WORLD NEWS MEDIA
WORLD NEWS MEDIA
  • 79
  • 178 914

วีดีโอ

KAZI IMEANZA, TUME YA RAIS, KUBAINI WALIPOKOSEA TRA? / WAFANYABIASHARA KUONGEA YAO / WAPEWA MBINU
มุมมอง 14214 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #tra #raissamia #wafanyabiashara
STEVEN NYERERE KWENYE MSIBA WA DIDA, ASEMA LAKE / ALIYOYAFANYA KUBAKI ALAMA
มุมมอง 21014 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #r.i.pdida #wasafimedia #didawasafi
WEMA SEPETU ASIMULIA KILICHOMKUTA BAADA YA KUSIKIA TAARIFA MSIBA WA DIDA / ILIBIDI AACHE
มุมมอง 51614 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #wasafimedia #r.i.pdida #didawawasafi
MPINZANI WA SIASA AWAKATAA WENZAKE? / YANAYOENDELEA NDANI CHAMA AWEKA WAZI / AMEITAJA CCM INAHUSIKA
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #mauwajiyaalbino #raissamia #chalamila
MZEE YUSUF ASHINDWA KUJIZUI AFUNGUKA KUHUSU DIDA / UTANI WAO NA NAMNA WALIVYOKUA WANAISHI
มุมมอง 36014 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #didawasafi #wasafimedia #tutaonanatenabadae
KWA UCHUNGU KHADIJA KOPA ASHINDWA KUVUMILIA , AMWAGA MACHOZI MSIBANI
มุมมอง 26714 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #r.i.pdida #didawasafi #tutaonanabadae
NI HUZUNI KUMBUKA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU DIDA / ALIYOWAHI KUFANYIWA NI BALAA
มุมมอง 44914 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #didawasafi #wasafimedia #ripdida
KUTOKA MSIBANI KWA DIDA, TAZAMA HALI ILIVYO / WATU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA
มุมมอง 5014 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #didashahibu #wasafimedia #didawasafi #tutaonanabadae
BALAA JIPYA, UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA / VYAMA VYA KISIASA WALIPASWA KUKAMILISHA / CCM YATAJWA
มุมมอง 1.6K14 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #uchaguziserikalizamitaa #raissamia #tamisemi
HATARI , TAZAMA HALI ILIVYO ISRAEL, WATALIPIZA KISASI? / WATU KUTAFUTA MAKAZI WENGINE KUCHEZA MZIKI
มุมมอง 2.4K14 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #vitavyaisrael #iran #israel
CHADEMA WANYOOSHEWA KIDOLE / HAWAJULI WALILOLIFANYA? / MAANDAMANO YATAJWA NDIO SABABU
มุมมอง 87521 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #chadema #raissamia #maandamano
HAPA NDO WALIPOKOSEA CHADEMA? / WALIPASWA KUZINGATIA HILI / IPO KWENYE KATIBA
มุมมอง 1.5K28 วันที่ผ่านมา
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. #chadema #raissamia #maandamanochadema
NI WAPI ALIPO MTOTO WA MBOWE? / JESHI LA POLISI WATOLEA UFAFANUZI KUKAMATWA KWAKE
มุมมอง 65228 วันที่ผ่านมา
NI WAPI ALIPO MTOTO WA MBOWE? / JESHI LA POLISI WATOLEA UFAFANUZI KUKAMATWA KWAKE
MAZITO ALIYOONGEA MBOWE KABLA YA KUKAMATWA / ALIKUA ENEO LA MAANDAMANO / ATAJA MAUAJU
มุมมอง 46928 วันที่ผ่านมา
MAZITO ALIYOONGEA MBOWE KABLA YA KUKAMATWA / ALIKUA ENEO LA MAANDAMANO / ATAJA MAUAJU
MWANACHADEMA ADAI KUTUMIWA BARUA NA RAIS / KILICHOANDIKWA NI BALAA TUPU / “AIWEZEKANI”
มุมมอง 6K28 วันที่ผ่านมา
MWANACHADEMA ADAI KUTUMIWA BARUA NA RAIS / KILICHOANDIKWA NI BALAA TUPU / “AIWEZEKANI”
HALI ILIVYO YA MAANDAMANO YA CHADEMA / WATU KUJITOKEZA, SERIKALI KUPATA MAJIBU / KUNA NAMNA
มุมมอง 29K28 วันที่ผ่านมา
HALI ILIVYO YA MAANDAMANO YA CHADEMA / WATU KUJITOKEZA, SERIKALI KUPATA MAJIBU / KUNA NAMNA
KAULI YA CHADEMA MATATANI? / MAANDAMANO NDO BALAA/ VIGOGO WA UPINZANI NA CCM WATAJWA /NI BALAA TUPU
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
KAULI YA CHADEMA MATATANI? / MAANDAMANO NDO BALAA/ VIGOGO WA UPINZANI NA CCM WATAJWA /NI BALAA TUPU
KIFO CHA MZEE ALI KIBAO, RAIS SAMIA ATOA TAMKO / VIONGOZI WA UPINZANI AWATAJA / AMANI NI MUHIMU
มุมมอง 290หลายเดือนก่อน
KIFO CHA MZEE ALI KIBAO, RAIS SAMIA ATOA TAMKO / VIONGOZI WA UPINZANI AWATAJA / AMANI NI MUHIMU
TAZAMA WANACHOKIFANYA POLISI NI BALAA TUPU / WATUMA UJUMBE MZITO CHADEMA? / LENGO NI AMANI
มุมมอง 239หลายเดือนก่อน
TAZAMA WANACHOKIFANYA POLISI NI BALAA TUPU / WATUMA UJUMBE MZITO CHADEMA? / LENGO NI AMANI
WAFANYA UCHUNGUZI WA CHADEMA WA MAUAJI , MMOJA ANUSULIKA KIFO KENYA / RAIS KUUNDA TUME
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
WAFANYA UCHUNGUZI WA CHADEMA WA MAUAJI , MMOJA ANUSULIKA KIFO KENYA / RAIS KUUNDA TUME
CHADEMA KUANDAMANA BILA UOGA / KATAZO LA POLISI KUPINGWA? / WAONYESHA RAMANI
มุมมอง 3.3Kหลายเดือนก่อน
CHADEMA KUANDAMANA BILA UOGA / KATAZO LA POLISI KUPINGWA? / WAONYESHA RAMANI
RAIS MWINYI AJITOKEZA / YALIYOFANYWA AYAWEKA HADHARANI / UCHUMI AUTAJA
มุมมอง 301หลายเดือนก่อน
RAIS MWINYI AJITOKEZA / YALIYOFANYWA AYAWEKA HADHARANI / UCHUMI AUTAJA
NI ZANZIBAR TENA, WAPINZANI WAAMKA / BALAA TUPU WATAKA MAKUBALIANO / WANYOOSHEA KIDOLE SERIKALI
มุมมอง 1.5Kหลายเดือนก่อน
NI ZANZIBAR TENA, WAPINZANI WAAMKA / BALAA TUPU WATAKA MAKUBALIANO / WANYOOSHEA KIDOLE SERIKALI
NI BALAA TUPU CHADEMA, WANAOTEKA SASA KUJULIKANA? / CHADEMA WAIKATAA POLISI?
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
NI BALAA TUPU CHADEMA, WANAOTEKA SASA KUJULIKANA? / CHADEMA WAIKATAA POLISI?
NI CHADEMA NA JESHI LA POLISI / TATIZO LIPO HAPA? / KUNA NAMNA
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
NI CHADEMA NA JESHI LA POLISI / TATIZO LIPO HAPA? / KUNA NAMNA
MBOWE ANYOOSHEWA KIDOLE / KAULI YAKE NDO BALAA / “HAKUPASWA KUSEMA”
มุมมอง 493หลายเดือนก่อน
MBOWE ANYOOSHEWA KIDOLE / KAULI YAKE NDO BALAA / “HAKUPASWA KUSEMA”
UTATA KIFO CHA ALI KIBAO, ALITEKWA MARA MBILI / WALIOMUUA KUJULIKANA? / SERIKALI YAWEPEWA RUNGU
มุมมอง 41Kหลายเดือนก่อน
UTATA KIFO CHA ALI KIBAO, ALITEKWA MARA MBILI / WALIOMUUA KUJULIKANA? / SERIKALI YAWEPEWA RUNGU
NAPE NA DC WA LONGIDO WASEMA LAO / NI BALAA TUPU, WANAPISHA UCHAGUZI / KUNA NAMNA
มุมมอง 602หลายเดือนก่อน
NAPE NA DC WA LONGIDO WASEMA LAO / NI BALAA TUPU, WANAPISHA UCHAGUZI / KUNA NAMNA
NI BALAA TUPU CCM /KUNA MPASUKO?, YANAYOSEMWA KUBAKI NJIA PANDA / NAPE, DC WANALIJUA HILO?
มุมมอง 202หลายเดือนก่อน
NI BALAA TUPU CCM /KUNA MPASUKO?, YANAYOSEMWA KUBAKI NJIA PANDA / NAPE, DC WANALIJUA HILO?

ความคิดเห็น

  • @NaglaSaid-jn1xo
    @NaglaSaid-jn1xo 12 วันที่ผ่านมา

    Yaani wewe ni katika hao wapumbavu wewe ndo mfalme wao, hakika hawawi sawa wenye kujua na wasiojua , yaani gari la 1977 linaweza kuwa sawa na lile la 1992 ? Hakika hayalingani na kwa namna yoyote basi lako hilo la 1977 haliwezi kutufikisha morogoro kwa wakati na kwa usalama , sisi hatuwezi kupanda hilo gari old model limechoka limechakaa, Ukweli husemi kwamba upinzani Tanzania hauwezi kuchukua serikali kwasababu Tanzania ni nchi ya kidikteta hivo vyama vingi ni danganya toto tu, ni afafhali ule utawala wa kifalme ulifanya ya maana mengi ambayo mpaka leo mnajivunia, Nyie kila siku hashuo tu mapinduzi daima , mlimpindua nani nyie hamna uwezo wa kumpindua mtu sema sultani alipokupneni waswahili hamna fadhila akaamua kuondoka mkabaki kuwaonea hao wanyonge wa mungu kwa kuwachinja na kuwachoma kwenye matanuri kama mbata, Wewe unadhani mwarabu angekuaudia khasa mngeweza kumuondoa ? Mashudu kiama kingesimama muarabu asingeondoka lakini mwenyewe akakuonyesheni uungwana alipoona hamfadhiliki akakuacheni ndo mpaka leo kila uchao nchi inazidi kunuka njaa, Halafu wewe sijui babu la wapi babu pumbavu.

  • @NaglaSaid-jn1xo
    @NaglaSaid-jn1xo 12 วันที่ผ่านมา

    Hebu zungumza point tukuelewe ili tukujibu, Kwa hio hilo basi ambalo lipo njiani limeshakua bovu tulinganganie tu, Kwani hao CCM ni mara ngapi wanatoka na mgombea wao Zanzibar wakifika dodomo wanarudi naa mgombea mwengine? Wewe hujui kwamba CCM zanzibar hawawezi kuwa na mgombea wao? Hujui kwamba mgombea wa urais wa Zanzibar lazima atoke dodoma, Kumbe wewe mjinga hao CCM wanayoyafanya wanatoa mifukoni mwao si wanatumia mali za umma? Kwa hio bwege wewe unachotakiwa kufahamu ni kwamba hayo yote unayosemwa yamefanywa na CCM sio hisani huo ni wajibu kwani si wamejipa mamlaka wenyewe, Halafu unaposema muungwana akiahidi anatekeleza unaanisha nini? Muungwana anaingia madarakani kwa kumwaga damu. Kiufupi huna cha maana ulichoongea kama kweli una weza jibu haya maswali. Rais wa Zanzubar aliepo madarajani alipata uraisi kwa kura ngapi? Je katika uchaguzi huo uliomuweka madarakani haukutokea umwagaji damu,? Je wale raia waliodhulumiwa kwa kuuliwa kwa bunduki ili yeye aingie madarakani hawakua na haki ya kuishi? Muungwana akusema anatekeleza rais wako aliahudi ajira 300,000 katika kipindi cha muaka mitano twambie mpaka sasa ameajiri wanfapi? Mwisho kuleta meli ya kontena ndo unataka kutufanya sote watoto wadogo meli bila ya bandari wewe umeona wapi? Haya sasa tunasubiri bei za bidhaa unguja napemba ziwe sawa ,

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 15 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa walitakiwa wajiongeze hapo wamefel.kabisa hapo

  • @salimmohd2987
    @salimmohd2987 15 วันที่ผ่านมา

    WEWE WATAKA UWONEWE HURUMA WAKATI WA SHENI UMEPITWA NA WAKATI KAA UKALIME MIHOGO

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 16 วันที่ผ่านมา

    Umeongea points sana.

  • @DanieliDgani
    @DanieliDgani 17 วันที่ผ่านมา

    Irani ataturizwa tu mto amini

  • @AsiaMsenga
    @AsiaMsenga 17 วันที่ผ่านมา

    Haswaa ijumaa ya leo tuzidisha duaa Allaa atatujibu

  • @OnesmoNnko-v7k
    @OnesmoNnko-v7k 18 วันที่ผ่านมา

    Mtoto Kalilia wembee

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 20 วันที่ผ่านมา

    kaka saidi miraji Samia ndio ameahalalisha mazingira haya ya kutekwa na kuuwawa watu nini dhumuni la kutengeneza sheria ya watu wa usalama wa Taifa kuwawekea kinga ya kutoshtakiwa mara wanapoua ?? kahamisha idara nzima ya usalama wa Taifa kaiweka chini yake ili isiojiwe na mtu yeyote kwahiyo Samia anausika kwa asilimia 200% na matukio haya

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu 21 วันที่ผ่านมา

    Pekuweni mambo yaliofichikana na semeni kweli kuweni wazi kwa Maneno yenu mpaka Nchi iwe Swali na iwe Swali ya kweli

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 21 วันที่ผ่านมา

    Mzee nimependa unazungumza kiswahili safi kabisa

  • @w4058
    @w4058 22 วันที่ผ่านมา

    Jamani jamani eeeeeeeee tujitahadhar na chuki kwa Chadema hata kama hamuingi mkono mnabeba dhima siku ya hesabu mbele ya Allah tuiogope

  • @w4058
    @w4058 22 วันที่ผ่านมา

    Tatizo watu wote wanazungumzia amani amani hakuna anaeeleza haki madhali haki haipo amani haita kuwepo ila woga ndio unao tusumbuwa Watanzania kwa serikali kuwatumia polisi wajinga hawana elimu washajazwa chuki nao kukubali kuitumikia CCM ila wajuwe kama ni dhulma na wao wanaifanya kukubali kutumiwa

  • @FelisterBazil
    @FelisterBazil 22 วันที่ผ่านมา

    Nakupa maua yako baba

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 23 วันที่ผ่านมา

    Nampongeza sana tena sana kwa uchambuzi, taarifa Bw Said Miraji kwa sababu ametoa ufafanuzi wa kina juu ya usalama wa Taifa letu. Nawaomba viongozi wa nyanja zote kujituma kwa kila mmoja katika nafasi yake kulinda,kuombea, kushauri, kusimamia usalama wa Nchi yetu bila kujali utikadi, Chama, rangi. Sote tuwe wamoja.

  • @blandinamfugale8540
    @blandinamfugale8540 23 วันที่ผ่านมา

    Asa nte kwa mashauri yenye hekima kuhusu Tanzania na Raia wake Nchi yetu imekuwa mama kwa wakimbizi wa Nchi zingine tusiipoteze amani iliyojengwa kwa muda mrefu na waasisi waliotangulia Amani ini tunu kwa Taifa❤❤

  • @AliOwjsy
    @AliOwjsy 25 วันที่ผ่านมา

    Waafrika tutabak na umasikini mpaka kiama hatujielewi

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 26 วันที่ผ่านมา

    Ushaur mzuri ndugu ufanyiwe kaz,

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 26 วันที่ผ่านมา

    Chadema walitaka kuandamana kwa mujibu wa sheria na katiba inawaruhusu kufanya maandamano je jeshi la polisi linalozuia maandamano kati yao na chadema ni nani anayevunja sheria za nchi

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 26 วันที่ผ่านมา

    WATU WAMEMJUA MBOE MBINU ZAKE ZIMEFIKA MWISHO

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 26 วันที่ผ่านมา

    WAMEKOSA SERA MIKOANI KUNA MAENDELEO MAKUBWA WAMEKOSA HOJA ZA KUISEMA CCM CHUKI YAO NI MAMA SAMIA KWAKUA NI MZANZIBAR SIO CCM

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 26 วันที่ผ่านมา

    Busara zako ni fundisho. Waeleze mpaka waelewe. Ubarikiwe sana

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 26 วันที่ผ่านมา

    Dr Wilbrod Peter Slaa amechanganyikiwa,labda pia uzee na tamaa za madaraka zamchanya.

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 26 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ni laana,inaitafuna Serikali na Chama tawala 😢😢😢😢

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 27 วันที่ผ่านมา

    This is not a politician! He is just a stup one!

  • @AbutwalibuMohamedy
    @AbutwalibuMohamedy 27 วันที่ผ่านมา

    Yakiwazidi wanakimbia

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 27 วันที่ผ่านมา

    KAZI KUPIGA MAKOFI ALA VITUKO TENA WASOMI TUNAELEKEA WAPI

  • @NelyyThomas-c8m
    @NelyyThomas-c8m 27 วันที่ผ่านมา

    Hongela sana mzee wangu unauwezo mkubwa wakufilia mungu akulinde

  • @frankkiwelu3393
    @frankkiwelu3393 27 วันที่ผ่านมา

    Umeogea point sana mzee wangu big up sana mimi sina chama lakini kwa yanayo tokea Tanzania sio yakufubia macho chadema wako sawa maana tunaitaji serikali kutoa tamko ya ni akinanani wanafanya haya mambo ya utekiji maana ndio walioko madarakani na ndio tegemeo let sisi wanaichi

  • @JosphatMwandele
    @JosphatMwandele 27 วันที่ผ่านมา

    Kwali baba hata laisi mwenyewe ndipo atakapo ona watu wamekelwa kiasi gan nautekaji

  • @RupiaMwigulila
    @RupiaMwigulila 27 วันที่ผ่านมา

    Ni watu wa aina yako wanaoweza kuitwa/kujiita watumishi wa Mungu siyo wa aina ya Anthony Lusekelo. Ubarikiwe Mtumishi.

  • @MakameCarhire
    @MakameCarhire 27 วันที่ผ่านมา

    Msimsengenye rais wetu hana ubaya na watu anawapenda wananchi wake hata tundulisu amerudi kwao anatembea kwa madaha anatukana viongozi anaangaliwa tu lakini la kuvunja amani hata sisi wananchi hatuko pamoja naye

  • @MakameCarhire
    @MakameCarhire 27 วันที่ผ่านมา

    Chadema ni kama samaki wanakulana wao kwa wao

  • @MakameCarhire
    @MakameCarhire 27 วันที่ผ่านมา

    Akamatwe mnyika awe shahidi namba moja ni wa mwanzo kutowa taarifa ya kutekwa kibao mnyika akamatwe mara moja

  • @MakameCarhire
    @MakameCarhire 27 วันที่ผ่านมา

    We said amani ipo tanzania hapana vita hapa tatizo ni ndani ya chama cha chadema

    • @w4058
      @w4058 22 วันที่ผ่านมา

      Hakuna amani kuna uoga na waoga Tanzania mshazowea kudanganywa kwa visingizio vya amani kumbe mnazidishwa uoga

    • @w4058
      @w4058 22 วันที่ผ่านมา

      Makame Cahire Hasbunallah Waniimal Wakiil kwa uzushi wako

  • @MakameCarhire
    @MakameCarhire 27 วันที่ผ่านมา

    Kwa msemo huwo kwamba visima zanzibar vilitiwa kinyesi na makada na kibao Kwa msemo huwo wamemuuwa chadema wenyewe na chadema ni WA mwanzo kutowa taarifa taarifa hiyo waliipata wapi chadema inahusika na mauwaji

  • @DominicaDamianTuseko
    @DominicaDamianTuseko 27 วันที่ผ่านมา

    Watu wanaogopa kupigwa napolisi na kuwekwa ndani.vitisho..wangeruhu bila.mikwala.watu.wenngi tungeandamana

  • @BrotherKaka-j4z
    @BrotherKaka-j4z 27 วันที่ผ่านมา

    Kaka umesahau Kuna Allah

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 27 วันที่ผ่านมา

    Big up big hakiiiii

  • @Izaangonyan
    @Izaangonyan 27 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa san mzee wang

  • @aishamkinini
    @aishamkinini 27 วันที่ผ่านมา

    Umeongea point baba ❤❤❤❤

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 27 วันที่ผ่านมา

    Hakuna nafasi ya kuridhika Duniani. Chadema wanajisumbua bure kwani Hata huko Chadema au CCM hakuna watu wote KURIDHIKA. Watanzania kwa wakati huu wanao ufahamu juu ya ysnayoendekea katika Tanzania yao. Nato na Marekani hawana nafasi kueleza nini cha kufanya Tsnzania. Vipi huko GAZA? Hakuna binadamu. Undumila kuwili ni tatizo la Marekani.

  • @zamzanimakundi2546
    @zamzanimakundi2546 27 วันที่ผ่านมา

    Ongea na rais basi atoe amri kina soka waachiwe

  • @salimamugeni3568
    @salimamugeni3568 28 วันที่ผ่านมา

    Mjichuge msiwe kama Libya na Sudan walio takahaki leo wako wapi ?

  • @alimomade2712
    @alimomade2712 28 วันที่ผ่านมา

    Babu kumbuka ata sativa ilikuwa anapotezwa ki Siri,lakini mungu kawaumbuwa,ata izrail na makafiri white duniani wanapigana na uis

  • @VuaiBabaSafi
    @VuaiBabaSafi 28 วันที่ผ่านมา

    Da ukweli mtupu

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 28 วันที่ผ่านมา

    Ujinga mwingi

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 28 วันที่ผ่านมา

    Asante San kaka yangu iyo ndiy Tanzania mungu akubali

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k 28 วันที่ผ่านมา

    Ww mzee huyo unaemtetea kwn kauli zake juz ulizifahamu vp mbn nyny wazee wetu mkoje miaka mlonayo bada mntk umaarufu

    • @VisentJohn-r3r
      @VisentJohn-r3r 28 วันที่ผ่านมา

      Punguzeni upumbavu

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 28 วันที่ผ่านมา

    Siyasa ni siyasa tu kak kam mulijua Hilo kwann amukuwacha wandamane