WAPINZANI KUMGEUKIA RAIS MWINYI?/ NAIBU KATIBU MKUU WA ACT ZANZIBAR AWEKA WAZI / MWINYI MIAKA SABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    #mwinyi #raissamia #zanzibar

ความคิดเห็น • 22

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 28 วันที่ผ่านมา +3

    Baraka Shamte aliukosoa uongozi wa Rais Hussein....kilichomtokezea unakikumbuka?
    Critics zilizotolewa na Balozi A Karume unazikumbuka. Sasa Demokrasia gani hiyo Sheikh unatwambia Raisi Hussein anayo? Iko wapi press conference ya kila Mwezi? Uko wapi uwajibikaji kwa wale Mafisadi? Uko wapi uzalendo wake kwa Wazanzibari? Nk nk nk

  • @AP-uk3mq
    @AP-uk3mq 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mazrui msaliti. Watu wote waliopigwa tuliwaona. Yeye alitoka Hana hata mjearuzo. Alisaliti zamani ila tu ACT ni vipofu macho waz.

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 28 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe mchambuzi njaa ...Kwanza huyo unayemtaja sio Naibu Katibu Mkuu wa ACT...
    Alikuwa naibu katibu mkuu.
    Kwa sasa hana nafasi yoyote ndani ya chama amebakia kuwa ni muwakilishi wakuteuliwa na waziri wa afya na mwanachama wa ACT.

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 27 วันที่ผ่านมา

    Nn nynyi CCM hakun 7 hapa

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 27 วันที่ผ่านมา

    Dr Mwinyi miaka mitano mengine aongeze ni Rais muadilifu na mcha Mungu.

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 13 วันที่ผ่านมา

    Kma muna jiamin rkebishen Sheria ya uchaguz

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 27 วันที่ผ่านมา

    Sisi tunajuw kama mazurui ni CCM

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 27 วันที่ผ่านมา

    Huyu haja nena shida hii ni siasa na kwa kazi yake ni sawa tu anajua nini ananena yupo vyema

  • @HemedHemed-qp2wt
    @HemedHemed-qp2wt 27 วันที่ผ่านมา

    Hizi ndio propaganda saf sana

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 28 วันที่ผ่านมา +1

    Miaka mitano mengine Mungu mmoja bila ya kuiba KURA kuuwa Wananchi wanaopiga kura ya kumchaguwa RAISI wanaye mtaka. Ikiwa itapita Dhulma kama tunayo iyona kwenye TV za Dunia basi bora usameheni huo Uchafuzi.

  • @AP-uk3mq
    @AP-uk3mq 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mchambuzi anawashwa huyo

  • @salyali7807
    @salyali7807 28 วันที่ผ่านมา

    Anazungumza kashfa kwa raisi hasemi kuhusu kuuliwa watu na kunajisiwa dada zetu kwasababu tu Mwinyi awe raisi ... nahisi kutapika kila nikimsikiliza Huyu jamaa mwenye akili chege

  • @salyali7807
    @salyali7807 28 วันที่ผ่านมา

    Kipigo alichopigwa na CCM kimemuathiri Akilini Nassor Mazrui

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 24 วันที่ผ่านมา

    Unasemamaishamazuri haliyakua tunanukanjaa pitamtani uwone siunaropokwa weumeshiba

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 13 วันที่ผ่านมา

    Tume iwe huru mahakama iwe huru
    Halafu tupigen kura kma unajiona mefanya mauri kweli

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 28 วันที่ผ่านมา

    MaRais walopita woooteee wangekuwa kama Dr. Hussein basi Zanzibar ingebadilika sana na Wananchi maisha yao yangebadilika pia. Dr. Hussein inakutosha miaka mitano hapo Zanzibar ulofanya mazuri yanatosha. Umezeeka kwa hiyo mitano siyo mchezo. Wape nafasi wengine.

    • @salyali7807
      @salyali7807 28 วันที่ผ่านมา

      Kama waliopita walikua kama Mwinyi zanzibar ingelikua ishafutwa kwenye Map

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 27 วันที่ผ่านมา

      @@salyali7807 Kwani ipo kwenye Map sasa hivi 😂😂😂😂

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 28 วันที่ผ่านมา +1

    WANAOGOPA CCM NA JESHI LAKE WASIJE WAKAMTEKA NA KUIADHIBU FAMILY YAKE KTK UCHAGUZI UKAO🤣🤣

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 28 วันที่ผ่านมา +1

    LENGO MAMLAKA KAMILI
    AU
    UKOLONI WA KAMILI?
    Wazanzibara na Mawakala wanataka Ukoloni Kamili wa Tanganyika.✝️
    Wazalendo wa Kizanzibari wanataka Mamlaka Kamili ya Zanzibar kuliko Ukoloni kwa Kisingizia Majengo.🏡