LIFE WISDOM : JINSI YA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 22

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 หลายเดือนก่อน +4

    Kiukweli umekuwa baraka kaka,hata ninao shea nao jumbe zako wamebarikiwa na wanafurahi sana,Mungu akuzidishie, akakufanye kuwa daraja lakila mtu @Joel Nanauka 🎉🎉

  • @upendokiza6061
    @upendokiza6061 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu aendelee kukutia nguvu Mentor wangu, video zako uwa nanapata kabisa kitu cha kujifunza maishani mwangu . Nimepiga atua kubwa kwa kufuata Elimu yako chanya Mentor wangu. Sitochoka kukufuatilia maana nikiacha nitakuwa nimepoteza Elimu chanya maisha ni mwangu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน +1

      Nashukuru kwa kuendelea kufuatilia na kujifunza. Ahsante sana kwa kunipa mrejesho

  • @DanielaSanka
    @DanielaSanka หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Joel siku hizi umepunguza kutuwekea video za life wisdom kila siku nateseka sana nimeshazoea naamka na video zako

  • @rashidkombo5847
    @rashidkombo5847 หลายเดือนก่อน +3

    Nafaidika sana na Kanuni ya Single Undertaking nguvu ya muelendelezo ya kuendelea kusikiliza kila somo jipya na hata yale ya miaka 2,3 nyuma inanifanya kumuelewa mwalimu vzr zaidi na kunipa urahisi katika masomo ya mbele/ mapya kila leo

  • @Paschalmachang
    @Paschalmachang หลายเดือนก่อน +1

    Nashkulusan kak nimepatakitu hapa leo

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee kwa ujumbe na corse zako 🙏

  • @johnluoga6963
    @johnluoga6963 หลายเดือนก่อน +1

    One love

  • @JasmineMilima
    @JasmineMilima หลายเดือนก่อน

    Niliiutana na nukuu yako kupata kitu kilicho bora nilazima vingine vife, hakika na ahid nikikamilisha hil nitakuja kulielezea na kutafuta namna ya kuku shukuru ingawa kwa sasa nipo kwenye huo, mchakato ambao ngumuvu kubwa imetoka kwako, Mungu akuinue zaid😢😢

  • @WilliamIkayo
    @WilliamIkayo หลายเดือนก่อน +1

    Umenifundisha sanà brother ww ni kaka yangu mungu akubariki

  • @ANNAKAPUNGU-c3l
    @ANNAKAPUNGU-c3l หลายเดือนก่อน +3

    My everyday pills 😊be blessed Joel nanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน

      Ameen Ahsante sanaa

  • @eliviraedward9466
    @eliviraedward9466 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Joel umenifanya niwe positive thinker Mungu aendelee kukuweka

  • @twahahija6647
    @twahahija6647 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kukutia nguvu katika Kila hatua ya maisha Yako bro

  • @veronicamwautenga7394
    @veronicamwautenga7394 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks u for lesson

  • @anastasiamainaministries2700
    @anastasiamainaministries2700 หลายเดือนก่อน +1

    Baikiwa zaidi

  • @RAHIMULEMU
    @RAHIMULEMU หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe ndugu Joel nanauka 🎉

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  หลายเดือนก่อน +1

      Ameen🙏

  • @GraceSteven-qq5hn
    @GraceSteven-qq5hn หลายเดือนก่อน

    Asant Kwa somo hili umenisadia sana

  • @HalimaAmadi
    @HalimaAmadi หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana brother

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant4902 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeishi kwenye kanuni ya kujilipa kwanza mwaka huu naona matokeo chaja