HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA WATOA KAULI NZITO YANGA KUIFUNGA TP MAZEMBE BAO 3-1 "SIMBA HATA KESHO!''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 167

  • @Allybomeza
    @Allybomeza 16 วันที่ผ่านมา +2

    Safi Sana hii💛💚🙏

  • @chemstry409
    @chemstry409 16 วันที่ผ่านมา +4

    Mmependeza warembo....❤❤❤

  • @mmolemtokambali8687
    @mmolemtokambali8687 16 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana Dada zetu mko vizuri

  • @gemandorobo1536
    @gemandorobo1536 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mpo vizuri waheshimiwa 👏👏👏

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 16 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana dada zetu💛💚💛💚💛wanainchi HATUNA baya

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 16 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU ni mwema Hongera Sana kwa uchambuzi bora viongozi wetu kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana nyote nawapenda shalom shalom

  • @RobertKajege
    @RobertKajege 16 วันที่ผ่านมา +29

    Halima mdee ( sauti ya zege ) ,na Ester Bulaya viongozi Bora sana wa kisiasa,hazina kubwa nchi wanahitaji sana kulindwa na mfumo uliopo wasipotee kwenye siasa wapewe nafasi bila kujali kama watakuwa na chama ,au bila chama chochote ,Kila la kheri hakika mmepikwa mkapikika kisiasa

    • @Registon-ed8sy
      @Registon-ed8sy 16 วันที่ผ่านมา +3

      Huo ufara sasa kaka Hawa viongozi bora kwa lipi wamelifanyia nn taifa? ni Akina nani haswa kwenye nchi hii?

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 16 วันที่ผ่านมา +3

      ​@@Registon-ed8sywe naye unaleta ukilaza

    • @Mtamaboy
      @Mtamaboy 16 วันที่ผ่านมา +1

      Ukilaza gani acheni ufala vijana kusapoti kila kitu hata ujinga ​@@majaliwabwitonde6900

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 16 วันที่ผ่านมา

      HAWA NDIO WALE WANAOITWA COV-19 na CHAMA CHAO AU?.😂😂😂😂😂

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 16 วันที่ผ่านมา +3

      Mtu na demu wake

  • @msemakweli...
    @msemakweli... 16 วันที่ผ่านมา +17

    Panya road wanatamani kusingizia udhamini lakini wakikumbuka TP Mazembe hawadhaminiwi na GSM wanabaki tu kusonya!🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jascinthakameleki104
      @jascinthakameleki104 16 วันที่ผ่านมา

      Hongera Tu, mmepiga bomu moshwari,so usishangilie Sana. Sala zako ziwe kuwa mwarabu ashindwe ili aweze kwenda robo fainali otherwise hata ungemfunga mazembe gori kumi utabaki Tu!🤣🤣🤣🤣👌

    • @ZawadiMoris
      @ZawadiMoris 16 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@jascinthakameleki104maiti yetu nyingine niwewe kolozdad Kaa kwakutulia😂😂😂😂

    • @DavidKajabuka
      @DavidKajabuka 16 วันที่ผ่านมา

      we unamuweza huyo tangu uanze mpira ujawai mfunga huyo na unamuitaje kibonde msimu ulio isha kamaliza nusu fainal club bingwa

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nakukubali sana Halima Mdeee

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 16 วันที่ผ่านมา +7

    Wabunge wa yanga mumewaona💚💛💚🥎🙏

    • @FaridaHamis-e4y
      @FaridaHamis-e4y 16 วันที่ผ่านมา

      Tumewaona

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi 16 วันที่ผ่านมา

      @@happysanga6846 tumewaona wasagaji

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni wabunge wetu Easter na Halima🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hidayaomary8611
    @hidayaomary8611 16 วันที่ผ่านมา +3

    Nimewapenda bureee wabunge wangu wananchi ndy nyie I love u yanga

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 16 วันที่ผ่านมา +1

    Halima Mdee nakuelewa sana

  • @AnnaMgunda-p6n
    @AnnaMgunda-p6n 13 วันที่ผ่านมา +1

    Good halima mdee na Ester blaya

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ssfi sana hongereni wadada, wabunge wetu mmependeza sana

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 16 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda sana Dada zangu, mko vizuri sana

  • @EliasMollel-f6y
    @EliasMollel-f6y 6 วันที่ผ่านมา

    Esther bulaya anajua❤.

  • @IsmailRobert-m8f
    @IsmailRobert-m8f 16 วันที่ผ่านมา +2

    Halika jaman ni mzuri

  • @JamesSaini
    @JamesSaini 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mdee halima

  • @paullukanga-xn8pr
    @paullukanga-xn8pr 16 วันที่ผ่านมา +2

    well said bulaya

  • @yilodhasunga3967
    @yilodhasunga3967 16 วันที่ผ่านมา +9

    Makolo hawana wabungeee 😂😂😂😂

  • @chemstry409
    @chemstry409 16 วันที่ผ่านมา +2

    Both mmechambua vizuri waheshimiwa....❤❤❤

  • @pascalchipuza3836
    @pascalchipuza3836 16 วันที่ผ่านมา +1

    Halima mdee the best 🙌

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 16 วันที่ผ่านมา

    Asanteni Viongozi nimependa

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h 16 วันที่ผ่านมา +2

    Majembe yetu 🔥🔥🔥🔥 kwenye mpira

  • @AishaBakari-qc5to
    @AishaBakari-qc5to 16 วันที่ผ่านมา +1

    Da kumbe halima mwananchi safi

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 16 วันที่ผ่านมา +1

    Esta halima asanteni sana Kwa kuja kuwapa moyo vijana

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 16 วันที่ผ่านมา +3

    Napenda Halima anavyotembea😂😂😂

  • @FaruKapesa
    @FaruKapesa 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tok moyon nawakubal Hawa watu bg up halima mdee ester 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MpoleAichi
    @MpoleAichi 13 วันที่ผ่านมา +1

    jamn mimi halima na mpnd sanaa c masihara tena sanaa haswa sauti tu pls halima nakpta je

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 16 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe wabunge wangu pendwa yanga africa verry nice hapo bado matiko

  • @shariffsagaf2305
    @shariffsagaf2305 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nampenda sana mwangu halima na sauti yake

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi 16 วันที่ผ่านมา +2

    Saf Sana wabunge wetu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 16 วันที่ผ่านมา

    Inshaalla Inshaalla Inshaalla tutashinda

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 16 วันที่ผ่านมา +2

    Daima mbele chama langu Yanga

  • @HezronMwamahusi
    @HezronMwamahusi 16 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuu halima kapendeza jamani!!!!

  • @VictorKahangwa
    @VictorKahangwa 16 วันที่ผ่านมา +5

    Touch , Release, Attack !! Hii falsasa ni bora kabisa

  • @AmosShija-w2o
    @AmosShija-w2o 16 วันที่ผ่านมา +1

    Halima mdee mhuni kichiziii😂😂🙌🙌

  • @mhozyamkungu3408
    @mhozyamkungu3408 16 วันที่ผ่านมา

    Nawakubali sana ktk nchi ni wanawake wa shoka

  • @DhahabuSafi
    @DhahabuSafi 16 วันที่ผ่านมา

    Asanten Halima na Mdee kuwa wana Yanga

    • @vedastusmlavumba1158
      @vedastusmlavumba1158 16 วันที่ผ่านมา

      Hatuwataki wameomekana kpndi cha mvua lakini kwenye jua hawaonekani , rubbish

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 15 วันที่ผ่านมา +1

    Wanangu sana halima/ester mwamba sana kumbe ni wananchi🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 16 วันที่ผ่านมา

    Asanteni furaha yenu furaha yetu piya tuko mbali

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 16 วันที่ผ่านมา +1

    💚💚💛💛

  • @NaftaryMgoye
    @NaftaryMgoye 16 วันที่ผ่านมา

    Hatimaye Yanga tumerudi shauri zao 💛💚🏆✍️

  • @ZakayoKalinga-nq5qy
    @ZakayoKalinga-nq5qy 16 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂Nimemwelewa Bulaya sana kwamba Kimataifa tuwe pamoja

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 16 วันที่ผ่านมา

      Milioni 15 za mama mfukoni

  • @FroliantresphoryKamgisha
    @FroliantresphoryKamgisha 16 วันที่ผ่านมา +5

    Mmeonyesh kitu kikubwasn mmeondoa ali iliyo kaliliwa kwamba ukiwachadema atashabakia simba leo mmeona wenyewe

  • @mcmambo8774
    @mcmambo8774 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mmependeza

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 16 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ni wananchi wetu

  • @muchunguzimissingo5662
    @muchunguzimissingo5662 16 วันที่ผ่านมา

    Duh.. Kweli Bulaya Kamdomo Nomaa..

  • @alinadee8207
    @alinadee8207 16 วันที่ผ่านมา +2

    Touch release attack 😂😂😂Jana mekosa alf50 nliambiw nsem kizungu 😅

  • @REHEMAMAFALO
    @REHEMAMAFALO 15 วันที่ผ่านมา +1

    Halima ,Buraya Songa mbele, maneno hata kwenye kanga yapo,pigeni kazi nawapenda

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 16 วันที่ผ่านมา +1

    bulaya noma! eti simba ya ateba?😂😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 16 วันที่ผ่านมา

    Halima nakupenda dada tabasam lako mwaaaa

  • @issamlibwa9398
    @issamlibwa9398 16 วันที่ผ่านมา +1

    Halima mdee Huwa nadhani kwamba hiyo saut nikwasababu anaongeaga xana bungen kumbe ndo saut yake ila naipenda😄😄

  • @edwardleonard5793
    @edwardleonard5793 16 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba kujua uhusiano hasa wa hawa watu,

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 16 วันที่ผ่านมา +1

      Mimi sielewi mbona dizaini inafanana na Ile ya Martha na Joan mmh 🙄

  • @AbdulHemedi-p2z
    @AbdulHemedi-p2z 16 วันที่ผ่านมา

    Dadaz wa wananchi

  • @nuruelmada2877
    @nuruelmada2877 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo unakuta kuna watu wanasema hawaioendi Yanga eti ni ya Ccm, wakati Mbowe, Lisu , na akina mdee ni Wana Yanga, ana sio wna Ccm duh!

  • @stn4873
    @stn4873 15 วันที่ผ่านมา +1

    Halima anavyo muangalia Ester sasa. 😊😊😊

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 11 วันที่ผ่านมา

      Acheni kusingizia mambo yasiyokuwepo Mungu hapendi dhana.

  • @HansSurumbu
    @HansSurumbu 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa Estar Meli nne eeh! Unawasilisha🤣🤣🤣🤣🤣

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 16 วันที่ผ่านมา +3

    Aaaa dadaangu uyoooo wamkoa, kumbe nawewe umo,. Karibusàna Chama la wanamchi

    • @januarymassawe1945
      @januarymassawe1945 16 วันที่ผ่านมา

      Halima mdee nakukubali hata sauti yako yakujiamini

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 16 วันที่ผ่านมา +1

    HAPO WANAWAKE WANA AKIL KULIIKO MANARA,
    MAANA HAWAJAHAMA TIMU

  • @ReginaBosco-x1b
    @ReginaBosco-x1b 16 วันที่ผ่านมา

    Ivi halima kaolewa kweli😀😀😀😀🤔🤔🤔

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 16 วันที่ผ่านมา

    Bulaya umetisha, hiyo ndo Raha ya utani wa Simba na Yanga si matusi

  • @JeniphaSamwel-r9j
    @JeniphaSamwel-r9j 16 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shamimuAthuman
    @shamimuAthuman 16 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 16 วันที่ผ่านมา

    1:38
    RIRIZ😂😂😂

  • @beatricesamwel9133
    @beatricesamwel9133 16 วันที่ผ่านมา

    Halima kama tom boy ivi

  • @SunKunkiwe1965
    @SunKunkiwe1965 16 วันที่ผ่านมา

    Hayo maneno ya mwisho ya Ester bulaya duh!😅😅 Umepiga Penyewe

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kama boy ester

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 16 วันที่ผ่านมา

    ESTAR UMETISHA SANA WEWE

  • @omarkatesh3299
    @omarkatesh3299 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi hawa hawaolewagi

  • @emmanuelbusungu2570
    @emmanuelbusungu2570 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ukitaka kujua tabia ya mtu sema ukweli, ukweli ni mchungu. Mtu badala ya kuongelea utani wa kwenye Mpira, anaporomosha matusi na anajisikia fahari Kwa sababu ndivyo alivyo. Baadae anailalamikia serikali kuhusu huduma za kijamii anasahau kwamba hasira zake zinarudisha nyuma maendeleo ya nchi, mfano unang'oa viti yaani miundombinu ya watanzania ni aibu. Tujitahidi kuzuia mihemko yetu, hasira, matusi. Havijengi!!!. Mpira ni ajira, burudani, n.k siyo chuki, uhasama, uadui.Bali ni utani unaozingatia utu wa mtu, maadili, taratibu, kanuni na Sheria.

  • @agnesnombo5516
    @agnesnombo5516 16 วันที่ผ่านมา +1

    Daa mheshimiwa anakera dakika😂 15 za nyongeza😂

  • @mdetetv6050
    @mdetetv6050 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa had cheni sare kweli nimeamini

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 16 วันที่ผ่านมา

    kwenye yanga tuko wote, mh kasema madogo wamepiga mpira

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 16 วันที่ผ่านมา

    Hawasagani kweli hawa?😮

  • @consoponsiano97
    @consoponsiano97 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ila watu wakion camera 😂😂 anajisogeza km ameitwaaa

    • @zaitunirashidi5532
      @zaitunirashidi5532 16 วันที่ผ่านมา

      Eric omondi ashasema watz wanapenda 📷😂😂😂

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 16 วันที่ผ่านมา

    Haji Manara kabadilisha Timu sasa Tuseme jeee

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 16 วันที่ผ่านมา +1

    2025😀😀

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mlikua kimya Leo mmeibuka

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 16 วันที่ผ่านมา +1

    HALIMA NITAKUTONGOZA

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 16 วันที่ผ่านมา

      Ww huoni yuko na demu Wake

  • @SophiaWanene
    @SophiaWanene 16 วันที่ผ่านมา +2

    GSM NI LIDUDE LIKUBWA LEO MUNGU KAWAFUNUA NDO MAANA HII SJERIA YA UMILIKI ZAIDI YA KRABU MOJA

  • @PhineasOcholla
    @PhineasOcholla 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ukiwa shabiki wa Yanga tu akili zinaisha, eti dube amecheza mechi tatu😂😂😂😂

    • @SunKunkiwe1965
      @SunKunkiwe1965 16 วันที่ผ่านมา +1

      Asie na akili ni yule kila akikutana na yanga anavua chupi Anabong'oa

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 16 วันที่ผ่านมา

    Kwani hawa wasagaji mbona siwaelewi

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 16 วันที่ผ่านมา +1

    💚💚💚💚💚💚💚💚💚🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ShukuMshando-uc4qf
    @ShukuMshando-uc4qf 16 วันที่ผ่านมา

    Wabunge wa ndugai

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 16 วันที่ผ่านมา

    Halima mdee tatizo usela mwingi ndomaana ana husishwa nautumiaji wa madawa yakulevya

  • @nembibenard8440
    @nembibenard8440 16 วันที่ผ่านมา +3

    Sema mtoto wa kiume kuwa na shobo kiasi kile kwa mwanamke hadi unaonekana mshamba kashoboka kwa mdee hadi najionea aibu mm mwanamke ndio akushobokee kidume inapendeza

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 16 วันที่ผ่านมา +1

      Ingekuw hivyo wanaume wasingekuwa wanatongoza km ilibid hadi washobokewe wanaume ndo washobokaji wa kwanza kwa wanawake kisha mwanamke aki pay attention ndo sound zinaanzia hapo pia Hiyo ni tafsiri yako wewe na cyo sheria Halima ni public figure na alichofny jamaa ni kushow love na halima hakumbeza jamaa imekaa pouwh tu

    • @GodwiniFwelo
      @GodwiniFwelo 16 วันที่ผ่านมา +1

      Mshamba kvp au kufurahi kuna jinsia. Ukipata nafasi ya kufurahi furahi. Mshamba n yule anaeshangaa wanaofurahi

    • @nembibenard8440
      @nembibenard8440 16 วันที่ผ่านมา +1

      @GodwiniFwelo ukiwa marioo mpenda kulelewa hauwezi kuelewa namaanisha nn waenda gym ukiwagusa watakusomea lisala mwanaume hatakiwi kushoboka mwanaume akikuta wanawake anasalimia wao ndio watashoboka saa unaanza kujichekesha shobo kibao

    • @nembibenard8440
      @nembibenard8440 16 วันที่ผ่านมา

      @@zuberimohamed43 ndio marioo mlivyo mwanaume unajichekesha kaa mwanamke kahaba umeona wapi Simba mwenda pole ndie mla nyama vile vimbele mbele shuhuli hamna ishi navyokuambia mm utanishukiru ndio mana wanaume wengi mnatupa maswali mengine ya kujiuliza huyu mwanaume au wa kiume mashauzi kibao kiasi Halma ameonekana mkavu kumzidi mwanetu kuwa mgum hata mwanamke akikutazama aseme huyu mwanaume saa ww unajichekesha hata Tom mboy ana afazari

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 16 วันที่ผ่านมา

    Zaman walikuwa na akil Sasa hiv yamekuwa majingaa zuu

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 16 วันที่ผ่านมา +6

    Mimi nawapenda sana wadogo zangu atakama nyie ni wapinzani nawapenda sana ata kama nyiewaheshimiwa nisamehe kwa kuahita wagodo zangu

  • @ezekielmogella714
    @ezekielmogella714 16 วันที่ผ่านมา

    Mdee mrembo nitafute pls

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 16 วันที่ผ่านมา

    Wanasubili kwenda Kwa waganga wa kienyeji kuwania ubunge

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kunammoja amecomments eti? Simba awana wabunge🤣🤣

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 16 วันที่ผ่านมา

    Hawa watu nawapenda mnoo nakumbuka enzi za pipooooz

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 16 วันที่ผ่านมา

    Uje mpka Leo cjajua hawa misukule wapo chama gani

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj 16 วันที่ผ่านมา

    Sio maarufu tena hawa

  • @LucasHaile-dy9kd
    @LucasHaile-dy9kd 16 วันที่ผ่านมา

    Esther Bulaya kweli wewe ni mtalaamu wa mpira kama anavyosema Halima

  • @MuminMuminamduni-d7u
    @MuminMuminamduni-d7u 16 วันที่ผ่านมา +1

    makolo hayajui mpira yanajuaga matusi tuh

    • @VeronicaElias-o3x
      @VeronicaElias-o3x 16 วันที่ผ่านมา

      Nyani haoni kundule kubahatisha hivyo vigori umekuwa shida

    • @ElizabethMaster
      @ElizabethMaster 16 วันที่ผ่านมา

      Nan kabahatisha wewe masimbilisi hamkos maneno

    • @VeronicaElias-o3x
      @VeronicaElias-o3x 16 วันที่ผ่านมา

      @ElizabethMaster ndio mmebahatisha Kwan uongo

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 16 วันที่ผ่านมา

    Nje ya mpira kidogo
    Hawa watagombea ubunge kupitia chama gani ??

  • @SaidNsyengula-rf3to
    @SaidNsyengula-rf3to 16 วันที่ผ่านมา

    Mdee