Hatua 6 Za Kupata Kazi Unayoitaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 65

  • @AmisiHassaniTygo
    @AmisiHassaniTygo 6 ปีที่แล้ว +6

    Kwa mara nyingine wa kwanza ku comment Amisi from kansas city missouri,, ahsante mkubwa kwa somo la leo.. gonga like kama zote..

  • @mjasiriamaliwamtandao9076
    @mjasiriamaliwamtandao9076 6 ปีที่แล้ว +14

    Amazing video brother. Extra point ya kuongeza. Kama baada ya kufanya yote hayo na bado hawajakuchagua you can offer to work for free. Kama uta prove kwao kuwa you have a lot of value, watakupa ajira officially.

    • @masoudsuroor6706
      @masoudsuroor6706 6 ปีที่แล้ว +1

      Very good point

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว +3

      Sure sure thanks for this addition nitaizingatia hii next time

    • @munahhaji474
      @munahhaji474 6 ปีที่แล้ว +1

      Well done

    • @joelmasingisa2227
      @joelmasingisa2227 6 ปีที่แล้ว

      Woooooh thank you my brother

    • @hellenismail4351
      @hellenismail4351 6 ปีที่แล้ว

      very trueeeeee......ahsante kukumbushaa😘

  • @Animal_hunter_
    @Animal_hunter_ 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni dereva sina kazi na nimesumbuka sana kupata kazi brother naomba msaada wako"

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 6 ปีที่แล้ว +4

    Asantee mwalimu joel kwa funzoo nzuri,naleo nimekuwa pili
    Jumbe la leo ni kuamu na weka jicho lako kwa kazi moja(focus).

  • @ngaboraymond260
    @ngaboraymond260 6 ปีที่แล้ว +1

    Na kukubali sana Mwalimu Mungu azidi Kuwa na wew mahali popote Tena akuongeze Akili zahidi. Alakini ujuwe kama iyo Ni Talents unayo

  • @mariammasatu4785
    @mariammasatu4785 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka Joel kwa somo zuri namshukuru kwa kuniongezea uelewa, ubarikiwe sna kaka

  • @abuuharuna4278
    @abuuharuna4278 6 ปีที่แล้ว

    asante nimejifunza

  • @halawamalimi1777
    @halawamalimi1777 6 ปีที่แล้ว

    mungu akuongezee maarifa brother uzidi kutupa uelewa

  • @subiraomar4771
    @subiraomar4771 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana hapa nipo busy na kutafuta kazi tofauti na niliyonayo

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 6 ปีที่แล้ว

    Ohh woow nice

  • @pamelaminja5760
    @pamelaminja5760 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 6 ปีที่แล้ว

    Asante joel

  • @fenyotzmlekwa7590
    @fenyotzmlekwa7590 6 ปีที่แล้ว

    Asnte sana Mungu akulinde

  • @felixjoachim2655
    @felixjoachim2655 6 ปีที่แล้ว +1

    asante sana kwa kutufumbua akili na mawazo, god bless you forever

  • @nancybendera7248
    @nancybendera7248 6 ปีที่แล้ว

    Me cjui jinsi ya kuandika cv nzuri napeleka cv moja kila sehemu

  • @marangujoy9313
    @marangujoy9313 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana mwalimu Nanauka.
    Unanifumbua macho na kunipa ufahamu siku baada siku.
    Barikiwa sana.

  • @stevenmpelumbe2438
    @stevenmpelumbe2438 6 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa Mawazo Mazuri

  • @basamtz8674
    @basamtz8674 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 6 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Much brother blessed

  • @jimmyblaise1144
    @jimmyblaise1144 6 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Joel nimekuwa nikikufuatlia sana tokea nipo advanced level....kwa vile ilkuw ni vigumu kuingia TH-cam Mara kwa Mara nlikuwa natumia siku ya jumamosi asubuh sana na jumapili asubuh KBL sijaenda ibada nlikuwa naingia TH-cam kwa kujificha cz Simu zilkuw haziruhusiwi shuleni...sasa nimemaliza form6 nimekuwa muumini mkubwa Wa channel yako sasa nakarbia kwenda chuo nikiwa bado najifunza vingi kutoka kwenye channel yako kabla sijasifu kazi kubwa unayoifanya acha niseme your so SMARTBRO in all aspects

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 6 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kamanda wetu

  • @ahmediali3222
    @ahmediali3222 6 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa somo zuri

  • @mariyamdaud8662
    @mariyamdaud8662 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother but naomba nijulishe namna ya kujenga mtandao

  • @flavianfranco2627
    @flavianfranco2627 6 ปีที่แล้ว

    Asante kaka joel kwa somo zuli

  • @ummymandia2920
    @ummymandia2920 6 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel naomba unielekeze jinsi nyavyo jiajiri mwenyewe Asante Sana

  • @mosesmwaisunga1434
    @mosesmwaisunga1434 6 ปีที่แล้ว

    asante sana brother

  • @loanpautanimwashilindi2573
    @loanpautanimwashilindi2573 6 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel, asante sana nimekuelewa vizuri sana

  • @masoudsuroor6706
    @masoudsuroor6706 6 ปีที่แล้ว

    Excellent job brother

  • @emmyfurenho1663
    @emmyfurenho1663 6 ปีที่แล้ว

    Aisee kakaangu MI nachangamoto YA biashara Natak kujiajili

  • @mariammariam2475
    @mariammariam2475 6 ปีที่แล้ว

    shukran

  • @michaelmshana4562
    @michaelmshana4562 5 ปีที่แล้ว

    napenda kujiajiri mwenyewe tatzo uoga

  • @abbyhoza8217
    @abbyhoza8217 6 ปีที่แล้ว

    Be blessed.

  • @Mwamba67
    @Mwamba67 6 ปีที่แล้ว

    Thanks a lot brother...!

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 6 ปีที่แล้ว

    Thanx much my teacher joel nanauka god bless

  • @GodfreyMkodo
    @GodfreyMkodo 6 ปีที่แล้ว

    Blessed Bro

  • @jafarijafari231
    @jafarijafari231 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kk. Nimesoma laboratory technology NTA level VI. My interest was to work in high gervernment organisation like tfda, tbs, tafori, taec, tirdo, gcla etc. Na high private industry like plasco etc. Bahati mbaya nimepata local government authority (halmashauri) upande wa skuli, sehem ambayo sina furaha kabisa. My brother how can you advice me?.
    Dream zangu za kwanza kabisa was to be engineer, but i decided to lab technology due to my family capital insues. And now i have decided to study further on lab technology though my qualification allow me to study engineering couse, after the time of permission due to gerverment rules. Je unafikiri three years from now sio mingi sana kabla ya kwenda kuongeza elim. How can you advice me in summery. I am looking your advice soon.

  • @pambahamisi2450
    @pambahamisi2450 6 ปีที่แล้ว +1

    ukweli nikwamba nakaribiya kutimiza malengo kwavideo zako

  • @jovinmulyankota4934
    @jovinmulyankota4934 3 ปีที่แล้ว

    Changamoto ni nyingi baba

  • @loanpautanimwashilindi2573
    @loanpautanimwashilindi2573 6 ปีที่แล้ว

    Furasa za kazi zipo mikononi mwa watu. Note hii.

  • @mwamvuaally7850
    @mwamvuaally7850 4 ปีที่แล้ว

    Kaka naomba nielekeze jinsi ya kujiajiri kaka

  • @emanueltheophilymallya7223
    @emanueltheophilymallya7223 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nafanya kaz ktk kampuni ya muhindi ila sina hamani kabisa na hii kaz nataka ninunue Bajaji niendeshe ila sina ujuz wowote nifanyeje kaka joel nisaidie mawazo

  • @mushiomary7649
    @mushiomary7649 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni deleva wa dala dala nataka nibadili kazi niendeshe maloli au mabasi sijui nianzie wapi

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 6 ปีที่แล้ว

    Mimi nimetumia hizi point kuanza kufanya kazi yangu ninayo ipenda na kwa kujiajiri na sehemu muhimu ni hii namba 5 jenga mtandao ni muhimu sanaaa

  • @hafidhyhemedy2444
    @hafidhyhemedy2444 6 ปีที่แล้ว

    Napata ugumu wa kwamua nifanye kazi gani .......maana professional yangu siipendi tena maana inaonekana haina future......

  • @ShafiiMohamedi-y4d
    @ShafiiMohamedi-y4d 4 หลายเดือนก่อน

    Najitaid San kuapy kaz lakin naona kimy tu

  • @millicentnaliaka7609
    @millicentnaliaka7609 6 ปีที่แล้ว

    Sasa bro hope uko poa swali langu ni mimi natamani sana nipate kazi ya journalist nitafanyaje ndio niifikie

  • @ShafiiMohamedi-y4d
    @ShafiiMohamedi-y4d 4 หลายเดือนก่อน

    Najitaid San kuapy kaz lakin naona kimy tu 6:38

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 6 ปีที่แล้ว

    Kaka nahitaji vitabu vyako,ila kwa sasa niko Mbali,ntakupataje nikirudi Tz.Nahitaji vitabu vyako

  • @abdullaabubakar5528
    @abdullaabubakar5528 6 ปีที่แล้ว

    tupe ushauri wa interview labda kwenye kaz umeomba nini uzingatie

  • @realhiphopmentalityforreal
    @realhiphopmentalityforreal 6 ปีที่แล้ว +1

    Bro me nmesomea shahada ya biashara ktk uhasibu malengo yangu n kupata kaz inayohucana na project planning manangement ila ktk mashrika yacyo ya kiserekali

  • @iddyhamidu8521
    @iddyhamidu8521 6 ปีที่แล้ว

    Ningependa kujua ni njia zipi zinazo sababisha mtu kuto kujiamini ? Nakuomba unisaidie cause mm nahisi bado Sina ujasiri wa kujiamini na ilihali nasoma Chuo cha electrical eng vitu vingi vya fursa naviogopa sana

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 4 ปีที่แล้ว

      Kutojitambua, na kutokua na uhakika na unachotaka kufanya!

  • @elibarikinaftal1689
    @elibarikinaftal1689 6 ปีที่แล้ว

    Wewe najua ulishawahi kuhudhiria interview mbalimbali unaweza kutusaidia interview nyingi zinahitaji nini au unaweza vp kushinda interview ?? Tusaisie hili

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 2 ปีที่แล้ว

    %94

  • @d.mobiletech2359
    @d.mobiletech2359 6 ปีที่แล้ว +1

    kaka wewe una akili sna tunashukulu akili zko unaziamishia kwetu somo zuri sna kikubwa nilicho jifunza kuto kuchoka kutafuta

  • @loanpautanimwashilindi2573
    @loanpautanimwashilindi2573 6 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Joel, asante sana nimekuelewa vizuri sana

  • @ShafiiMohamedi-y4d
    @ShafiiMohamedi-y4d 4 หลายเดือนก่อน

    Najitaid San kuapy kaz lakin naona kimy tu

  • @ShafiiMohamedi-y4d
    @ShafiiMohamedi-y4d 4 หลายเดือนก่อน

    Najitaid San kuapy kaz lakin naona kimy tu 6:38

  • @ShafiiMohamedi-y4d
    @ShafiiMohamedi-y4d 4 หลายเดือนก่อน

    Najitaid San kuapy kaz lakin naona kimy tu