MAOMBI: Omba Mungu akupe kibali katika kila eneo la maisha yako By Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • MAOMBI: Omba Mungu akupe kibali katika kila eneo la maisha yako By Innocent Morris
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 384

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 2 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi WA bwana mungu akubarik sn mi naenda sn kuomba na wew na ninabarikiwa sn mungu amekupa kalama ya Hali ya juu bwana aendelee kkutumia ili uweze kufungua watu wake Amina barikiwa sn

  • @neemakalunga7158
    @neemakalunga7158 ปีที่แล้ว +4

    Eeh MUNGU naomba kibali kwenye kila eneo la maisha yangu bila wewe mimi siwezi baba
    Naomba kibali kazini kwqngu
    Kwy biashara zangu
    Kwy ndoa yangu
    Kwa watoto wangu
    Kwa wazazi wangu
    Kwa wenzangu wote wanaonizunguka
    Nikakupendeze wewe YESU na wanadamu
    TEMBEA NAMI YESU

  • @mirajinabaswa2492
    @mirajinabaswa2492 หลายเดือนก่อน

    Asantee yesu kristo ,jina lako litukuzwe milele,naomba nipate kibali kwa kazi yangu na kwa familia

  • @dorcasobanya
    @dorcasobanya ปีที่แล้ว +1

    tembea nami yesu kwa maisha yako

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 ปีที่แล้ว

    Usiace YESU upogusa wengine namimi usinipite nakuitaji Mungu wangu

  • @emillymwangala
    @emillymwangala 27 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Bwana yesa naomba kibali chako katika jina LA yesu kibali chako kiwe juu yangu katika jina La yesu

  • @HildaJoseph-p7l
    @HildaJoseph-p7l ปีที่แล้ว +2

    Mungu atpe kibali kila eneo la maisha yangu na watoto wangu

  • @leonardobulalu
    @leonardobulalu ปีที่แล้ว +1

    Mungu nipe kibali ktk maisha yangu ,nipe kibali za kumiliki Baraka zangu nikatembee na kibali cha Mungu ktk kila maisha yangu ndani ya mwaka huu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu nipe kibali cha kusikilizwa na watòto wangu wa kazi ktk jina la yesu kristo. Wasisikilize watu wengine ktk jina la yesu kristo nipe kibali cha kulipwa pesa zangu zote ktk jina la yesu kristo, nipe kibali cha kumaliza madeni yote ndani ya mwezi huu ktk jina la yesu kristo, ukatembee na mm ktk jna la yesu kristo, nipe kibali cha kutoa fungu la kumi ktk jina la yesu kristo, nipe kibali cha kupendwa na kila moja ktk jina la yesu kristo.

  • @VictoriaTarimo-rx9xp
    @VictoriaTarimo-rx9xp ปีที่แล้ว

    Bwana yesu ukatembee na mimi

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 11 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa Kibali, Kibali hiki kitembee na mm kila eneo la maisha yangu.

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mtumishi naomba Mungu anipekibali
    maishani wangu na mahalipoteniendapo anipe kibali kama Shadraka na Meshack na Abednego, Asante sana mtumishi wa Mungu

  • @elizabethkhisa4755
    @elizabethkhisa4755 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu nashukuru kwa kinipa kibali na upendeleo kwa maisha yangu

  • @stellaheduard4046
    @stellaheduard4046 3 ปีที่แล้ว +5

    EE MUNGU NAOMBA UNIPE KIBALI KTK KAZI YANGU BIASHARA YANGU,WATU WANAONIZUNGUKA NA KILA SEHEMU.
    AMEN

  • @elizabethsembuyagi9981
    @elizabethsembuyagi9981 2 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu naomba ukanipe kibali.Kibali cha Bwana kiwe juu yangu

  • @NEMAMnyahati
    @NEMAMnyahati 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bwana yesu mwenye kusifiwa ni wewe tuu bwana yesu nipe neema na kibali kazini kibali kwa family yangu kibali Kila eneo la maisha yangu kibali chako mungu kikawe na Mimi Kila siku zote za maisha kibali chako mungu pekee kiniinue 🙏🙏🙏

  • @VictoriaTarimo-rx9xp
    @VictoriaTarimo-rx9xp ปีที่แล้ว

    Napokea kibali kwa jinala yesu

  • @jacklinemagere1796
    @jacklinemagere1796 ปีที่แล้ว +2

    hee Mungu najiunganisha kwenye maombi haya amen 🙏🙏

  • @elizabethkhisa4755
    @elizabethkhisa4755 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen roho za kuchukiwa na kukataliwa zitoke katika jina la yesu

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว

    Napokea kibali na neema ya kutii neno la kristo yesu 24/7.

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu wewe ni mwema bwana yesu wewe mzuri, ni wewe tu, Bwana yesu, wewe ni mungu mwenye upendo niwewe tu unaye stahili kusifiwa hakuna km ww, niwewe tu ninaye kuabudu bea a yesu wewe ni mwema, naomba nipe kibali ktk kila eneo la maisha yangu. Ninaomba nikapate kibali machoni pako ktk jina la yesu krito kibalichako kiwe juu yangu, kibalichako bwana yesu. Naomba nipate upendeleo wako ktk jina la yesu kristo. Naomba nikapate kibali chakuuza shamba langu ktk jina la yesu krito bwana yesu kibali chako kikawe juu yangu, Kibaki chakuheshimiwa na kila moja kikawe juu yako nikatembee nawewe mwaka huu wote,nisitembee pele yangu, tembea nami jehova, ktk jina la yesu krito, nipekibali chakufanikisha mipango yangu yote ktk jina la yesu kristo. Tembea na mm bwana yesu. Tembea na watoto wangu bwana yesu ktk jina la yesu kristo. Tembea na wajukuu wangu ktk jina la yesu kristo.

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Baba wa mbinguni uliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo nakuomba kwa rehema na neema yako unipe kibali katika kila eneo la maisha yangu na familia yangu mbele zako na mbele ya wanadamu 24/7 forever katika jina la yesu kristo. Amen.

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 3 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU akupe kibali kila eneo la maisha yako mtumishi

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว +3

    Mungu katika jina la yesu kristo naomba nipe kibali na neema katika kila eneo la maisha yangu na familia yangu 24/7 forever kwa utukufu wa jina lako mungu Baba.

  • @SarahYonah-w4c
    @SarahYonah-w4c 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba kibali Kila eneo la maisha yangu na kazi yangu na familia yangu

  • @joharijonasi5845
    @joharijonasi5845 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nipe.kibali cha kukujua wew ktk maisha yangu 🙏

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba nipate kibali chako unitangulie kwa kila jambo.

  • @MariamuRashid-oy4re
    @MariamuRashid-oy4re 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu kristo uwape kibali watoto wangu kwenye eneo lao kimasha yesu nisaidie amiinaaa

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 2 ปีที่แล้ว +4

    Bwana yesu nakusifu wewe tu unastaili kusifiwa naomba unipe kibali katika eneo la maisha yangu na watoto wangu

  • @marialukumbi
    @marialukumbi ปีที่แล้ว +2

    Mungu naomba kibali chako katika maisha yangu, nipe kibari katika kazi zangu, familia yangu Amina

  • @evilahmponzi5312
    @evilahmponzi5312 2 ปีที่แล้ว +7

    Ee Mungu naomba kibali kwenye kila Eneo la maisha yangu nikatembee na kibari, Mwaka huu wote kibari chako kiwe nami kila Eneo la maisha yangu Mungu naomba kibari, Mungu naomba kibari kwako Kuna kibari Cha kupendwa, Cha kupata faida , Cha kupata kazi Naomba kibari Naomba kibari Naomba kibari Maana kwako ndiko Kuna kibari Cha pekee Cha kweli na Cha haki

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana sana Yesu kwa kunipa kuomba kibali,Asante Yesu kwa kunipa kibalu,nami naamini kibali chako Yesu kinaenda kutembea nami kila eneo la maisha yangu, Amen

  • @paskalinanesphory3425
    @paskalinanesphory3425 ปีที่แล้ว

    Bwn yesu tembea nami nishike mkono

  • @MariamuRashid-oy4re
    @MariamuRashid-oy4re 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nipe kibali kwenye mausiano yangu naomba nisaidie nipate mume mwema na wamaagano yesu nisaidie amiinaaa

  • @amandatumaini1433
    @amandatumaini1433 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bwana Yesu wewe ni mwema umenipa kibali amen

  • @catherinejosephs7217
    @catherinejosephs7217 ปีที่แล้ว +3

    Napokea kibali chako BWANA Yesu kwa imani kubwa

  • @faithlenana8577
    @faithlenana8577 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante yesu Kwa Ii maobi uliompea pastor Kwa ajili ya kutuokoa sisi wanyonge tusiowezana ni maobi ikona nguvu sana.. Asante yesu aleluya aleluya..

  • @mariamwakajila235
    @mariamwakajila235 5 หลายเดือนก่อน

    Ee! Mwenyezi Mungu naomba Unipe kibali kwenye Maisha yangu na family yangu na Biashara yangu uchumi wang kwà kila eneo Mungu kama wewe Unipe kibali nipate Kazi nanifngue Masikio🙌🙌🙌🙌🙇🙇🙇

  • @karembokahindi6308
    @karembokahindi6308 2 ปีที่แล้ว +1

    Mngu akubarik mtumishi wamngu innocent Morris kwa maombi barikiwa sana mtumishi wamngu

  • @judithnaliaka972
    @judithnaliaka972 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe kibali kwa maisha yangu na ndoa yangu na family yangu nipewe kibali

  • @edwineamtabi448
    @edwineamtabi448 ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu mmoja wambinguni umekuweka mtumishi wako HapA duniani atuokoe amen 🙏

  • @jadenjames4441
    @jadenjames4441 2 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu

  • @leonardobulalu
    @leonardobulalu ปีที่แล้ว +4

    Mungu nipe kibali ktk maisha yangu ,nipe kibali za kumiliki Baraka zangu nikatembee na kibali cha Mungu ktk kila maisha yangu ndani ya mwaka huu ktk jina la Yesu Kristo

  • @nasolodiomba
    @nasolodiomba 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba kibali cha kulejesha nyota yangu na maisha yangu nikubalike popote niendapo..na naomba kibali cha kuinua kipaji changu cha mziki.

  • @RukiaKipenzi-k9f
    @RukiaKipenzi-k9f 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe kibali katika eneo la maisha yangu pamoja na watoto wangu

  • @gloryelly7621
    @gloryelly7621 ปีที่แล้ว +2

    Mungu naomba KIBALI CHAKO kwenye kila eneo la maisha yangu mbele zako na mbele za wanadamu kwa mwaka huu wote wa 2023🙏

  • @AlphoncinaMbunda
    @AlphoncinaMbunda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu naomba nipate kibari cha kukubarika kwa Damu ya Yesu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤nakwabutu Bwana Yesu Kristo wewe nimuzuri kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah 🙏🙌🙌 hallelujah 🙏🙏💖

  • @Bahati-ho3zv
    @Bahati-ho3zv 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU naomba unipe kibali na Neema Kwa kila eneo la Maisha yangu.

  • @SALOMEMJATO
    @SALOMEMJATO 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu katika mwahuu wote kibali cha kristo

  • @CatherineBarasa-bh3cy
    @CatherineBarasa-bh3cy 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe kibali mwaka huu nikatende katika kibali chako popote ingiapo

  • @roseannsirucha8545
    @roseannsirucha8545 2 ปีที่แล้ว +2

    AMINA KIBALI MAISHANI MWANGU KILA SEHEMU HASAA KAZINI LORETO AMBAPO VITA NI VIKALI ZAIDI NA BILA WEWE YESU PEKEE YANGU SIWEZI KABISA UMEKUWA MTETEZI MAADUI WANAPOUNGANA NA KUNI-INUKIA UNASIMAMA NAMI IN JMN🙏

  • @SarahYonah-w4c
    @SarahYonah-w4c 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anipe kibali kwenye Kila eneo la maisha yangu na familia yangu

  • @SaraphinaSadala
    @SaraphinaSadala หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomb kibal chak katik maish yang yote'ndoa yang' uchum wang na kazin kwang nahitaj kibal chako amina

  • @ShabaniKondo-wr1xh
    @ShabaniKondo-wr1xh 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba unisimamie katika maisha wew ni mungu wa ukoaji nakuabidu na nakuomba msaada

  • @estermeshack610
    @estermeshack610 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa maombi mtumish

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mwingine ni wewe tu Mungu unayestahili kusifiwa

  • @IsaacStephen1234
    @IsaacStephen1234 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba kibali cha mafanikio ya halali ktk maisha yangu mwaka usipite

  • @emillymwangala
    @emillymwangala 27 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba kibali Cha ndoa eee mungu wangu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 หลายเดือนก่อน

    Napokea Kwa jina la Yesu Kristo hallelujah kibali kubali kazini maishani mwangu naomba kibali kubali hallelujah

  • @MariamuRashid-oy4re
    @MariamuRashid-oy4re 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nipe kibali cha afya nipate kupona magojwa yesu nisaidie amiinaaa 🙏

  • @SmumbiMumbi
    @SmumbiMumbi 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe kibali katika kazi yangu katika jina la nyesu

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe kibali kibali chako kiwe juu yangu

  • @caroabduli4321
    @caroabduli4321 ปีที่แล้ว

    Asante mungu naomba unipe kibali machoni kwako

  • @ngwashimalenya6412
    @ngwashimalenya6412 2 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana yesu kw maombi haya yakuniweka karibu na wewe.

  • @francinekika5847
    @francinekika5847 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @amunyanitvtanzania7646
    @amunyanitvtanzania7646 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina mungu wangu sikia maombiii yangu kupitia madhabahu

  • @najmahamisi-mr8pg
    @najmahamisi-mr8pg 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba MUNGU unipe kibali Cha kupata 50000000

  • @RehemaMhabuka
    @RehemaMhabuka 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi naomba mungu anipe kibari katika kila eneo la maisha yangu

  • @HappyDalmatian-uu8zw
    @HappyDalmatian-uu8zw หลายเดือนก่อน

    Salome Mwaka huu wrote mungu uwape Kigali cha kristo watoto wangu wafanikiwe katika shughuli zao uchumi ,ndoa na vitus vyote

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 2 ปีที่แล้ว +2

    Tembea nami bwana yesu najitaji ukatembee nami jehova

  • @philissimiyu2123
    @philissimiyu2123 2 ปีที่แล้ว +2

    Bwana yesu kristo naomba kibali chako kiwe juu yangu siku zote za maisha yangu.amina

  • @evilahmponzi5312
    @evilahmponzi5312 2 ปีที่แล้ว +4

    Asante Yesu, Wewe ni mwema, mwaminifu wapekee na wa haki, Kwako Kuna ushindi kunakicheko furaha Amani Asante Yesu

  • @NEMAMnyahati
    @NEMAMnyahati 11 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana yesu Kwa neema na kibali mbele za mungu

  • @faithlenana8577
    @faithlenana8577 2 ปีที่แล้ว

    Asanty pastor Kwa kutuobea mungu akubariki sana

  • @RechoLory
    @RechoLory 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu nakuxhukuru kwa Kila
    Jambo naomba 🎉Kibali ya kusimama nawe

  • @damariswanjugu6879
    @damariswanjugu6879 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe kibali pamoja na famili

  • @zeinabjoseph7120
    @zeinabjoseph7120 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameen mungu anipe kibali kazini kwangu

  • @dainessdaudi8640
    @dainessdaudi8640 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba kibali kazin kwangu kuanzia sasa kwa jina la yesu

  • @SALOMEMJATO
    @SALOMEMJATO 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesuninakuabudu bwana yesu nakuabu niwewe.unaestahili kusifiwa

  • @matridajaily9164
    @matridajaily9164 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kwa kukutumia mtumishi wa Mungu

  • @glorysangei5387
    @glorysangei5387 2 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante Bwana Yesu Kwa kibali chako katika maisha yangu

  • @Josephatmussa
    @Josephatmussa 8 หลายเดือนก่อน

    mwenyezi mungu naomba utembeye na mimi katika maisha yangu

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwaka huu wote Mungu uwape kibali cha kristo watoto wangu wafanikiwe katika shughuli zao uchumi , Ndoa na vitu vyote

  • @Zoya-dm6dd
    @Zoya-dm6dd ปีที่แล้ว +2

    Amen 🧎🏻‍♀️🧎🏻‍♀️ usiniache mungu napokea kibali cha kukubalika na unirangulie Kwa kila jambo pekeyangu siwezi mungu

  • @NyamoriPhiles
    @NyamoriPhiles 4 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba unipe kibali nikubalike kila mahali boss wangu wanikubalu watoto wao wanikubali kazi yangu ikubalike

  • @twihanganedaniel
    @twihanganedaniel 5 หลายเดือนก่อน

    God is king naeye akubariki, akupe Nema zake zote. Psalms 20 : 1_9. Asante bwana Yesu Kristo, na familys zako zote, Psalms 122 : 1_9.

  • @evilahmponzi5312
    @evilahmponzi5312 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe Ni mwema wewe ni mzuri wapekee na haki nakuabudu pekeyako Asante kwa kila kitu maishani mwangu

    • @scolashayo1125
      @scolashayo1125 ปีที่แล้ว

      Naomba kibali kwenye maisha yangu kila nitakacho kifanya kiwe na kibali kwa jina la yesu

  • @CelestinaMgonto
    @CelestinaMgonto 6 หลายเดือนก่อน

    Amen,napokea kibali Kila eneo la maisha yangu!

  • @marynduta5464
    @marynduta5464 2 ปีที่แล้ว +3

    Kibari in Jesus Name

  • @hananbrengan3696
    @hananbrengan3696 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen thanks mtumishi wa mungu

  • @chinatanzaniabusiness1262
    @chinatanzaniabusiness1262 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen!! Nimebarikiwa kwa jina la Yesu!!! Asante Yesu kwa kunipa kibali Tena maishani mwangu. Amina!!!

  • @piritympanga9735
    @piritympanga9735 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen bwana abarikiwe

  • @angelinamsemwa5592
    @angelinamsemwa5592 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu naomba kibali kila eneo la. Maisha yangu

  • @carolinemwanziajustoh8334
    @carolinemwanziajustoh8334 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kibali chako bwanaYesu,kwenye kila enjoy la maisha yangu.u mwema kwangu

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 3 ปีที่แล้ว +4

    Bwana Yesu tembea na familia yangu Isaya 43 katika jina la Yesu kristo naomba kibali katika biashara zangu watoto wangu Bwana Yesu Amen

  • @esterjudithp554
    @esterjudithp554 3 ปีที่แล้ว +3

    Kibali cha kristo kinitangulie. Ameen

  • @DoraDickson-lg9op
    @DoraDickson-lg9op 7 หลายเดือนก่อน

    Namuomba mung anipe kibali Cha familia yangu na afy yangu

  • @ShabaniKondo-wr1xh
    @ShabaniKondo-wr1xh 5 หลายเดือนก่อน

    Amina napokea kibali kwa bwana mwaka huu wote

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU naomba kibali kila eneo la maisha yangu