HOTUBA YA TUNDU LISSU NDANI YA UDONGO WA DODOMA/TUNAPOELEKA NI KUGUMU SANA/UCHAGUZI 2025....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mhe. Lissu, Mungu aendelee kukutunza, ili uendelee kutufumbua macho kujua uozo wa ccm na ubovu wa katiba wanayoing'ang'ania ili tuweze kuwa na katiba mpya..yeyote anayechukia mikutano yako na maelezo yaliyojitosheleza ndiye adui mkubwa wa nchi hii.

  • @edwalks4922
    @edwalks4922 6 หลายเดือนก่อน +1

    You’re making sense Amicus Tundu Antipus Lisu. 👊🏿

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mm nakukubali sana kaka tundulisu tuahitaji waelewa, majasiri aina yako

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 6 หลายเดือนก่อน +1

    BRAVO COMRADE LISSU....WATANZANIA TUNAKUELEWA NA TUKO NYUMA YENU CHADEMA.

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 6 หลายเดือนก่อน

    The powerful speech.

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 หลายเดือนก่อน

    Movement for change

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 5 หลายเดือนก่อน

    Ufafanusi ni mzuri na pengine haipingiki , kwa upande mwingine KIHAIBA kiongozi ni mlezi wa kuigwa jinsi alivonyoa kichwa kidogo haiendani na WADHIFA wake na UMRI wake .

  • @ZephaniaMwailugula
    @ZephaniaMwailugula 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh be blessed comrade

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 6 หลายเดือนก่อน

    Good sana mh lissu tupopamoja sana.

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 6 หลายเดือนก่อน

    Lissu hua anatoa elimu ya kutosha kwa dakika 30 bila cheti, hongera kiongozi

  • @godfreyLaizer-s8r
    @godfreyLaizer-s8r 6 หลายเดือนก่อน +1

    Lisu tusonge mbele , sisi tunakuelewa na umetufungua macho jinsi katiba ilivyo muhimu ili kuwaondoa miungu watu wanaotutawala.

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 6 หลายเดือนก่อน

    Yuko vizuri jibu hoja sio kumbusha kabigwa risasi jibu hoja yuko vizuri hajasema uongo nenda kafunue hiyo katiba kama muongo njoo hewani tutakupa kuwa mwansheria mkuu wa Tanganyika tutapoileta Tanganyika

  • @fredrickwiliam6176
    @fredrickwiliam6176 6 หลายเดือนก่อน

    Unaujasiri na kujiamini sana tundu lisu , respect

  • @BonifaceFrancis-h2x
    @BonifaceFrancis-h2x 6 หลายเดือนก่อน

    Tunakutakia maisha marefu.

  • @JohnChacha-cy3fz
    @JohnChacha-cy3fz 5 หลายเดือนก่อน

    Hiiiii

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 6 หลายเดือนก่อน

    TUNAKUKUBALI SANA MH. TUNDU LISSU

  • @SalmaHassan-sb2dw
    @SalmaHassan-sb2dw 5 หลายเดือนก่อน

    Lisu tunaama ccm tunaingia chadema

  • @yohanamsongole6489
    @yohanamsongole6489 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana doma kwa kukataa nakumukataa huyo chiz

  • @alfrediaugustino1026
    @alfrediaugustino1026 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @kichungatv
    @kichungatv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni wapumbaf watashindwa kumuelewa huyu Mwamba na hao wasiotaka wasikie ukwel ndio wameilea CCM mpaka hapa ilipotufikisha

  • @ABSTemu
    @ABSTemu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jee chini ya Chadema, Tanzania yake ni kutokuwa na Rais kutokea Zanzibar milele? Swali hilo pamoja na maelezo marefu ya fafanuzi ya Ubaguzi au la, swali lake naona ni zuri na hujalijibu.

    • @sethkivuyo3342
      @sethkivuyo3342 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani ni lini mtanganyika atatawala zanziba..

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 6 หลายเดือนก่อน

    Ombaomba Tz nzima..😢😢

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 6 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaaaa na ya makanyagio

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 6 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @SamsonJohn-mo7en
    @SamsonJohn-mo7en 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb 6 หลายเดือนก่อน

    Kanafanya kwa sababu ni rais wa Tanzania kama alivyo tuua kwa risasi mkapa ni mtanganyika.
    Jee lissu kuuza bandari za Tanganyika na kuua wazanzibar lipi zito ni mtanganyika huyo mamia kwa mamia Zanzibar tulipigwa risasi na wataanganyika

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika wewe ndiyo sauti ya wanyonge wa nchi hii

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa kishaathirika kisaikorojia Tanzania hatuna oposition

    • @antipasmkude3789
      @antipasmkude3789 6 หลายเดือนก่อน

      Mmmh.....kweli????

    • @DavidMutiba-hr3vo
      @DavidMutiba-hr3vo 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hajaathirika ila watanzania waliaminishwa kwamba maandamano ni dhambi kubwa.

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 6 หลายเดือนก่อน +1

    unastahili kabisa kua RAISI wa Nchi hii

  • @tumsifuweraufoo5380
    @tumsifuweraufoo5380 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kweli unalindwa na hao askari Bado unawtukana,Tena ni dharau kuita watu nyie mapolice nyie,hao ndio wanakulinda,acha siyasa uchwara na ukubila kaka,umepoteza mwelekeo

    • @tumsifuweraufoo5380
      @tumsifuweraufoo5380 6 หลายเดือนก่อน

      Na siyo ubaguzi kidogo unaongelea,fundisha jamii siyasa za kupambana na uchumi wa jamii ya kitanzania,watu watakuelewa kaka

    • @YohanaPetro-xv9tp
      @YohanaPetro-xv9tp 6 หลายเดือนก่อน

      Nawewe Mwelekea Wako nini Ukiwa Huna Akili ndo Huwezi Kumuerewa Tundu Lisu

    • @AugustinMpeta-te4fm
      @AugustinMpeta-te4fm 6 หลายเดือนก่อน

      Kawatukana au kawakumbusha juu ya majumukumu yao ya kipolisi! huwezi ruhusu magari yakatize kw waandamaji.

    • @danielkanso
      @danielkanso 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna watu hawa elewi tofauti matusi na mtu kukumbushwa majukumu yake

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi nikiona comment kama hii, kama siyo mtoto wa mjumbe wa mtaa, mwenyekiti wa mtaa, au diwani, wewe utakuwa mtoto wa mgambo

  • @PaulTajiri-i6b
    @PaulTajiri-i6b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimia achana na mambo ya ukabila fanya siasa ukabila mm enyewe niko chadema

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 6 หลายเดือนก่อน

    Lisu wacha uongo huo wabongo kibao wanamiliki Ardhi Zanzibar kweli wewe mmbaguzi

  • @OnesimuFransi-gd1be
    @OnesimuFransi-gd1be 3 หลายเดือนก่อน

    Nikwel mkuu

  • @SaidMohamed-k9h
    @SaidMohamed-k9h 6 หลายเดือนก่อน +1

    Angalia hizo nywele kama ametoroka jela

    • @kifenditimothy7094
      @kifenditimothy7094 6 หลายเดือนก่อน +2

      Yupo kazini kukukomboa wewe na vizazi vyako.Hana muda wa kujiremba.Ingefaa tu umshukuru

    • @JamesJasson-dg8lf
      @JamesJasson-dg8lf 6 หลายเดือนก่อน

      Kula kuma wew chawa wa ccm

    • @EsterNdalu
      @EsterNdalu 4 หลายเดือนก่อน

      Nywele zake wewe zinakuhusu nini ,

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 6 หลายเดือนก่อน +1

    ASANTE MAMA TUMESHAWAJUA WAKIKOSA HOJA NA SERA WANAKIMBILIA UPANDE WA 2🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧

    • @edsonkahesi8603
      @edsonkahesi8603 6 หลายเดือนก่อน

      Fisadi mkubwa ww, alichosema ambacho ni uongo ni kipi..tatizo lako unasikiliza robo ya robo ya maelezo.. haufatilii mpaka mwisho

    • @EsterNdalu
      @EsterNdalu 4 หลายเดือนก่อน

      Kampeni ni kumponda mpinzani wako alafu wewe uwe bora kuliko mwingine sasa unataka akuongelee wewe au familia yako?

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 4 หลายเดือนก่อน

      @@EsterNdalu KWA HOJA SIO PERSONAL ISSUES 🤩🤩🤩🤩🤩USELESSLY

  • @RobertAndrewMaguru
    @RobertAndrewMaguru 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rais samia akikosea,alaumiwe kama Samia,asilaumiwe kama zanzibar, nami nasema hiyo ni damu ya kibaguzi.
    Magufuri tulimlaumu sisi wa vyama vya upinzan hadi wengine tukakimbia nchi,je yeye hakuwa mtanganyika? Kama hoja ni uzanzibar.
    Not good ,we're Tanzanian

  • @JabiriMfaume
    @JabiriMfaume 6 หลายเดือนก่อน

    Na wafuac wake wote ziro pia waoga

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 6 หลายเดือนก่อน +1

    huyu amehapoteza mwelekeo.natulisikitika sana alipogigwa risas kumbe mungu aimuacha hakufa ili tujue unafiki wake

    • @godfreyLaizer-s8r
      @godfreyLaizer-s8r 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kati ya LISU na wewe, ni yupi kaoteza mwelekeo , waliopiteza mwelekeo ni ninyi mnaodhubutu kuwapa waarabu bandari na kuwatoa wamasai kwao ngorongoro.

    • @danielkanso
      @danielkanso 6 หลายเดือนก่อน

      Uchawa ni tatizo kubwa sana nchi hii

  • @AugustinMpeta-te4fm
    @AugustinMpeta-te4fm 6 หลายเดือนก่อน

    Mbuzi hawezi kuwa kondoo ata akichangamanishwa na kundi la kondoo! huyo Fatma Karume tyr kaonyesha kuwa yeye Ni mbuzi anayejichanganya na kondoo Ni muhimu kuishi nae kwa Akili japo anazuga kuwa Ni mtetezi wa haki! kumbe Ni mnafiki ambae anaweza kuuwa ktk wakati usiotarajia

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 6 หลายเดือนก่อน

      SIASA haina rafiki wala adui unakumbuka PADRE SLAA🤧🤧🤧🤧🤧

    • @AugustinMpeta-te4fm
      @AugustinMpeta-te4fm 6 หลายเดือนก่อน

      @@OmmyJames-xn7ji Ukilegalega kweny siasa utaishia kuchombeza unafiki! na kila Jambo utalifananisha na ujinga tu! kumbe unazo Akili za kuwasaidia watu achana na mihemuko binafsi Kama huyo Fatma Karume.