Prince katega anahitaji muda mrefu zaid kwnye kipndi maana haichosi kumsikiliza nashauri wakati mwingine muweke muda hata lisaa lizima maana jamaa anavitu vingi sana kichwani vya kutujuza kuhusu historia na dunia kiujumla"
DR katega nataka kupitia wewe niunge na pan Africanism naomba anuani,nilikuwa nimejiunga na DR,othuman wa Senegal Ila nikapoteza sim yangu,nahitaji kuunganisja mawazo yangu kwa pan Africanism
Asee inahitaji nguvu ya ziada kumuelewa huyu mzee, ubarikiwe mzee 🙏💪
Mlete tena Mzee wetu uwa na mfatilia sana ame nibadili sana mpaka na jivunia kuwa mu Africa
Daaah aiseee huyu mzee anavijuwa vitu ambavyo hauez kusikia popote bro duka kongole kwako kakaa
Mwami nakupata vizuri
Wape fire
Sahihi mzee tunafundishwa nyerere kazaliwa butiama itakusaidia nini tuwafundishe ufundi unesi udaktari toka chini
Prince katega anahitaji muda mrefu zaid kwnye kipndi maana haichosi kumsikiliza nashauri wakati mwingine muweke muda hata lisaa lizima maana jamaa anavitu vingi sana kichwani vya kutujuza kuhusu historia na dunia kiujumla"
naomba msaada wenu nipate kuongea na huyu baba,,
Broo duka jipige kifua jisifie sana kufanya mahojiano na huyo mzew
madini mengi sana haya
🤣🤣ATA BARABARA TZ WANAJENGA WAAFRICA ila msimamizi ni mzungu🤙🤙..(wao wanazunguka tu)
Uko vizuri sana katega,ulichokosa ni historian sahihi ya watu weupe.
Wazungu cc ndo tumewazaa ww
Mbona hamna mwendelezo ?
Madini adhimu sana
DR katega nataka kupitia wewe niunge na pan Africanism naomba anuani,nilikuwa nimejiunga na DR,othuman wa Senegal Ila nikapoteza sim yangu,nahitaji kuunganisja mawazo yangu kwa pan Africanism