Mboto awatoa machozi waalikwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • “Nimerogwaa...”- Haji Salum almaarufu “Mboto’ alivyowachana mbavu na kuwatoa machozi waalikwa wakati wa uzinduzi wa msimu wa pili wa tamthilia za Kiswahili za Tanzania ndani ya chaneli ya #SinemaZetu.
    #Tunu #Mihemko #Haikufuma #SaluniYaMamaKimbo #Mimi #MinneTena #Mi4Tena #SinemaZetu #HakikaNiZaKwetu
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 185

  • @PAKA100STUDIOS.
    @PAKA100STUDIOS. 3 ปีที่แล้ว +2

    Uhalisia wa maisha yetu upo kwenye filamu zetu, karibu katika familia yetu tuburudike na filamu za nyumbani.

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbotoncho kichwa kibovu nakukubari sana hujawahi kuangusha.....
    Safi sana

  • @issamanyenye6796
    @issamanyenye6796 3 ปีที่แล้ว +4

    Ila jamn lulu nimzur💕💕💕

    • @mussambogoni849
      @mussambogoni849 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo makeup ivi umemuona live? mm nimemuona pale millenium tower na dela lake kidogo nikimbie

    • @princesstunda7307
      @princesstunda7307 3 ปีที่แล้ว

      @@mussambogoni849 🤣🤣🤣🤣🤣ila we akiri zako

    • @aminamwangile4020
      @aminamwangile4020 3 ปีที่แล้ว

      @@mussambogoni849 lulu mzuri ww

    • @abalfadhilabdulqahari3018
      @abalfadhilabdulqahari3018 2 ปีที่แล้ว

      @@mussambogoni849 😅😄😄😂😂🤣🤣

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +5

    Mboto Leo umeniumiza mbavu zangu 😀😀😀😀

  • @simbafansofficial
    @simbafansofficial 3 ปีที่แล้ว +8

    😀😀 suti za mitumba is washing 😀😂😂😂

  • @annemtega2687
    @annemtega2687 3 ปีที่แล้ว +6

    Mboto sijawahi comment umenichekesha sana

  • @mkombevuai5988
    @mkombevuai5988 3 ปีที่แล้ว +12

    Muhogo mchungu huxzeeeki.duh

  • @bibibakari7020
    @bibibakari7020 3 ปีที่แล้ว +4

    Gonna like za fall pupa

  • @laxfordzabron4109
    @laxfordzabron4109 3 ปีที่แล้ว +3

    Upo juu mboto nakukubali sana

  • @rachaelkazimili4092
    @rachaelkazimili4092 3 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂😂😂ila mboto chizi Sana ww

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว +5

    Pumbavu. Is very washing 😂

  • @abdulrabichuma6463
    @abdulrabichuma6463 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongeren vioooo vyetu

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 3 ปีที่แล้ว +9

    duh piece kama zote...

  • @rechomc220
    @rechomc220 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyo bwana anayetikisa kchwa apo mgongoni ananipa raha

  • @munirashabanmnubi8650
    @munirashabanmnubi8650 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂,mchekeshaji original,sawa Mboto

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว +4

    Aah... Shishi beb uko wapi maa... Pacha wako ni mboto😂😂english samaleku😅

  • @jaafarjacka9272
    @jaafarjacka9272 3 ปีที่แล้ว +8

    Dah 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +4

    Kinge kimekushinda unalia? Pole baba ongea kikwetu tu tutakuelewa😂

  • @SarahShalua-ij8qg
    @SarahShalua-ij8qg 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 jaman mi naludisha mbaka bando linaisha Yan mboto nyie Mbavu zangu mie uku

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว

    Nampenda mboto🤩🤩🤩😍🙏

  • @godfreyihunyo63
    @godfreyihunyo63 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @lulually7760
    @lulually7760 3 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😁ASA mwaisa.kaingiaje hapo jamn

  • @sadickHusseni
    @sadickHusseni 4 หลายเดือนก่อน +1

    hahahaaa hata mim cjawah kuchoka kuangalia hii crip..napenya penyaje ili nisiangalie😂😂😂

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 3 ปีที่แล้ว +3

    Mboto hujatulia wew😂😂😂

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kuchekeshwa kaa hii na mboto. Nimecheka sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +2

    Acha uhuni mboto vichekesho vingi

  • @ramsonramadhan4156
    @ramsonramadhan4156 3 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/MPZHB86EEBI/w-d-xo.html
    Huyu jamaa anazinguwa kishenzi...😃🙂😃😍😂😂

  • @sisterngulukizi7959
    @sisterngulukizi7959 3 ปีที่แล้ว +6

    Mbotonyo umenifurahisha😂😂

  • @saidsongoro683
    @saidsongoro683 3 ปีที่แล้ว +4

    Wa msanga huyoo mbotonyo we mkalinyo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂Vipaji jmna❤️💃

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda bure mboto from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mohammedmmari5459
    @mohammedmmari5459 3 ปีที่แล้ว

    Blessed man

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli mboto msanii mzuri yani ukimuangaliatu unachekatu

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 ปีที่แล้ว

    Mboto ana vituko jmn kaaa😀😀😀

  • @bibianabibiana8535
    @bibianabibiana8535 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbotoo shikamoo

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 ปีที่แล้ว +3

    Umenikumbusha ilikuwa Bana Kongo nadhani!!!! hhhhh Magonani!

  • @fettymilly7664
    @fettymilly7664 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sichokag kuangalia hii interview wallah😂😂😂😂😂

  • @aminasanga7154
    @aminasanga7154 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio anaitwa mande na tumesoma shule moja darasa moja ashukuliwe mungu kwa kumuinua mande wetu kaka mkuu Wa shule

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahaha nami nimecheka mpk mchozi

  • @jannuary26
    @jannuary26 3 ปีที่แล้ว +2

    6:54 mzee akashndwa kuvumilia 😅

  • @elizabmbugun4906
    @elizabmbugun4906 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh hatar sana hamia kwenye kitimtim na akina Pili yaani huyu akiigiza lazima ucheke tu

  • @comedyentertainments1961
    @comedyentertainments1961 3 ปีที่แล้ว +1

    Mboto anajua aiseeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mkakampole7802
    @mkakampole7802 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani eeh tuongeeni hichi hichi cha kawaida😂😂😂😂

  • @ruthjapheth174
    @ruthjapheth174 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbotoooooo ww ni falaa kweli yan mbavu zangu maana sio kwa kucheka huku

  • @sarahjs1660
    @sarahjs1660 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbavu zangu mieee

  • @bakarameir2868
    @bakarameir2868 3 ปีที่แล้ว +4

    Mkojan yk wp

  • @ahazimwaikambo4398
    @ahazimwaikambo4398 3 ปีที่แล้ว +2

    Is very very washing😝😝😝😝

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 3 ปีที่แล้ว +1

    Had I raha mashallh amechangamsha ukumbi mbotonyo

  • @msajohn2035
    @msajohn2035 3 ปีที่แล้ว +2

    Kimomboooo htr

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 ปีที่แล้ว

    mboto salute 🙌...namtafuta nani aliye nisukuma kwenye maji usiniulize nimevukaje vukaje hapa 😂😂😂😂

  • @mwajumayunus419
    @mwajumayunus419 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmni mboto namkubali saana

  • @mudyjosefu5843
    @mudyjosefu5843 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mboto hatali

  • @ramaburhandambwe4871
    @ramaburhandambwe4871 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimecheka kwa sauti

  • @jaymp51
    @jaymp51 3 ปีที่แล้ว +5

    Mboto your genius

  • @comedyentertainments1961
    @comedyentertainments1961 3 ปีที่แล้ว +4

    Ety msiniulize nmepenyaje namtaka aliye nisukuma 😂😂😂😂😂

  • @samiraradjabu2137
    @samiraradjabu2137 3 ปีที่แล้ว

    Ivi wewe mboto wajionaga nani wewe mbona umeumiza mbavu zangu mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว +5

    Mnajua hili Toto jinga sana mjue...hahaaa

  • @sorwasoudy6256
    @sorwasoudy6256 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuh mbotonyo ni nomaaa

  • @sparlonso_lb_7662
    @sparlonso_lb_7662 3 ปีที่แล้ว +1

    Mboto ni hatari na nusu nimecheka sana

  • @mgomboally2652
    @mgomboally2652 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbotonyoh 😆😆😆😆🤣

  • @msyanituntufye3441
    @msyanituntufye3441 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu jamaa Mboto si utopolo huyu amejaa majungu tuu

    • @rockjuma4183
      @rockjuma4183 3 ปีที่แล้ว

      Mnaleta utim kwenye kaz za watu. ...

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว +1

      Ya pilau,ugali,viazi mlenda

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 3 ปีที่แล้ว

    Haji ww kha nimecheka sana😃😃😃

  • @mahmoodalsubhi1619
    @mahmoodalsubhi1619 3 ปีที่แล้ว +3

    Mboto wewe mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣

  • @Extension4353
    @Extension4353 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbotto ni mwehu😮😮

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbotonyo 😂😂😂🤣🤣suti za mtumba is wanshing

  • @fatumaomy4858
    @fatumaomy4858 3 ปีที่แล้ว +1

    Mboto wwee😅😅😅

  • @mwanahmisidd7759
    @mwanahmisidd7759 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujawai kosea😹😹😹😹😹😹😹😹

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 3 ปีที่แล้ว +2

    raha sanaaaaa.......

  • @mbwanaambamba9639
    @mbwanaambamba9639 3 ปีที่แล้ว +3

    Mboto now it's ur time to show us how gineus you a . Kweny intro umeua kinyama

  • @mohamedynahwandy6112
    @mohamedynahwandy6112 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanaume namkubali Sana sanaaaa hatari huyu anakuchekesha mpaka ukaechn

  • @barakachacha6434
    @barakachacha6434 3 ปีที่แล้ว +4

    😅🤣🤣🤣🤣

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 3 ปีที่แล้ว +3

    We mboto utaua mbavu zangu .kumbuka kuna korona bn 😆

  • @katewinniewandoe2863
    @katewinniewandoe2863 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 3 ปีที่แล้ว +1

    Pisi Kali wanavyo cheka

    • @hawakibambe8678
      @hawakibambe8678 3 ปีที่แล้ว

      We kweli juma love umeona pisi Kali tu

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimechk kwel mboto weweeee

  • @aliyusufali2521
    @aliyusufali2521 3 ปีที่แล้ว +1

    wapi mkojni

  • @abuuchaula6961
    @abuuchaula6961 3 ปีที่แล้ว

    Nakuchukiaga na uyanga wako lakin kwa hili umetisha

  • @kaeniyahya7536
    @kaeniyahya7536 3 ปีที่แล้ว

    😀🤣🤣mbavu zangu mimi🤣🤣Mbotonyooo!!

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahajahjaa Mboto nampenda balaa jaman

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +3

    Nice voice mboto😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shommytv6673
    @shommytv6673 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbotto👏👏

  • @ilmhd6758
    @ilmhd6758 3 ปีที่แล้ว +2

    🤠😁

  • @philipfrankmakutsa9663
    @philipfrankmakutsa9663 3 ปีที่แล้ว +11

    Hivi jamani muhogo mchungu tangu mi mdogo kabisa kupata akili naanza shule namaliza naanza kutafuta maisha leo naishi muhogo yuko hivihivi kwani muhogo baba etu babu yetu au we muhogo umekula nni ndugu yangu

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 ปีที่แล้ว +2

    Bodyguard yupo jujuuujuu

  • @jumasherry9679
    @jumasherry9679 3 ปีที่แล้ว

    Naijua Story hii alotowa Mbotto 😂😂😂😂😂😂

  • @shafickahmad5928
    @shafickahmad5928 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣 dah

  • @vailetikulanga5393
    @vailetikulanga5393 3 ปีที่แล้ว

    Mbotto unanin lakn jamani😁😁😁

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 ปีที่แล้ว

    Boko lao😀😀itsi very very washingi

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว

    Move yaakina mboto inaitwaje naitamani kuiyona

  • @katewinniewandoe2863
    @katewinniewandoe2863 3 ปีที่แล้ว +1

    Shilole leo asaidiwaaa haha

  • @fatmamshangama9824
    @fatmamshangama9824 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂uwiiii

  • @apolinemalungano433
    @apolinemalungano433 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂mboto bwana

  • @dbwaxvevo5780
    @dbwaxvevo5780 3 ปีที่แล้ว +3

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @jujabejaphety4587
    @jujabejaphety4587 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka alienisukuma

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂🎉🎉

  • @sabraseyf7611
    @sabraseyf7611 3 ปีที่แล้ว

    Hahhahaha suti zamtumba jaman ndan yakingeleza

  • @maadamray9282
    @maadamray9282 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂🤣🤣🤣mbavu zanguuuu mieeeee

  • @mwombekikatabalo9046
    @mwombekikatabalo9046 3 ปีที่แล้ว +3

    😂

  • @akembemsambya4320
    @akembemsambya4320 3 ปีที่แล้ว

    Mboto hongera sana kwa kuhimba Lingala

  • @hawakibambe8678
    @hawakibambe8678 3 ปีที่แล้ว

    Fally pupa anapiga makofi tu aaahahha Mzee zingo anazingua