AL- KASUSI INAVYOWATESA WANAUME DAR, ASIMULIA INAVYOTENGENEZWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • AL- KASUSI INAVYOWATESA WANAUME DAR, ASIMULIA INAVYOTENGENEZWA
    Baada ya kushika hatamu na kuzungumziwa sana katika mitandao mbali mbali ya kijamiii nchini kinywaji chenye asili ya pwani maarufu kama Ali kasusi ambacho kila mtu anakizungumzia kwa namna yake Global radio ikazungumza na mtengenezaji wa kinywaji hicho ambae amefunguka mambo mengi watu wasiyioyajua kuhusu kinywaji hicho
    GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982)
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    www.youtube.co...

ความคิดเห็น • 71

  • @myself4128
    @myself4128 4 ปีที่แล้ว +6

    Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu,
    Taifa linawaza ngono tuuuu.....kila kitu ni nguvu za kiume,kuongeza uume,kupunguza uke,limbwata yaani ushirikina na ngono tuuu na inasikitisha kuwa mambo ya maana watu hawana tena umuhimu nayo,zinaa tuu

  • @emmamoke218
    @emmamoke218 3 ปีที่แล้ว

    Unatafsiri vizuri kabisa. Ina leta énergie.

  • @emmanuelbui662
    @emmanuelbui662 4 ปีที่แล้ว

    Energy og hiyo acha kabisa

  • @kandorozilinde3892
    @kandorozilinde3892 4 ปีที่แล้ว

    Namuona gabi mtanzania mzee wa mpo africa

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 4 ปีที่แล้ว

    Ama alkasus nahisi wanachanganya jina Kama kiarabu Kuna miti shamba unaitwa arqa sus au araqsus unafahamika nguvu yake ya kutibu na umetajwa kwny vitab hadithi Kama zile Sana makki na qisti Hindi nahisi Hawa wameupa jina mchanganyiko huu kutokana na jina la mti fulani .haitakuwa sahihi sana

  • @peterkimbenju6916
    @peterkimbenju6916 4 ปีที่แล้ว +2

    As eeeeeeeeee AL kasusi kuna siku ilintesa sana

    • @gwakisaezekiel2576
      @gwakisaezekiel2576 4 ปีที่แล้ว

      ilikutesaje niambie rafiki

    • @hijarajab5449
      @hijarajab5449 4 ปีที่แล้ว

      @@gwakisaezekiel2576 ikipikwa kali inakua km eneji hulali mm nimewahi kutokulala kabisa

  • @ahmadiluonyo7120
    @ahmadiluonyo7120 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya shehe wangu

  • @josephmgeni208
    @josephmgeni208 3 ปีที่แล้ว

    Hii nimeielewa kwamba ukinywa mwili unachangamka hari ambayo inapelekea viungo vyote kua active ndio maana watu walipokunywa wakasema inaongeza nguvu za kiume sababu waliinuka upya

  • @balozichalamila4034
    @balozichalamila4034 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji ana kithethe duuh hii mpya

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว

    Sim naomba yake

  • @surealfredkabasa4518
    @surealfredkabasa4518 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndio nin sasa?

  • @koshihadiraabdalla5673
    @koshihadiraabdalla5673 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Kaka hataki kusema ukweli lakini alqasusi ni dawa nzuri mwili mzima inafanya kazi papo kwa hapo asikosoe wenzake ni kweli pia upande wa nguvu za kiume mwenziwe kaeleza alichokijua na yeye aeleze ayajuayo so kukosoa mnanini watanzania kitafuta umaarufu na vipaji vya watu elimu ni bahari isiyo na mwisho

    • @muskeko7187
      @muskeko7187 4 ปีที่แล้ว

      Hakosolewii mtu unaelezea uhalisia soko limevamiwa hata km mtu hajui hatak kujifunza ajue yeye hukologatu hatimaye wengine huona haifai na ikiwa ina refresh mwil ndo mana huona kunautofauti nyumban na km ingekua kwa ajil ya nguvu za kiume ingekua na affect kwa wanawake na watoto

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 4 ปีที่แล้ว +1

    Huo mti kwa kiarabu unaitwaje?

  • @hajiiddi1085
    @hajiiddi1085 3 ปีที่แล้ว +2

    Hehehehe huyu jamaa anawadanganyeni!! Mimi ni mpishi, mimi hicho kinywaji pia natengeneza naita 5 Star***** chai!! Ni nzuri saana kwa imuni sistumi ya mwili wako! Pia inasafisha damu,cells pia brain!ni nzuri saana kwa mtoto kwani atakuwa na akili nyingi saana! Mtoto wangu kasimama na kuanza kutembea na sasa anaongea, Yuko na mwaka1 miezi nane!

    • @nageryt
      @nageryt 2 ปีที่แล้ว

      Wapatikana wapi

    • @hajiiddi1085
      @hajiiddi1085 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nageryt mimi niko Vienna!!

    • @nageryt
      @nageryt 2 ปีที่แล้ว

      Number zako

    • @hajiiddi1085
      @hajiiddi1085 2 ปีที่แล้ว

      Lilian kwani wewe unaishi Vienna?

    • @nageryt
      @nageryt 2 ปีที่แล้ว

      @@hajiiddi1085 nipe numba ama email

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 4 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa anaweledi wa hali ya juu,ni mwerevu sana kukwepa maswali ,lakini amefafanua vizuri Sana.Kwakifupi hiyo Al kasusi ni Kama Energy Drinks UTAMU WA PIPI NI MATE YAKO Bye.

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 4 ปีที่แล้ว

    Kuna ankasus na alkasus mwanzo twafahamu ankasus ndio ilikuwa famous ni duni isio na kahawa Yani viunngo na dawa vinakuwa Kama buni na kahawa yake yafanana na hii Ila ni na ni decaffeinated ama alkasus naona wanatumia na maziwa kitu ambacho Kama ni dawa huwez ongeza na maziwa hususan Hawa maziwa ya Sasa

  • @idrisaseif7464
    @idrisaseif7464 4 ปีที่แล้ว +1

    dah

  • @mosozifamily7633
    @mosozifamily7633 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba namba yako mtaalam

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Nikweli unaokowa vjana mara nyigi maboss wanajiangalia wao tu

  • @huseingulam982
    @huseingulam982 3 หลายเดือนก่อน

    Ak kasusi Simon drugs

  • @khamissaid9586
    @khamissaid9586 4 ปีที่แล้ว

    Al kasusi achana nayo, mara ya mwanzo nliinywa kule zanzibar yaan dah aiseee hatar

  • @muhammadmahmoud1068
    @muhammadmahmoud1068 4 ปีที่แล้ว

    Kw English inaitwaje na cc tuweze kuipata huku tulipo+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 4 ปีที่แล้ว

      English unaitwa liqorice kwa kiarabu ni عرق السوس Ila sidhan Kama ni hii alkasus jina la mtaani unless wawe wanachukua poda ya hio arqasus (liqorice)Kisha ndio wanaifanyia chai take hapo tutaelewana kiufupi bado Sina hoja sahihi kwsbb sijawah kuitumia najisikia tu

    • @muhammadmahmoud1068
      @muhammadmahmoud1068 4 ปีที่แล้ว

      @@nusalim3389 🙏

  • @mamukassim4075
    @mamukassim4075 3 ปีที่แล้ว

    Mume Wang ukinywa iyo sikutaki

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว

    Utoe namba kaka

  • @salumothman7548
    @salumothman7548 4 ปีที่แล้ว +3

    Al kasusi nijuavyo mimi tangu enzi tuna itumia kama dawa ya kifua tena kipande kidogo unatafuna sasa hivi habari za nguvu za kiume zimetoka wapi tena bora mus keko umesema ukweli iyo ni dawa ya kifua bika ya kuchanganya na kitu kingine

  • @finalovesaid6317
    @finalovesaid6317 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha nakumbuka zanzibar watu warikuwa wananiambia uza al kasusi bwana

  • @fatemaligalawa4151
    @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว +2

    Uku Oman ipo mingi

    • @najat.n2390
      @najat.n2390 4 ปีที่แล้ว +1

      Nambiye my mkiarabu inaitwaje???mim niko saudia

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว

      @@najat.n2390 ngoja niwahulize nitakujibu

    • @najat.n2390
      @najat.n2390 4 ปีที่แล้ว

      @@fatemaligalawa4151 sawa my love 💋shukran

    • @ummutaswaufi3980
      @ummutaswaufi3980 4 ปีที่แล้ว

      @@najat.n2390 wanaita nusu coffee

    • @najat.n2390
      @najat.n2390 4 ปีที่แล้ว

      Nescafee??????

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 4 ปีที่แล้ว

    Uongo mtupu haitibu chochote muogope mwenyezi mungu we

    • @muskeko7187
      @muskeko7187 4 ปีที่แล้ว

      Km kwl unaelimu yake unahaki ya kusema ivyo

  • @fatemaligalawa4151
    @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว

    Hata Dodoma

  • @livingstoned3890
    @livingstoned3890 4 ปีที่แล้ว

    Kuna wale wengine wanawekaga Viagra ndo unafanya hivyo, Ila kwa hii yako ni og

  • @thomassiruri6256
    @thomassiruri6256 4 ปีที่แล้ว

    Mikoani inafika vp hiyo kitu

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe mpk pumu inatibu aah lazma niitafute

    • @mohammedmussa7378
      @mohammedmussa7378 4 ปีที่แล้ว

      Ungo mtupu haitibu pumu hiyo

    • @mohammedmussa7378
      @mohammedmussa7378 4 ปีที่แล้ว

      Yuko mtu Pemba juzi nimezungumza naye pumu inasumbua paka kaenda kupiga sindano

    • @muskeko7187
      @muskeko7187 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mohammedmussa7378 al kasusi mti unatibu pumu na namtibu bure mgonjwa wako na akipona tunakubaliana ndo unatoa malipo sindano inatuliza haitibu usimkatishe mtu moyo kwa kitu cha kumsaidia elimu pana call 0712618888

    • @mohammedmussa7378
      @mohammedmussa7378 4 ปีที่แล้ว

      @@muskeko7187 kuna mtu Yuko Pemba anasumbuliwa na pumu Sana inamfanya asipate raha ikimuanza

    • @habibswaleh1767
      @habibswaleh1767 4 ปีที่แล้ว

      @@muskeko7187 je, alkasusi inasaidia katika mzunguko wa damu mwilini ? Na je, humsaidia mtu aliyeathirika na udhoofu wa uume ? Naomba maswali mawili unijbu 1 baada ya 1 shukran.

  • @applestru_cape2219
    @applestru_cape2219 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi wanaume wa dar mnashida gani ? 😁mmeshahama kule kwenye bando la karanga.nazi. tende nk. Mnakwama wapi?🤓🤓🤓

    • @thomassiruri6256
      @thomassiruri6256 4 ปีที่แล้ว

      Mikoani inafika vp hiyo kitu

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว

      Chips kuku tatizoo wanashindana na madada kula chips wakimaliza wanakimbilia al kasus😄😄😄

    • @applestru_cape2219
      @applestru_cape2219 4 ปีที่แล้ว

      @@maryammaram2612 Mungu wangu jamani poleni sana .Wasichana wa Dar, pamoja na Wanaume zenu🐱🐱🐱

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว

      @@applestru_cape2219 😂😂😂 watajijua wenyewe wache wawaongezee kipato wenzao kwa kunywa al kasusi kwa wingi

    • @applestru_cape2219
      @applestru_cape2219 4 ปีที่แล้ว

      @@maryammaram2612 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿