Me sisemi kitu apa mwaka huu baada ya kuongeza maombi guy vifo vita kunusurika moto ndani ya nyumba watu kufungwa gerezani magonjwa kazini nyumban auna mahali pa kupumua ila naamin me ni dhahabu maan kweny nmefika ki imani nkiona mtu yualia kwa sabab ya changamoto nacheka kwanza alafu tuombe pamoja ndio nmwambie ya kwangu
Asante kwa maombi haya ya kunifungua macho mtumishi barikiwa sawa. Nimekua na nasumbuliwa madeni huu mwaka biashara ni mbaya nauza kiwanja wateja wanaahidi mwisho wa mwezi halafu unapofika hawapokei simu nimejua ushindi wangu unakaribia amen
Nikweli mtumishi wa Mungu yani mimi siku nikiomba sana kwa machozi na kutubia dhambi zangu yaani huousku silali nitafanyishwa uzinzi kuliko siku ambayo siombi ila nikomba kawaida ninalala vizuri tu
Umeongea ukweli kabisa sauti inasikika yupo wapi huyo Mungu wako unayemtegemea oooh Yesu sitaki kuharibu mahusiano yangu na yako..nisaidie Yesu wangu...❤
🎉 it's true when you don't pray things seem to be working smooth but the moment you start praying you see the opposite you fail to understand have gotten the answer thanks man of God blessed
Mtumishi wa Mungu asante kwa kunitia moyo mm niko kazini ninao fanyia kazi wanamuabudu shetani ninapo sindi kuomba divyo wanaendelea kunitesa sana kwa sababu wameona huo ushindi Mungu ameweka juu yangu Yesu anisandie nisichoke
Umeongea sahihi kabisa hata mimi huwa ninashaghaa sana lazima ukitaka kusonga hatua lazima vita itokea kwa wakati huu nimekuelewa sana asante kwa neno la kujenga mioyo zetu
Ee Mungu wangu naomba unitie nguvu nisikate tamaa,okoa uzao wangu baba na unijaze nguvu ya kuomba kwa ajili ya familia yangu uliyonijalia baba usiniche
Asante Baba wa mbinguni kwakumpa mtumishi wako neema yakufunza haya,,,mm nimetukanwa matukano Kali kazi lkn Mungu ni mwema nimeelewa shida inatoka wapi
Sina la kumpa huyu mungu hila namshukuru kwa kunionekania sababu mtumishi kuna ile mahuburi ulixema kuhusu ezekiel alimlilia mungu na mungu akasikia maombi yake.nami nilikua naugua lakini niliomba enda mbele za mungu na kumbukusha sadaka mahali nilikua naumwa nimepoa ooh nitakutumikia eeh yesu uliye hai na njia ya ukweli Amen
Jina la MUNGU ni kubwa sana @CarolineOgero. Najua huwezi anza kuandika jina lako kwa herufi ndogo kwa hivyo la Mungu linatakiwa uandike kwa herufi kubwa kwa heshima yake MUNGU.Unapoanza kwa herufi ndogo sio jina la huyu Mungu aliekuumba na akakujaza pumzi uliyonayo.
Asante Kwa ujumbe huu,nilikuwa ninasafiri gafra ndege ikaniacha😢sasa nimerudi kwa utumwa tena ,ninaomba Mungu afungue mlango wa kutokea nimekaa miaka mbili,niwakati wa kutoka ila dah !sikati tamaa Mungu nisichoke
LORD ur so good for us, mimi nikiomba sana,Hua kwenye ulimwengu wa ROHO wananiuliza,hivi sasahivi unasali kanisa gani,mana unaharibu sana vitu vyetu, asubui ukimsalimia mtu haitiki, ana hasira vibaya
Amina mtumish wa Mungu,imekuwa kwangu safar hii Kila nkiomba mateso yanarud mara mbili kwangu, Yaan Hali ikawa mby kbs, Mungu unipe nguvu yakushinda Tena
Namshukuru Mungu sana nasiachi kuomba na sikati tamaa ng'o Mungu anajibu na ataendelea kunijibu mi namshukuru tu Mungu Tegemeo tumaini ni Mungu tu hata vita ipambe moto sitakengeuka Kwa jina la Yesu Kristo AMINA
nashukuru Mungu nimelion hili somo mana n kam mtumishi ananiambia mimi mana naomb lakn n kam siombi mambo yanazidi kuwa magumu kila eneo...kweli Mungu hulituma neno lake kuniponya na kunitoa katika maangamizo yote
Asante sana kwa mafunzo mazuri...nmekua najiuliza maswali sana hadi nkafika mahali nkagive up bt nashukuru mungu hajawai nliacha ..bt cwezi kata Tama na ntamtegea cku zote..
Yaani swali hili limenisumbua muda mrefu sana, namshukuru Mungu kwa kumpa mtumishi huyu hilo somo, God bless you ❤
Me sisemi kitu apa mwaka huu baada ya kuongeza maombi guy vifo vita kunusurika moto ndani ya nyumba watu kufungwa gerezani magonjwa kazini nyumban auna mahali pa kupumua ila naamin me ni dhahabu maan kweny nmefika ki imani nkiona mtu yualia kwa sabab ya changamoto nacheka kwanza alafu tuombe pamoja ndio nmwambie ya kwangu
Amen
@carolinederi5690 katika yote Mungu ni mzuri sana sana
Asante kwa maombi haya ya kunifungua macho mtumishi barikiwa sawa. Nimekua na nasumbuliwa madeni huu mwaka biashara ni mbaya nauza kiwanja wateja wanaahidi mwisho wa mwezi halafu unapofika hawapokei simu nimejua ushindi wangu unakaribia amen
Nikweli mtumishi wa Mungu yani mimi siku nikiomba sana kwa machozi na kutubia dhambi zangu yaani huousku silali nitafanyishwa uzinzi kuliko siku ambayo siombi ila nikomba kawaida ninalala vizuri tu
Ahsante YESU kumbe ninaenda mwisho wa niliyopitia haleluyaaa.
Aminaa baba barikiwa saana MUNGU azidi kukutumia kwaajili yetu tulio gizani sasa nauona Mwanga
Umeongea ukweli kabisa sauti inasikika yupo wapi huyo Mungu wako unayemtegemea oooh Yesu sitaki kuharibu mahusiano yangu na yako..nisaidie Yesu wangu...❤
Ameen ameeen
Ubalikiwe mtumishi nimejifunza kupitia neno la mngu mngu asimame kwenye uzao wangu na wamjue mngu
🎉 it's true when you don't pray things seem to be working smooth but the moment you start praying you see the opposite you fail to understand have gotten the answer thanks man of God blessed
Ameen
I second you with bitter truth
MUNGU nakuomba unisaidie nisimame imara katika kuomba kwangu Nina amini ipo siku nitayashunda yote Amen Amen Amen 🙏
Ameen
Mungu akubariki pia
Barikiwa sana maana umenitia nguvu kupitia kwa huu ujumbe🙏🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉
Na shukuru kwa neno🎉🎉
Ubarikiwe sana muchungaji,ni ujumbe bora sana
Mtumishi wa Mungu asante kwa kunitia moyo mm niko kazini ninao fanyia kazi wanamuabudu shetani ninapo sindi kuomba divyo wanaendelea kunitesa sana kwa sababu wameona huo ushindi Mungu ameweka juu yangu Yesu anisandie nisichoke
Ameen. Mungu yu pamoja nawe
Vaa silaha zote za Mungu.
Efeso 6:10-18
Ameen
Ameen
Amen
Ameen
Amen Mungu anisaidie
Yaaani Mungu akutunze tuu uzidi kutusaidia mtumishi Mungu akupe ulinzi mkuu
Asante mtumishi kwa somo hili zuri.mungu akubariki sana.
Ameen ameeen. Mungu akubariki pia
Umeongea sahihi kabisa hata mimi huwa ninashaghaa sana lazima ukitaka kusonga hatua lazima vita itokea kwa wakati huu nimekuelewa sana asante kwa neno la kujenga mioyo zetu
Ee Mungu wangu naomba unitie nguvu nisikate tamaa,okoa uzao wangu baba na unijaze nguvu ya kuomba kwa ajili ya familia yangu uliyonijalia baba usiniche
So touching be blessed mtumishi wa mungu
Yesu unishindie, ni kweli ushindi wangu u karibu
Amina mtumishi ni kweli kabisa.ukisha ona hivyo kaza mwendo.
Asante Baba wa mbinguni kwakumpa mtumishi wako neema yakufunza haya,,,mm nimetukanwa matukano Kali kazi lkn Mungu ni mwema nimeelewa shida inatoka wapi
Asante sana mtumishi wa mungu,mungu akubariki sana.
😭😭😭😭 eeeeh mungu sikia kilio changu jibu maombi yangu 🙏 inatosha baba 😢
Amen
Ameen
Amen
Asante sana kwa huu ufunuo, Glory be to God 🙏,More Grace pastor Innocent
Ameen ameeen
MUNGU akuonekanie mtumishi una mafundisho mazuri sana🙏
Sina la kumpa huyu mungu hila namshukuru kwa kunionekania sababu mtumishi kuna ile mahuburi ulixema kuhusu ezekiel alimlilia mungu na mungu akasikia maombi yake.nami nilikua naugua lakini niliomba enda mbele za mungu na kumbukusha sadaka mahali nilikua naumwa nimepoa ooh nitakutumikia eeh yesu uliye hai na njia ya ukweli Amen
Ameen ameeen
Jina la MUNGU ni kubwa sana @CarolineOgero. Najua huwezi anza kuandika jina lako kwa herufi ndogo kwa hivyo la Mungu linatakiwa uandike kwa herufi kubwa kwa heshima yake MUNGU.Unapoanza kwa herufi ndogo sio jina la huyu Mungu aliekuumba na akakujaza pumzi uliyonayo.
Hallelujah hallelujah YESU AHSANTE 😢kwa som la leo
Ameen
Eeeeh yesu nakushuku kwakuwa unanifundisha kila siku 🙏🙏🙏🙏.. mungu akubariki mtumish kwa somo zuri
Ameen ameeen
Mtumishi Yani hili somo naona linanilenga mimi kabisa Yani asante sana baba kwa somo hili
Ameen ameeen
Somo zuri Sana. Mafundisho haya ni jambo Lipo na linaishi ktk maisha ya wengi.
Amen
Mungu nipe uvumilivu nisikate Tamaa, nimeteswa muda mrefu kujiuliza kumbe Leo nimepata jibu, mungu akubariki Mtume
Amina Yesu Kristo ndiye Mungu wangu na Mwenye vita
Haleluya mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana, unanisaidia sana ktk imani.
Ameen ameeen
Amen. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Asante mtumishi umenitia moyo, nitazidi kuomba na kufunga kwa imani kubwa, barikiwa sana mtumishi wa MUNGU.
Ubarikiwe sana mtu wa MUNGU
Ameen
Hii ni somo nzuri inatuhimiza kwa safari yetu ya kwenda mbinguni, asante sana Bwana asifiwe.
Ameen
Asante Kwa ujumbe huu,nilikuwa ninasafiri gafra ndege ikaniacha😢sasa nimerudi kwa utumwa tena ,ninaomba Mungu afungue mlango wa kutokea nimekaa miaka mbili,niwakati wa kutoka ila dah !sikati tamaa Mungu nisichoke
Ameen ameeen
Amen hili jambo lanisumbua xana nisaidie mtumishi wa mungu
Asante Roho mtakatifu rafiki mwema nimejifunza kitu nipe kusonga mbele kiimani na kungojea Bwana YESU
Ameen
May the Lord bless you kwa hili somo.
Amina,Namshukuru Mungu aliyemtuma Roha mt kunijulisha hili
Amen, mtumishi wa Mungu .maombi hii inagusa roho yangu
Ameen
Mungu azidi kukubariki mtumishi....mimi nikiomba silali kabisa nahangaika sana....barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏🙏
LORD ur so good for us, mimi nikiomba sana,Hua kwenye ulimwengu wa ROHO wananiuliza,hivi sasahivi unasali kanisa gani,mana unaharibu sana vitu vyetu, asubui ukimsalimia mtu haitiki, ana hasira vibaya
"Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli."
Zaburi 121:4
@@holyspiritconnect very true mtu wa MUNGU
Akisanti sana mutumishi kwa maombi hi ubiri ina tusaidiya sana mungu kumbuka msichana wangu ku fuguliwa ili Apate mu chumba kutoka kwako yesu
Ameen
Tutamuombea
Amen.powerful teaching man of God
Amina mtumishi wa Mungu.... Asante MUNGU
Barikiwa mtumishi kwa mafundisho mema
Asant mtumishi wa mungu nimebalikiwa kwa neno lako
Amen 🙏🙏🙏 nakufatilia
Mungu akubariki mafundisho mazuri sana
Asante sana kwa somo mtumishi Mwenyezi akuzidishie
Nimebarikiwa vya kutosha
Ukweli kabiza mtumishi wa Mungu nimeomba sana juu ya ndoa yangu nashukiwa Bure niombee sana naitaji Maombi yako kutoka kenya
Tutakuombea. Mungu atakutendea
Kweli pastor nimebitia hayo saaana,nilisidi kuomba milango ikafunguliwa Asante kwa hilo neno.
Asante Mungu Ee Mungu zidisha nguvu ya maombi ndani yangu nsikate tamaa
Mungu niongoze kwa kila eneo ĺa maisha yangu..Amen ❤
Ameen
Kwa kweli hili ndilo janga kubwa. Mungu atutetee❤
Amina ushindi ni hakika🎉🎉
Umenifungua sana mtumishi wa mungu ubarkiwe naahidi kuzidisha maombi ili niwe mshindi amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen amen wow wow ahaa a hili ndio huwa ni swali langu kila mara kumbe ni hivi bariki wa sana mpaka mafuta wa bwana Mungu aishiye
Ni kweli kabisa unapo omba sana vita ni vingi😊
Yesu naomba unisaidie nipe neema nisikauke maombi nawewe pekee umebaki katika hili. Nivushe nisikate tamaa.asante Mtumishi
Amina mtumish wa Mungu,imekuwa kwangu safar hii Kila nkiomba mateso yanarud mara mbili kwangu,
Yaan Hali ikawa mby kbs,
Mungu unipe nguvu yakushinda Tena
Umenitia moyo Amen
Asante Bwana Yesu kwa somo hili 🙏🏻🙏🏻
Ameen
Mungu mwema akubariki mtumishi wa Bwana.
Mungu akubariki sana Mtumishi kwa kipindi kizuri.
Asante sana mtumishi wa Mungu kwani haya ndio ninayo pitia Mungu atusaidie tushinde vita 😢
Amina Ubarikiwe sana Mtumishi 🙏🙏🙏
Nakushuru sana Yesu kwa kumtumia mtumishi huyu kumpa somo lilikuwa linanisumbua sana hili suala.namshukuru sana Mungu nina aman
Ameen
Kabisa nami nikiomba hali inakuwa mbaya sana lkn namshukuru Mungu huwa sikati tamaa
Mungu Asante kwa kunipigania
Mtumishi Watu Wengi Tunapitia Hii Changamoto Mungu Akubariki Sana Nimepata Mwanga Leo
Ameen ameeen
Asante sana mtumishi, hayo ndo ninayopitia,lakini sikati tamaa BWANA YESU ASIFIWE SANA!, UBARIKIWE SANA.
Namshukuru Mungu sana nasiachi kuomba na sikati tamaa ng'o Mungu anajibu na ataendelea kunijibu mi namshukuru tu Mungu Tegemeo tumaini ni Mungu tu hata vita ipambe moto sitakengeuka Kwa jina la Yesu Kristo AMINA
Ameen ameeen
Asante.mun
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu maana hill kwangu lipo
Ubarikiwe Mtumishi Innocent kwa neno takatifu la Mungu. 🙏
Ameen ameeen
Amina baba tusiwe wepesi wa kukata tamaa ila majaribu ni makubwa zaidi🙏🙏🙏🙏
I give glory this word is for me man of God
May God grant you more wisdom!! My heart breaths again
Amen Asante mtumishi wa mungu
🙏🙏🙏
mtumishi wa Mungu asante sana kwa hili neno la uzima
Hallelujah kwenye MAOMBI hayo ndo napitia hadi wakati mwingine najihisi kukata tamaa lakini nasimama tena
Ameen
nashukuru Mungu nimelion hili somo mana n kam mtumishi ananiambia mimi mana naomb lakn n kam siombi mambo yanazidi kuwa magumu kila eneo...kweli Mungu hulituma neno lake kuniponya na kunitoa katika maangamizo yote
Ameen
Nimekupenda buree kwaakwel napitia changamoto yaaan Mungu nitie nguvu
Mungu Akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa Somo lamatumaini
Ameen
Asante sana MUNGU wangu kwa jina la YESU amen🙏
Barikiwa sana
Amen mtumishi hata mimi huwa najiuliza hili swali asante nimefahamu sasa.
Ameen
Amen Ameeeen nimebarikiwa mno na ufunuo huu.. 🙏
Ameen ameeen
Aminaaaaaaa. Somo zuri mnooo. Bwana Yesu apewe sifa.
Ameen
Asante sana kwa mafunzo mazuri...nmekua najiuliza maswali sana hadi nkafika mahali nkagive up bt nashukuru mungu hajawai nliacha ..bt cwezi kata Tama na ntamtegea cku zote..
Nimepata nguvu mpya ,barikiwa mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe mtumish wa MUNGU
Ameen
Thank you for the scripture,you have open my spiritual eyes and may God bless you man of God🙏🙏
Am blessed man of God,God bless you for teaching us the spiritual teachings that helps our journey in Christ
Asante Mungu kwa yote 🙌🙌
Asante mungu kwa kunigungua ufahamu kupitia mtumizi wako nipe nguvu ya kuendelea mbele
Mungu akubariki Sana mtumishi wamungu. Iyi ni jibu kwa maisha yangu ya kila siku.
Ameen ameeen