Waafrika tuna jifunza kitu gani? Sisi ni kusifia tu kiboko ya manyang'au , alafu kesho mnaenda kuwaomba pesa za maendeleo hao mnao waita manyang'au 😂. Waafrika bhana 😂. Nchi ya Korea haikopi pesa kwa wazungu ndiyo anajeuri , sasa wewe pesa huna viwanda huna alafu unadharau manyang'au.😂
Hii nimatokeo yakua nakiongozi mzalendo na kumpatia ulinzi mkubwa nakuepuka unafiki wasiasa za kimataifa hasa magharibi naulaya...inafanya hawa jamaa kua namaisha mazuri
ata Japan pia wanakumbuka machungu ya Marekani ila hawadhihirishi Vietnam pia Africa tunamlilia kutuondolea Gadafi aliyekuwa na maono ya bara la Africa Cuba Venezuela Iraq Syria Congo Palestine na mwengine chozi ni la Marekani laana za Mungu ziwe juu ya Taifa hili la kishetani.
Ujamaa ndio siasa yenye manufaa kwa wananchi sio democrsia ambayo ni ushoga na usagaji na unyanganyi mali za wanyonge na mwenye nguvu anabaki kua na nguvu na mnyonge anatakiwa azidi kuwa mnyonge
Asante Sana Mr Awadh kwa kutuletea habari mbali mbali.
Nimeipenda ninawapenda❤❤❤
Hotuba ya kijasiri kizarendo kishujaa na kihistoria daah! Korea mna kiongazi hakika na IMARA sanaa
Haswaa 👌
hii nisayari nyengine kabisa watu wanalia kwaajil ya hotuba ya kiongozi yan apo anaongea tu chozi linatoka ❤❤❤❤❤
Hutuba nzuri saana na yakizalendo mnoo .
Tunakutakia maisha marefu kiongozi wetu mpendwa
Asante sana mwamba wa wamarekani kiboko ya mashoga na wasagaji
Dah! Hakika Dunia Inabadilika, hatukuzowea kuona Khutba za Korea Kaskazini.
Hongera kwa Wakoroea wote na hongera kwa Mbabe wa Manyang'au Mr Kim
Vyombo vya habari vya mangharib awakitangaza.ilija propaganda
Waafrika tuna jifunza kitu gani? Sisi ni kusifia tu kiboko ya manyang'au , alafu kesho mnaenda kuwaomba pesa za maendeleo hao mnao waita manyang'au 😂. Waafrika bhana 😂. Nchi ya Korea haikopi pesa kwa wazungu ndiyo anajeuri , sasa wewe pesa huna viwanda huna alafu unadharau manyang'au.😂
Ila kaka awadhi rashid uko vizuri maashaallaah hongera
Pamoja mkuu
Safi sana jamaa ni mzalendo kweli kweli. Hapo akisema tuingie vitani jeshi litaingia vitani likiwa na utayari na mori wa ajabu wa kupigana.
Tupo pamoja safi sana
Mwenyekiti wa maisha❤
👊✌👍.
Eti masikini vyokwe baba kiduku njee mtuti ndani mtuti🎉🇰🇵
Aise Arusha one Radio mlichelewa wapi kutupatia uhondo wa Pyongyang jamani....
ahsanteni sana
Arusha one radio nakupata vizuli kutoka msumbiji maputo
big love 🇨🇦🙌🙂↕️
Pamoja sana 🎉🎉arusha one
APA namkumbuka jumong najeshilake 🎉
asande sana rashid
Tupe vitu bro nipo congo 🇨🇩
Hamphey polepole rais
💪
Hii nimatokeo yakua nakiongozi mzalendo na kumpatia ulinzi mkubwa nakuepuka unafiki wasiasa za kimataifa hasa magharibi naulaya...inafanya hawa jamaa kua namaisha mazuri
🇰🇵🇰🇵♥️🇷🇺🇷🇺♥️🇹🇿🇹🇿
Nimekuuelewaa
Ahsnte awadh kwa kazi hii
Pamoja mkuu
Kweli wananchi wenye kiongozi kama huyu wamafurahi sana maana anahutbia taifa zima kama anaongea na familia yake
Hawa viongozi kweli ni wazalendo kwa wananchi wao sisi huku siasa kwanza jeshi baadae
Hotuba za jadi ndio hizi hamna cha haki za wa ngese.
Arusha one radio pamoja sana
Pamoja mkuu
Waisrael, wanarekani wachokize hapo napo waone wao wanawachagua wanyonge tu kuwaonea
Jeshi kwanza siasa baadae.
❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kidugu mwenyewe
Mbona mnamsema Marekani amewafanya nini😂, Mrusi anamsema mmarekani mchina anamsema mmarekani,😂 Jamani
ata Japan pia wanakumbuka machungu ya Marekani ila hawadhihirishi Vietnam pia Africa tunamlilia kutuondolea Gadafi aliyekuwa na maono ya bara la Africa Cuba Venezuela Iraq Syria Congo Palestine na mwengine chozi ni la Marekani laana za Mungu ziwe juu ya Taifa hili la kishetani.
Ujamaa ndio siasa yenye manufaa kwa wananchi sio democrsia ambayo ni ushoga na usagaji na unyanganyi mali za wanyonge na mwenye nguvu anabaki kua na nguvu na mnyonge anatakiwa azidi kuwa mnyonge
Kidukwi
Ivi ndugu kwanini hamtafsiri hutubaza Ibrahim wa Burkina Faso
Mbona wanaliya
anacho nifurahisha jamaa akopi hata urusi aendi kukopa
Pamoja San boss
taifa lenye munaambiwa ni masikini
Kazi nzuri
Mwaba
Hatar
Niichi yenye kujitegemeya 3:47 eg
Viongozi do Hawa sio mashoga kama waleee
🇰🇵🇳🇦🇹🇿🇿🇦
Maneno mazito sana.. nataman na Zanzibar iwe kama hivo maana tumechoka na ukolon wa Tanganyika..!!!!?
Naanza Mimi kukupinga wazi lako.
Naunga mkono
❤❤❤❤❤