Bila kujali kuwa ulipewa ubarozi,et ndio unyamaze,hata ulipokuwa barozi kuna mambo hukuwa bayasi ulisema. Sema ukweli baba,kusaidia Taifa,kwani kama panashida onayoigharimu nchi hata Mccm,anatakiwa kupiga kelele na kutoa sauti.hii nchi ni yetu sote,hatuangalii sasa,tunaangalia future yetu na watoto wetu. Nawashangaa wale wanao kushambulia eti ulipewa ubarozi!!!. Hongera sana .Barozi ,Dr.slaa upo sahihi na umesaidia sana kufungua akili ya walio wengi,na kuelimisha wengi kwa manufaa ya nchi. Endelea hivyo hivyo kubambania nchi yako.wewe ni hazina ya Tanzania. Hongera sana baba na Asante kwa Elimu. Inauma sana,watu waliopewa dhamana ya nchi wanafikiria matumbo yao tu.na hawafikirii future ya watoto wao.
Asante Dk. Sulaa kwa Kuuelimisha Umma, Mungu akupe Maisha marefu Tanzania tunakuhitaji sana Dk. Silaa Tuko hatarini tunauchungu sana lakini tunasubiri utoe tamko kwani Enough is Enough
Kwakweli mzee umetufaa ata sisi tusio na sauti.. tunakuombea maisha marefu.Mungu akulinde na maadui wanaoonekana na wasioonekana.. Kuna maeneo mengi sana na ya muhimu mno katika uwekezaji,kwa mfano eneo la kilimo Tanzania karibia asilimia 80% inafaa kwa kilimo.Lakini eneo linalotumika halizidi hata 15% hivyo basi huku ndiko hasa tunahitaji wawekezaji ukizingatia kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa.
Shukrani sana Dr Slaa,,, Mungu akulinde,,. ,hakika nimebubujikwa machozi kuhusu hili,,,, Viongozi wetu wasikilizeni wananchi. Maana Nchi ni Watu na Rasilimali zake.
inauma Sana kuona viongozi tunaowategemea ndio wanaofanya madudu ya kuwarudisha watanzazia kwenye ukoloni wa kibeberu na ubepari , HONGERA SANA DR.SLAA ,kwa kutufumbua macho Watanzania wenzako ,hao viongozi washenzi siku zao zinahesabika
Usidanganyike, huyu ni mtimbakwiri anapigania mslahi ya Wazungu. Tatizo mwekezaji ni Mwarabu, na tena ni Mwislamu ndiyo tinayasikia haya mzee wa kanisa akifoka mpaka povu la kinywa likimtoka.
Huyo atalindwa tu tuache vyama tutetee maslahi mapana ya watanzania hatuwataki waarabu wamewatesa sana mababu zetu tena tuwape nchi kwa kuchukua bandari limeripuka siri zote nje
Father blessings baba Tanzania proud of you. Nafurahi sana bado mama Samia amekuweka karibu anaona mbali sana bega kwa bega mkiwa na mama tutafika mbali, mama Samia kuruhusu watu watoe maoni ni ishara nzuri pia
Chombo kimezama tunakiokoaje? Mi ushauri wangu ni maandamano ya kuomba kusitishwa haraka mno harakati zote za uvamizi wa Dubai ngorongoro na bandari zetu
Maandamano ni sahihi, ninjia ya kufikisha ujumbe,, ndo yaleyale wamepiga kelele akina tundu lisu, mbowe na wengineo wapenda haki,, huku wanafiki na team zao wamekuwa wakiwapinga na kutesa juu ya misalaba yao.
😢😢😢😢😢😢tulikuwa uchumi wa kati, sasahiv sijui tuko uchumi wa ngapi, leo bandari imekodishwa kwa warabu hiv kweli serikali imeshindwa kuendeleza bandari yetu ?? Mpaka kumpa mwarabu ??😢. Naandika kwa uchungu najuta rais wa namna hii kuwahi kutokea tanzania, af kuna pimbi zinasema '' mama anaupiga mwingi'' 😢😢 hata wabunge kwa ajili ya matumbo yenu mmetusaliti😢 kweli jpm alisema mtanikumbuka, kwa sasa inchi nikama yatima asiyekuwa na mtetezi, au shamba ambaye mmiliki ameondoka wameingia waporaji, Mungu tusaidie😢😢
Hongera sana dk slave wabunge ambao tuliwachagua sii muda mrefu watajibu mbele ya mwenyezi mungu. Mungu hazihakiwi atakachopanda ndiyo atakachovuna kama siyo kwake kwenye kizazi cha kwanza had
Taifa letu sote!! Wachache wasiruhusiwe kuharibu Taifa letu. Mama Yetu Samia Mungu amekuweka majira haya kwa faida ya wote na nia yako ni njema sana. Tafadhali zuia viongozi na vikundi nje ya serikali wanaotaka kuharibu uongozi wako
@@tanzanite9944 unaonekana na wewe ni kibaraka wa mafisadi ajiuzulu ndiyo hatumtaki toka lini mzanzibar akawa na upendo na wabara acha usenge au unawataka warabu waje wakulambe matako
Noma sana. Kumbe nchi imeshauzwa kitaambo Leo mnasema mkataba unasubiri upite bungeni. Viongozi wajuzuru. Hilo lisikubaliwe. Mkataba wa awali tayari muuuda!!!!!!!!😭😭😭😭😭
@@istambulahmed6664magufuli alikubali ujinga huu?? Alitetea nchi yake samia ni safari na waarabu ndo kabakiza hana la maana ulisikia wageni wa hovyohovyo wanaingia nchini??
Viongozi wote wa juu kuanzia mwenye mkuu wa bandari, Raisi aliyekuwepo na ni mhusika mkuu, spika wa Bunge la Tanzania, wote wahusika na viongozi wote wa juu wajiuzuru. Inamaana hatuna viongozi tena. Tanzania si choo na si kichaka. Kwanza wananchi wa maeneo ya Dar es salaam wangepewa hiyo Habari kwanza kwani inabidi eneo Lao. Ilibidi waridhie kwanza.
Mimi napinga kabisa kuwapa wakoloni wa kiarabu,kuwapa bandari.tunaweza kufungiwa kwenye box iv punde.maana Kama mumeshindwa kuendesha bandar fukuza watumishi wote ajiri wapya na baada ya Apo watapata akiri.
Spika wa Bunge Mh. Tulia....lawama zote unabeba wewe binafsi kwa Bunge kupitisha UFISADI HUU BUNGENI....na historia itakuhukumu....na Mwenyezi Mungu Mtukufu hatakuacha salama kwa Dua na Maombi juu yako!
Sakata hili limekuja na jambo jingine jipya! Nikiwasikiliza hawa jamaa najifunza mambo mengi kuhusu mikataba. Pia imenisadia kuthibitisha kile nilichokuwa najua kuhusu mindset ya viongozi wetu na wananchi mbalimbali kwa ujumla: rushwa, kukosa uzalendo, ujinga ( illiteracy), udini na mporomoko wa maadili, vinatutafuna sana katika jamii yetu. Tukimaliza salama hili la bandari, tushughulikie mindset zetu, viongozi kwa wananchi, ama la tutatumbukia shimoni tena kwa staili nyingine!
kinachosumbua hii nchi ni mindset zetu....kwasababu kila kiongoz alianza kuwa mtu wa kawaida alaf akawa kiongoz kwahyo km alikuwa mjinga akiwa kwao uwe na uhakika akiwa kiongoz atakuw n kiongoz cheo akil za kijinga.....Ndo maana kiongoz wa Tz anaweza ingiza nchi mkenge kwa maslah yake na watu wachache,,,,n ujinga tu. No vision.....Wamesoma lkn hawawaz next generation.....Nmemsikiliza Mbowe kasema 'kama tunabinafsisha Bandari chanzo kikubwa cha Mapato sisi km nchi tunabaki na nini?"
Huyu Mzee mwenyewe ni Mmendea tonge. Akipewa ubalozi tuu hutamsikia tena. anahangaika sasa hivi kwakuwa cheki ya ubalozi haiingii tena. Njaa nyingi sana kwa watanzania hata awe nani. Huyu Mzee ni njaa na analipwa na wanaharakati feki wanaodhaminiwa na watu wa nje. Wewe kaa ukiamii huyu Nduminakuwili Slaa.
Serikali ya awam ya 6 inachokitafuta itakipata. Mungu aiunusuru 🇹🇿 na uvunjifu wa amani, lakini ikibidi, itakuwa. Majobless tuliopita JKT tunagangaa njaa mitaani na vyeti vyetu mikononi, jua la utosi linachoma. Msisahau mmetufundisha kutumia AK47. izo hotel Dubai na V8 za kiyoyozi na Padiem nasi tunazitaka. Uzeni nchi kinuke 🔥🔥🔥🔥😢
Huu mkataba ulikuwa ni kupima imani za Watanzania. Majaribio yao yamebutuka. Waje na nyingine, hii imeisha. Watanzania wa 2023, siyo wale wa miaka ile ya kuburuzana, wa kupigia makofi hata mambo ya kipuuzi. Serikali na Wabunge wake wajitathmini. Wanaongoza watu, hawaongozi mawe!
Jeshi la Tanzania 🇹🇿 tunaomba mtusaidie maana Ccm itatupeleka pabaya hii nchi Bora iongozwe na jeshi tu Magufuli alituongoza vizuri Leo hii mama kaja analeta watu haohao waliofukuzwa na marehemu Magufuli nakumbuka kauli ya spika ndugai kuwa ipo siku Tz itapigwa mnada😢😢
Jamani jamani Viongozi wa dini Maasikofu na mashehe mko wapi kupiga kelele juu ya hili? Asikofu Gwajima ulikemea Mahakama ya kazi kikaeleweka,ukapinga ulazima wa chanjo za covid 19 kikaeleweka. Asikofu vipi umekula tunda lililokatazwa ukajificha??
Inawezekana kweli mzee ananjaa lkn tutakuwa wajinga kiasigan kudhani mwenye njaa hana akiri hawezi kuwa na taharifa sahii.hebu tuache ushabiki mwenye mambo ya msingi tujibu hoja kama huwezi kaa kimya.
Mama jamani tunaomba uliangalie hili kwa jicho lingine, lisije likakuchafua mama yetu mpendwa. Kazi zako tunaiona na tunazijua, ila hili tunaomba sana ulichunguze kwanza.
Mpe Ubalozi uone kama hakugeuki na Kusema hana Chama chochote cha siasa. Unaamini propaganda za huyu Mzee! Anatafuta ugali pande zote, serkalini na Chadema. popote atakabidhiwa kijiti anageuka mazima.
Yani mm sasa ndo CHADEMA uchaguz ujao namuweka Dr. Slaa amsumbue mama najua hatashinda (atanipa umaarufu na kuaminikazaid Kwa Hawa walimwengu wa Tz) alafu Lisu agombe ubunge ainge ndani then baada ya mama kumaliza uchaguz ujao Asubui saane na wino wangu mwekundu natiasaini pale naenda kufanya tafrija. Eti huu ndo upuuzi nawaza
Somesheni Watanzania wapate utalaamu waje kufanya kazi ya kujenga maendeleo ya nchi yao with minimal experts. Tunzeni mali as ili ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar. Hamuhitaji kuuza nchi yenu ya watoto wenu, wajukuu na vitukuu wenu. Kuna watu wengi nchini hawana kazi halafu mnatapatapa kutafuta watu wengine kuwa Keyes maendeleo wakati uwezo mnao nyinyi wenyewe. Kwani Watanzania wote ni matahira kuwa hawana uwezo wa kuendesha maendeleo ya nchi yao. Hii ni huzuni.
Tatizo kubwa siyo viongozi kutoka chama kimoja ila ni aina ya viongozi wanaowakilisha wananchi na kiwango cha unafiki, uoga, njaa na maslahi binafsi tulichofikia.
Du ,kama umeshikwa na hasira Kali baada ya kumsikiliza Dr Slaa ,like , Mungu wetu atusaidie
Siyo baada Ni kwa kumuona tuu maaana alisema kastaafu
Yuko chama gani kwani
Sikuelewa chochote alichukua anajaribu kuambia watu. Kwangu nimeona hewa tupu
Hapa ndo unapotakiwa kujua kuwa Kichwa cha Familia ni Baba na siyo Mama
Bila kujali kuwa ulipewa ubarozi,et ndio unyamaze,hata ulipokuwa barozi kuna mambo hukuwa bayasi ulisema.
Sema ukweli baba,kusaidia Taifa,kwani kama panashida onayoigharimu nchi hata Mccm,anatakiwa kupiga kelele na kutoa sauti.hii nchi ni yetu sote,hatuangalii sasa,tunaangalia future yetu na watoto wetu.
Nawashangaa wale wanao kushambulia eti ulipewa ubarozi!!!.
Hongera sana .Barozi ,Dr.slaa upo sahihi na umesaidia sana kufungua akili ya walio wengi,na kuelimisha wengi kwa manufaa ya nchi.
Endelea hivyo hivyo kubambania nchi yako.wewe ni hazina ya Tanzania.
Hongera sana baba na Asante kwa Elimu.
Inauma sana,watu waliopewa dhamana ya nchi wanafikiria matumbo yao tu.na hawafikirii future ya watoto wao.
Asanteee Dr slaaa umenena kama nilivyokuwa na waza Mimi ,usalama wa nchi yetu upo hatarini tunapotoa milango yote ya habari kwa wageni
Asante Dk. Sulaa kwa Kuuelimisha Umma, Mungu akupe Maisha marefu Tanzania tunakuhitaji sana Dk. Silaa Tuko hatarini tunauchungu sana lakini tunasubiri utoe tamko kwani Enough is Enough
Kwakweli mzee umetufaa ata sisi tusio na sauti.. tunakuombea maisha marefu.Mungu akulinde na maadui wanaoonekana na wasioonekana.. Kuna maeneo mengi sana na ya muhimu mno katika uwekezaji,kwa mfano eneo la kilimo Tanzania karibia asilimia 80% inafaa kwa kilimo.Lakini eneo linalotumika halizidi hata 15% hivyo basi huku ndiko hasa tunahitaji wawekezaji ukizingatia kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa.
Hongera sana Dr. Slaa kwa ujasiri wa kusema bila kutia woga tofauti na watu wengine hasa wale wasioitakia memaTanzania yetu.
Ubarikiwe sana, Dct wananchi hawelewi kinachoendelea wanasiasa wanaliangamiza Taifa Eee Mola tuokoe
Dr umenena,ukweli na uheshimiwe. Mungu ibariki Tanzania
Dr silla Bado upo sawa haujazeeka, upo v,r Mungu akutunze na aingile ati kuhusu mkataba
Asante Docter slaa uko vizuri huo ujumbe wa ufanyie kazi
Shukrani sana Dr Slaa,,, Mungu akulinde,,. ,hakika nimebubujikwa machozi kuhusu hili,,,,
Viongozi wetu wasikilizeni wananchi. Maana Nchi ni Watu na Rasilimali zake.
Mungu akubariki na akupe maisha marefu Dr.
inauma Sana kuona viongozi tunaowategemea ndio wanaofanya madudu ya kuwarudisha watanzazia kwenye ukoloni wa kibeberu na ubepari , HONGERA SANA DR.SLAA ,kwa kutufumbua macho Watanzania wenzako ,hao viongozi washenzi siku zao zinahesabika
Yaani viongoz wetu wana akili za utumwa
Usidanganyike, huyu ni mtimbakwiri anapigania mslahi ya Wazungu. Tatizo mwekezaji ni Mwarabu, na tena ni Mwislamu ndiyo tinayasikia haya mzee wa kanisa akifoka mpaka povu la kinywa likimtoka.
Mzee wetu hazina iliyobaki. Mwenyezi Mungu akulinde dhidi Hawa nyang'au
Huyo atalindwa tu tuache vyama tutetee maslahi mapana ya watanzania hatuwataki waarabu wamewatesa sana mababu zetu tena tuwape nchi kwa kuchukua bandari limeripuka siri zote nje
Huyu mzee akiachwa anakuwa mpingaji. Hamna kitu hapa
Sio kila anayeachwa ana uwezo wa kupinga. Pinga wewe kama unaweza. Inahitaji uelewa mzuri ambao wachache wanao
@@AndrewSanga-qs9dl mungu yupo
Asante sana Dr. Slaa. Hopefully hii taarifa yako itawafikia walio wengi nchini, maana Naona bado tumelala.
Father blessings baba Tanzania proud of you. Nafurahi sana bado mama Samia amekuweka karibu anaona mbali sana bega kwa bega mkiwa na mama tutafika mbali, mama Samia kuruhusu watu watoe maoni ni ishara nzuri pia
Mama pole kazi unayo utawala ni kazi kutwa awamu ya nne inakuponza
Na 2025 akijichanganya agombee urais bendera itapepea nusu mlingoti
Ahsante Dr Slaha
Hazina juu hii. Nimekuelewa sana.Dr. Slaa. Ichaguz ujao mzee nakupa kura yangu. Vp imri unaruhusu kugombea?? Maana page hii kubwa na nyezi sana.
Chombo kimezama tunakiokoaje? Mi ushauri wangu ni maandamano ya kuomba kusitishwa haraka mno harakati zote za uvamizi wa Dubai ngorongoro na bandari zetu
ndio huu ni ujinga kabisa ,yafanyike maandamano ya Amani Ili tuokoe vizazi vyetu vijavyo ,si madudu haya
Maandamano ni sahihi, ninjia ya kufikisha ujumbe,, ndo yaleyale wamepiga kelele akina tundu lisu, mbowe na wengineo wapenda haki,, huku wanafiki na team zao wamekuwa wakiwapinga na kutesa juu ya misalaba yao.
Hongera sana mzee Slaa nakuunga mkono kwa hili.
KUNA YULE ANAETUKENULIA MENO KUMBE ROHONI MSHNZ SANA HUYO NDO ANATUPOTEZA
Halafu tusikie kuwa Dr Slaa anaumwa kwakweli mtatusamee kwa kuumwa kwake maana hatuna imani na ninyi asante sana Dr Slaa kwakuwa wewe ni mzalendo
Nchi ina vituko sana hii ukiambiwa w2 walisherekea kifo cha Magufuli ndo mjue hamjui sasa
Mwenyezi Mungu Mtukufu akubariki Mh. Slaa.
Please make this go viral by sharing to as many ppl as possible.
😢😢😢😢😢😢tulikuwa uchumi wa kati, sasahiv sijui tuko uchumi wa ngapi, leo bandari imekodishwa kwa warabu hiv kweli serikali imeshindwa kuendeleza bandari yetu ?? Mpaka kumpa mwarabu ??😢. Naandika kwa uchungu najuta rais wa namna hii kuwahi kutokea tanzania, af kuna pimbi zinasema '' mama anaupiga mwingi'' 😢😢 hata wabunge kwa ajili ya matumbo yenu mmetusaliti😢 kweli jpm alisema mtanikumbuka, kwa sasa inchi nikama yatima asiyekuwa na mtetezi, au shamba ambaye mmiliki ameondoka wameingia waporaji, Mungu tusaidie😢😢
Ww unaonekana una chuki mbona hausemi waliyokuwepo au kwa sababu walikuwa wakristo wenzenu
JOB NDUGAI alisema nanukuu..."hii nchi itapigwa mnada" Mbn kama alisema ukweli jmn.
Aliona mbali na ndo kilichopo tupaze sauti jeshi lipindue nchi huyu mama atolewe tu kwanza ana zarau na majibu ya ovyo
Kikwete anatumaliza watanzania bara, RIP JPM
Hongera sana dk slave wabunge ambao tuliwachagua sii muda mrefu watajibu mbele ya mwenyezi mungu. Mungu hazihakiwi atakachopanda ndiyo atakachovuna kama siyo kwake kwenye kizazi cha kwanza had
Yaani mimi nawafikiria wabunge, na spika wao, akili zimeenda wapi?ndugai tunakukumbuka, ulisema nchi inauzwa!
Asante Mzee!
sawa Dr. Slaa nakuelewa sana paza sauti
Taifa letu sote!! Wachache wasiruhusiwe kuharibu Taifa letu. Mama Yetu Samia Mungu amekuweka majira haya kwa faida ya wote na nia yako ni njema sana. Tafadhali zuia viongozi na vikundi nje ya serikali wanaotaka kuharibu uongozi wako
Rais Samia jiuzulu bibi, hufai kuwa hata mtendaji wa kijiji. Aibu tupu.
Halafu utamleta bibi yako ndio atakuwa Rais. Kwanini baba yako hajiuzulu kwa mama yako?
@@tanzanite9944 unaonekana na wewe ni kibaraka wa mafisadi ajiuzulu ndiyo hatumtaki toka lini mzanzibar akawa na upendo na wabara acha usenge au unawataka warabu waje wakulambe matako
Noma sana. Kumbe nchi imeshauzwa kitaambo Leo mnasema mkataba unasubiri upite bungeni. Viongozi wajuzuru. Hilo lisikubaliwe. Mkataba wa awali tayari muuuda!!!!!!!!😭😭😭😭😭
Smart dr
Loliondo gate, NetGroup solution vs Tanesco, South Africa Airways vs ATC, NBC vs ABSA, bado hatujajifunza tu!
Safi sana
Sema Mzee uzee hatuna pakusemea👍
Tatizo la viongozi wetu wanaangalia maisha ya sasaivi tuu, ila ya vizazi vijavyo hawayatambui. Daah😭😭😭
Hatuna pakusemea 👍 sema Mzee sema tu huenda ukasikika
Nchi hii bila unafiki hutoboi huyu mwenyewe sialikiaga ✌️akakimbilia 🧑🏾🎤 saivi tena anatupa maelekezo gani!
Kwani lazima kila mradi uwe na ubia? Watuachie bandari yetu
Chukua fomu 2025 mzeee inchiiii inaitajiii viongoz kama ww
Mi simpikura yangu hata kidogo kwa sababu hana nia njema hata kidogo
@@istambulahmed6664huyo anayetuuza kwa waarabu haaaaaa
Kabisa ni kipindi cha kuongozwa na wenye uchungu na nchi
Mzee uko sahihi kabisa Hawa ccm wametufikisha pabaya wabunge wote hovyo yupo Mpina tu
Dr slaa uko sawa
our dear president achana na mpango WA kuuza bandari people are crying bitterly
Kichwa kinauma Mimi 🤕jamani😥😥
Kazi kweli kweli
Uwekezaji haukataliwi ila hapa kuna ukiukwaji wa katiba ya jamhuri ya muungana,mama yetu Samia tizama jambo hili kwa upana zaidi 😢
nakukubali slaa
So touching na utaona wa TZ wanacheka cheka tu juu ya hili jambo na sio kuchukulia serious lool
Dr Slaa kama ukipewa cheo tafadhali usikubali maana utakuwa umezibwa uwezo wa kuikosoa serikali
Jaman jamani wananachi we zangu wkubwa wadogo hii nchi niyetu sote lazima kwa wazalendo wa kweli
Mbona kipindi cha magufuli alikaa kimyaaaaaaa!
@@istambulahmed6664magufuli alikubali ujinga huu?? Alitetea nchi yake samia ni safari na waarabu ndo kabakiza hana la maana ulisikia wageni wa hovyohovyo wanaingia nchini??
Unamwamini huyu mzee kinyonga?
@@istambulahmed6664 kwani magufuli alifanya ujinga huu
Umesema vyema Dr slaa
Jamani mbona kama watoto na wajukuu wa baba wa taifa letu tunazidi kupotoka baba wa taifa amekosea wapi katika kutulea?
Viongozi wote wa juu kuanzia mwenye mkuu wa bandari, Raisi aliyekuwepo na ni mhusika mkuu, spika wa Bunge la Tanzania, wote wahusika na viongozi wote wa juu wajiuzuru. Inamaana hatuna viongozi tena. Tanzania si choo na si kichaka. Kwanza wananchi wa maeneo ya Dar es salaam wangepewa hiyo Habari kwanza kwani inabidi eneo Lao. Ilibidi waridhie kwanza.
Asante doctor slaa
Pretly sure umeludisha Imani yangu kwako
ASANTE Mhe Dr Slaa
Mimi napinga kabisa kuwapa wakoloni wa kiarabu,kuwapa bandari.tunaweza kufungiwa kwenye box iv punde.maana Kama mumeshindwa kuendesha bandar fukuza watumishi wote ajiri wapya na baada ya Apo watapata akiri.
This is real &truth truthnes is obviously clear. In my view, there must be reviewed, and given time to observe all the contents of the whole contract.
ni kweli muheshimiwa hata na mim napinga lakin sinalakufanya
Atuachie Tanganyika yetu,😭😭😭
Eee MUNGU ninani atakaesimama na kuliokoa taifa letu pendwa Tanzania kwa ajili ya vizazi vyetu vya baadae??? Tusaidie Eee MUNGU tusaidie.
Hawa wataka tuongee ukweli watuteke wakatuvunje miguu lkn kiuhalisia samia hatufai kutuongoza wananchi wa united States of TZ.
Wezao wana boresha nchi zao wao wana waibia watu wao na kuendelea kuboresha nchi za wageni. Kweli ni akili hiyo? Jengeni kwenu.
Huyu ni mzalendo sana
Spika wa Bunge Mh. Tulia....lawama zote unabeba wewe binafsi kwa Bunge kupitisha UFISADI HUU BUNGENI....na historia itakuhukumu....na Mwenyezi Mungu Mtukufu hatakuacha salama kwa Dua na Maombi juu yako!
Wanaoema huyu maza ni mpendwa. Inatia shaka sana. Mungu mbariki na mlinde Dr. Slaa
Sakata hili limekuja na jambo jingine jipya! Nikiwasikiliza hawa jamaa najifunza mambo mengi kuhusu mikataba. Pia imenisadia kuthibitisha kile nilichokuwa najua kuhusu mindset ya viongozi wetu na wananchi mbalimbali kwa ujumla: rushwa, kukosa uzalendo, ujinga ( illiteracy), udini na mporomoko wa maadili, vinatutafuna sana katika jamii yetu. Tukimaliza salama hili la bandari, tushughulikie mindset zetu, viongozi kwa wananchi, ama la tutatumbukia shimoni tena kwa staili nyingine!
kinachosumbua hii nchi ni mindset zetu....kwasababu kila kiongoz alianza kuwa mtu wa kawaida alaf akawa kiongoz kwahyo km alikuwa mjinga akiwa kwao uwe na uhakika akiwa kiongoz atakuw n kiongoz cheo akil za kijinga.....Ndo maana kiongoz wa Tz anaweza ingiza nchi mkenge kwa maslah yake na watu wachache,,,,n ujinga tu.
No vision.....Wamesoma lkn hawawaz next generation.....Nmemsikiliza Mbowe kasema 'kama tunabinafsisha Bandari chanzo kikubwa cha Mapato sisi km nchi tunabaki na nini?"
Huyu Mzee mwenyewe ni Mmendea tonge. Akipewa ubalozi tuu hutamsikia tena. anahangaika sasa hivi kwakuwa cheki ya ubalozi haiingii tena. Njaa nyingi sana kwa watanzania hata awe nani. Huyu Mzee ni njaa na analipwa na wanaharakati feki wanaodhaminiwa na watu wa nje. Wewe kaa ukiamii huyu Nduminakuwili Slaa.
@@tanzanite9944 hivi kwani aliyoyaongea ni ya uongo
Out
@@lamecktv4269mungu wangu nchi inaporwa hivi hivi kweli upinzani unaleta manufaa kidogo unatoa siri zote za wezi wa awamu ya nne
Hawa wabunge wa ccm kweli wameamua kuiuza nchi !mungu ainusuru Tanzania tunakoelekea ni hatar zaid
Serikali ya awam ya 6 inachokitafuta itakipata. Mungu aiunusuru 🇹🇿 na uvunjifu wa amani, lakini ikibidi, itakuwa.
Majobless tuliopita JKT tunagangaa njaa mitaani na vyeti vyetu mikononi, jua la utosi linachoma.
Msisahau mmetufundisha kutumia AK47. izo hotel Dubai na V8 za kiyoyozi na Padiem nasi tunazitaka. Uzeni nchi kinuke 🔥🔥🔥🔥😢
DR SLAA NIMEKUELEWA VIZURI. NIMEHISI WATU WEUSI HATUNA KUMBUKUMBU , HIVYO HATUNA AKILI! TUNATEGEMEA MWARABU ATATUPA UTAJIRI KUMBE NI UHARAMIA TU.
Lakini huku kwenye vyombo vya habari uchwara na vichumia tumbo, vina report kuwa "Dkt Slaa aunga mkono ubinafsishaji wa bandari." hovyo kweli kweli.
Nikuandamana tu nchi nzima
Huu mkataba ulikuwa ni kupima imani za Watanzania. Majaribio yao yamebutuka. Waje na nyingine, hii imeisha. Watanzania wa 2023, siyo wale wa miaka ile ya kuburuzana, wa kupigia makofi hata mambo ya kipuuzi. Serikali na Wabunge wake wajitathmini. Wanaongoza watu, hawaongozi mawe!
Mungu tusaidie hili lipite na bandari yetu ibaki huru rais samin ahairishe kuhusu hili
Swadakta,akiona linamaslahi mapana apeleke kwao
Kazi iendelee
Kuna tatizo kubwa katika utawala huu ,mpaka najiuliza ikuru Ina fell wapi? Mara tozo za mitandao mara Kodi ya yumba kwenye umeme Leo inauzwa bandari.
Asante baba
Ndugai wapi baba
Jeshi la Tanzania 🇹🇿 tunaomba mtusaidie maana Ccm itatupeleka pabaya hii nchi Bora iongozwe na jeshi tu Magufuli alituongoza vizuri Leo hii mama kaja analeta watu haohao waliofukuzwa na marehemu Magufuli nakumbuka kauli ya spika ndugai kuwa ipo siku Tz itapigwa mnada😢😢
Ni kweli JWTZ wangeendesha hiyo bandari badala ya waarabu
Ili sauti zetu zisikike tuandamane jeshi lipindue nchi huyu mzanzibar atauza nchi
Jamani jamani Viongozi wa dini Maasikofu na mashehe mko wapi kupiga kelele juu ya hili?
Asikofu Gwajima ulikemea Mahakama ya kazi kikaeleweka,ukapinga ulazima wa chanjo za covid 19 kikaeleweka.
Asikofu vipi umekula tunda lililokatazwa ukajificha??
@@ezekielslyver-sk4yx wakishapewa elfu mbili wanakuwa pamoja nae
Mama Samia angaria kilio Cha watanzani .tuachie bandari yetu.
Hii ngoma umeshakuwa ngumu huyu kaja na kuna wengine wanakuja ngoja niongeze bando lingine 🏃
Bandari sio natural resource 😅, ile imejengwa.
Ndugai ariongea kweri huyu mama nchi imeuzwa
Hatari Sana Kama hawashituka
Thanks a lot for this clarification 🙏🙏
Dr.ur very smart, let's join you
Inawezekana kweli mzee ananjaa lkn tutakuwa wajinga kiasigan kudhani mwenye njaa hana akiri hawezi kuwa na taharifa sahii.hebu tuache ushabiki mwenye mambo ya msingi tujibu hoja kama huwezi kaa kimya.
@@bahatikamihanda3689 Mwenye akili halali na njaa.
the chanzo vyombo vyenu vya sauti ni tatizo....rekebisheni.
Kweli baba ❤️🇹🇿🙏🙏
Mama jamani tunaomba uliangalie hili kwa jicho lingine, lisije likakuchafua mama yetu mpendwa. Kazi zako tunaiona na tunazijua, ila hili tunaomba sana ulichunguze kwanza.
Unaomba au unamtaka aangalie????
Anafanya kazi gani.?mnampamba tu ila hamna kazi anayoifanya
Why Emirates hapo... Mengine yoote mnazuga tu...
Asante DR
Tulipofikia inabidi nchi tuachie jeshi kwanza, thing fall apart
All in all hatuwataki Tena serikali ijayo .
This is the perfect candidate for presidential post in any political party
⁰⁰q
Mpe Ubalozi uone kama hakugeuki na Kusema hana Chama chochote cha siasa. Unaamini propaganda za huyu Mzee! Anatafuta ugali pande zote, serkalini na Chadema. popote atakabidhiwa kijiti anageuka mazima.
yes
EXACTLY
Si aliisaliti chadema alipopewa ubalozi.
😅😅😅 hii nchi Ina liwa Sana
Yani mm sasa ndo CHADEMA uchaguz ujao namuweka Dr. Slaa amsumbue mama najua hatashinda (atanipa umaarufu na kuaminikazaid Kwa Hawa walimwengu wa Tz) alafu Lisu agombe ubunge ainge ndani then baada ya mama kumaliza uchaguz ujao Asubui saane na wino wangu mwekundu natiasaini pale naenda kufanya tafrija. Eti huu ndo upuuzi nawaza
Mungu anawaona, hatuna viongozi