Kanuni Tatu Zitakazokupa Matokeo Makubwa Kila Siku (AKrasia Effect)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 120

  • @mustafaomar620
    @mustafaomar620 4 ปีที่แล้ว

    Yeah mi kwangu Mimi naamini hiyo start asap ndo nzuri kwangu na ndio ambayo nitaifanyia kazi

  • @michaelsafari
    @michaelsafari 5 หลายเดือนก่อน

    Hii ni elimu ambayoo nikubwa na haifunzwi chuoni Asante mentor wanguu Mr Joel Nanauka

  • @shayopoul1612
    @shayopoul1612 3 ปีที่แล้ว

    kaka asante sana

  • @simbaali8233
    @simbaali8233 4 ปีที่แล้ว

    .HEE ndugu yangu mimi NIKO KWENYE implementation stage . Naomba msaada WAKO

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii Kanuni Nimeielewa Sana Brother Joel Nanauka stay blessed kaka.

  • @chozilasamaki5473
    @chozilasamaki5473 2 ปีที่แล้ว

    Nakubaliana na wewe by💯 kama mimi Binafsi kuna mambo 2 yananikoseha raha, kukusikiza wewe kwa wakati mmoja na muziki wa vinanda zinanifanya ni lale, Pili 2 muziki uko juu kiasi ya kuniumiza masikio na kichwa kwa jumla, utanisaidia vipi mwalimu wangu?

  • @T1tanGamingCsgoMore
    @T1tanGamingCsgoMore 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana lectures zako na lengo langu 2020 nataka nisevu pesa japo kidogo

  • @elfridajraphael2611
    @elfridajraphael2611 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri kaka Joel, dah ni kweli tumekuwa watu wa kuahirisha mambo muda mrefu..sasa naanza kukimbia katika kujishughulisha na masuala ya kujiajiri...nimejiwekea malengo ya kuongeza ujuzi kwa kusikiliza talks toka kwa wataalamu wa masuala ya biashara pia kusoma kitabu cha Rich dady poo Dady...Barikiwa kaka

  • @bitemwita6809
    @bitemwita6809 5 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana ningefurahi zaidi kama ungekuwa mentor wangu

  • @amanichowe9697
    @amanichowe9697 6 ปีที่แล้ว +1

    .Asante sana kwa chakula hiki kizuri, mimi natumia sana mbinu ya kwanza na ya tatu, nilikuwa na tatizo katika kufanya serving lakini baada ya kusoma vitabu viwili The richest man in Babylon na kile cha Mwakasege unafanyia nini kila pesa inayopita mikononi mwako.vimenisaidia sana

  • @assamwakasanga3570
    @assamwakasanga3570 6 ปีที่แล้ว

    Asantee San kak Joel Arthur nanauka. kanuni hii nimeipenda San

  • @titussalawa5246
    @titussalawa5246 3 ปีที่แล้ว

    Hii mbinu ya START ASAP nimeipenda sababu nina pesa kidogo nimeiweka ili ntafute na nyingine nianze biashara ila kwa mafundisho yako naanza nayo hii hii asante kaka kwa kunitoa tongotongo

  • @godfreyjapheth2626
    @godfreyjapheth2626 4 ปีที่แล้ว

    Commitment device naanza kuitumia maana kuna vitu nilikuwa nashindwa kabisa kuviacha!!! Thank you sir become blessed

  • @abdornephotidas3848
    @abdornephotidas3848 6 ปีที่แล้ว +1

    Somo tamu hili!!

  • @priscilerehemasongolo7233
    @priscilerehemasongolo7233 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana ,mimi Niko ku ya pili nimeanza na nilicho nacho hapa nilipo ,kwa uwezo wangu.Ni faida ,Priscille rehema songolo ni binti yangu

  • @ariseandshine
    @ariseandshine 6 ปีที่แล้ว +1

    Akrasia effect is my struggle. Thank You for this information

  • @DanielFrankManupa
    @DanielFrankManupa 6 ปีที่แล้ว

    Mbinu ya kwanza nimeipenda zaidi kaka, barikiwa sana

  • @kabibiscovia9141
    @kabibiscovia9141 7 หลายเดือนก่อน

    mimi n implementation stage

  • @gegasagwares8069
    @gegasagwares8069 6 ปีที่แล้ว

    safi kaka nimependa mafundisho yako

  • @mylenejoshua6771
    @mylenejoshua6771 6 ปีที่แล้ว

    Kaka joel an mungu akupe maisha marefu jaman,,,,,,manake c kwa mafunzo aya

  • @saidoo_6975
    @saidoo_6975 5 ปีที่แล้ว

    Am so excited to listen u then bro

  • @maishatzmartin5468
    @maishatzmartin5468 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kk

  • @mwelamalibila8988
    @mwelamalibila8988 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @mariamlasseko1517
    @mariamlasseko1517 4 ปีที่แล้ว

    very nice message, thank you bro

  • @benedictordavidmeshack4ben333
    @benedictordavidmeshack4ben333 5 ปีที่แล้ว

    Tabia ya tatu

  • @muutasimrashid135
    @muutasimrashid135 3 ปีที่แล้ว

    Allah Akupe Nguvu kwa Maoni yako

  • @gablesladyfashionanddesign1409
    @gablesladyfashionanddesign1409 6 ปีที่แล้ว

    Hi Joel !am real appreciated you coz you make me to wakeup now to reach ma goals ,but I don't know how to start with ma ideal !

  • @gladysyonah2849
    @gladysyonah2849 6 ปีที่แล้ว +2

    Commitment device ni powerful....au hata kama hutaki/huwezi kuweka fixed acount, anza na kuweka kibubu kisicho na ufunguo, au nunua vipande UTT

  • @henrysabini1144
    @henrysabini1144 6 ปีที่แล้ว

    asante sana!nimekuelewa

  • @IsmailHassan-ql8fj
    @IsmailHassan-ql8fj 7 หลายเดือนก่อน

  • @happyluena3214
    @happyluena3214 6 ปีที่แล้ว +2

    Implementation effect inanihusu sana hiyo

  • @nemesshirima7454
    @nemesshirima7454 5 ปีที่แล้ว

    Mm ni muhanga wa hayo yote uliyozungumza nimejifunza mengi Sana na ntaanza kuyafanyia Kaz ipasavyo mungu akujalie afya njema ili uweze kutoa elimu zaidi simu hii nimenunua kwaajil yakujifunza Mambo ya msingi katika maisha hususan Kama haya niliyo sikia kutoka kwako kweli nimeamin simu ukiitumia vizuri lazima utoke hatua moja kwenda nyingine na mm nimesonga kiukwel

  • @lapozzydone5203
    @lapozzydone5203 6 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Kwa ushauri wako mzuri nimejifunza vitu muhimu Sana kutoka kwako...
    Mimi tatizo langu nashindwa kufikia malengo yangu naweza jiekea lengo flani nikiwa sina pesa..nikipata pesa mawazo yanakua mengi nafanya nisicho kipanga kabla..sasa hali hiyo inanisumbua Sana inanifanya nashindwa kufikia malengo yangu..Mfano lengo langu likiwa ni kununua gari sasa naweza sema nikiweka mshaara wangu Kwa mda wa miezi mitano takua nimefikia lengo langu..lakini huko kuziweka ndio tatizo mara huyu ashanililia shida mara nimeona kitu nimekipenda hilo mwisho wa siku badala kwenda bele narudi nyuma...

  • @kimnifahnana8701
    @kimnifahnana8701 5 ปีที่แล้ว

    Jomn unapatikana wap

  • @mollymartine8350
    @mollymartine8350 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa kaka

  • @jacksonmwanyika5697
    @jacksonmwanyika5697 6 ปีที่แล้ว

    Basi nitashukuru ninakikundi kidogo cha watu kwa hiyo nafikiri tutashukuru ukija ahsante kwa mafunzo yako

  • @saidisaidijamari4556
    @saidisaidijamari4556 5 ปีที่แล้ว

    Asante big up kaka

  • @ahmedstza2900
    @ahmedstza2900 4 ปีที่แล้ว

    DaH saf implement

  • @hassanbakari1509
    @hassanbakari1509 6 ปีที่แล้ว +4

    Mm natumia ile mbinu ulio fundisha ktk kitabu cha ishinde tabia ya kughairisha mambo, kanuni ya dakika 2 hiyo kwangu ndio the best @alafu kuna kitabu kinaitwa the magic of believe sio mbaya ukikitafsiri kwa kiswahili utakuwa umesaidia wengi,hata kitabu cha Napoleon hicks kitabu chake kilitafsiriwa kwa lugha tofauti duniani,hicho kitabu ukinapatikana hapa hapa yuttb ukiandika the magic of believe audiobook kiskize kiziri sanaa pia ukifanya hivyo kukitafsiri utasaidia watu wengi sanaa

  • @gabrielmbunda5731
    @gabrielmbunda5731 6 ปีที่แล้ว

    Thanks nikwa Mara ya kwanza nisikiliza lecture zako lakini kwangu implementation intation ninzuri sana

  • @joachimnchimbi5483
    @joachimnchimbi5483 6 ปีที่แล้ว

    commitment device is the best for me..

  • @danielmsangi7271
    @danielmsangi7271 6 ปีที่แล้ว

    Kwangu mim commitment device

  • @noelashega6948
    @noelashega6948 6 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Kaka Joely Mungu akubariki zaidi 🙏

  • @nasrimpagama6123
    @nasrimpagama6123 6 ปีที่แล้ว

    Ndugu mm hiyo ya kwanza maana ndio inaonipotezea sana

  • @FRWPresscom
    @FRWPresscom 6 ปีที่แล้ว

    Joel you are smart..endeleza kipaji chako kuielimisha jamii

  • @samyjohn2389
    @samyjohn2389 6 ปีที่แล้ว

    respect brother

  • @dioniznkirejiwa3372
    @dioniznkirejiwa3372 3 ปีที่แล้ว

    Mbinu namba tatu

  • @beatuskomu173
    @beatuskomu173 6 ปีที่แล้ว

    Broo shukrani sana kwa mbinu tunazozipata kwako siku hadi siku,
    Mimi pananihusu sana hapo kwenye point ya pili start as soon as possible nitafanyia kazi sana hapa,

  • @jennymwaipopo4256
    @jennymwaipopo4256 3 ปีที่แล้ว

    Je vp kama unafanya mambo ayafanikiwi naomba unisaidiee mafnzo

  • @dianafrancis7650
    @dianafrancis7650 4 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @allyjuma9150
    @allyjuma9150 6 ปีที่แล้ว +2

    Implementation Intent. Hakika kwa sisi vijana unakuwa na mawazo mengi pindi ukitaka fanya yote huwa tunajikuta kutofikia malengo.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Ally Juma kwa maarifa haya naamini utaanza kufanya angalau nina

    • @allyjuma9150
      @allyjuma9150 6 ปีที่แล้ว

      Joel Nanauka yes Brother

  • @emmanuelmosha7684
    @emmanuelmosha7684 6 ปีที่แล้ว

    Implementation intension

  • @khalfanseiph491
    @khalfanseiph491 6 ปีที่แล้ว +1

    Implementation intetion

  • @aminathoya4265
    @aminathoya4265 6 ปีที่แล้ว

    Thanx alot

  • @mercywanjiku3740
    @mercywanjiku3740 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimekua na shida Kama hiyo nikitaka kufanya jambo am not doing it. Thank you very much for your advice. I will just do it immediately.

  • @jameszacharia3086
    @jameszacharia3086 6 ปีที่แล้ว

    ur the Bext Joel!!! nahtaj kitab chako lkn nko shy nakipataj????

  • @amanijames5076
    @amanijames5076 6 ปีที่แล้ว

    Thanks a lot guy

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 6 ปีที่แล้ว

    Ya mwisho kaka implementation int

  • @masumbwe
    @masumbwe 6 ปีที่แล้ว +1

    Implementation intentions, upande wangu, kukosa hiyo inasababisha delays nyingi

  • @godbmbuya6182
    @godbmbuya6182 6 ปีที่แล้ว

    mbinu namba moja na tatu nitaanza kuzifanyia kazi

  • @misskwileka1956
    @misskwileka1956 6 ปีที่แล้ว

    nimebarikiwa na wewe kwa kweli... Mimi hapo ni mbinu ya kwanza na ya tatu.. uuuuwii

  • @jamilajuma8334
    @jamilajuma8334 6 ปีที่แล้ว

    asante

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 6 ปีที่แล้ว +2

    Ya 3 ninzuri ila Sasa tatizo nikwamba kuailishi ndilo jambo linalo tawala zaid

  • @Mwalimu_seleman
    @Mwalimu_seleman 6 ปีที่แล้ว

    Jamaa unayagusa maisha yangu sana mi nimeanza kutumia njia ya kutumia japo dk 2, hii ya commitment divice imekuwa bado na changamoto sana najitahidi kuitumia lkn baada ya muda najikuta nierudia tabia ile na baada ya kuona nimepoteza tena wakati naweka tena comitment.

  • @edwardmsanjala3253
    @edwardmsanjala3253 5 ปีที่แล้ว

    SASA mkuu commitments devices zangu ni juu ya kufuatilia somo lako TH-cam kila siku nifanyeje

  • @mobilesolution2413
    @mobilesolution2413 6 ปีที่แล้ว

    implementation effect yenyewe

  • @josephtinginya3860
    @josephtinginya3860 6 ปีที่แล้ว

    Mbinu ambayo inaweza kunisaidia sana na kwa haraka ni commitment Device.

  • @loyceisack1781
    @loyceisack1781 6 ปีที่แล้ว

    Savings ngumu sana kwangu

  • @sipembapaul8262
    @sipembapaul8262 6 ปีที่แล้ว

    kaka Joel Niko tbr na Ndoto ya kuanzisha kiwanda kidogo cha kukamua na kuchuja mafuta ya arlizeti

  • @ashirafsaid4744
    @ashirafsaid4744 6 ปีที่แล้ว

    ya pili na ya tatu bro

  • @efraimumwailunga5282
    @efraimumwailunga5282 6 ปีที่แล้ว

    Thanks
    Start ASAP naona inanihusu

  • @mollymartine8350
    @mollymartine8350 5 ปีที่แล้ว

    Hakika nitamuvu sasa kwani umeniamsha kimawazo

  • @PraudEnobay
    @PraudEnobay 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @christinen8291
    @christinen8291 6 ปีที่แล้ว +2

    Naomba kitabu cha kutimiza malengo.nitakipata Je??? Nakaa Danemark

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Christine Nizigama hi wasiliana na 0756094875 utakipata Christine

  • @doreenkanje7717
    @doreenkanje7717 6 ปีที่แล้ว

    Implementation intation thnx brother najifunza meng ktoka kwko jamani

  • @nassibomary.8166
    @nassibomary.8166 6 ปีที่แล้ว

    Start ASAP.

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 6 ปีที่แล้ว +1

    Nitasoma kitabu cha timiza malengo page mbili kila nilalapo Na niamkapo🇿🇲

  • @ElizAbeth-un6he
    @ElizAbeth-un6he 6 ปีที่แล้ว

    start as possible

  • @saumujuma6419
    @saumujuma6419 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo device nini cjui

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 6 ปีที่แล้ว

    COMMITMENT DEVICE INANIHUSU KWA SANA..MARA NYINGI HUWA NASHIKWA NA UVIVU TU NAJIKUTA NAFANYA MAMBO RAHISI AMBAYO HAYAWEZI NISAIDIA KWA BAADAE MF. MPIRA,MUSIC

  • @abuuharuna4278
    @abuuharuna4278 6 ปีที่แล้ว

    nikweli sana

  • @rashidkihombo6782
    @rashidkihombo6782 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo namba tatu imenigusa sana

  • @leonardpaulo7228
    @leonardpaulo7228 5 ปีที่แล้ว

    Implementation intention

  • @francymaru7429
    @francymaru7429 5 ปีที่แล้ว

    start as soon as posssible

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 6 ปีที่แล้ว

    Tupende kuongelea wataalam wetu na si kutukuza wazungu wanawafanya wasomi wetu wawe watumwa wa wakuwatukuza wazungu

  • @davidkashanda6554
    @davidkashanda6554 5 ปีที่แล้ว

    Please I do have a question my question is which is the best to read the newspaper and to read a book

  • @miriamsaidi7748
    @miriamsaidi7748 6 ปีที่แล้ว

    Tunaomba namba yako

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 ปีที่แล้ว

    Mimi niku save that's I very need

  • @eliamatiku5923
    @eliamatiku5923 3 ปีที่แล้ว

    Mbinu ya tatu inanihusu

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 6 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kitabu cha timiza melengo nakipataje

  • @gracemsanjila327
    @gracemsanjila327 6 ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢Mbona kama unanisema mimi jamani yani dah nimeanza kupanga kuwanza mazoezi ila hadi sasa mwezi wa 7 sijafanya kitu me na simu simu na mimi alafu sijui ninachokifanya yani naigia natoka

  • @kelvinuisso9979
    @kelvinuisso9979 6 ปีที่แล้ว

    video zako tuzipate whatsapp

  • @EmanuelMahushi-i6w
    @EmanuelMahushi-i6w 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka nmekuelewa Sana lakin ningeomba kuuliza he ukiwa umeajiriwa but unalipwa per day,,utafanyaje uwe na reduction ya moja kwa moja ukilinganisha na kufanya kazi kwenye makampuni makubwa

  • @genesiusmsakamba1807
    @genesiusmsakamba1807 6 ปีที่แล้ว

    implementation mm ninyoona inabidi nianze nayo

  • @hamzamakelo5205
    @hamzamakelo5205 6 ปีที่แล้ว

    Katika kanuni tatu zote ni nzuri lakini nzuri zaidi na yenye matarajio ni "start ASPP" yani hapo tu wale wenye maneno mengi wanapo zeekea. Hivi nawezaje kupata kitabu chako bro nihisi nimechelewa sana.

  • @omaribingwe5740
    @omaribingwe5740 6 ปีที่แล้ว

    bro inabidi nipate mawasiliano yako tuonane bro joel

  • @hamzamakelo5205
    @hamzamakelo5205 6 ปีที่แล้ว +2

    Kitabu cha timiza malengo yako kinapatikana wapi kaka? Nakitafuta sana hicho kitabu lakini sijui pa kukipata na wala sina wa kumuuliza

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Hamza Makelo pole sana wasiliana na 0756094875 utakipata

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 6 ปีที่แล้ว

    Noted : implementation intention

  • @pinikotv7754
    @pinikotv7754 4 ปีที่แล้ว

    Mimi kabla sijapata kazi niliyo nayo sasa Nilimuomba Mungu sana anipe kazi ila baada ya kupata kazi nikapata hela nikawanamawao why nahisi niko pale pale nikagundua kitukimoja binadamu akiwa anashida huwa anakuwa na uweze mkubwa wakufikiri na kuwa napositive ideas kuliko akiwa anapata mahitaji yake yakawaida imefikia sehemu nikakumbuka that time nikiwa sina kazi nilikuwa nasema yani nikiwa na shilingi laki tano tu mimi najiajiri pekeyangu sitakitena kuajiriwa kwasasa napata mara sita yake kwamwezi lakini bado naona hakunabiashara nitakayoweza kuifanya.Nashukuru kupitia vipindi vyako nimefunguka kimawazo naweza kusema niko huru nimeanza biashara.

  • @abdallahomar4589
    @abdallahomar4589 6 ปีที่แล้ว

    kipengele cha commitments kinanigusa