Putin Anajiandaa na Vita ya Dunia? Urusi Yafanya Zoezi la Kihistoria la Majeshi ya Majini na Anga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 108

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili 6 วันที่ผ่านมา +14

    Dada umetangaza vizur had nimella Kwa sauti Yako malidhawa

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 5 วันที่ผ่านมา +4

    Dada upo vizuli sana hongera Kwa matangazo Yako mazuli sana

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 6 วันที่ผ่านมา +15

    Tuko Pamoja Baba Putin. Mwenyezi Mungu yupo Mbele na Nyuma ya Urusi 👍👍

  • @shebyabdallah5854
    @shebyabdallah5854 5 วันที่ผ่านมา +7

    Ushindi kwa urusi Allah awez kuwapa ushindi mashoga

  • @MbojiHokororo-vl5uf
    @MbojiHokororo-vl5uf 5 วันที่ผ่านมา +4

    Putin yupo VIZURI , yupo vitani na anafanya mazoezi, Hatari sana

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mwamba tuko nawew daima sir Putin ❤🎉

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 5 วันที่ผ่านมา +3

    Ewe mwenyezi mungu zidi kuiyangamiza waiziraili wamarekani pamoja na nato

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 4 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran sana ❤

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 6 วันที่ผ่านมา +6

    Yy marekani 'ninani katika huhu ulimwengu ingekua km marekani ni mungu apo ningehogopa chajabu marekani inahongozwa n'a bina Damu kwaiyo sioni km marekani atapambana n'a urusi urusi ni inchi inahistoria yavita Sasa marekani istoria yake iko wapi n'a iliwai kushinda vita wapi 😂😂😂😂 jamani marekani awe makini isipokua makini utawala wake utahanguka

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 2 วันที่ผ่านมา

      Kitoto cha elfu 2000 unajua nini?

    • @FrediBatoni
      @FrediBatoni 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli kabisa akunje mkia tu wajamaa shinpin na putin pamoja namjomba kidugu Wana mwangalia kwajicho lahatari sana

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 5 วันที่ผ่านมา +4

    Uko mtangazaji bora dada

  • @abubakarayoub5401
    @abubakarayoub5401 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ushind wa urusi ni ushind wa Africa na wanyonge wote duniani

  • @JoshuaMwizalubi
    @JoshuaMwizalubi 6 วันที่ผ่านมา +7

    Dah hatari Sana huyu Mwamba

  • @ramadhaninyamwelu5772
    @ramadhaninyamwelu5772 5 วันที่ผ่านมา +3

    Nimeipenda hii. Jack

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ibaliki urus 🇷🇺🔥🔥🔥

  • @ShakruKweka
    @ShakruKweka 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nice

  • @nathanasige806
    @nathanasige806 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Great broadcast

  • @tupokigwemwasile7931
    @tupokigwemwasile7931 6 วันที่ผ่านมา +3

    Uko sawa mama

  • @japhetyonasultan5412
    @japhetyonasultan5412 3 วันที่ผ่านมา

    Excellent.

  • @user-fw1ku3od7r
    @user-fw1ku3od7r 3 วันที่ผ่านมา

    God bless America

  • @alisaid9920
    @alisaid9920 4 วันที่ผ่านมา

    Sawa commander aluta continue

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 5 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana huyo mmarekani ni shoga tu tumemchoka hapa duniani Bora afute duniani
    Kwani ni mshenzi tumemchoka kabisa

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ushindi kwa urusi

  • @OmarHamza-j5v
    @OmarHamza-j5v 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mwamba pigakazi, wakijitekenya bonyeza kitufe chekundu,

  • @SamwelMartin-h7c
    @SamwelMartin-h7c 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenye akili timamu ataiombea urus marekan ni wakandamizaj na waona kama dunia ni yao wataka kuwa kama miungu dunian ila Mungu yupo na russia

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nataka achapwe sanaa

  • @user-xc6ls9xn8h
    @user-xc6ls9xn8h 6 วันที่ผ่านมา +2

    Ohhhhooo Puttin unasuburi nn nuclear ipo piga ulaya yote pamoja

  • @FrediBatoni
    @FrediBatoni 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamagaribi wanaingia vikao kila siku kama wachawi kumamako zao

  • @KenethNdingo-tm2gc
    @KenethNdingo-tm2gc 2 วันที่ผ่านมา

    Putini Mbona maneno ya kutishia ulianza ulipoivamia Ukraine na pia Muda ulisema ndani ya siku 60 utamaliza kazi na ulisema ulipia hakuna wa kunisuia .pia uliwambia wayukrenia wanajeshi walovuka mpk utawamaliza ndani ya cku tano lkn bado wamo ndani ya urusi.punguza maneno.

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg 4 วันที่ผ่านมา

    Urusi sitise Dunia

  • @josephmuchangi3674
    @josephmuchangi3674 3 วันที่ผ่านมา

    Atapigwa na marekani mara moja

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 5 วันที่ผ่านมา

    Uraaaaaaaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @MagangaAbdallah
    @MagangaAbdallah 5 วันที่ผ่านมา

    Tuongezeni Maombi Hill Isitokee

  • @FrediBatoni
    @FrediBatoni 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Urusi jaman wananipa raha nato walivyo hua viongoz wetu gadafi , lumumba, magufuli, nguruziza, sankara, idrisa wafrika yakati, dezire kabila , drc ,ayse hao inchi zamagaribi hao putin baba wanyooshe kabisa tupo upande wako mia kwamia HURAAAAA HURAAAAA HURAAAAAA

  • @emmanuelmachibya2034
    @emmanuelmachibya2034 4 วันที่ผ่านมา

    Dada naomba nikuoe

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kwann hakuna ukomo wa kutuma silaha Ukraine badala yake ni silaha zaidi kutumwa

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 5 วันที่ผ่านมา

      1.Ni kwasabu Marekani na Nato WAlikuwa na njama yakuiangusha Urusi kupitia Ukraine.
      2 Marekani na Nato walihaidi atasimama na Ukraine mpaka Urusi ishindwe.
      3. Urusi ikishinda vita hivi Marekani na Nato wataona aibu na watakosa usawishi duniani.
      Maana Urusi aliwashida pale Syria malengo yao hayakutimia. Tena aliwashinda pale vitani alivyo chukuwa hile Crimea ya Ukraine.
      Nato na Marekani wanafukuzwa pale Mali, Niger na Burkinafaso ni kwa ajili ya Urusi. Na Mengine sasa Vita hiyo itaenda mpaka vita ya 3 ya dunia na mpaka Nyuklia zitakapo pigwa kama inapenda. Jeuri na kiburi za Marekani na Ulaya

  • @Elihurumamathew
    @Elihurumamathew 5 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli wajinga niwengi hapa kwetu yaani kuna watu hawajui hata kwanini dollar imepanda ukimwambia mtu sababu kubwa nihiyo vita wala hajui atakwambia shilingi imeshuka yaani urusi huku wanapigana huku wanapambana kuiangusha dollar najuzi wengine hawakumsikia trampu alichozungumza kuhusu dollar yao kuangushwa hapa anayekwenda kupata hasara ni marekani mwenyewe na dunia inakwenda kugawanyika wanaotaka kufuata nato na umoja wao sawa wanaotaka kuingia Briccs sawa yaani hii vita inaenda kuleta mageuzi hapa wamekutana tembo ndiyo wanaopigana ziumiazo nyasi watu

    • @barnabasospeter7252
      @barnabasospeter7252 5 วันที่ผ่านมา +1

      Sahihi kabisa. Watu washabikia hii vita bila kujua impact.

    • @FrediBatoni
      @FrediBatoni 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeandika maneno yakili sana tena akili yajuu mjinga awez helewa kama kwaheri dollar yuwan ya china inakuja juu , hapo Putin ana pambana Machina anapandisha uchumi wako busy na putin mchina anapita bila was was ndo siasa iyo

  • @doubletapkama3901
    @doubletapkama3901 4 วันที่ผ่านมา

    Putin he never knew katamkalia hivo

  • @savinosalamba9174
    @savinosalamba9174 5 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu

  • @husseinmgoo3074
    @husseinmgoo3074 5 วันที่ผ่านมา

    Ok

  • @andrewpeter7492
    @andrewpeter7492 4 วันที่ผ่านมา

    Urusi bado kwa america

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 5 วันที่ผ่านมา

    Urusi zaif

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 2 วันที่ผ่านมา

    Huo ni uoga sisi tumegundua

  • @erickwanjarajr5707
    @erickwanjarajr5707 5 วันที่ผ่านมา

    Ananikumbusha enzi za akina Napolion wakati majeshi ya mfaransa yaliposhindwa kuingia Urusi

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 5 วันที่ผ่านมา

    Nim mjinga anapgwa na Ukraine Ata sis wabongo tujipanga tunampiga

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 6 วันที่ผ่านมา +1

    Atapigwa vibaya sana atalia kama nyau

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 6 วันที่ผ่านมา +1

      Marekani,nato na washirika wanapigwa uko ukreini.

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 6 วันที่ผ่านมา +2

      Atapigwa na nani ikiwa dada ako marekani anapigwa kila siku

    • @jamesmboneko2952
      @jamesmboneko2952 6 วันที่ผ่านมา +1

      Jiulize Huko Ukraine kuna majeshi ya nchi ngapi zinapigana na Urusi

    • @user-mm9qr7em8k
      @user-mm9qr7em8k 6 วันที่ผ่านมา +1

      Alaaaaa.😂😂😂😂😂😂 Umelala ww huyo sio gadafi Wala sadamu wacha uone .vita .ww .

    • @jamesmboneko2952
      @jamesmboneko2952 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ama yule Rubani wa F16
      Iliyodunguliwaalikiwa Raia wa wapi? Si Marekani?

  • @RashidMohammed-p9v
    @RashidMohammed-p9v 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwamba putin huaga anajiamini sana

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 5 วันที่ผ่านมา

    Anapigana na nani?

  • @ahmedissa1827
    @ahmedissa1827 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hawezi kupigana vita ya dunia huyo, anapigwa na ukren tu ataweza dunia😂😂😂

    • @msafirimaulidi5054
      @msafirimaulidi5054 6 วันที่ผ่านมา +1

      Dah ivi kwel Kwa akili yako uKRAIN ampige Putin? Staki kuamini km Kuna binadam angewaza Ivo

    • @OscarKasalile
      @OscarKasalile 6 วันที่ผ่านมา

      Jidanganye hivyohivyo, Ukraine siku nyingi kesho l'âme limekwisha.

    • @MhinaKulewa
      @MhinaKulewa 6 วันที่ผ่านมา

      Watu wengi wanaijadili Urusi kwenye hii vita Kwa habari za vyombo vya magharibi ambavyo mambo mengi hawayaweki wazi au wanapotosha.
      Russia sio mwepesi kama wanavyofikiri, kama angekuwa Hana nguvu muda huu tungesema mengine.
      Kimsingi vita sio jambo jema tuombee amani ya kweli isiyo na taifa moja kujiona Lina mamlaka ya kuonea, kuwapangia wengine nini Cha kufanya.
      Itoshe kusema Putin amefungua milango ya mataifa mengi kujitafakari na kujua rafiki wa kweli​@@msafirimaulidi5054

    • @salumomar5234
      @salumomar5234 6 วันที่ผ่านมา

      Waaambie waende basi hawo mashoga wako Mana wanapeleka silaha mpaka wanachoka

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 6 วันที่ผ่านมา

      Ukrein anasaidiwa sana nchi nyingi za magharibi. Ndo maana bado yupo hadi leo hii. Jitahidi, uweze kufahamu vizuri.

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 5 วันที่ผ่านมา

    Vita ya dunia ya Tanzania 🇹🇿 😂😂😂😂😂

  • @mosesmpwata3876
    @mosesmpwata3876 5 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona, urus ndio hawe kiongozi wa dunia, hajawai, kuitawala africa au bara lolote, hivo naomba nchi zote duniani kuunga mkino kijeshi, urusi, china, korea, na nchi zingine zinazounda, au ushirikiano na urusi.

    • @dicksonassery5083
      @dicksonassery5083 5 วันที่ผ่านมา

      Ombea vita isitokee sio Urusi wala America silaha zao zinatosha kutumaliza wote duniani

  • @BetramDachi
    @BetramDachi 4 วันที่ผ่านมา

    Mwamba putin wakikushenyeta na wewe washenyentee

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 6 วันที่ผ่านมา +1

    Marekan hajamjuwa vizur Putin.. sasa acha tuone 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 6 วันที่ผ่านมา

      Nawewe hujitambui marekani ni kitu kingine wewe urusi akijichanganya kuishambulia USA ndoitakua mwisho wa maisha ya Putin hapa duniani kk

    • @IceCube-o6s
      @IceCube-o6s 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@robertphilip385Marekani ni kitu kingine wapih???😂😂😂 Hebu nikuambie ukweli kama hujui vizuri,hii Vita ya Ukraine na Russia, sio Vita ya Ukraine na Russia yaani ni Vita ya NATO na Russia na kama hujui NATO ni Nini utajua mwenyewe....so masilaha yenye Ukraine anapewa na Marekani hawezi kutumia bila Marekani juu Ukraine ana uzoefu wa kutumia masilaha ya Marekani, so mwenyewe anacontrol masilaha ni Marekani na washirika wake...lakni Bado wanakula kichapo Cha mbwa na Majeshi ya URUSI😂😂😂😂

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@robertphilip385😅😅😅😅😅unaongea utumbogani wew 😅usha ambiwa hakuna dunia bila Moscow

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 5 วันที่ผ่านมา

      @@peteremmanuelymatwimatwiem3258 ninachojua ni hakuna Dunia bila Palestina na Izrael

    • @mwinyiothman5106
      @mwinyiothman5106 5 วันที่ผ่านมา

      Ww mtoto mdogo bado marekan na uengereza hajaingia ktk vita vya uso na uso ndio mana wana viherehere wamuulize mjeruman hivyo vita haviitaji mrusi anajua nini vita na ndie aliyekuja kumuondoa Hitler

  • @abubakarsimba1324
    @abubakarsimba1324 5 วันที่ผ่านมา

    mnaochekelea mnaijua vita ya Dunia nyie? hakuna kazi maofisi yanafungwa Kila mtu anakimbia kusev uhai wake . makampuni yatafungwa WATOTO hawatoenda SHULENI Wala vyuoni, Dunia nzima inakua wakimbizi. alafu Kuna vijitu hapa vinasema( TUPO pamoja na wew putin 😢) hamna akili

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 6 วันที่ผ่านมา +2

    Urusi nyukria zake zitamlipukia tu yeye mwenyew ngojea muone

    • @IceCube-o6s
      @IceCube-o6s 6 วันที่ผ่านมา +1

      Acha kutumia akili kama matako😂😂😂😂....unajua Urusi vizuri ama umedanganywa na Propaganda za Magharibi??🏌️

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@IceCube-o6s chizi huyo achana nae..anasikiliza BBC huyo😂

    • @piusmanyika9818
      @piusmanyika9818 5 วันที่ผ่านมา

      Kibabara msenge w Marekani ww

    • @Patrick-n2u
      @Patrick-n2u 5 วันที่ผ่านมา

      Duuuh kumbe mmarekani anachukiwa duniani balaa

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@Patrick-n2u alafu hao hao wakiambiwa visa ya kwenda urusi au marekani watachagua kwenda marekani 🤣🤣🤣