Ni wazo lng tu kwa nchi yng zama zimebadilika tofauti na zamani teknolojia imekua mambo mengi yanakuwa wazi sana grobally wanataaluma wetu wote wafanye kazi kwa weledi!
Nakumbuka serikari yetu ilitangaza yakwamba wananchi wa ngorongoro wamekubali kuhama kwa hiyari Yao bila kulazimishwa kama ni kweli mbona watanzania wanachama wa chadema wanazuiliwa kwenda huko ngorongoro kuhutubia watanzania waliopo ngorongoro????mmmmm??kunanini?
Mama wa kambo usje kumuamini anaweza kukukorogea hata uji wa mabetri ya ndege ularegea akafanya atakacho Sasa ila mwaka huu unajoto Sana wanawake toeni vipandkizi mzae maana mnahasira Na chuki mno lisu kakamatwa nae jioni hii
Hii nchi Uhuru umezidi
Ni wazo lng tu kwa nchi yng zama zimebadilika tofauti na zamani teknolojia imekua mambo mengi yanakuwa wazi sana grobally wanataaluma wetu wote wafanye kazi kwa weledi!
Tindu Lisu anachotamani ni nchi iingie kwenye vurugu yeye akimbilie kwa mabwana zake atuache tunateseka
Acha upuuzi wewe umepewa chako au unakipigania?
Hana hadhi ya kupewa chake huyo sema ni wale wasiotaka utawala wa haki, amekulia maisha magumu ya CCM na Bado hafungui kichwa
yani nyinyi wapuusi mnao wona tundu lius kuwa mchocheshi ila amtaki kujua hii serikali ndoo chanzo cha matatizo yote
Yaan mnavyowakamata hivyo ndiomnaipanguvu chadema
Ww umeshatuona sisi Kama mazuzu et
Inamaana iyo ngolongolo kwenda mpaka uwe na pasipoti eti
Ngorongoro ni hifadhini kuingia ni lazima kibali
@@bamanyasalvius123 jua maana ya passport na kibali
Uliamini hivyo,?kama ndio tafakari
Nakumbuka serikari yetu ilitangaza yakwamba wananchi wa ngorongoro wamekubali kuhama kwa hiyari Yao bila kulazimishwa kama ni kweli mbona watanzania wanachama wa chadema wanazuiliwa kwenda huko ngorongoro kuhutubia watanzania waliopo ngorongoro????mmmmm??kunanini?
Mama wa kambo usje kumuamini anaweza kukukorogea hata uji wa mabetri ya ndege ularegea akafanya atakacho Sasa ila mwaka huu unajoto Sana wanawake toeni vipandkizi mzae maana mnahasira Na chuki mno lisu kakamatwa nae jioni hii
Tuskia talifa pia lisu nae kakamatwa huu ni uhuni mwachieni haraka huyo sio level zunu askali achii hii kitu mtaumbuka nyie
Tundu lisu mvunjeni miguu kibaraka wa wazungu hyo pigen sindano za sumu
Ww utakufa kabla yake ,
Comment zetu ziwe za kujenga.Tusiokijua tukae kimya.hacheni chuki.
Tundulisu ni mchochezi tena kibaraka mkubwa anataka kuchochea vurugu nayeye akimbilie nje.Tundulisu hatakiwi aachwe anafanya ujinga wake .
Achana na akili mgando
We shetani la. Ccm ulitaka asikimbie ili auawe na. Mwendazake. Na maccm tungempata wapi mkombozi watanganyika tunateseka ndani ya utajir mkubwa