HISTORIA YA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DKT.HUSSEIN MWINYI|KUZALIWA,ELIMU,UONGOZI Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
    Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
    App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
    Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
    Twitter: / tbconlinetz
    Instagram: / tbconlinetz
    Facebook: / tbconlinetz

ความคิดเห็น • 11

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 2 หลายเดือนก่อน

    Dr Hussein Mwinyi Rais ni mwadilifu mwenye huruma na ni mchapa kazi. na ni Rais wa kwanza mtanashati.pongezi kwako baba ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️

  • @bakarbaabuubestforyou1165
    @bakarbaabuubestforyou1165 3 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallah. Mungu amzidishie elimu itakayomletea manufaa hapa duniani na pia kesho akhira inshaa Allah.

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr by Professional

  • @abdullahihussein6836
    @abdullahihussein6836 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamjasema kazaliwa wapi ??

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc ปีที่แล้ว +1

    Sasa uyo mzee vipi😂

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 2 ปีที่แล้ว +4

    Udactari.. kuongoza 🤔 what's purpose

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 4 ปีที่แล้ว +3

    ndio maana wakatuletea mtu kutoka Mkuranga ili aje kututawala kwa mkono wa chuma, halafu aikabidhishe rasmi Zanzibar iwe chini ya Mtawala Tanganyika kwa makubaliano ya kutiliana saini, hapo iwe ndio mwisho wa SMZ, mwisho wa Zanzibar.

    • @millowamilonga
      @millowamilonga ปีที่แล้ว

      Kwani wazenji ni nani?
      Ndiyo hao hao kimahesabu wametokea bara tu hata mnyanye nini, Karume mwenyewe mmalawi, Nasoro Moyo mngoni, Hamadi Masauni kutoka Kilwa, Natepe mmatumbi akina Hamdan Muhidin ni Kilwa, Isack Sepetu mnyaturu na wengine wengi tu.
      Mix ya muomani na wahindi waliokuja kujenga reli enzi za itawala wa British, ndio maana Zanzibar haina makabila rasmi.
      Utasikia mdonge, mtumbatu, mmakunduchi n.k.

    • @khamisjuma2947
      @khamisjuma2947 7 หลายเดือนก่อน

      Huyu mtu safi sana kuliko nyie watu wa unguja hamna ila ujinga na choyo akitoka huyu tunaleta john kutoka bara kabisa

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 7 หลายเดือนก่อน

      @@khamisjuma2947
      Zanzibar ni ya Wazanzibari

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 3 ปีที่แล้ว

    MuHiMu ni UonGoZi wA BuSaLA .
    UonGoZi wA kusimAmiA haKi Na usAwA biLa yA chuKi Na uoNeVu.
    NA KuteKeLeZa MaJukuMu NA AHaDi .