliyowafikisha hapo walipewa haki yakutoa maoni hakuna haki isiokuwa na mipaka wangebaki na hoja yao ya msingi haya yasinge wakuta Uhuru wa MAONI Kila mtu anao lakini usitumie Uhuru huo kuzulu wengine na nchi huo ULEVI wa akili hauwezi kuachwa nchi hii yetu wote kwa matamshi hayo waliyoyatoa yaliowakuta ni stahiki yao hawezi kuwa Serikali halafu watu wanavunja amani waachwe tu HAIWEZEKANI tukosoe tupinge lakini Adabu iwepo watu Kama hicho ndio stahiki yao hiyo Bandali isiwe kisingizio kumbe watu Wana Agenda yao

    • @JofreyMwasabwite
      @JofreyMwasabwite ปีที่แล้ว +1

      Hata hio kamati ya amani niwachumiatumbotu nao

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว

      Mh

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 ปีที่แล้ว +2

    Asante baraza la Maaskofu, hapa Tunasema Elimu Elimu Elimu Ziro ya Watu Ziro.

  • @taglwangastudentcentre4780
    @taglwangastudentcentre4780 ปีที่แล้ว +6

    Nani amevuruga amani? Tunataka uwekezaji mzuri bandarini. Anayevuruga amani ni anayeigawa bandari bure akijua hatutaki, na hili halitapoa. Wapeni ushauri wenye mamlaka wawasikilize wananchi, tutapata amani ya kudumu. Huko kukwepa hoja Sheikh Walid hakutatusaidia.

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 ปีที่แล้ว

      Watu, ardhi,sisa safi ,uongoZi bora walioacha Mali kwa kutozitolea macho. Nikiwa mdogo mpaka nimekuwa. Sasa hivi Dar daah!!.I haven't seen such a maneuver like this... Ooh!!

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 ปีที่แล้ว +6

    Mashee Sasa ndo mnatumika wanafiki wakubwa mbona tumezama

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +8

    Msitugawe nyie viongozi wa dini, sisi watanganyika ni wamoja, ikiwezekana Kila mtu asali kivyake ikiwa nyie viongozi mna hongwa.

  • @markangel1588
    @markangel1588 ปีที่แล้ว +3

    Mafarisayo wapo hadi leo, wana sema hivi kisha wao wanatenda vile, huongea kwa upole hali moyoni mwake amejaza hila. Usemi wao humshikisha mungu, ambaye sie yule wamvika ibilisi vazi la harusi,
    Mungu wetu ni mkuu na wala hadhihakiwi

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 ปีที่แล้ว +16

    Amani bila haki na dhuluma ni bure

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Mh

    • @hussenaaghe2760
      @hussenaaghe2760 10 หลายเดือนก่อน

      Mche mungu haki kumcha ufisadi hakuna hata uone milioni choni huokoti swala inamfanya mtu Safi ndio unapata uchamungu

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 ปีที่แล้ว +13

    Hakuna amani bila haki, amani ni zao la haki.

  • @janetstephano8310
    @janetstephano8310 ปีที่แล้ว +3

    We
    Sheetani
    Huna
    Akiri

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awasaidie Sana maana macho mnayo lkn hamuon, Masikio manayo lkn hasikii. Hakuna ulichoeleweka Hapo mtu wa Mungu gan unatangaza Aman bila haki. Ise Mungu atusaidie Sana 🙏 kwanza maelezo yako2, imeonekana unashida mahali

  • @mandelaismael5036
    @mandelaismael5036 ปีที่แล้ว +3

    Assallam walkum wallah Matulah wabarkatuh, amani maliasili zai nchi kulimbikiziwa kwawageni hapo Amani ipo kwli? Kuna usalama hapo nchi na vilivyomo kuwa mateka kwa waarabu? Mnisamehe bure kwa hili sioni Amani mnayo idumisha japo sio mtanzania ila mi muAfrican

  • @ondieckotoyo1143
    @ondieckotoyo1143 ปีที่แล้ว +11

    😂The issue of contact of the ports in Tanzania has raised four major conflicts in Tanzania 1, Utanganyika against Uzanzibari, 2. Christianity against Islam, 3. Opposition against UCCM, 4. Citizens against the Government, the things that are tearing apart our Tanzania are continuing in the way they are seen. Currently, Tanzania You are no longer in the heart of Tanzanians in general and their unity, and now they are questioning the benefits of the union on two sides, why the people of Zanzibar should be allowed to own land in Tanganyika, while the Tanganyikan are not allowed to own land in Zanzibar, secondly, the people of Zanzibar are allowed to be employed in the government of the union, while the Tanganyikan are not allowed to be employed in the revolutionary government , and now they are starting to wonder why Zanzibar wanted to join the OIC. Mwalimu Nyerere refused, the second time he sat down with them. Therefore, the issue of port agreements and others between the Government and the Arabs has raised the opinion of the people against the attitudes of the Government, the CCM and the leaders of the Islamic sects, this is very difficult and requires great wisdom in process it otherwise we don't have Tanzania again in our eyes unless the majority believe that it is being exploited by the minority, it is better to save this, to destroy our Tanzania, this needs the vote of the people and it should not be controlled by the Government again, it was voted by the people who vote for his views at the moment, this is not to be ignored, it also does not need the answers of irony for those who oppose the views of the Government

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 ปีที่แล้ว +6

    Kuna siku mtahojiwa mbele za Mungu kama nafasi zenu mlizitendea haki na majibu yatakuwa hapana hapo ndo mtasiilizia vibano.

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk ปีที่แล้ว +7

    Allah atupe mwisho mwema inshallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @user-mf6tp8yg3x
    @user-mf6tp8yg3x ปีที่แล้ว +3

    Mimi ninajua unaongeza mambo ya msingi kumbe pumba

  • @user-zn5vu5yi1d
    @user-zn5vu5yi1d ปีที่แล้ว +2

    Viongozi wetu mmesahau amani ni tunda la haki sasa ukitaka amani kuwa mwenye haki kwa watu wote rushwa haikubaliki mbele za Mungu

  • @shahidi615
    @shahidi615 ปีที่แล้ว +6

    Faranga Nako huko imefika

  • @TarimoTarimo-pf5lo
    @TarimoTarimo-pf5lo ปีที่แล้ว +7

    Mnaacha majukumu yenu ya msingi badala yake mnaanza kiwatisha kina Dr slaa, na wenye mapenzi mema,na nchi yao, nasema kuhusu hilo la bandari anayetetea ujinga, huo labda awe chawa wa mrengo fulani

    • @hussenaaghe2760
      @hussenaaghe2760 10 หลายเดือนก่อน

      Do slaa na mungu nani mkubwa

  • @joshuakasemelo1675
    @joshuakasemelo1675 ปีที่แล้ว +6

    Shekhe gani asiyezunguzia haki? Kajikita kwenyeunafiki wa amani! Pasipo HAKI amani itatoka wapi?

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 ปีที่แล้ว

      Anajishusha tu akili ametupa tia Allah nakutupa utashi wa kuelewa jambo na kulipambanua. Bila makaratasi.

    • @joshuakasemelo1675
      @joshuakasemelo1675 ปีที่แล้ว

      @@ngwegwenurdin4318 neno amani limekuwa kichaka chawanyonyaji ilikulinda dhuruma zao, neno haki limetupwa na wenye dhuruma maana wakitenda haki hawatadhurumu.sasa SHEKH nayeanaungana na dhuruma ajabu sana

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 ปีที่แล้ว +7

    Janja Janja tuu,Watu wamekata tamaa kabisaa,ishaurini serikali iheshimu maoni ya wananchi kama kweli

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo ninaloliona Hizi Dini tulizopokea kutoka Kwa waraabu na WA Italiano zimtupokonya reasoning ability kabisaaa mtu anaongea kama kanywa uji uliochacha

    • @palhmavoice7716
      @palhmavoice7716 ปีที่แล้ว

      Et ikiwa umeamka na amani na mkate wa siku hiyo "Leo nimeamini baadhi ya maandiko ndo yanatujengea mind set za kimasikini Sana "

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 ปีที่แล้ว +4

    hii nikamati ya amani tushaijuwa ni wspumbavu flani tuu, sasa ngoja tusubili kamati ya haki maana amani haiji bila haki aya mazuzu tuyaache yakae pembeni.

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h ปีที่แล้ว +3

    Maneno lakini kukubali yote yanayendelea hats kama hayafai . Ni ndiooooo .
    One side😂😂😂😂

  • @nelsonmwavipa9761
    @nelsonmwavipa9761 ปีที่แล้ว +7

    Amani ipi unayoisema wewe hasa mbona sikuelewi kabisa wewe ntu umetumwa nini, mbona huwaambii hao wanaouza bandari yetu ya tanganyika.

  • @pilichambo1107
    @pilichambo1107 ปีที่แล้ว +3

    Bwana achana na sisi

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว +1

      Wewe mfuate mwakumbusi na haya hayakuhusu nyie si mnataka kuupindua nchi?
      Haya jaribuni bc tuwaone

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 ปีที่แล้ว +2

    Zungumza Haki na kupinga Dhuruma mjomba hayo mengine ni janja janja ya Nyani tuu! 😅😅😅 Tumeshajua siku nyiingi watu gani wanatusanifu na kutujaza upepo wananchi kwa maslahi yao binafsi na tushajua watu gani kweli wanatutetea wananchi nyie tulieni na Kamati yenu ya Amani inayosisitiza Amani Tuu ila kusisitiza HAKI na kupinga Dhuruma hiyo hapana. Yaani na nyie nanyi mnajua kutupanga 😂😂😂

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi ปีที่แล้ว +2

    Mtu kama huyu sio hata wa kumps nsfasi ya kumsikiliza kala pilau huyo kashiba

  • @MaijeNgogomba
    @MaijeNgogomba ปีที่แล้ว +2

    Shekhe naww chaw?

  • @williamkavavila608
    @williamkavavila608 ปีที่แล้ว +2

    😴😕mmmh sijakuelewa

  • @JofreyMwasabwite
    @JofreyMwasabwite ปีที่แล้ว +3

    Nyie kamati yaamani imbieni selekari ukweli kwamba watanzania hawataki bandari yao hiuzwe

  • @chrispinmpangala3394
    @chrispinmpangala3394 ปีที่แล้ว +1

    hiyo kamati yenu ni ya kinafiki wote mliokaa hapo ni wanafiki hamtaki kusema ukweli cjui hata hiyo dini mnahubiri unafiki kwani mungu hapeni watu wanafiki km ninyi coni hilo tamko mlilotamka bali ni unafiki mungu awasamehe hamjui mtendalo wanafiki wakubwa nini mungu anapenda watu wakweli cc wote tunahitaji na tunapenda amani na tunataka nchi yetu iendelee lkn ckwa mpango kama huo nikuulize ww mnafiki unaye soma huo unafiki wenu mm nikija kwako nataka kuingia mkataba wakujenga nyumba yako iwe ghorofa lkn hujui utapata nini na miaka mingapi nitaimiliki ww utakubali mbona hamuwi wa kweli mnafiki mkubwa ww

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 ปีที่แล้ว +3

    Mbona kama midomo yenu imefungwa pingu. nyinyi niwatu mlio na nguvu sana kuliko. Jeshi mngeiambia serikali hapa hapana sisi tunawafuata nyinyi tungenyosha hii nchi. Ila kwa sababu mnapewa bahasha amani amani amani.

  • @johnmakundi9877
    @johnmakundi9877 ปีที่แล้ว +3

    Peleka ujinga huko unajua amani ww umechaguliwa na nan kulinda aman ya Tanzania

  • @user-ff9jg5oe1d
    @user-ff9jg5oe1d ปีที่แล้ว +3

    Ndichomlichotumwa nawatala hicho mimi nasema hiyokamati niyaikulu hamuogopi hatakujitokeza kusema

  • @kianda973
    @kianda973 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wa dini simameni katikati muwe msaada kwa wananchi. Tafuteni haki ilipo ili wote tukutane katika hilo. Amani hailetwi na mtu au kikundi cha watu bali amani inaletwa na haki. Biblia inasema haki huinua Taifa. Mungu ibariki Tanzania.

    • @atupakisyebrown5727
      @atupakisyebrown5727 ปีที่แล้ว

      biblia inasema haki uinua Taifa dhambi ni aibu kwa Taifa. amkeni

  • @johannesmahali9318
    @johannesmahali9318 ปีที่แล้ว +3

    Jamani, hvi ninyi viongozi wa dini huwa mnakunywa pombe

  • @charlesjackson-zx5zg
    @charlesjackson-zx5zg ปีที่แล้ว +1

    Sheikh,toka kauli hizo zitolewe ni muda sana umepita,ninyi kama kamati ya amani mlikuwa wapi muda wote huo kama kweli hizo kauli zilikuwa za uvunjifu wa amani ya nchi?,au mlikuwa mnasikilizia kwanza muone upepo unaegemea wapi sio.Halafu hata kwa matamshi yako pamoja na body language yako inaonesha unaongea kitu ambacho unajua ni positive but unalazimika kukiongelea negatively,hukumu ya Mungu i'juu yako Shekh. 10:15

  • @madyuza4978
    @madyuza4978 ปีที่แล้ว +2

    Tuondolee upuuzi bwana!!!!
    Amani ipi unayoitaka bila kutenda Haki????

  • @husseinjosephitocho6754
    @husseinjosephitocho6754 ปีที่แล้ว +11

    nyie viongozi wa dini uchwara hata muufunike vipi uvundo utanuka tu na watu watausikia

  • @rumanyikajoe7038
    @rumanyikajoe7038 ปีที่แล้ว +3

    Kwa hiyo, mwanadamu anauwezo wa kulaani mwanadamu mwenzie. Hii kali sana. Mimi nadhani kamati ingetumia lugha nzuri siyo kulaani.

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 ปีที่แล้ว

      Hekma. Defense zaidi than utashi wa uelewa wetu sisi Wenyenchi.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 ปีที่แล้ว +2

    Mnatumika😢😢😢😢😢😢ILA MUNGU MWENYE HAKI ATAINGILIA KATI

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 ปีที่แล้ว +3

    Wewe siyo kamati ya amani mtu wa ajabu wewe ndiyo mchochezi mkubwa

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania ปีที่แล้ว +5

    Amani ninini? Mimi nionavyo amani nimtu kuishi bilabughudha , na bila wakumbugudhi ,kilamtu amtendee mwenzake anavyo takiwa , yani yale unayotaka utendewe watendee nawengine lakini upande mmoja ukiona hautendewi utakosa hiyo amani ,nakuanza kudai kutendewa ,itakapoonekana hakuna kutendewa ndipo amani inatoweka,

  • @victoriambonde8061
    @victoriambonde8061 ปีที่แล้ว +1

    mimi muisilamu bat baazi ya nyinyi waisilamu wengi wenu wanafiki sana tena ilo balaza lenu limejaa wanafiki sana huna jipya

  • @talents7934
    @talents7934 ปีที่แล้ว +3

    Waislam Wenzangu tunapinga Mkataba huu tujuane hapa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Shekhe Rudi ukajifunze Zaidi

  • @rugemalilalucas4533
    @rugemalilalucas4533 ปีที่แล้ว +5

    🤔🤔🤔🥱🥱🥱😭😭😭
    Isaya 6:9-11
    [9]Naye akaniambia, Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione.
    [10]Uunoneshe moyo wa watu hawa, ukayatie uzito masikio yao, ukayafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.
    [11]Ndipo nilipouliza, Ee Bwana, hata lini? Naye akanijibu, Hata miji itakapokuwa ukiwa, haina wenyeji, na nyumba zitakapokuwa hazina watu, na nchi hii itakapokuwa ganjo kabisa;

  • @adventsoundtv
    @adventsoundtv ปีที่แล้ว +12

    Upepo unaovuma sasa hivi hapa nchini siyo mzuri. Kuna dalili za waazi kabisa za udini zinajitokeza kupitia hili sakata la bandari. Tayari kuna utengano miongoni mwa baadhi ya viongozi wa dini. Ninaona kabisaa kila kiongozi wa dini akisimama kuzungumza unaweza kuhisi kuwa yuko upande fulani unaotofautiana na kiongozi wa dini nyingine.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Mh

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 ปีที่แล้ว

      R.I.P JPM ''MWAMBA'' HATA UFUTA ULIKUWA NA THAMANI... MIPANGILIO. MAZAGAZAGA MBEGU KIBAO ZINASTAWI TZII. BASI TU.. TALANTA ZIMELALA ZA MALIASILI. TUNAPENDA USASA SASA. KUIGAIGA WAKTI SISI WATU PORI ARDHI ZINANEEMA KIBWENA TU

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 ปีที่แล้ว +7

    Kama serikali haitendi haki na Amani itakuwa hakuna, Acha ufala wewe tu nataka haki za bandarini yetu kama Huna lakusema kaa kimya

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 ปีที่แล้ว +2

      Acha ujinga wewe ...aman ndio kila kitu

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว

      Wewe mafala ni hao maaskofu wakiomponza mwanasheria mjinga mwakumbusi

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 ปีที่แล้ว

      ​@@hamisimkoma7380wewe ndiyo uache ujinga. Amani, ni tunda la HAKI. Bila haki, amani haipo. Hata vitbu vyote vya dini vinasema hivyo. Aliyekufundisha kwamba AMANI ni kila kitu, kakupotosha

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 ปีที่แล้ว +1

    Na usiseme viongozi wa dini zote tafadhali

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 ปีที่แล้ว +1

    Umelipwa kiasi gani kiongozi

  • @lawrencemwasa482
    @lawrencemwasa482 ปีที่แล้ว

    Unasistiza Amani bila haki shekh issue sio Dini issue ni Haki

  • @jumanassor5913
    @jumanassor5913 ปีที่แล้ว

    Mungu watawaukumu

  • @user-qg5bq4sj9c
    @user-qg5bq4sj9c ปีที่แล้ว +2

    Akuna aman tanzania ni ushetwan tu

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 ปีที่แล้ว

    Njaa mbaya sana, Nimendua kumbe Wanzetu mmeanza kujitenga na Dini ya Kikristo maana Rais ni Mwisramu

  • @laulianmeneja5923
    @laulianmeneja5923 ปีที่แล้ว +1

    Ongeleeni haki sasanyie mnaongelea amani haki ikowapo

  • @rashidabeid172
    @rashidabeid172 ปีที่แล้ว

    Sheikh Walid, wewe nakukubali sana, lakini kwa hili umepotezwa kama alivyopotezwa rais na wachumiq tumbo. Chunguzq kwanza kabla ya kutoa hukumu. Utakuja kufuta baadaye.
    Nchi hii haina HAKI.
    Kudai haki ni haki yetu

  • @ntwasalath7656
    @ntwasalath7656 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo kamati siyo ya Tanganyika tunaoporwa urithi wetu sssa tunasema tunaitaka Tanganyika yetu amani haipo

  • @mvunge7108
    @mvunge7108 ปีที่แล้ว +3

    Mtatujua kama wabara nivichaa, nyie siyo wenzetu waunguja nuksi

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 ปีที่แล้ว +2

      Kauli, usiseme waunguja nuksi wale ni ndugu zetu, akikosea mmoja usiwahukumu wote

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 ปีที่แล้ว +2

    Amani eti?😮 Huwa sipendagi unafiki

  • @CremenceKavishe-rv1xg
    @CremenceKavishe-rv1xg ปีที่แล้ว +8

    Bandari hakuna mtu anae tushawishi ifike mahali mtuelewe sisi ndio watanzania

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว +1

      wewe acha kabisa kutuchanganya sisi siyo wahuni kama hawo wanaokutumia eti aman unaongelea amani gani ya kipumbafu juzi kuna mama alikua amebeba ndizi zake za ua

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      hivi inakuaje mtu mzima unaimba amani hapo hapo watu wanakula mlo mmoja kwa Siku au unaona watu awana akili uku wengine wakila na kusaza amani ipi unayoisungumzia wewe labda amani ya wakina mama wajane kuporwa biashara zao na manispa ndiyo. amani au kaka unatuona atujasoma sisi tumeso na tulikua tunasubiri kupewa nafasi za kazi za kutumikia wananchi matokeo wanachuliwa watu ambao wanatakiwa wa pumzike makwao

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 ปีที่แล้ว

      Kama nyimbo vile. Title WANAPINGANA NA WALIOWACHAGUA. WAPIGA KURA WAWACHAGUA VIONGOZI WAO ILI WAONGOZWE VEMA KWA KUJARI KIPAUMBELE CHA MCHAUA VIONGOZI HAO.

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw 11 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wana Amani sana lakini nyinyi viongozi hamfuati nini wananchi wanataka mtu kuamka na Amani hakuna watu wanaumia

  • @KobeTweve-ln8pz
    @KobeTweve-ln8pz ปีที่แล้ว +4

    Huna Akili wewe umehongwa

  • @eliaskitundu7377
    @eliaskitundu7377 ปีที่แล้ว

    Hanna ulichokitamka ww unashiba amani bila haki umetumwa????

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 ปีที่แล้ว

    Sawa pamoja nahayo chanzo cha amani hiyo unakizungumziaje na unawafikishia ujumbe upi?

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw 11 หลายเดือนก่อน

    Fuata yako sisi tuna Imani lakini nyinyi ndiyo hamna amani mnafanya mtakayo watu wamechoshwa na hayo matendo yenu anzeni nyinyi kwanza huo mkazo wako kazia uongozi

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 ปีที่แล้ว

    Tendeni haki kwanza amani itataradadi mnatugeuza watanganyika kuwa wendazazimu Munga anasema tutendehaki kwanza.

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 ปีที่แล้ว +1

    Huyo IGP anaweza kutuonesha Nia njema yake kwa Watanzania ? Hatoke hadharani wangekuwa na nia nje wasingetuletea mikataba ya kuhuni na kishenzi Kama hiyo

  • @robertkatole3910
    @robertkatole3910 ปีที่แล้ว +2

    amani kwa viongozi raia wote hakuna mwenye furaha njaa tupu na kuonewa kama wanyama mwitu

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว +2

    Shekh unaongea kwa utulivu na heshma kubwa kuliko masheikh wote niliowahi wasikia..
    Kuhusu bandari zetu hata moja hatutaki kuambiwa ujinga wowote. Hatutaki mkataba wa kipumbavu ktk hatma ya maisha ya watoto wetu na wajukuu zetu Kama wameshindwa au hwana imani na kesho njema ya Tanganyika yetu watupishe tumpe Dr Mpango

  • @chloecallie3619
    @chloecallie3619 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaaa, amani ni kula!! Dah Mungu tusaidie. Umefeli sana. Haya hata kama amani ni kula n.k ndo wengine walambe asali wakati wengine wanalamba pilipili!!! Kweli shehe. Hebu ipende nchi yako jamani

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว

      Wewe nenda kwa makafiri wenzako ukaandamane na kina mwakumbusi

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 ปีที่แล้ว

      ​@@mbwanarajab4756wewe punguani

  • @user-co9rp3bk6u
    @user-co9rp3bk6u ปีที่แล้ว

    Muogope Mungu

  • @Michaelmagige-de3wy
    @Michaelmagige-de3wy ปีที่แล้ว

    Kwa nini msiunde kamti ya haki?

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 ปีที่แล้ว

    Asiogope kurudisha nyumba kauli yake hicho ni kipimo kwake ni penda Amani mpenda mabega yaliyo nyenyuka?, Maana Tz bila huo muwekezaji au mkataba unaweza mbona?

  • @TarimoTarimo-pf5lo
    @TarimoTarimo-pf5lo ปีที่แล้ว +1

    Nenda kahubiri msikitini hatukuelewi Tanzania Siyo dola la kiislamu hatutaki waarabu kwetu

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi wadini asiye sisitiza kutenda haki ni mnafiki, maana Amani ni tunda la haki

  • @sirajiissa7340
    @sirajiissa7340 ปีที่แล้ว

    Kwa ukweli usio pingika Hawa mashekhe wanatumikia serikali tulishaacha kuwasikiliza mda mrefu, haki haki haki haki

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n ปีที่แล้ว +2

    Jizi likubwa nani apogée upumbavu

  • @ChristerShao
    @ChristerShao ปีที่แล้ว +1

    Kamati ya amani ki ukweli ni yakinafiki kabisa.Naamini mnajua kusoma ina maana hamjui mkataba wa bandari ulikiuka sheria.Mbona hamkutoka adharani kuukubali au kukataa na kukosoa.Mtajua wenyewe mbele ya mwenyezi mungu.Linda haki upate aman.

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 ปีที่แล้ว +1

    Nchi gani ktk hii dunia inawatendea haki wananchi wake nitajie wacheni ujinga wewe hutoki kwenda kutafuta rizki hakuna amani

    • @SuleimaniFihoma
      @SuleimaniFihoma ปีที่แล้ว

      Mtu afungwa kwa kutenda kosa sio kupewa kesi ambazo hata asienda shule anaona tumieni madaraka vizuzi hiyo mitihani mnayopewa mshinde kila Jambo linakuja kwa makusudi yake usijione ww leo kiongozi ktk dunia kesho utakuwa mtumwa ktk kaburi ukifanya Nini ktk uwongozi wako wa kidunia kwanini ulinyanyasa binadamu wanzio kwa sababu ya shilingi haya umekuja na hiyo shilingi hapana utaviacha vyote kiongozi Bora niyule cku ya mwisho analiliwa na watu wake na sio kusemwa mabaya sisi wote wapita njia tu tupo ktk folen kwa majina mengine maiti talajiwa tutende mema kila sekunde 1_ ya pumzi yetu

  • @johnmrata574
    @johnmrata574 ปีที่แล้ว

    Umekuwamnafiki mno na hunahadhi yakuwa kiongozi wa DINI.

  • @bonkemwangomale154
    @bonkemwangomale154 ปีที่แล้ว +2

    Msenge kama wewe hatukubali

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว

      Msenge ni askofu wako na wewe
      Mtanyea ndoo nyie vibaraka wa mashoga

  • @leonardgalila3032
    @leonardgalila3032 ปีที่แล้ว +2

    Hili ni jipu nimeona nguvu ya faranga

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว

    Mama piga kazi ziba mashkio.fanya unalo ona bora kwa nchi na wananchi 😂😂

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 ปีที่แล้ว +2

    Tunaomba mtuonyeshe video inayosema maandamano yalioyokuwa yaandaliwe yalikuwa ya fujo😢 Hakika Mungu hatalala kuonyesha ukweli katika hili

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane ปีที่แล้ว

      kama i Mbona Clip za Maongezi yao Zipo Wanajadili Kupindua Nchi 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Kuchoma Vituo vya Police na Office za ccm Clip zipo Mi Najiuliza Swali Sipati Jibu . Dr Slaa Alipokuwa BALOZI wa TANZANIA CANADA Kupindua Cha MAGUFULI Mbona Hakupanga MAPUNDUZI ??? Tena Alichaguliwa na Hayati MAGUFULI Kuwa Balozi . akawageuka CHADEMA . Lakini Mkataba Wake Umeisha Karudi BONGO Amefiwa Tatizo

    • @victormbinda1018
      @victormbinda1018 ปีที่แล้ว

      We ni geneous yaan unaakili sana.

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 ปีที่แล้ว

    Hio Bakwata tu tawi la CCM, hamna hoja hapo

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 ปีที่แล้ว

    Wewe umeshakula Asali ya CCM kamati ya Amani au kamati ya usalama wa serikali mbona serikali ikihatarisha amani hamsemi

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว

    Mwenye ukaribu na huyo sheikh . Mwambieni kabisa hakuna alichokiongea ameongea ugoro tuuuu. Watanzia atna mgawanyiko tunaishi pamoja na tunakula pamoja .

  • @remmymsakusy
    @remmymsakusy ปีที่แล้ว

    Ukiwa kiongozi wa dini Tena kamati ya AMANI simama katikati ya HAKI acheni unafiki

  • @nicksonjk8479
    @nicksonjk8479 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna amani bila kaki

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 ปีที่แล้ว +1

    Endeleeni kutumia ivi wanavuruga amani ya nani wakati watu wanaopinga kufanyika jambo ambalo litaleta watu kukosa amani vizazi na vizazi lakini Kwa sheria ya asili duniani ukimtendea mtu au watu ubaya bila hatua kwakuwa eti wanadai haki yao huoubaya lazima ukurudie

  • @mathiasmzumbwe8110
    @mathiasmzumbwe8110 ปีที่แล้ว +1

    Nilifili ataongea pointi kumbe galasa

  • @babaibrahim5794
    @babaibrahim5794 ปีที่แล้ว +3

    Yan Bora nikacheze na mwanangu kuliko kkusikiliza mtu kama ww na utuambie ww umekula sh ngap??

  • @thomasmwakilongo6064
    @thomasmwakilongo6064 ปีที่แล้ว

    Balaza lenu hl mmeshindwa kujitambua kwani mandamano ndo uvunjifu wa amani wakati mandamno yapo kwenye katba pili kwann msiwalaumu watawala ambao ndio wanavunja amani?

  • @RichardJailo-pp7kj
    @RichardJailo-pp7kj ปีที่แล้ว

    Hawa wote wanapenda madalaka haki hakina

  • @salimothmanhoza
    @salimothmanhoza ปีที่แล้ว

    Hoja za kizamani sana sheikh ubwabwa,acha ulevi

  • @HemedHemed-qp2wt
    @HemedHemed-qp2wt ปีที่แล้ว

    Unalipwa bei gani na serikali hii