Kwa kumbukumbu zangu Baba ya Acting CEO wetu Hassan Adam Sakuru alisajiliwa Simba akiambatana mchezaji mwenzie toka masomoni walipokuwa wanasoma SHYCOM naye ni Aden Rage. Mzee wake alikuwa ni Striker na Rage alikuwa Back 4. Tulipo chukua kombe la Club Bingwa Afrika Mashariki na kati pale Uwanja wa Bibi 1974 tukiwa ndio wa kwanza toka lianzishwe ndipo nilipoanza kuwaona hawa wachezaji. Mama yake CEO alikuwa mtoto wa mchezaji wa Zamani wa Sunderland 1950' Mzalamo Msomi Harlod Mgone aliyekuwa anaishi Magomeni Mikumi Street.
Usomi wako umekupeleka hapo ulipo. Majibu yako kwenye interview hiyo yamedhihirisha ukomavu wako na utayari wako kupokea jema au baya llitakapo Tokea. Hongera kwako. SIMBA NGUVU MOJA UBAYA UBWELA
C i o wetu karibu sana 🦁 tuomba sana toka kwako uwemakin uwemwenye msimamo pia usimamie vzr wachezaji na bench laufundi kunaftina nyingi sana katika soka letu la bongo chengine uwanja c i o
C.E.0 ambaye sitamsahau maisha yangu ni Babra alikuwa na maono ya mbali na nahisi hadi leo angewepo hata uwanja ungekuwa tayari, ushauri wangu madam C.E.0 mtafute babraa aweze kukupa ushauri nina hakika mkiungana kunshea mawazo naiona mbali simba
Madam CEO nakuomba sana kuwa karibu sana Barbra na hata Imani kajula hasa kwenye male go ya timu na nakuomba sana uwanja wetu mama hata mechi za ndani tu ❤🦁🦁🫡🫡🙏🙏🇹🇿🇹🇿
Ni kweli ulivyoongea mimi naijua na mshabiki wa Simba toka mwaka 1970 nilikuwa tunamjua mchezaji Adam Sekulu na sasa ndio najua kuwa alikuwa anaitwa Hasan Adam Sakulu hongera sana kumbe wewe Zao la Simba Sports hongera sana Maadam.
Ivikie wakati siasa iwekwe pembeni simba jengeni uwanja siolazima mjenge bunju tofautisheni uwanja wa mazoezi na wakuchezea mechi nendeni hata kigamboni kimbiji huko maeneo bd yapo mengi sn tuachieni siasa jengeni uwanja wa kuchezea mechi
Wakati mkimzingatia C.E.O kwa majibu mazuri ebu mpeni time na uyu Ahmed acha tu nimtukane kwa kumsifia mana ndo utaratibu wetu, we fala unajua Ahmed kuhoji na upo straight da mamae Ahmed unajua😂😂
C E O shauri Bodi ya Simba tupate uwanja wa mechi Simba nguvu moja 💪💪💪🦁🦁🦁
CEO wetu karibu sana Kwa club yetu ya SIMBA.. MUNGU akuongoze uweze kutekeleza majukumu yako vzr.
Karibu msimbazi madame zubeda tunakupenda❤
Kwa kumbukumbu zangu Baba ya Acting CEO wetu Hassan Adam Sakuru alisajiliwa Simba akiambatana mchezaji mwenzie toka masomoni walipokuwa wanasoma SHYCOM naye ni Aden Rage. Mzee wake alikuwa ni Striker na Rage alikuwa Back 4. Tulipo chukua kombe la Club Bingwa Afrika Mashariki na kati pale Uwanja wa Bibi 1974 tukiwa ndio wa kwanza toka lianzishwe ndipo nilipoanza kuwaona hawa wachezaji.
Mama yake CEO alikuwa mtoto wa mchezaji wa Zamani wa Sunderland 1950' Mzalamo Msomi Harlod Mgone aliyekuwa anaishi Magomeni Mikumi Street.
Uko vizuri una confidence Sana nakupenda zubeda
Kila la kheri .
Simba nguvu Moja
Kalibu CEO wetu tunakupenda sana 💯💪❤️
Karibu sana Zubeda
Sisi kama mashabiki tumekupitisha jumla jumla hisia zetu kwako kwenye club yetu ni kubwa vibaya mno, tuko Nyuma Yako sister wa🦁💪☝️🙌🇹🇿🙏👏👏👏
Simba nguvu moja 🦁♥️💪🙏
CEO hongera sana munguakusimamie katika majukumu yako
Zubeda na Ahmed Simba nguvu moja🎉🎉🎉
Karibu na kazi njema ya utendaji ktk club yetu
Dada uskilize maneno ya waandishi piga kazii ❤❤❤Ubaya ubwelaa
Mash'ALLAH
Mash'ALLAH
Mash'ALLAH
Bi. Zubeda ...NIMEKUPENDA KWA DHATI YA MOYO WANGU...
Wa kwanza ubaya ubwela❤
Hadi rahaaaaaaa😂😂😂😂😂
Hongera sana Mungu akuongoze kwenye nafasi yako
Usomi wako umekupeleka hapo ulipo. Majibu yako kwenye interview hiyo yamedhihirisha ukomavu wako na utayari wako kupokea jema au baya llitakapo Tokea. Hongera kwako.
SIMBA NGUVU MOJA
UBAYA UBWELA
Interview bora sana hii❤
CO la CAF❤❤❤
Wa kwanza naombeni like zangu😅
Karbu sna ,moja ya interview Bora Bora kwa mwaka huu hongera idara ya habr
C i o wetu karibu sana 🦁 tuomba sana toka kwako uwemakin uwemwenye msimamo pia usimamie vzr wachezaji na bench laufundi kunaftina nyingi sana katika soka letu la bongo chengine uwanja c i o
Karibu sana tunakupenda
Simba SC ❤❤❤❤
Karibu sana Madam C.E.O
Simba nguvu moja
C.E.0 ambaye sitamsahau maisha yangu ni Babra alikuwa na maono ya mbali na nahisi hadi leo angewepo hata uwanja ungekuwa tayari, ushauri wangu madam C.E.0 mtafute babraa aweze kukupa ushauri nina hakika mkiungana kunshea mawazo naiona mbali simba
CEO wetu tunampenda sana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
Amazing!!! Powerful woman.Long live UNYAMANI madame!
Hongera sana kumbe ww ni mnyama damu damu karibu sana nyumbani kwenu Simba nguvu mojo
C e o simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Anastahik kua mnyama kw historia fupi🙏🔥🔥🔥🔥
mungu ni mwema yu nasi wana simba
Kalibu mkuu
C. E. O WA NGUVU LIONESS
Karibu Sana CEO wetu tuna imani na wewe tunaamini utatufanyia mengi mazuri
CEO❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mtu mzito sana huyo naona unamuhiji mwenyewe semaji letu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
CEO 🦁 💪 💪 💪
Simba Nguvu moja
Mungu akutangulie dada❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Karibu unyama 🎉🎉🎉❤❤❤
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉. Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Zubeda hapo kwenye uwanja ndiyo kila kitu kwetu Asante Dada.simamia hapo hapo waliposhindwa wenzio
Nguvu Moja Aunt zuu
CEO naomba cha Kwanza shughulikia wote wanaovaa jezi ya Simba nakuiponda Simba.
Madam CEO nakuomba sana kuwa karibu sana Barbra na hata Imani kajula hasa kwenye male go ya timu na nakuomba sana uwanja wetu mama hata mechi za ndani tu ❤🦁🦁🫡🫡🙏🙏🇹🇿🇹🇿
CEO katulia sana
🦁 #NguvuMoja
❤❤❤❤❤❤ unyama mwingi
Umenikumbusha Barbra Gonzalenz
Just wanted to make sure you are back in town 🎉🎉
Hongera sana zubeda hasani Adam sakuru,tuliishi na mz sakuru.kaka yako Adam yupo jamani?tulikusnae pale pasua kwenu karibia namsikitini SS tuko mshana
Mrembo sana
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
That what I knew before ....
A great CEO hapa simba imelamba dume😂😂Mbunge msitaafu na shabiki kindaki ndaki wa simba. Big up Bi zubedah
Tunaimani na wewe zubeda❤❤
Napenda sana majibu yako nguvu Moja 💪💪💪💪💪💪
Ubaya Ubwela,,,,maua kwa madam Zube🎉🎉
🦁 #nguvu moja
So good 🎉🎉🎉🎉
Safi sana.
Go madame Go
Dah madam makini sana,
❤❤ kila la kheri C.E.O
Strong woman 🎉🎉🎉
💪💪💪💪
Unaongea vzr sana madame
Karibu ❤
🎉🎉🎉🎉
Nice naomba utulee bandiliko makubwa ikiwemo uwanja wetu.
Karibu sana C.E.O wetu , usajili ndio tatizo Kwa Simba yetu , tunaamini utasimamia vizuri usajili wa Simba SC
The lion 🦁
Simba nguvo moja
Nguvu moja
Mungu azidi kukuongoza vizuri kwenye majukumu yako mpambanaji mwenzetu ubaya ubwera
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Feisal Salum Abdallah to, be honest namuona nikimuona hajavaa jeasy ya SSC
❤❤❤❤
Ni kweli ulivyoongea mimi naijua na mshabiki wa Simba toka mwaka 1970 nilikuwa tunamjua mchezaji Adam Sekulu na sasa ndio najua kuwa alikuwa anaitwa Hasan Adam Sakulu hongera sana kumbe wewe Zao la Simba Sports hongera sana Maadam.
❤
Ivikie wakati siasa iwekwe pembeni simba jengeni uwanja siolazima mjenge bunju tofautisheni uwanja wa mazoezi na wakuchezea mechi nendeni hata kigamboni kimbiji huko maeneo bd yapo mengi sn tuachieni siasa jengeni uwanja wa kuchezea mechi
Aunt Zuuh I love you so much but nimejaribu ku download nimeshindwa
Wakati mkimzingatia C.E.O kwa majibu mazuri ebu mpeni time na uyu Ahmed acha tu nimtukane kwa kumsifia mana ndo utaratibu wetu, we fala unajua Ahmed kuhoji na upo straight da mamae Ahmed unajua😂😂
Simba nguvo moja ila C E O TUNATAKA NASI TUPATE UWANJA
Mashabiki wa simba ni hatari mnawaambia viongozi hawatoki uwanjani😅😅😅😅😅
Hapo kwa binti nimecheka 😂😂😂
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Aunty Zubbie ..!
MUNGU NI MWEMA😂😂
Semaji mwambie asimame tumuone kidogo
Ila tupeni iyo part 2
CEO tutakuonea huruma usiwe na shaka
Ahmed kama Zubeda hajaolewa basi mimi nimuoe.
Tunataka mahojiano na mpanzu maana alitusumbua sana
Ubaya ubwela
Hiyo siku ixitokee mbaka miaka 4
Nice