Vladimir Putin Anavyotumia Uzoefu Wa Ujasusi Kuimarisha Diplomasia ya Urusi. Ni Jasusi Mbobevu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Mwezi Machi mwaka huu 2024, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangazwa kushinda uchaguzi ambao umemuwezesha kuendelea kuongoza Urusi kwa awamu nyingine ya tano. Putin anaingia katika historia ya taifa hilo kuwa kiongozi aliyeongoza kwa muda mrefu tangu enzi za Shirikisho la Usovyeti chini ya Joseph Stalin.
    Kiongozi huyu wa taifa hilo kubwa lenye nguvu za silaha za nyuklia, amekuwa gumzo duniani hivi sasa. Hasa tangu Urusi iingize majeshi yake nchini Ukraine Februari 2022 kufuatia chokochoko za muda mrefu baina ya mataifa hayo jirani ambayo yana historia kubwa sana ya kuwahi kuwa sehemu ya nchi moja, wakati wa utawala wa kifalme wa dola la Urusi na badae Shrikisho la Jamhuri za Usovyeti.
    Pamoja na mashinikizo mbalimbali ambayo Urusi iliyapata kuanzia vikwazo vya kiuchumi, kidiplomasia na kisiasa, vilivyowekwa hasa na mataifa ya magharibi yakiongozwa na Marekani na Umoja wa Ulaya, bado taifa hilo limeonekana kuendelea kuwa imara na kuzidisha ushirikiano wa diplomasia na mataifa nje ya yale ya magharibi.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 12

  • @KalokotaKalondji-md9sd
    @KalokotaKalondji-md9sd 2 หลายเดือนก่อน +3

    Raisi mwenye akilinyingi duniani Mungu akulinde na akuongezeye maisha marefu

  • @MichaelMwasese
    @MichaelMwasese 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 2 หลายเดือนก่อน +4

    Licha ya yote Putin ni mshikirika wa kuaminika!!

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 2 หลายเดือนก่อน +2

    Putin mwamba Mungu amlinde

  • @eliaezekiel6766
    @eliaezekiel6766 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shafii makala zako ziwe za mara kwa mara
    Huchoki kusikiliza😂😂

    • @shafiihamisi1984
      @shafiihamisi1984 2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana Elia! Tutajitahidi kulifanikisha hili

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 หลายเดือนก่อน

    👍👊✌️.

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 หลายเดือนก่อน

    Umenena vyema na kweli

  • @CarolLynah
    @CarolLynah 2 หลายเดือนก่อน

    🥳🥳

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 หลายเดือนก่อน

    Uraaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 2 หลายเดือนก่อน

    tupatie stori ya jasusi stefan bandera

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 2 หลายเดือนก่อน

    Putin piga magasho hao,hawana faida.