Muhtasari: Mambo ya Walawi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mambo ya Walawi, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Mambo ya Walawi, Mungu mtakatifu wa Israeli anawaalika Waisraeli kuishi katika uwepo wake licha ya dhambi zao, kupitia msururu wa ibada na taasisi takatifu.
    #BibleProject #Biblia #MamboYaWalawi
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3