Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Cmde Slaa, ebu nisaidie, kauli yako kwamba Benki ya Dunia ni chombo cha Umoja wa Mataifa, ni sawa? Sidhani. Hivyo naomba elimu hapo kwani kwa ufahamu wangu World Bank ni chombo cha mabeberu (imperialists) wa USA na Ulaya Magharabi ili kunyonya vizuri na kikamilifu umma wa wanyonge duniani hususani walioko Afrika.
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
HAIJIBU KWASABABU HAINA MAJIBU........WELL SAID MR WILLBROD SLAA
Dr tafadhali sana rejea kiti chako, achana na Sauti ya wantanzania, anao uko wako na mategemeo ya Chadema...
Safi.sana.mzee.drslaa
Mjadara mzuri sana Dr uwanga sichoki kukusikiliza.
Dr Slaa ni jembe kubali kataa.
Mnafeli padogo sana cdm
Sla ulisema chadema chama cha kigaid na Mbowe ni gaid, umesha feili siasa, nenda kalee wajukuu zako Bukoba. Mchawi wa Taifa la Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Huyu mzee anatumia mkorogo😂😂😂
Mzee umekwisha huna namba. Umekaa Nchi za wenzetu CCM ndio iliyokuwezesha hata ukafika huko. Sasa hivi njaa inakusumbua
Ngaila party too please
Coming up soon
Huyu mzee alituambia mbowe ameuza chadema kwa lowasa bilioni 11 ili agombee uraisi.
MWAANDISHI TUTAONA MENGINE MENGI
Hii nchi hatuwezi kuwaachia wapinzani kwa njia ya kura bado tutaendelea kuiongoza Tanzania ccm ni chama tawala
Kauli yako ni ya wale wasiyokuwa na majibu kwa hoja za msingi! Waulize "KANU" utajua hujui!
Richadi wewe ni chawa tu Kam waandishi wengine walivyo nunuliwa huna jipya
Kwa niaba ya Richard Ngailla,Thibitisha kama kanunuliwa
Kwa niaba ya Richard Ngailla,Thibitisha kama kanunuliwa
Kwa niaba ya Richard Ngailla,Thibitisha kama kanunuliwa
Nyie niwababaishaji tu ni Bora muache ccm itawale maana najua nyie niwababaishaji mnaniuzi wewe unachama kweli wewe ni ccm usitudanganye
Cmde Slaa, ebu nisaidie, kauli yako kwamba Benki ya Dunia ni chombo cha Umoja wa Mataifa, ni sawa? Sidhani. Hivyo naomba elimu hapo kwani kwa ufahamu wangu World Bank ni chombo cha mabeberu (imperialists) wa USA na Ulaya Magharabi ili kunyonya vizuri na kikamilifu umma wa wanyonge duniani hususani walioko Afrika.
Huyu mzee ameshafufuka au
CHADEMA WAKURUDISHE ILI TUKUCHAGUE KAMA RAIS.
00