Trump Ajitapa Kuwa Alielewana na Vladimir Putin wa Urusi, Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Aliyekuwa Rais wa 45 wa Marekani na mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Siku ya Julai 18, 2024 alisema kuwa katika kipindi chake cha urais, Urusi haikuweza kuvamia nchi yoyote ile na alielewana vema na Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
    Trump aliyasema haya wakati akitoa hotuba ya shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Republican baada ya kuidhinishwa kuwa mgombea urais wa chama hiko katika uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajia kufanyika Novemba 5 mwaka huu.
    Trump aliendelea kujitamba kuwa endapo atarudi kuwa rais wa Marekani atahakikisha anatuliza hali ya mambo ikiwemo migogoro mikubwa inayoendelea duniani.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 13

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 หลายเดือนก่อน +1

    Weweeee ni kibaraka wa Russian na putting hatukutakii huku us😮

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN หลายเดือนก่อน +3

    Nami nakunga mkono mwenye silaha nikuungana sio kugombana

  • @roi2554
    @roi2554 หลายเดือนก่อน +2

    Ni korea kaskazini na sio kusini

  • @boncoeur8917
    @boncoeur8917 หลายเดือนก่อน

    😊

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 หลายเดือนก่อน +1

    Taharifa sahihi

  • @ablestclemence7382
    @ablestclemence7382 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaaa akili nyingi

  • @newtonnyembe8228
    @newtonnyembe8228 หลายเดือนก่อน +1

    Trump 🎉🎉🎉

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche หลายเดือนก่อน +1

    Zamani ilikua nchi G8 urusi akaondelewa ikabaki G7.

  • @MedsonUlendo
    @MedsonUlendo หลายเดือนก่อน

    Hao ndio America wajanja sana

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

    Trump hao wote wakina putini na kiduku wanakuogopa

  • @nmasare9364
    @nmasare9364 หลายเดือนก่อน

    Kim jong un siyo Rais wa korea kusini hakikisha kabla hujapost typing error

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 หลายเดือนก่อน

      Kwani wanasoma basi na wanaropoka siku iende elimu ndogo

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 หลายเดือนก่อน

    Trump tuko na wewe