MAOMBI YA KUFUNGUA MILANGO by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • MAOMBI YA KUFUNGUA MILANGO by Innocent Morris
    Contacts: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 199

  • @EvaNyaita-ne3sw
    @EvaNyaita-ne3sw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and amen baba umenitendea makuu na nitaendelea kupokea makuu katika jina lako kuuuu yesu🙏🙏

  • @AtupokileKashililika
    @AtupokileKashililika 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ashukuliwe mungu baba yetu wa mbinguni kupitia maombi haya tunauponyaji mkumbwa Sana,haluluya,ubalikiwe mtumishi wa mungu

  • @neemasalvatory3185
    @neemasalvatory3185 ปีที่แล้ว +2

    Ehee bwana yesu fungua Kila mlango ulifungwa kwenye maisha yangu

  • @ashurabae
    @ashurabae ปีที่แล้ว +1

    Unayajua maisha yangu zaidi ya wana damu eeeh mungu naomba unkongoze....najua mm c mkamilifu nakosea kila siku naomba uni rehemu naomba unitie nguvu ninapo ishiwa na nguvu naomba unitie moyo kwa ajili ya watoto wangu🤲🤲🙏🙏

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana Yesu unastaili Sifa

  • @happnesskatandula4189
    @happnesskatandula4189 ปีที่แล้ว +2

    Tunakuinua mfalme mtenda makuuuuu mtenda miujiza mfanya njia pasipo na njiaa unastaili sifa unastaili kuabudiwa ni weeeeeh 2 Yesu hakuna mwingine sijaona km wewe Mungu mwenye nguvu usinziii ulali sifa na utukufu ni zako Yesu

  • @philomenamesimesi2738
    @philomenamesimesi2738 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nifunguliye milango iliyofungwa na shetani

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen asante saana Mungu nakuitaji mirango yablaka kwenye family yangu
    Mirango yablaka ifunguke kwakazi zangu
    Mirango yablaka ifunguke kwamafanikio yangu 👏👏👏

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana tunakusifu wewe 🙏🏻

  • @VeronicaNyirawila
    @VeronicaNyirawila 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba malango ya familia yangu yakafunguke kila lililofungwa likafunguke kwa jinalayesu amina

  • @TUNUMNGONIGANI
    @TUNUMNGONIGANI วันที่ผ่านมา

    Milàngo yangu yote ya watu kunisaidia ifunguke Amen🙏🙏

  • @happnesskatandula4189
    @happnesskatandula4189 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mwny nguvu mwny uwezo unataili kuabudiwa unastaili Yesu tunakuabudu sifa na utukufu ni zako Yesuuuu uimidiweee Yaweeeeeeh ww ni mkuuuuu pokea sifa zangu Simba wa Yuda pokea sifa zangu Jemedali wa vita Pokea sifa zangu Jehova shamaaa pokea sifa pokea eshima katika jina lipitalo majina yote

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana YESU Asante kwa kazi i ya biashara yangu milango yangu ya uchumi kibali chaka kazi

  • @gracesaburi8398
    @gracesaburi8398 ปีที่แล้ว +2

    Kila mlango uliofungwa nimefungua Leo katika jina la Yesu Krito na Damu ya Yesu kristo Ameeen 🙏🙏🙏🙏

  • @mkujudamumy1594
    @mkujudamumy1594 ปีที่แล้ว +2

    Naomba yesu afungue kazi yangu na abariki family yangu. Na ndoa yangu

  • @Winner_Maggie88
    @Winner_Maggie88 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba nifungulie milango ya destiny helpers, uchumi, ndoa, na promotion kwa Jina la YESU🙏

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi nimempokea bwana Yesu leo

    • @issackdaniel4874
      @issackdaniel4874 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amen hongera sana anitha kwa hatua hiyo

    • @AnithaJoeli
      @AnithaJoeli 6 หลายเดือนก่อน

      @@issackdaniel4874 Amen 🙏🏻

  • @suzanangogo1523
    @suzanangogo1523 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepokea kwa jina la yesu nakuamin

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nfungulie milango yandoa mafanikio njiazangu zote kwajina la Yesu kristo

  • @happynessrwebembela750
    @happynessrwebembela750 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu fungua milango ya baraka funga magonjwa na roho za mauti kwangu

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 ปีที่แล้ว +1

    Naomba ufungue milango ya baraka kila eneo ya maisha ya ngu naya watoto. Wangu milango. Akira ya watoto wangu Amina ktk jina ya yesu kristu

  • @elisepashayo2598
    @elisepashayo2598 ปีที่แล้ว +2

    Mungu naomba malango yangu yote yafunguke

  • @roseasimwe827
    @roseasimwe827 ปีที่แล้ว +2

    Kila mlango ambao adui anatumia kuharibu maisha yangu unafungwa kwa damu ya Yesu

  • @mercykoech1487
    @mercykoech1487 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi atukuzwe Mungu mwenyezi in Jesus mighty name.

  • @alicehaule3456
    @alicehaule3456 ปีที่แล้ว +2

    Kila milango ambayo adui anatumia kuharibu naisha yangu naifunga kwa jina la Yesu.

  • @EvaNyaita-ne3sw
    @EvaNyaita-ne3sw 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Amen lord open my door in name Jesus 🙏🙏

  • @caroabduli4321
    @caroabduli4321 ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu kwa kufungua milango na unaendelea kufungua amin

  • @lucienneungilila6451
    @lucienneungilila6451 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kristo kila Malango adui wamefunga Uchumi Baraka zilizo fungwa za maisha yangu nafunguwa kwajina la yesu christo

  • @lucienneungilila6451
    @lucienneungilila6451 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu naomba ufunguwe tumbo na maisha yangu katika Katika Jina la yesu christo

  • @philomenamesimesi2738
    @philomenamesimesi2738 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nifunguliye baraka katika maisha yangu

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 ปีที่แล้ว +1

    Asante bwana yesu kwa kunipa nguvu ya kufungua milango ya baraka katika maisha yangu

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 ปีที่แล้ว +1

    Milango yangu ikafunguke milango ya watoto ya baraka ikafunguke biashara ikafunguke afia yangu kwa kila eneo. Langu uchumi. Ifunguriwe. Kwa jina la yesu

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +2

    Naomba YESU afungue maisha yangu aminaaa 🙏🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba milango yangu ya uchumi kibali chaka kazi

  • @user-fe6ci4gx5v
    @user-fe6ci4gx5v 2 หลายเดือนก่อน

    Asante YESU kwa kufungua milango ya baraka kwenye kila eneo la maisha yangu🙏

  • @veronicajerome1184
    @veronicajerome1184 ปีที่แล้ว +2

    Bwana naomba utufunguwe mirango ya famiria yetu

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Unastaili heshima bwana Yesu pokea sifa kwajina laYesu kristo

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri ปีที่แล้ว +2

    BWANA YESU NAOMBA UNIFUNGULIE MILANGO YA KILA ENEO LA MAISHA YANGU, KATIKA JINA LA YESU KRISTU

  • @saraholuche1117
    @saraholuche1117 ปีที่แล้ว +1

    Nimempokea bwana yesu, ciku ya leo.

  • @suzzyyank7446
    @suzzyyank7446 ปีที่แล้ว +2

    Asante jehova Kwa kufungua milango ya mbaraka katika jina la yesu Kristo
    Asante Kwa maombi yaha...Amina Amina

  • @lucienneungilila6451
    @lucienneungilila6451 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kristo kila Malango adui wamefunga Uchimi

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +1

    BWANA YESU nifungulie milango iliofungwa uchumi

  • @faithlenana8577
    @faithlenana8577 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen.. pastor niombee milango yangu ikapate kufunguka

  • @mrsmburu5540
    @mrsmburu5540 ปีที่แล้ว +2

    Nimefungua milango ya kuojazwa na roho mtakatifu

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Naomba ufungue milangu yamaisha yanguniinue bwana ungue maishayangu milango yabaraka

  • @gillianlissa2403
    @gillianlissa2403 ปีที่แล้ว +3

    Milango ya baraka kwenye kila eneo la maisha yangu ifunguke kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu🙏🙏🙏

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 ปีที่แล้ว +1

    Nimempokea yesu kristo

  • @Lilian989
    @Lilian989 ปีที่แล้ว +2

    Bwana asifiwe amen amen mtumishi mim naota baada ya siku chache Hilo jambo linatendeke

  • @alicehaule3456
    @alicehaule3456 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu nifungulie kila milango yangu iliyofungwa katika maisha .Uchumi,mahusiano, kibali ifunguke katika jina la Yesu.

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus ปีที่แล้ว +2

    Asante Yesu nifungulie milango katika Kila eneo LA maisha yangu

  • @roseasimwe827
    @roseasimwe827 ปีที่แล้ว +2

    Milango yote ya baraka ikanifungukie kwenye maisha yangu na familia yangu kwa damu ya Yesu

  • @iradukunda1352
    @iradukunda1352 ปีที่แล้ว +2

    Nimemupokea yesu

  • @etoilesdedieu9878
    @etoilesdedieu9878 ปีที่แล้ว +1

    Oh yes Open out door 🚪 in my Family Lord Jesus let the doors 🚪 of life open in my family in the name of JESUS-CHRIST OF NAZARETH AMEN 🙏

  • @J3nimaNgala
    @J3nimaNgala 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu milango yangu baraka ifunguke

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA

  • @wickliffeorina518
    @wickliffeorina518 ปีที่แล้ว +2

    Santee mungu kwa siku ya Leo, naomba unifungulie milango katika maisha yangu🙏🙏

  • @jacklinekalekyenyamai3562
    @jacklinekalekyenyamai3562 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 milango ifunguke

  • @SammondJoseph
    @SammondJoseph 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ntaomba mungu katika maombi Aya milango yang ya baraka ifunguliwe kweli kweli napokea baraka kwanzia sasa na muda hu kwaimani kabisa 😭😭🙏🙏

  • @marymachete9152
    @marymachete9152 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙌🙌

  • @ChakulaTVOfficial
    @ChakulaTVOfficial ปีที่แล้ว +4

    FOLLOWING......

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

    • @peninabensonpen870
      @peninabensonpen870 ปีที่แล้ว

      Amen Amen Mungu akubariki na akuzidishie hiyo neema ya kibali pastor nimejifunza. Mungu afungue milango ya huduma niliyo nayo

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🏻

  • @vooneyjaka4322
    @vooneyjaka4322 ปีที่แล้ว +2

    Ameen Ameen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Naomba ufungue milango yauzao watumbo langu

  • @malianadaniel842
    @malianadaniel842 ปีที่แล้ว +1

    Ninajiungamanisha na haya maombi ya leo ili nifunguliwe huu umaskini na kutopatana na familia yangu

  • @ChristineNamaemba-te7lu
    @ChristineNamaemba-te7lu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and amen

  • @user-jf3tv1gv9b
    @user-jf3tv1gv9b หลายเดือนก่อน

    Kila milango uliofungwa naufungua ktk jina la yesu

  • @sheilaavidi643
    @sheilaavidi643 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and Amen

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nafunga milango yote anaepit adui

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Amini amini🙏🙏

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว +1

    AMEN

  • @darlinedavison7091
    @darlinedavison7091 ปีที่แล้ว +1

    Ee Bwana Yesu naomba unifungulie milango ya baraka katika maisha yangu 🙏🏽

  • @user-qh4de7gz6i
    @user-qh4de7gz6i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏🙏🤝

  • @catherinekelvinakida2226
    @catherinekelvinakida2226 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏

  • @jescacheyo1329
    @jescacheyo1329 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN.. Nimebarikiwa na maombi haya.

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Ameen🙏🙏🙏🙏

  • @ceciliaaugustino6898
    @ceciliaaugustino6898 ปีที่แล้ว

    Amen,eh mwnyez Mungu ufungue milango ya baraka katika maisha yangu na familia yangu🙏

  • @marieunique3265
    @marieunique3265 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa BWANA 🙏

  • @zaridilan4733
    @zaridilan4733 ปีที่แล้ว +1

    Amen nashukuru san mtumishi wangu

  • @hellenmhina4298
    @hellenmhina4298 25 วันที่ผ่านมา +1

    AMEN🙏

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t หลายเดือนก่อน

    Naomba milango yauchumi ikafunguke nahitaji wateja

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l ปีที่แล้ว

    Nakupenda pastor nabarikiwa Sana😭😭mpaka machoz nakuombea Maisha elf Kumi yasiyo na tabu wala uzeee uwe hivo hivo

  • @neemamfusi4446
    @neemamfusi4446 ปีที่แล้ว +1

    AMENI 🙏

  • @janenkata6290
    @janenkata6290 ปีที่แล้ว +2

    Nimempokea Bwana Yesu leo

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  ปีที่แล้ว

      Ameen ameeen. Mungu akubariki sana sana. Hongera sana +255652796450

  • @TUNUMNGONIGANI
    @TUNUMNGONIGANI วันที่ผ่านมา

    Nifungulie milàngo yote pesa ifunguke

  • @neemametison1477
    @neemametison1477 ปีที่แล้ว +1

    Asante bwana yesu kwakuweza kufungua milango ya baraka kwenye Kila eneo la maisha yangu,ninasema asante bwana yesu 🙏

  • @neemametison1477
    @neemametison1477 ปีที่แล้ว +1

    Asante bwana yesu

  • @zaridilan4733
    @zaridilan4733 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana🙏🙏

  • @marrybanda7855
    @marrybanda7855 ปีที่แล้ว +2

    Amen and Amen God bless you pastor

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @rosestiven4483
      @rosestiven4483 ปีที่แล้ว

      Emwenyezi mungu Naomba Unifungulie milango ya biashala na mausiano kwa jina la Yesu

  • @catherinepeter385
    @catherinepeter385 ปีที่แล้ว +2

    Good bless you pastor , amen 🙏♥️

  • @hildapaul5422
    @hildapaul5422 ปีที่แล้ว +1

    Mzaliwa wangu wa kwanza malango yake ikafunguke

  • @beatriceapondi5243
    @beatriceapondi5243 ปีที่แล้ว +1

    Following from nairobi kenya

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 ปีที่แล้ว +1

    Aneeeeeeeen and and ameeeeeen jesus

  • @faithlenana8577
    @faithlenana8577 ปีที่แล้ว

    Pastor niombee nkapate kupadishwe cheo kazini

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @gracekemunto8623
    @gracekemunto8623 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 ปีที่แล้ว +1

    Amin

  • @queenowino9236
    @queenowino9236 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen 🙏🙏