Aina 5 (Tano) Za Watu Maeneo Ya Kazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 119

  • @udhweifagamir6966
    @udhweifagamir6966 6 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kaka nakupenda sana walahii unasema kweliii

  • @Mr.officer99
    @Mr.officer99 2 ปีที่แล้ว +1

    Masomo yako yananifumbua macho , ahsante

  • @paulshadrack9991
    @paulshadrack9991 6 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe kaka Joel Nanauka,
    Hawa watu wapo, Hasa hiki kipindi cha Kombe la Dunia Gosping n wengi wanashawishi kweli uendane nao ,
    SEE ME AT THE TOP

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Paul Shadrack ah ah ah kwa kweli

    • @hamisimsangi8274
      @hamisimsangi8274 5 ปีที่แล้ว

      hiyo aina ya 4 inaniandama mno

  • @anandungulu8256
    @anandungulu8256 6 ปีที่แล้ว +1

    kaka asante kwa kunifungua,yaani kama vile ulikuja kazini kwangu.

  • @rafaelmwanyila33
    @rafaelmwanyila33 5 ปีที่แล้ว +1

    Imposers are very dangerous to the work place

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 6 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana (JN)
    SEE YOU AT THE TOP⏫⬆

  • @johnluhwa8342
    @johnluhwa8342 6 ปีที่แล้ว +2

    Nzurii iyoo kakaa

  • @amama6762
    @amama6762 6 ปีที่แล้ว

    Waoooo nimeipenda sana hiii

  • @anthonykimaro807
    @anthonykimaro807 6 ปีที่แล้ว

    Asaantheeee broo tunao ofisini aisee

  • @hassanmboma7504
    @hassanmboma7504 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana somo zuri

  • @eunicjohn6684
    @eunicjohn6684 6 ปีที่แล้ว

    du! namba moja kaka na unafiki ukiwemo

  • @asifiwemwamundela4388
    @asifiwemwamundela4388 3 ปีที่แล้ว

    Mamba 1 wananihusu.mungu anisaidie.

  • @jaromeedward781
    @jaromeedward781 2 ปีที่แล้ว

    Kaka utazani unashidaga kzn kwangu Asante sana tena sana kwamusada mukubwa kama huu

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว +4

    We kaka ndio unajua kitu kizuri chakutuletea kwenye hii mitandao, kuna wengine kila Siku ni udaku tu wanaleta hata usioeleweka

  • @paulshadrack9991
    @paulshadrack9991 6 ปีที่แล้ว +1

    thanks bro ,nmepata vitu vizuri.

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi5777 6 ปีที่แล้ว

    Uko sawa, kaka...ila hujatoa uzuri wa kila kundi.nashauri next move iwe ya kutoka uzuri wao.

  • @emmanuelludovick8749
    @emmanuelludovick8749 5 ปีที่แล้ว

    Hello Mr Joel nafurahia sana masomo yako yameniprlekea kufungua biashara ndogo mjasiriamali kwa mtaji Mdogo lkn naitaji msaada wako kufikia kuwa na kampuni kwa kile nilichoanzisha msaada tafadhali Mr joel

  • @abughatimsalim7047
    @abughatimsalim7047 6 ปีที่แล้ว

    Namba moja

  • @justinecanisius5429
    @justinecanisius5429 5 ปีที่แล้ว

    Good bro

  • @florencemafie_official2238
    @florencemafie_official2238 6 ปีที่แล้ว

    nzuriii Kaka nabarikiwa sana

  • @cosmasjohnson6827
    @cosmasjohnson6827 6 ปีที่แล้ว

    Kaka hongera sana na mungu akubaliki unanijenga kifikra kupitia video zako asante mno

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hii bro

  • @sadathsaidkajuna1286
    @sadathsaidkajuna1286 4 ปีที่แล้ว

    kaka asante sana nimewaona wengi katika sehemu ya kazi naomba unisaidie jinsi ya kuepukana nao

  • @qwaraypaschal3704
    @qwaraypaschal3704 6 ปีที่แล้ว

    Thank u mr

  • @elihurumamjema1002
    @elihurumamjema1002 6 ปีที่แล้ว

    Baba wapo baba wote Wapo.

  • @sar.barakarashidi7178
    @sar.barakarashidi7178 5 ปีที่แล้ว +1

    Ninapo Fanya kazu kunamfanya kazi mwenzangu nimemkopesha lakini nikimdai atakikunilipa ananiletea ubabe namimi sipendi ugomvi wala kukwazana na MTU.je!nifanye nni ili anilipe?

  • @devotamruma3459
    @devotamruma3459 6 ปีที่แล้ว

    Aina zote hz zipo ofsin kwangu, ahsante kwa kunijenga

  • @joharijuma8667
    @joharijuma8667 6 ปีที่แล้ว +1

    huyo wa kwanza yupo yani huwa ananikwaza aisee ukifika tu ofcn anaanza kukupa habari za watu za siasa mpaka nilishamwambia sipendi lakini hakomi
    mwingine ni huyu wa mwisho yani na yeye bendera fuata upepo hanaga msimamo kila unachomwambia hakatai mpaka huwa namshangaa lakini pia niligundua ni mnafiki sana
    Asante kaka endelea kutufunza tuelimike

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Johari Juma duuh kazi ipo ila umeshajua namna ya kudeal nao

    • @joharijuma8667
      @joharijuma8667 6 ปีที่แล้ว

      Joel Nanauka Ndiyo yani huwa namkwepa sana kila akija namwambia aniache kwanza nifanye kazi now ameshajitambua amekuwa hanifuatilii Kabisa ila mwanzoni alikuwa ananikera sana

  • @yassirmohammed5067
    @yassirmohammed5067 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @happymarlley490
    @happymarlley490 6 ปีที่แล้ว

    Habari kaka Joel ,Mi ninao hapa kazini Namba 1,3,Na 5, wapo watu wengi wana tabia za hivyo,yani hata nikijaribu kuwaepuka bado wananifata tu..naomba msaada wako ..

    • @hashimusoa2190
      @hashimusoa2190 5 ปีที่แล้ว

      Tunao sana namba 4 inanikumbusha majonz ndg

  • @dorothyannan4857
    @dorothyannan4857 6 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza.. Kitu

  • @misskwileka1956
    @misskwileka1956 6 ปีที่แล้ว

    barikiwa kaka... ni kweli kabisa

  • @hunsazakaria9918
    @hunsazakaria9918 5 ปีที่แล้ว

    yupo anataka mashindano wakati we we upendi biashara yamashindano ukinunua Iki nayeye ananunua ukiacha nayeye anaacha kiukwelii natamani niamishe biashara yangu

  • @assamwakasanga3570
    @assamwakasanga3570 6 ปีที่แล้ว

    asantee San kak Joel Arthur nanauka aina hizo zipo zote kwenye office yang

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 6 ปีที่แล้ว +1

    Haaahaaaaa.
    Wote ninao namimi kuna kasehemu nipo hapo kwenye The Gossip hasa habari za siasa ila niliposoma kitabu cha ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO nimebadilika kidogo ila bado nahitaji tiba.
    2.Jinsi ya kuishi nao hao wote watu wa aina 5 kaka
    Asante. JAMANI TUNAWAKUMBUSHA KUJIUNGA NA DARASA LETU LA #A. S.A COLL. TUNAJIFUNZA MENGI SANA KARIBUNI WANA FIKRA.
    #SEEYOUATTHETOP

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Justine Mmbando safi sana Justine nafurahia jinsi unavyofuatilia kwa umakini na kujifunza

  • @bahatifabian2804
    @bahatifabian2804 6 ปีที่แล้ว

    Hopo.mwisho.umeningusa

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 6 ปีที่แล้ว

    asant kwa mafnzo nimeyapenda kwa kwel

  • @norbertsam5430
    @norbertsam5430 6 ปีที่แล้ว

    Thanx much bro Joel kwa elimu nzuri sana unayotoa. Ila kwenye hili nina swali moja; Je, watu wote makazini wako kwenye hayo makundi matano? Hakuna watu ambao wao ni wema na wanapaswa kuigwa?

  • @leonardbugomba8548
    @leonardbugomba8548 4 ปีที่แล้ว

    #SeeUatTheTop

  • @viviangeorge7350
    @viviangeorge7350 ปีที่แล้ว

    Mi ninakutana na gossip group na High achievers

  • @neemalino4220
    @neemalino4220 5 ปีที่แล้ว

    Jamani hao wote ninafanyanao kwenye ofisi yangu

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Duwa kila wakati
    Kwako

  • @charlesbernard5787
    @charlesbernard5787 6 ปีที่แล้ว

    Umegusa penyewe kaka, nimeielewa hii

  • @shelangwaalex7
    @shelangwaalex7 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Mimi kwangu wapo 4 pia nawa 5

  • @jasminesaid6358
    @jasminesaid6358 6 ปีที่แล้ว

    kazin KwAngu yupo wa kuzunguka mlago wa nyuma naonekana sifai nakati mimi ambaye niko nae Mda wt namjua alivyo akiwa na mm mazungumzo ni mazuri lkn nikitoka ananisema vby

  • @bethmziray690
    @bethmziray690 5 ปีที่แล้ว

    Passive, yani wanafiki hatareee, na hiyo nadhani ni kwenye ofisi nyingi ipo

  • @matildakejo7785
    @matildakejo7785 6 ปีที่แล้ว

    duuh kaka kweli mada ya aina 5 za watu ktk eneo la kazi inanihusu kbs. mm nk nje ya nchi ningependa nimeona utanisaidia sana sana naomba namba yk niweze kuchat na we whatsup pls pls

  • @rafaelmwanyila33
    @rafaelmwanyila33 5 ปีที่แล้ว

    Passive nimekutana naee na niko nae kazini

  • @sekelahassan8490
    @sekelahassan8490 6 ปีที่แล้ว

    aina hizo zipo kazin kwangu yaan hujakosea mpendw

  • @asidayzsaid9662
    @asidayzsaid9662 5 ปีที่แล้ว

    mimi niko mtwara masasi naweza kupata kitabu chako

  • @issackelias3677
    @issackelias3677 6 ปีที่แล้ว

    Daa kweli bro hawa watu ni shida sana ninao kazini kwangu hasa hawa namba 1 paka natamani nikifk ofsn nijifungie Sehemu nifanye kazi zangu nachukia sana story muda wa kazi.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Issack Elias pole sana Issack najua umepata njia chache za kushughulika nao

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 6 ปีที่แล้ว +1

    Ninamtu mmoja anafanya kazi Overtime 22/7 hours....... Huwa Hana weekend wala holidays

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      GeoDesigner duuh hatari sanaa

  • @mipawabaya3068
    @mipawabaya3068 6 ปีที่แล้ว

    Wako kweli hujakosea

  • @mamalulumama2102
    @mamalulumama2102 5 ปีที่แล้ว

    Aiseee wote wapo kwa office yangu .nafanyaje ss

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 6 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa sijui kumbe mtu mwema anakuwa mnafiki

  • @jumad5739
    @jumad5739 6 ปีที่แล้ว

    Mimi nimemuona namba nne ila na mm nimejiona kama ni namba tano waga sipend kuonekana mbaya,,,,,ila mm sio mnafiki

  • @herbertpeter5356
    @herbertpeter5356 6 ปีที่แล้ว

    impoosers sio watu wazur

  • @tinnakimaro5360
    @tinnakimaro5360 6 ปีที่แล้ว

    Kaka apa kazini kwetu wapo adi wanafanya mtu unaona kazi ngumu ina bidi mda wote uweke earphones kwasababu Kila unacho fanya kwao siosahii

  • @emysonofj2116
    @emysonofj2116 6 ปีที่แล้ว

    me nawapenda wambea Na passive

  • @deejayraheem2618
    @deejayraheem2618 6 ปีที่แล้ว

    uko na points nzuri sana lakini hakuna solution how to deal with them

  • @ommymalotta8272
    @ommymalotta8272 6 ปีที่แล้ว +1

    The Gossip hao hapa Job ni nouma bt see me at the Top

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Kabisa,see you at the Top,usikubali wakukwamishe

    • @ommymalotta8272
      @ommymalotta8272 6 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana kaka ila nilikuwa nataka kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO nielekeze kinapatkana Duka gani me nipo Tabata

  • @mjinsider9204
    @mjinsider9204 6 ปีที่แล้ว +1

    Wote wapo kaka

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    The gossip wamezidi Bongo

  • @maulidmohammed3416
    @maulidmohammed3416 3 ปีที่แล้ว

    Wapo wengi

  • @mohamednassor4294
    @mohamednassor4294 5 ปีที่แล้ว +1

    Broo hao watu wote niko nao mpka n mm najikuta tabia zote naziadopt duu!! Nifanyaje nijikwamue n hly?

  • @meshackgardiel6894
    @meshackgardiel6894 6 ปีที่แล้ว +1

    kwa upande wangu ni imposer ndo walionizunguka yn unafanya kazi vzr lakn mafanikio anatak apewe yeye anashindwa kutambua thamani yk

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Meshack Gardiel pole sana ili jifunze kushughulika nao

  • @aronluthermwimbajmcnyota5189
    @aronluthermwimbajmcnyota5189 5 ปีที่แล้ว

    Watu kua bize na kaz mpaka wanatoka naww unaonekana kama ufanyi kaz

  • @barakamwangama3453
    @barakamwangama3453 6 ปีที่แล้ว

    yupo mkuu wangu ni blamer tabia yake ni kuamisha matatizo

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 6 ปีที่แล้ว

    Iyo ya tano mmmmh

  • @meshackgardiel6894
    @meshackgardiel6894 6 ปีที่แล้ว

    naomba njia za kuishi na watu aina ya imposer maana wanashindwa hata ku motivate mtuu japoo unawafanyia kazi nyingi

  • @mwamvuakibenga6393
    @mwamvuakibenga6393 6 ปีที่แล้ว

    Hapa ofisini tunaye mfanyakazi mwenzetu anazo tabia hizo mbili ya over achiever yaan muda wote yupo bze lakini pia ni good blemer yaan hata akikosea yeye hakubali kosa kila anapokosea anawabebesha wafanyakazi wenzie makosa yake hadi anakera

  • @dicksongadson2223
    @dicksongadson2223 3 ปีที่แล้ว

    kwa apo mi wapo kama wote utanisaidia vipi??

  • @ericaron4657
    @ericaron4657 6 ปีที่แล้ว

    habar kaka mm nipo daresalaam nnahitaji vitabu vyako ntvipata wap

  • @helmanjoshua7342
    @helmanjoshua7342 5 ปีที่แล้ว

    Mtu wa nne

  • @abdallahomar4589
    @abdallahomar4589 6 ปีที่แล้ว

    gossip na blames ndio Wengi Ziadi ofsn kwangu

  • @ShadrackMabera
    @ShadrackMabera หลายเดือนก่อน

    masomo yako yamenifanya niwafamu watu kiundani zaidi

  • @windowupdestar8200
    @windowupdestar8200 6 ปีที่แล้ว

    Yupo. nisaidie nimuepuke vp mtu huyu

  • @rennyjohnbosco5674
    @rennyjohnbosco5674 5 ปีที่แล้ว

    Na nne ni ya kwangu nilishawahi kukutana nalo

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣
    Aisee nina the gossip mmoja.
    Imposer moja.
    Blamers wawili.
    Passive mmoja..,🤣🤣🤣

  • @raginauthor1881
    @raginauthor1881 6 ปีที่แล้ว +4

    Taifa linapenda gossip ndio maana hata huku ni wachache ila kwenye udaku wamejaa

  • @ernesttizongumbi8636
    @ernesttizongumbi8636 6 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watu makazini hawakosekani

  • @muragaraphilippe9087
    @muragaraphilippe9087 6 ปีที่แล้ว

    Ni vema zaidi ikiwa utatutolea video ya aina tano vilevile yakutumia ilikuepukana na hao kazini.Kwani katika enzi zote duniani hao wameshajaa pote.

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    Kuna watu au mtu anakuwa na tabia zote hizo kwa nyakati tofauti tofauti je kwanini?

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 6 ปีที่แล้ว

    Imposers, awo ndo tatizo nililo nalo,,,, na ata cjui nifanye nn ili niachane nawo.

  • @barikipeter721
    @barikipeter721 6 ปีที่แล้ว +1

    Ase wote ninao kbsaa Kaka cjui ntafanyaje

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว +1

      Sikiliza tena video nimeelekeza namna ya kushughulika nao

    • @vicebakila892
      @vicebakila892 6 ปีที่แล้ว

      Hawa watu namba nne wananisumbua Sana kazin unajikuta unafanya kazi kwa uaminifu afu wao wanaharibu au wanafanya udokozi afu unasingiziwa wewe na some time wewe Ndio unasimamia eneo hilo afu mbaya zaidi wanakuwa na undugu au ukaribu na Maboss ni shida!!!!

  • @realysoud3919
    @realysoud3919 6 ปีที่แล้ว +1

    Niko na the gossip kila wakati habari ambazo hata hazinihusu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Najua umeshajifunza namna ya kuwakabili

    • @realysoud3919
      @realysoud3919 6 ปีที่แล้ว

      Ndio! asante

  • @patrickmuna2582
    @patrickmuna2582 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahaah......kuna watu ofisini hawataki kabisa linapotokea kosa wao waonekane au wawajibike, muda wote wanataka wawe wasafi, hata kuripoti issue yoyote iliyokwenda wrong utaambiwa wewe uripot kwa boss, ila jambo lolote litakalokuwa limeenda sawa, utasikia wakisema.....Ahhh ngoja niripoti hii kitru, we fanya kazi nyingine...........Kwa kifupi, Matokeo yoyote mabaya, utaambiwa wewe ndio ufikishie ujumbe boss, ila matokeo yoyote mazuri wanataka wao ndio wamfikishie ujumbe boss.....wananiboa sana watu hawa wanaokwepa majukumu

  • @sar.barakarashidi7178
    @sar.barakarashidi7178 5 ปีที่แล้ว

    Naitaji vitabu vyako#0717211738

  • @mbakilefelix6414
    @mbakilefelix6414 6 ปีที่แล้ว

    kaka naomba madini zaidi kwa hao "over achievers" na nini faida na hasara zake.

    • @hadijasogo7739
      @hadijasogo7739 6 ปีที่แล้ว

      kaka shikamoo nakukubali sana

  • @leoncemussa1231
    @leoncemussa1231 6 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka vitabu vyako 0757010979

  • @priscilerehemasongolo7233
    @priscilerehemasongolo7233 6 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    The gossip wamezidi Bongo

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    We kaka ndio unajua kitu kizuri chakutuletea kwenye hii mitandao, kuna wengine kila Siku ni udaku tu wanaleta hata usioeleweka

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    Kuna watu au mtu anakuwa na tabia zote hizo kwa nyakati tofauti tofauti je kwanini?