Wewe ni mtu mmojawapo ambae unajielewa sana Godlove na ninakukubali sana,maana unajielewa na kujiyambia kuwa imeletwa Duniani kumiliki na kufurahia maisha,I love you so much Chief,, NEVER GIVE UP 💪💪
😅😅😅😅😅 Salim Bakhresa amekaa zake kimya tu uku anamuangalia kijana nakusema daaah, ivi namimi ningekua limbukeni kama huyu leo ata Azam kampani ingekuwepo?
Ni sahihi kabisa kuna wakati unaweza fanya kitu alafu unakumbuka kuwa hiki kitu mbona kama nilishawahi fanya, kwa kifupi kuna maisha fulani ambayo unaona kabisa ulishawahi kuyaishi lakini ndio Ivo unashindwa kuelewa. Au unaweza fika sehemu alafu unaona kabisa kuwa ulishawahi fika. Huwa kuna wakati najisemea kuwa mbona Kuna vitu vinajirudia ktk maisha yangu. Lakini humuambii mtu unajiuliza mwenyewe tu.
Ninyi mnaomtukana chief acheni usenge,,,mimi sio mshilika wa chief lakini kwa misaada anayotoa kwa wamama namkubali sana..manemo yenu machafu hayatamfanya afilisike kwanza ndo mnamuongezea watu wanaomfaata na kumsikiliza
Agents of colonialism is back again in another way utawala mpya umeanza kuandaliwa kidogo kidogo people huu ndio ule mda wa kufunga na kusali huyu Kuna watu wapo nyuma yake.
Mfano kuna tukio huwa naona kabisa nililiona lile la adam na hawa wakiwa bustanini, hadi sehemu huwa naikumbuka lakini sielewi kwa nini? Huwa sipati majibu why? au naweza fanya kitu ambacho naona kabisa nilishawahi kukifanya ni kama vile vinajirudia .
Wewe ni mtu mmojawapo ambae unajielewa sana Godlove na ninakukubali sana,maana unajielewa na kujiyambia kuwa imeletwa Duniani kumiliki na kufurahia maisha,I love you so much Chief,, NEVER GIVE UP 💪💪
Kaka kuwa namoyo huooo huooo mungu atakubaliki sana kaka
Upo sahihi kaka big up
Kazi ya uchwa ningumu sana naonas mwijaku anavyo pambana
Nakukubali sana pia nakuheshimu sana Mungu akupe maisha marefu
Mmmmmmh.... mwijaku akiona ela ni kama vile fisi kaona mzoga.
😅😅😅😅😅 Salim Bakhresa amekaa zake kimya tu uku anamuangalia kijana nakusema daaah, ivi namimi ningekua limbukeni kama huyu leo ata Azam kampani ingekuwepo?
Kila mtu ana maisha yake mkuu
Kutoa moyo SIO lazma uwe kama bakhresa
wewe jau sanaaaa
Ni sahihi kabisa kuna wakati unaweza fanya kitu alafu unakumbuka kuwa hiki kitu mbona kama nilishawahi fanya, kwa kifupi kuna maisha fulani ambayo unaona kabisa ulishawahi kuyaishi lakini ndio Ivo unashindwa kuelewa.
Au unaweza fika sehemu alafu unaona kabisa kuwa ulishawahi fika.
Huwa kuna wakati najisemea kuwa mbona Kuna vitu vinajirudia ktk maisha yangu.
Lakini humuambii mtu unajiuliza mwenyewe tu.
Nikwer hatamm huwa inanitokea
Ndiyomaana tunakuwa mashoga wengi pia huyu chief atokani na mungu
Watu wako kwenye kazi zao hata akiwa kitoboto ,maishayake kachagua ,ukiweza iga.
Ila Mwijaku, come on guy
Yaani ulinifuraisha sana kwa kauli yako ya kuokota na ukaokota tena
Godlike nimekuku bali,hongera kwa.hili unalilifanya
Kumbe aliwapooza kwanza watangazaji ndo maana wakashindwa kumuuliza maswali yaa msingi😂😂😂
Ninyi mnaomtukana chief acheni usenge,,,mimi sio mshilika wa chief lakini kwa misaada anayotoa kwa wamama namkubali sana..manemo yenu machafu hayatamfanya afilisike kwanza ndo mnamuongezea watu wanaomfaata na kumsikiliza
❤❤❤❤from.kenya
Nikweri kabisa chifu mimi ninayo alama yamukono m
Ajui nimbalikiwa wa nani jamani kumbuka unako enda kuomba kwa uyu profit umepotea
Watu wa ofisini..mtake misitake mtachangamka kilazima😊
SIKILIZENI KWA MAKINI KASEMA JIRANI YA CLOUDS FM BADALA YA CROWN FM YANI HUYU BADO AKILI YAKE IPO CLOUDS
ajuda me o treinamento
😢choosen oneeee
Yani huyo mwijaku anavyofurahi utadhani malaya aliyeona pesa😂😂😂
Sasa huo sio uchawa huo ni ukunguni
Duuuh mwijagu uchawa umeuanza lini jamani ila unafaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani
Ni noma sana
Kabisa jmn wagangaaaa😥mmmhhh
NAOKOTA TENA KWA CHIEF ,PESA HIZI😂😂😂😂
Pesa hiziiii chezwa chawaa
Mwijaku anaweza kukufilisi walah
Mwijaku da!!😂
Ni.kweli.kaka.
Jamaa ana ongea mpaka jasho linamtoka matakoni😂😂
Mwisho sije mkatumia nyuma kuokota zaidi
kijana wa hovyo kabisa
Acha kupotosha watu ww si ulishawahi kujiposto unakunywa damu ww unasema unatoa kafara kijana WA ovyo sana ww acha kupotosha watu 🏃🏃🏃
Nakuku bari San chifu
Mwijakuuu wqmotooo
Huyu jamaa hafiki mbali hii siyo sifa ya matajiri
Kwahiyo mwijaku chawa tena
Mmmm chief sio kweri even us we have money
Jirani wa clouds FM kivipi mwijaku
Ogopa mtu chawa nikama upele unavyowashaga taka usitake utaukuna tu 🤣🤣🤣
hiyo kusaidia mayatima na wajane kila mtu akifanya anafanikiwa acha kudanganya watu
Nilichogundua ni kwamba ukiwa na laki 4 bongo unasumbua 😅😅
Hata elfu 70
😂😂😂@@AwardHakimu
Ilaa mwikaku😂
Walikuja Watu Kama Hawa Na Wakapotea Pia Dunia Ina Siri Kubwa Sana
kwa hiyo kwemda kwa viongoz wa dini ndio matatizo yanaanzia kweli huyu amelaaniwa aisee huyu ni shetani aisee
Kweli boy
Yani huyu mwijaku kajimuliya kuomba hella
Huyu mwijaku hata forward jamani
Huyu hatafirwa jamani
Mimi napita jaman
Engekuwa wakati was maguful angeona Cha moto
Uyu anatafuta waumini wa sheteni ambao watategeteya pamoja Ndugu zanguni njaa isiwasababishe munapotoshwa na huyu dogo
Kumbe jamaa ni timamu
Huyu jamani hatafirwa jamani
Acha maneno makali ndugu
👊🔥
Huyu jamaa ni nani? Mganga au?
Pete nane zote ni za kazi gani
Nimeanza kuku elewa
🎉🎉👍👍
Warundi wa kigoma mmetupita kwa sifa
Tufanyaje
Agents of colonialism is back again in another way utawala mpya umeanza kuandaliwa kidogo kidogo people huu ndio ule mda wa kufunga na kusali huyu Kuna watu wapo nyuma yake.
Dah, serikali isipochukua hatua za haraka kuzuia uchawa, vijana wengi wanaweza kuangukia kwenye janga hili, hivyo nchi kupoteza nguvu kazi tegemeo
Kwani uchawa sio kazi
Wewe na mwijaku nan ana hela😂
Mkuu upo pw kamanda
@@kagomajmbaraka220 mjinga wewe unafikiri wote ni masikini Kama wewe
@@IbniAbbas-yz3kt dah, ujinga kweli ni mzigo
Ukitaka kufilisika vua hayo mapete mpuuzi na muongo hapo unafanya hivyo kwa masharti na siku zako si nyingi
Na Ku amini
Et cloud fm
You cant fine money without support from someone
Fine or find point of correction
Punguzeni ushamba mbona hapa zenji kuna watu wanapesa Havana Hata zakuzifanya
Lakin hawajionyesh
😂😂😂🎉😊
Omba omba wamekuja kw mfumo mwengine
Jamaa kapendeza
Jitu zima ujinga mtupu
Kweli
Tujiunge wap
Mfano kuna tukio huwa naona kabisa nililiona lile la adam na hawa wakiwa bustanini, hadi sehemu huwa naikumbuka lakini sielewi kwa nini?
Huwa sipati majibu why? au naweza fanya kitu ambacho naona kabisa nilishawahi kukifanya ni kama vile vinajirudia .
Uyu anatafuta waumini wa sheteni ambao watategeteya pamoja Ndugu zanguni njaa isiwasababishe munapotoshwa na huyu dogo
Anahela kweli au